Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- #SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
Support us through anchor.fm/yahs...
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm
ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
TH-cam Link bit.ly/TH-camS...
Lucas Mhaville ni maalum sana, kwa ki vyovyote vile utakakavyotaka wewe, ki maisha, ki muonekano, ki uelewa na jinsi anavyokua mpya kila siku kwenye ulimwengu wake, jinsi anavyo jipa matawi na kujigawa kisanaa. Jinsi anavyotoa character wapya kila mara kwaajili tu ya kuleta ladha mpya kwenye sanaa yake, hili linamfanya aendelee kuwa mchekeshaji pekee kwenye kizazi chetu ambaye huwezi kuona amechuja au hana jipya kwenye kukufurahisha wewe.
Kabla sijaiandika hii, kipande kidogo cha video kilienda kwenye ukurasa wangu wa Instagram (@ecejay) kwaajili ya kuwafahamisha watu kwamba JOTI atakua ndo mgeni wetu wa usiku wa leo, na kwenye hiyo video nilimuuliza kuhusu kabila lake ambalo kwa mujibu wake ni kabila dogo tu kutoka huko Morogoro na yeye na Baba yake mdogo ambaye ni Polisi ndo watu waarufu zaidi, ila kwa wingi wa replies kutoka kwa watu wengi wa kabila hilo inaonyesha si kabila dogo kama yeye alivyodhani, ila hiyo ni tisa, kumi ni jinsi ambayo watu WANAMPENDA na kusikiliza KILA ANACHOSEMA, hiko ni kipawa tofauti kabisa, sio kila mtu anaweza kuwa na uwezo huo.
Yeye ni mzaliwa wa Morogoro na alikuja Dar es Salaam baada ya mzazi wake mmoja kufariki, alichukuliwa na ndugu yake na kuja kulelewa hapa, amesoma hapa na sanaa yake pia ilianzia hapa alipokua shuleni. Nani alimsukuma? Na je alisoma mpaka daraja lipi? Mimi na yeye pia tunazungumzia umuhimu wa elimu na malezi bora. Maisha yake alipokua mdogo na mafunzo aliyoyapata growing up.
Joti si wa leo, akiwa na miaka yake 38 anajielewa vizuri sana tu. Maongezi yetu pia yalitupeleka kwa uanzishwaji wa kundi la Original Comedy ambalo lilitufanya sote tuwapende sana na enzi hizo za EATV wao wanapokua hewani basi nchi nzima ilikua inasimama kwaajili ya kuangalia walichotuandalia. Yalikua mafanikio haswa! So nini kilitokea mpaka wakaomdoka EATV? Na wao kama kundi kuna lolote kwa sasa? Au kila mtu ndo solo? Na vipi kuhusu Vengu? Yule mwenzao (mwenzetu) ambaye alipata matatizo makubwa ya ki afya na mpaka naandika hii bado yuko kitandani? Shida yake hasa ni nini? Haina tiba?
Humu pia tumeongelea mahusiano yake na Seki, ambaye alikua naye toka enzi za OC akiwa kama kiongozi na mtayarishaji. Mahusiano yake na Mpoki, Masanja ambaye sasa amejikita kwenye masuala ya ki kanisa, Wa Kuvanga na McRegan? Wako wapi? Kama kuna comeback ya kundi? Lini?
Wakati nafanya hii pia nilitiwa elimu na Director wangu wa siku hiyo (Ms Lydia Igarabuza) kwamba, ukitaka kuongea na mchekeshaji, ili upate utakacho, basi usimpe nafasi ya yeye kukuchekesha mpaka ukasahau kilichomleta pale, namshkuru sana kwa hilo maana nadhani ki kawaida kama wana tungecheka zaidi kabla ya kuyasikia yote ambayo tumeongea humu.
Respect nyingi ziende kwa Joti ambaye ameweza ku maintain status yake ya heshima ya juu kwenye kazi yake, na kama binadamu.
Yangu matumaini utaokota mawili matatu hapa ambayo yatazidi kukutia mafuta ya kukufanya utake maendeleo zaidi na heshima kwenye jina lako na maisha yako.
