ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MAKONGORO NYERERE Mbele ya MAGUFULI na MAMA NYERERE Achafua HALI ya HEWA, "SLAA Ametoka JALALANI?"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ย. 2020
  • MAKONGORO NYERERE Mbele ya MAGUFULI na MAMA NYERERE Achafua HALI ya HEWA, "SLAA Ametoka JALALANI?"
    Mbio za kampeni Zinaendelea kutimua vumbi katika mikoa mbalimbali nchini ambapo leo Septemba 5, 2020 DKT Magufuli anaendelea na mikutano ya hadhara ambapo amefika Mara kuomba wananchi wampigie kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 253

  • @wilsonmasaindiammasi2779
    @wilsonmasaindiammasi2779 3 ปีที่แล้ว +9

    CCM inavipaji hongera Makongoro hotuba nzuri sana uko makini

  • @daudipeterstephano4460
    @daudipeterstephano4460 3 ปีที่แล้ว +5

    Wewe jamaa shida maisha marefu kwako Makongoro 🙏🙏🙏🙏

  • @yohanamaswizilo3030
    @yohanamaswizilo3030 3 ปีที่แล้ว +11

    🤣🤣🤣🤣🤣Tanzania nhi yangu ni zuri sana

  • @piusinchobe4302
    @piusinchobe4302 3 ปีที่แล้ว +6

    magufuli oyeee naona msoma imetisha unapita kwa kura nyingi sana

  • @yassinm69
    @yassinm69 3 ปีที่แล้ว +7

    Makogoro bestowed the habit and technics of his Lt.father mwalimu Julius nyerere .Magufuli oyeeee

  • @matildamkombachepa4320
    @matildamkombachepa4320 3 ปีที่แล้ว +5

    Hawatusumbui hao mabwenge bwenge, Rais wetu ni Magufuli

  • @fidelmbai3642
    @fidelmbai3642 3 ปีที่แล้ว +4

    Fainali ya Simba na Stera Abdjan ilichezwa tarehe 26.11.1993 na siyo mwaka 1992.
    Safi sana Mzee Makongoro🙏🏼🙏🏼

  • @raphaeltmasu4318
    @raphaeltmasu4318 3 ปีที่แล้ว +7

    Kumbe yanga chadema

  • @sabasnuguna394
    @sabasnuguna394 3 ปีที่แล้ว +4

    ccm oyoooooo magufur no 1

  • @amanibusara3121
    @amanibusara3121 3 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda huyu jamaa ni mcheshi kwelikweli kama rais Nyerere. Mungu abariki familia ya Nyerere.

  • @simonwambura2594
    @simonwambura2594 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mpinzani hatari!!, Nimekubali

  • @alexmpeli3350
    @alexmpeli3350 3 ปีที่แล้ว +4

    Sema wanasiasa wanamaneno meng sanaa lakin kwa utulivu nmeelewa point ni nn na nasema kaongea point nzur sanaa

  • @wazirituppa6739
    @wazirituppa6739 3 ปีที่แล้ว +6

    Hizo Simulizi ya Yanga Na Simba Zinamaana Kubwa Sana

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 ปีที่แล้ว +6

    CCM OYEEEEEEE SAFI SANA

  • @msomiitanga5050
    @msomiitanga5050 3 ปีที่แล้ว +6

    HUJAELEWA VIZURI DISHI LIMEYUMBA

    • @zaidathuman6067
      @zaidathuman6067 3 ปีที่แล้ว

      Tuliza kichwa mkuu hapo kuna fumbo ndani yake

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 3 ปีที่แล้ว +2

    Bega kwa Bega na Magufuli wapinzani subilin kwanza tunaujenzi wetu tunamalizia bila Magu hakuna litakalofanyika. Wapinzan mtaturudisha kwenye bra bra za zamani mtatelekeza miradi yetu

  • @victorsadalah1723
    @victorsadalah1723 3 ปีที่แล้ว +2

    Wajumbe walikuwa sahihi..

  • @efraimjackisonmapambano938
    @efraimjackisonmapambano938 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kaka unasemakweri nimekuelewa.

