UTANI WA MAKONGORO NYERERE BAADA YA JPM KUGAWA TAUSI "KWA MZEE KIKWETE KUNA NGUCHILO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 6 หลายเดือนก่อน

    Lushoto na sie tunasema hivyo hivyo kasoro hatuna bandari mpaka tuje Tanga mjini

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 ปีที่แล้ว

    Mnagawa tausi nchi yakwenu Mimi mtoto wa mkulima mtanigawia lini??hapo ccm nitawachukia mpaka nifee mungu fanya kazi yako kwa ma ccm wote amina

  • @cosrevynewchord2022
    @cosrevynewchord2022 5 หลายเดือนก่อน

    Nimeangalia hii clip mpaka nimetokwa na machozi kuona Rais wetu hatupo nao tena

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 2 ปีที่แล้ว +1

    Maskini kumbe ndio JPM alikuwa anawaaga kiroho. Apumzike kwa amani Dr JPM

  • @danielkwilemba4715
    @danielkwilemba4715 4 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe baba Mzee Mwinyi!

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 4 ปีที่แล้ว +2

    Rais Mwinyi anabusara Sana siku zote

  • @eliyamndeme
    @eliyamndeme ปีที่แล้ว

    Lugha iliyoandikwa ni gani kama English Tena kama kiarabu tunaomba jibu ni lugha Gani

  • @happydionice355
    @happydionice355 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu anachekaga tu kama baba yeke

  • @Ramadhanimsingwa
    @Ramadhanimsingwa 3 ปีที่แล้ว

    Mzee Mwinyi raisi mstaafu mcha Mungu mtu Wa ibada asiye na tamaa mpenda watu Mungu akupe uzee wenye heri nyingi nakupenda kwa mwenendo Wa maisha yako

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 2 ปีที่แล้ว

    amam sikuyamaombii unaihuwa Orr haujiwiii inawezekanaa or ningumuu kwako mumu wataifa Hilo ni ombii sio lazima

  • @Ramadhanimsingwa
    @Ramadhanimsingwa 3 ปีที่แล้ว

    Magufuli yaani atakumbukwa kaacha historia nafarijika Mungu amhifadhi alikuwa mwema kwa watu aliowaongoza Tanzania Mungu ilinde

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 4 ปีที่แล้ว +2

    Wazee wamemkubali JPM

  • @lucassabida789
    @lucassabida789 4 ปีที่แล้ว +3

    All our prayers are on you Mr President and your fellow

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 4 ปีที่แล้ว +1

    Maraisi wastaaafu Bado mko njema mno

  • @YustoChristianMillinga
    @YustoChristianMillinga 11 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa Sana Makongoro nyerere

  • @hamenyimanadanieli3776
    @hamenyimanadanieli3776 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mh raisi wetu kwa kuwaarika wastaafu kwa ajiri ya kuweka jiwe la msngi

  • @lucassabida789
    @lucassabida789 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ambariki sanaaaa mzeee huyu na Marais wenzake, God bless you

  • @innocentjoseph805
    @innocentjoseph805 4 ปีที่แล้ว

    Hivi mwanangu makongolo malizangu anazitunza?

  • @nsibwenekaswaga6267
    @nsibwenekaswaga6267 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Mh.Raisi kukumbuka kugawa tausi, nimeheshimu sana wazo lako. Kwa hili hujatuangusha.

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 4 ปีที่แล้ว

    Mbele Kwa mbele

  • @michaelmakori7324
    @michaelmakori7324 4 ปีที่แล้ว +1

    God bless our Presidents bless our country bless our Africa

  • @raymondkim190
    @raymondkim190 4 ปีที่แล้ว +2

    Strong combined team, tz oyee!!

    • @gibsonabel964
      @gibsonabel964 3 ปีที่แล้ว

      I know Im asking randomly but does any of you know of a tool to get back into an instagram account..?
      I stupidly lost the password. I would appreciate any assistance you can give me.

    • @shaneorion8396
      @shaneorion8396 3 ปีที่แล้ว

      @Gibson Abel instablaster =)

  • @davoo2555
    @davoo2555 4 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa nyoka ni nyoka tu.... hakuna chema hapo ni muendelezo wa madudu tu

    • @menikojohn2782
      @menikojohn2782 4 ปีที่แล้ว +2

      Wewe ndio huna chema wala jema hata kidogo na huitakii hii nchi mema hata kidogo, na mazuri yote ya nchi hii wewe huyaoni, kwako wewe nchi itakuwa nzuri ikiongozwa na upinzani tu rais wako awe Mbowe au Zito basi.