Tafadhali enjoy.
Love,
Salama
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
hii inatufundisha kwamba usione mtu kawa juu ukadhani ikitokea tuu,Fikiria Joti alianza long time kuigiza shuleni.Mungu akiamua hakuna mwanadamu anaweza kuzuia baraka zako.
Joti ameongea uhalisia wa Wasanii wengi Nchini. Wana Majina Makubwa lakini,Maisha yao ni Mabovu Sana! Salama you're a Love❤️!
40 yrs and still young! Masha Allah endelea kujitunza maa 🔥🔥🔥🔥
Sis Salama,40 years looks so good on you hakii....I love you.
Kama alivyosema ktk sherehe za ndugu ndo alikua densa, hata communion yangu ya kwanza alicheza show shekilango 1997.
Studieux Jérôme depuis RDC 🇨🇩✊👌
Dahh...jana nafunguwa tv tu na shoo inakwishaaa nikaona dahh Nimekosa uhondo Thank you Salama Na
wa kwanza jmni naomba like Ata kumi
Aya zile sas
😂😂😂 Yani joti wewe comedy kabsaa mtu akkuangalia lzm acheke kwanza
Yaaan kama kuna mtu nlikuaga nataman kuona kwenye interview ni Joti wanguuuuuuu 😘😘😘,asante sana Salama kwa kufanikisha ndoto yangu🙏🙏🙏
Mimi joti ata akiongea serious bado ananichekesha maana nimejijengea kichwani kwamba ni mzinguaj tuu mda wote🤣
Mwana wa pakaya awije mlogo awije
Yaani hata mm simwelewagi nachekaga tuu
Icho kitabu kinaitwa KILIO CHETU ambacho kamkubwa joti kapatia jina lake apo safi sana kamkubwa
nakukubali miaka yote
Dah aisee tunajifunza mengi kupitia kwako..asante anti salama.
Allaah akubariki sana.
Jamani hebu naombeni like 12 tuu zinanitosha😃
Huyu jamaa kumpata kweny interview kazi sana
Kabisaaaaaa
Mimi nilijua Joti atakuwa funny sana kwenye hii interview lakini yupo serious na funny kwa mbali vipi ww umeonaje
Can’t believe you’re 40🤯.. you’re absolutely gorgeous Masha’Allah Salama!
Jotty unatisha
Dream and focus determine the destiny of a person
Mndamba halisi# Aisee Asante sana ndugu kwa kutubless Brother ....Mwana wa pakaya.
Kutublessed ndo nn iø 😳😳😳🤕🤒🤒
😂😂😂kutublessed
@@selector728 imejipanga kazi
@@ottymaya7093 ed kamejipanga kazi
waliyo ichunguliya shule kama joti maisha yaosafi kaka mm like comments
Kabila letu ni dogo sana ila tumefanikiwa sana ktk kabila Leo,mafaikio gani hayooo,,baba yangu mdogo ni police kijijini kweli joti kiboko
Mungu ametuumba na Vipawa na Talanta....Joti anacho Kipawa na Talanta vinamfuata popote......Aendako
Asante Dada Salama kwa kumleta Joti ! Be blessed all!
Joti nikimuona tu naanza kucheka🤣🤣🤣
😄😄😄😄
😀😀😀😀
Mshukuru Mungu tu hukusoma. Ungesoma leo ungekuwa labda mwalimu na madeni kibao.
Navompenda joti jamn mniacheeee😻😘😘😘😘😘😘
Am your neighbor bro, from Mlimba. Japo sio Mndamba,ila kwa kiasi wandamba nawafahamu na nimeishi nao kwa kiasi kikubwa. Sifa zao; 1: Huwa ni watu wasiopenda kuendeshwa hata kama hawana kitu (kipato cha chini). 2: Ni watu wazungumzaji sana hususan wakikutana wao kwa wao. 3: Ni wagomvi kiasi fulani. 4: Chakula chao pendwa sana huwa ni Wali na Samaki(Kambare).