  • @hassankhalif5147
    @hassankhalif5147 3 ปีที่แล้ว +5

    Magufuli oooye ,ccm oyee ,ccm mambo yote

  • @edwinfernandes8881
    @edwinfernandes8881 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa wapinzani lazima wawepo...makongoro juuu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 ปีที่แล้ว +3

    Unafanana na Baba yetu Nyerere

    • @raphaelsamwel2640
      @raphaelsamwel2640 3 ปีที่แล้ว +1

      Watabaki kutmika hivyo hivyo!!! Ubunge wa East Afrca walikunyima!! Juz tu ubune wa butiama wote wawili wajumbe wakafanya yao!! Sasa leo mmesombwa mpaka na bibi Maria mnamchosha bure!!!
      Mi naamini siku mkienda upinzani nyota zenu zitarejea!! CCM inawahofia!!!!!

    • @emmanuelmashauri8949
      @emmanuelmashauri8949 3 ปีที่แล้ว

      @@raphaelsamwel2640 hawa hata km wakikosa hivyo ulivyovitaja hawana shda na Pesa za madafu wanakula Pesa za nchi mpk wajukuu zao

  • @johnmuyendi7841
    @johnmuyendi7841 3 ปีที่แล้ว +1

    Edelea mbele iko sawa magufuli hoyeeeeee

  • @aggreymsemwa1249
    @aggreymsemwa1249 3 ปีที่แล้ว +12

    Makongoro 😂😂😂Dah Hata Kujal Muda Hamna Kaletewa Kataratasi ya Kwanza Kasoma Kakausha Ikaja tena ya Pili Et Usjal Namaliza Sasa Hiv Nipe Dk 2😂😂😂

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 ปีที่แล้ว +1

      mie nilitamani tuu aendelee kuongea kwa kweli maana dah anaongea kututia moyo

    • @aggreymsemwa1249
      @aggreymsemwa1249 3 ปีที่แล้ว

      @@jedidahbintidaudi8241 😂😂Kwakwel yan

    • @ericklucas7196
      @ericklucas7196 3 ปีที่แล้ว

      Hata kama atapita aache ubaguzi sisi wote ni walipakodi wa tz tunahitaji Kodi zetu zitusaidie sio za ccm

  • @freddymurinde9149
    @freddymurinde9149 3 ปีที่แล้ว +3

    Ukawa iliwashinda leo hii hawa vioja wanaota ndoto tu.makufuli baba leo. Watake wasitake watafundishwa adabu tuu

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 3 ปีที่แล้ว +1

    Ccm Oyeeeeeee 💪

  • @henryxavery1713
    @henryxavery1713 3 ปีที่แล้ว +2

    Big up Makongoro,..

  • @aminamohamed9955
    @aminamohamed9955 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee ww du hongera Kwa misamiati na muongeaji sana

  • @emilmrutu7236
    @emilmrutu7236 3 ปีที่แล้ว

    Hongera mnafanya vizuri

  • @fedelinamahenge6649
    @fedelinamahenge6649 3 ปีที่แล้ว

    Kofia oyee mawani oyee makongolo umenifurahisha sana👍👍👍🙏

  • @mtakatifubony1829
    @mtakatifubony1829 3 ปีที่แล้ว +4

    Ccm baba lao na ni mama lao pia

  • @philipowyinjones9645
    @philipowyinjones9645 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama umemuona Musiba ngonga Like

  • @zaitunissa7007
    @zaitunissa7007 3 ปีที่แล้ว +1

    Ccm ni naipend siku zote za maisha yangu .babu mpaka mjukuu...ccm hoyeeee

  • @masoudkipara5053
    @masoudkipara5053 3 ปีที่แล้ว +8

    Com ina watu wa maana hataki tupu🤣🤣 wapinzan wanaongea namaneno kbaaao alafu wanajibiwa na maneno ma3 tu🤣🤣🤣

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 3 ปีที่แล้ว

      October 28

    • @daudipeterstephano4460
      @daudipeterstephano4460 3 ปีที่แล้ว

      Wacha kabisa jamaa amewapiga kishikaji wakiwa na akili watajielewa walivyovunjwa.

  • @33-synchronized
    @33-synchronized 3 ปีที่แล้ว +2

    Makongoro ni comedian ila anaakili nying ata ka anapata kura 5

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 3 ปีที่แล้ว +6

    Aibu naona mimi☹☹🤨🤨

  • @richshayo4924
    @richshayo4924 3 ปีที่แล้ว +8

    Chidbenz wa Tarime

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 ปีที่แล้ว +3

    Waafrika tutabaki kuwa watumwa hadi kiyama.