Abarikiwe shangazi kwa hiyo neema ya kuona mbali na kumchukua Joti
I thank you Salama kwa kutuletea Joti.
Mchekeshaji ninaemkubali zaidi.
Mwalm JJ
Mwalm kiampa
Mwlm namala
Mwlm marijani
Dah mzimun hapo
Undugu km huo haupo tena. Siku hizi ndugu hawapendi kabisa kukaa na ndugu zao
Huyo mwalimu anaitwa JJ ni moto kweli
Lilikuwa lirefuuu jeusiii ana kinundu kwenye kichwaaa
Anapiga bakora anavuta hapa na morogoro kabla haijatua matakoni
Kitabu anazungumzia kinaitwa "KILIO CHETU"
😂😂😂😂
@@anordlaurent8751 Acha tu bro jamaa akikukuta nje muda wa mapumziko anakwambia "kumbatia mti" 😂
😂😂😂😂😂😂😂 hapa na Morogoro 😂😂😂😂😂😂
Ahsante
Da Salama naomba nafasi Bana ya kushare story yangu na Watanzania maisha ya Gulf inaweza ku Inspire baathi ya wanaopitia magumu Huku nchi za Middle countries
Inabidii umcheki dm yake uweze kuwasilisha ulicho nacho
Joti isay uko vizuri na umetupa motisha ya kupambana joti hakuna asie kukubali uko vizuri sanaa iko siku tutaonana
🤣🤣🤣 kwani wee jamaa uwezi kuwa serious
Hii enter view nimeisubr leo meipata mefurah sana joti uko vzr
Natalia likes za watanzania kea mkenya hapab..show imeseti naikubali
Joti niliwah kufanya nae kazi kwenye kazi hacheki huyo mkali sana na yupo Serious sana
My best interview tv session nkipenda coz kinnipa hamasa ya kuhustle zaidi
SALAMA NAKUPENDA SANAA YANI WEWE NI Crush wangu I wish😋
kitabu cha kilio chetu... ukiachana na movie ya Titanic sterling Jack kufa basi na hicho Joti sterling alikufa
Yaan vipindi vyote hiki ndio kipind no 1 tujifunzeeni kwa amabao hatuwezi kusoma congratulion SALAMA na team yake yote BLESSED snaa snaa
So Lovely having Joti, yaani sijamaliza kuaangalia but nimeshaconclude its going to be an amaizing show❤️❤️❤️❤️
Good joti
@@rahabumsalilwa8079 pppppppp0
Ppppp00p
Pppp
@@rahabumsalilwa8079 p
Joti nakukubali mnoo hata komedy zako👍👍👌👌👌
Leo salama utacheka sana🤣🤣🤣🤣🤣😂joti anachekesha😂😂😂😂
Wandaba baba yake mdogo ni police🤣🤣🤣🤣
Salama katengeneza Nywere Kidada zaidi, she look lovely
These two are definitely the most eloquent bongo stars that I would love to meet; Salama and Nishai 🇰🇪 big up.
Salama napenda Sana kipind chako jitahindi nakufanya pia na watu tofauti si wa sanii tu
Truly Special! Nampenda sana Joti. ✌️
Salama na Joti itoshe kusema kipindi kizuri Hasa hiki na cha God luck
nakukubali sana joti
Joti ungesoma ungekuwa boya tuu.Elimu Dunia ndio imekupeleka hapo.
Tupambaneni jamani...maisha sio raisi..tusione watu wamefanikiwa
Kabisaaa hkn kukata tamaa
Mdamba mwengine maarufu ni babake mdogo polisi😂😂
Safi sana salama leo nimefurai sana kumleta joti. Interview mzuri sana nime enjoy sana na kipindi chako.big up joti✌🏼🇹🇿.
Namkubali Sana Jot akiigiza Kama Babu.