  • @hasanikajembe8848
    @hasanikajembe8848 3 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe Simba levo ya lipuli!!!

    • @saidishomary1955
      @saidishomary1955 3 ปีที่แล้ว +1

      Mngefungwa 4 bila km.level ya lipuli

    • @hasanikajembe8848
      @hasanikajembe8848 3 ปีที่แล้ว

      4 za kununua!tungejuaje Kama Morrison asingesema kwamba Kuna mtu wa Simba amempatia kias flan Cha Dolla!hamnajipya mikia!!nguvu ya soda

    • @hasanikajembe8848
      @hasanikajembe8848 3 ปีที่แล้ว +1

      Umesahau kwamba tshishimbi pia alitoa arsist ya goli za Simba!

    • @emmanueljoseph2576
      @emmanueljoseph2576 3 ปีที่แล้ว

      @@hasanikajembe8848 kumbe kikundi chenu kilikuwa kinamtegemea Morison sasa msimu huu mnakula zilezile 5 za Kipindi kile utopolo nyie 4 hazikuwatosha

  • @africanchocolate4216
    @africanchocolate4216 3 ปีที่แล้ว +6

    “TAHADHARI”
    “🥺 Usiku wa ku amkia tarehe 03/09/2020 alhamisi! Nime pokea maono ya unabii;
    Ya kwamba, si muda mrefu kuna enda kutokea tukio la kigaidi Uingereza 🇬🇧!
    Katika tukio hilo, kuna watu fulani ambao wana enda kuteka gari la mtu na kuli tumia katika shambulio la watu na majengo, kisha kuya lipua kwa mabomu baada ya kushindana na mateka watakao taka ku pambana nao ili kuji komboa kutoka mikononi mwa hao watekaji au magaidi!
    Tafadhali 🙏🏾; Kesheni katika toba,sala, na maombi ili mkono wa MWENYEZI MUNGU utu epushe kutokana na uovu unao kusudiwa kufanyika!
    Sifa, Heshima Na Utukufu zim’rudie yeye MUNGU MWENYEZI katika KITI CHAKE CHA ENZI, MILELE YOTE, AMEN 🙏🏾!
    “Shalom 😢””

    • @bigjizee4130
      @bigjizee4130 3 ปีที่แล้ว

      Nitafute 0767488538 tuzungumze juu ya ndoto yako

    • @benokilian8096
      @benokilian8096 3 ปีที่แล้ว

      Mungu ni mwema kila wakati atasimama kama vile alivyokusudia

  • @salimrashidy6926
    @salimrashidy6926 3 ปีที่แล้ว +2

    Ako magu safi sana w ndo tzs

  • @stellamwagil8587
    @stellamwagil8587 3 ปีที่แล้ว

    Son like father

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 3 ปีที่แล้ว +4

    Magufuli juuuuuuuu%%%@ Tunakupenda Sana.

  • @jameskisinga5886
    @jameskisinga5886 3 ปีที่แล้ว +6

    Jamaaa pumba nyingi sana Mzee nyerere atakuwa anajiuliza sana huko nani mrithi wa akili yangu

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 3 ปีที่แล้ว

      hahahahahahahahahah sanaaaaa

  • @ratifahassani2232
    @ratifahassani2232 3 ปีที่แล้ว +6

    Ccm baba laoo

  • @hamismuhile3667
    @hamismuhile3667 3 ปีที่แล้ว

    Uko sawa makongoro

  • @immaculatenjiku1706
    @immaculatenjiku1706 3 ปีที่แล้ว

    Magufuli rais wetu oyeeeeeeeeeeee. Makongoro una matani marefu asante umenichekesha sana

  • @hamicluvanda8464
    @hamicluvanda8464 3 ปีที่แล้ว +4

    Duuuuh! Alichorithi kwa nyerere Ni kucheka TU Yan 😋

    • @magorimagori9264
      @magorimagori9264 3 ปีที่แล้ว

      You look like a comedian but deep down you are the real genius n we are proud of u M.J.N

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow!Makongoro nyerere😁👏

  • @Limbakale260
    @Limbakale260 3 ปีที่แล้ว

    Dah! Haya madogo mazito sana.

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 3 ปีที่แล้ว +1

    Kura za maoni alipata 3.Makongoro mmekwama wapi?????

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 3 ปีที่แล้ว +1

    Magu ametoa silaha za siri za CCM kutoka kwenye Banker leo .

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 3 ปีที่แล้ว

    Wakurya kwa kuuchuna

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 3 ปีที่แล้ว +4

    Eti rungwe anagawa ubwabwa

  • @azizaz1628
    @azizaz1628 3 ปีที่แล้ว

    Makongoro muongog mm yanga nawajua vzr'haaa

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 3 ปีที่แล้ว

    Makongoro Ni Raha sanaaa kumsikia
    Mizaha mingi

  • @timothmziray4709
    @timothmziray4709 3 ปีที่แล้ว

    Baba wa Taifa aliwaacha wanae kwenye hali isiyo nzuriii, Njaa sio nzuri

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 3 ปีที่แล้ว

      Mwenzake mwinyi mwanae anaukwaa uraisi wa Zenji nyerere alizingua sana na itikadi zake za kijamaa

  • @jonathannzagamba5253
    @jonathannzagamba5253 3 ปีที่แล้ว

    Jaman kama nyerere vile kna kasauti fulan kam ka nyerere kwel like father like son

  • @sulubumrambakakorogo9084
    @sulubumrambakakorogo9084 3 ปีที่แล้ว

    Naskia wataweza kweliii @simba

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe huna nini makongoro?

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 3 ปีที่แล้ว +5

    Nyerere family kiukweli ccm imewatenga mnajitutumua tu!!!m

    • @alloycemark5763
      @alloycemark5763 3 ปีที่แล้ว

      Ndio ivo

    • @amanafi1288
      @amanafi1288 3 ปีที่แล้ว

      Haki ya pension iko pale pale mengine hamna wa kumlaum ni kujiongeza tuu...

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      Uongo,,,,mbona hajakaribishwa mama yako hapo mbele!!!!

    • @babymbaga6733
      @babymbaga6733 3 ปีที่แล้ว

      Piga kelele kwa magu wakeeee hapa kazi too

  • @sethwilson4346
    @sethwilson4346 3 ปีที่แล้ว

    Duuuh, ndani ya dak2 namaliza, halslafu anachukua dak20.

  • @annawilliam9276
    @annawilliam9276 3 ปีที่แล้ว +1

    Ana methali Kama baba wa taifa nyerere

  • @allinfoafricannetworks2900
    @allinfoafricannetworks2900 3 ปีที่แล้ว

    NAFIKIRI SEMI HAZILIZISHI KTK HADHARA:
    Bali kwa wenye akili tu.

  • @issamwakalambo4905
    @issamwakalambo4905 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja

  • @josephmemba6503
    @josephmemba6503 3 ปีที่แล้ว +2

    Masikin kangi

  • @thomasnyambibo7062
    @thomasnyambibo7062 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ninoma nikikumbuka ya wasira toka unasoma wasira yupo paka sasa yupo

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Umechafua hali ya hewa Makongorooooooooo wape wape wapeeeeeeeee vidonge vyaoooooooooooooo

    • @nyangehassan902
      @nyangehassan902 3 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa wakati akiwa sec alikuwa Bondia

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 ปีที่แล้ว

    Umesema kweli kabisa.kelele nyingi

  • @veronicamchilo8552
    @veronicamchilo8552 3 ปีที่แล้ว +2

    Watu wamejaaa ila hawana furaha

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 ปีที่แล้ว +4

    Wengine Wote ni wahuni.walaghai wa nchi kama Lisu mwenye uraia wa nchi mbili wakati Tanzania hairuhusu

  • @ananiaamwigavile5826
    @ananiaamwigavile5826 3 ปีที่แล้ว +4

    Kaka ilo jiko la mkaa lisilokumbatiwa tumeisha lijua; juzijuzi walikuwa wanaomba mchango wa kununulia mkaa.

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 3 ปีที่แล้ว

    Sijui, ameeleweka?

  • @petersubeth402
    @petersubeth402 3 ปีที่แล้ว

    Napenda makongoro nyerere awe. Raisi wa awamu ya sita

  • @msomiitanga5050
    @msomiitanga5050 3 ปีที่แล้ว +1

    KABUDI KASEMA MWENYEWE KATOKA MAJALALANI. WW HUJUI?