Pamoja sana mmetisha salama na joti nawakubali sana
Safi sana Joti. Nimependa hofu yako kwa Mungu. Shikilia hapo hapo
Nimejikuta nacheka tuu baada ya kumuona joti kapiga glass chaaap ya sodaaaa na kushusha ikiwa nyeupe🤣🤣🤣🤣
Wandamba ninao wajua ni Marten Lumbanga alikua katibu mkuu miula 3, butGodan Mapango, Mwonja Liseki, Chahali, Celine Kombani, Kibatala wakili, mbita, Dr Claude Mtemele Muhimbili, wapo wakina Mtega, Makaranga, Mrigi, Liangoo, Mkuni, Mgonga, sagamiko, Luselo, Malulika, kisweka, lyatuu,
matanda, Liganga, Chalongite, Mndanga, Ligambasi, Mtemele, Mtemere, Likweme, Ng'ongolo, njaala, matemla, chidaula, liamwike, mpili, sokole, ngapemba, chigumbi, mbwagai, .mende, ngamesha, likali, mhuvile, kimbindu, ndaala, likwelile, mlimandola, likonoka, saimanga, mkatiela,
Celine kombani sio mndamba kaka
Seems like this country owe u a great debt sis Salama. U pave the matrix of all these new generation journalist's interview way of speaking
Baba angu mdogo ni police😁😁😁
Asante Shangaz yake Joti kutuletea Comedian mjini
Salama mama, Leo umenikosha
The NETWORK you have is your net worth long live joti
Nakuelewa sana joti,mndamba
Me niseme jambo hil nawakubali na ninawapend san #joti and #Salama 😘😘
Eti Baba angu mdogo Polisi!!!🤣🤣🤣🤣🙌
Uyu nichizi waukweli 😂😂
@@mutwalesylvie7443 Joti anazingua kinoma😆
😄😄😄
Ndio mndamba mwenzie Alie maarufu🤣
Jamani naomba mnikumbushe marudio ya hii kipindi
Oh my God, icho kitabu ni kilio chetuu
WANDAMBA GONGA LIKE
Thats the GOAT outchea 🌹
This is real talk ,inajenga Sana well done salama
Wakenya like zenu mpo kweli
Nimekukbar joti mungu akubariki mungu anampenda mja mwenye kutoa shukran
Daaaaah andunje ......asante salama kwa kuleta hii famba
Huyu jamaa ukimwangalia tu Lazima ucheke hata Kama hakuchekeshi
Maskn Joti ametoka mbali sana,maisha ni kupambana hkn kukata tamaa
Dah mwalimu JJ ni legend kafundisha watu wengii dah
Dada salama umetisha na mjomba joti mungu abariki kazi yko..
Salama mzuri jaman... Nampenda hata kama Dada kwangu
😂❤we mama umenifulahisha kunionesha njoti wakati mwafaka yuko na sura ya kiume
Mulete na mzee Senga basi,, kipind kizur sn.
Haya maisha yanabadilika sana
Joti ni mpambanaji
kwa mara y kwanza kumuona Jot yupo serious😄...anaetak dada kiboga aje kuhojiwa gonga like
Jaman kama mnaweza mfanye mpango wa kuadvance original comedy we miss you guys😊
Kitabu cha kilio chetu icho joti 😅😅😅😅😅we umetisha kaka
joti nikimuona tu😂😂😂😂
Hahaha nmelitafuta pengo LA joti mpk nmezoom naxjaliona
Hana
I was literally waiting for this thanks salama
Hata mi nimeipenda hii
Salama Watuboesha kukuona ww na joti kipindi kizima
Angalau joto akitaja watu walete kwa picha kando ya video tuwaone au vitabu anavyotaka vilete sura yake tuone ili show inoge zaidi
I like your voice dada
Shemeji yangu kabisa
Joti Asifwe sanda salauya Joti asifwe sanda Salauya ena Ena ena salauya... #KilioChetu
aaaaah kubaabeki ile grass alivyoifany mungu mweny anajua
Pengo hamna kumbe
Joti 🤣🤣😁
kwan nani hapendwi na Mungu??sema mishe tu zinakua hajizaset
Salama umependeza sana
Nice sana salama
Nakukubali joti na salama
Salama na diamond