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa vipi

  • @nelsonchivaula6574
    @nelsonchivaula6574 3 ปีที่แล้ว +1

    Mikogo ya mwalimu kacopy Sana huyu jamaa

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 3 ปีที่แล้ว +1

      Hajacopy kaka hivyo ni vitu vya kijenetiki hata wewe kuna vitu unafanana km sio na baba yako basi mama yako so usishangae makongoro kuongea au kufanya vitu km marehemu baba yake

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 3 ปีที่แล้ว

    Ilikuwa 1988 yanga waliachia 5

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 3 ปีที่แล้ว +4

    Ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeee Magufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeee CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeee

    • @faizaahamd2052
      @faizaahamd2052 3 ปีที่แล้ว +1

      One LOVE CCM juu zaidi

    • @faizaahamd2052
      @faizaahamd2052 3 ปีที่แล้ว +1

      MAGUFULI ameshapita walah hadi raha sana Mm niko nje ya nchi lakin Najisikia furaha sana. Kura yangu kwa Magufuli number 1

  • @artaldmdex8962
    @artaldmdex8962 3 ปีที่แล้ว

    Yes nw I knw why a postor's child can be a robber.

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 3 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nimemuona nyani mzee tu hapo....Wasira.

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 3 ปีที่แล้ว +6

    CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEE Magufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @kennedysuwa5910
    @kennedysuwa5910 3 ปีที่แล้ว +2

    lissu bado mgonjwa

  • @sulekibombwe1367
    @sulekibombwe1367 3 ปีที่แล้ว +1

    naona ujinga tu makongolo wewe kwenu kunanuka njaaa sasaiv ata amkumbukwiiii

  • @malickkasuga4805
    @malickkasuga4805 3 ปีที่แล้ว +1

    Wenye akili tuuu

  • @ismailhassan5662
    @ismailhassan5662 3 ปีที่แล้ว

    Huu ndio uchumi wakati.

  • @zephanialuangwaeliatosha9723
    @zephanialuangwaeliatosha9723 3 ปีที่แล้ว

    Kaz kwel kwel

  • @amanzingena5388
    @amanzingena5388 3 ปีที่แล้ว

    Makongoro ni nouma xn

  • @barakamwamkinga4624
    @barakamwamkinga4624 3 ปีที่แล้ว +1

    Mnafeli wapi watawala?

  • @hojamathias9989
    @hojamathias9989 3 ปีที่แล้ว +1

    Serengeti hatuwakubali ila sisi ni wqjanja kuliko mzaniavyo

    • @maulakaroli8323
      @maulakaroli8323 3 ปีที่แล้ว +1

      Unawashwa tutakukuna kipele.... Magu mbele kwa mbele

    • @cmantz8837
      @cmantz8837 3 ปีที่แล้ว +1

      @@maulakaroli8323 hilo linaonekana halijielewi

  • @bongoyote1151
    @bongoyote1151 3 ปีที่แล้ว

    Mokongoro. Umezeeka. sioni cha maana kwako unampotezea mh muda

  • @nishasalim2880
    @nishasalim2880 3 ปีที่แล้ว

    Watani wa jadi. 🤣👍

  • @awadhlema5859
    @awadhlema5859 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja na maneno mazuri lkn ulichosha.maneno yako tafuta mkutano wako au wa mtu mwingine..mpaka wamekufukuza coz sio mahali pake

  • @charlesjacob1273
    @charlesjacob1273 3 ปีที่แล้ว

    Jalalani kweli

  • @manyerereibrahim6847
    @manyerereibrahim6847 3 ปีที่แล้ว

    Mbona yeye mwenyewe hana ustaarabu

  • @deborahjoseph838
    @deborahjoseph838 3 ปีที่แล้ว

    Gongo sio chai

  • @zaitunissa7007
    @zaitunissa7007 3 ปีที่แล้ว

    Ccm kiboko cha wapinzani ccm inatama

  • @mathewkolobe7798
    @mathewkolobe7798 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona wanaitikia watoto tu

    • @JOHN16verse33
      @JOHN16verse33 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna microphone walipokaa watu

  • @simonwambura2594
    @simonwambura2594 3 ปีที่แล้ว

    Unamwombea kura, au unamdhalilisha?, Inaonekana CCM haiko Moyoni mwako ni aibu tupu!!!

  • @rosemongi5273
    @rosemongi5273 3 ปีที่แล้ว

    Bas makongoro omba kura acha hizo za Simba na yanga.

  • @frankkimboka7491
    @frankkimboka7491 3 ปีที่แล้ว +5

    Mjinga haelewi akielewa show imeisha
    Makongoro nimekuelewa sanaaaaaaa