MWANANCHI AKAZA MBELE YA MAKONDA/MIMI MTATA/UNANITISHIA KUNIROGA/SIWEZI KUMRUDISHIA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 144

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 5 หลายเดือนก่อน +10

    Uyo akipata UBUNGE atawanyoosha sana anaonyesha kwenye Ubunge anaitaji mali akipata ataziludisha kwa nguvu zote 😂😂

  • @agnessmwanisenga2388
    @agnessmwanisenga2388 5 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi huyu baba we makonda wewe baba mungu tutunzie huyumtu

  • @ntihaboseadonis8746
    @ntihaboseadonis8746 5 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda nakupendasana wewe una faa kua Rahisi chama chako kiendelee kuongoza🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 4 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa huduma yako. Mungu akutunze kaka,utalipwa Makonda kwa mema yako unayomuwakilisha mama mkiti

  • @DeogratiasSportsandsoccerfacts
    @DeogratiasSportsandsoccerfacts 5 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda kaka yangu duh....unacheza kama pakome
    I pray for u br unatatua mambo magumu sana

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 5 หลายเดือนก่อน +6

    Haya anayofanya Makonda yanadhihirisha hapa nchni kuna kero nyingi dhuluma nyingi sana sasa viongozi wengine wajifunze kwa huyu Makonda warudi huku chini wasaidiane ili kuondoa hizi kelo yaani unajiuliza hivi tuna mahakama kweli je tujiulize haya makero Makonda pekee yake atayamaliza

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 5 หลายเดือนก่อน

      Vipi waluopiga mabillion ya pesa ?
      Haiwezekan wa chini akusanye alafu wajuu apige hapo kuna shida

    • @hssanrubota3891
      @hssanrubota3891 5 หลายเดือนก่อน

      @@magigesabai8674 ndoo hiyo shida tunayoisema hawa wajuu hasamini aliyekua chini wapo tayari kula dawa zawgonjwa pesa za mayatima hali yakuwa wana majumba kila mikoa ajabu sasa hawafikirii siku watapunguzwa kaburini wakauulizwe hayo machafu wanayoifanyia ja watakua na hizo pesa wanazoona ili wawalipe wanaodhumu au hayoajumba watakua nayo humo kaburn

  • @BABAGIFTBOY
    @BABAGIFTBOY 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mm nitampa jina tu MAGUFULI JUNIOR

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 5 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂😂makonda pongezi

  • @BABAGIFTBOY
    @BABAGIFTBOY 5 หลายเดือนก่อน +2

    Very genius man

  • @salimmjungu8745
    @salimmjungu8745 5 หลายเดือนก่อน +3

    Tunahitaji viongozi majasiri kama wewe unanikosha sana Makonda.

  • @spendjulius-qz9mt
    @spendjulius-qz9mt 5 หลายเดือนก่อน

    Tunduma ni giza sana washa tochi washa tochiiiiiiiiiiiii💪🏿🤙🏿🤙🏿🤙🏿🤙🏿

  • @user-rg7tx2cc1l
    @user-rg7tx2cc1l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan makonda🎉🎉

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 5 หลายเดือนก่อน +5

    MAKONDA HOYEEEEEEE! 😂😃

  • @MgeniOmmy
    @MgeniOmmy 5 หลายเดือนก่อน

    Ngoja kwanzaa blue card nnn!! 😂😂😂 Makondaa kaz unayo kk 🙌

  • @abdalahaby3658
    @abdalahaby3658 4 หลายเดือนก่อน +1

    I miss Magufuli nikimuona makonda

  • @efrahimphilipo4337
    @efrahimphilipo4337 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda anafanya kazi nzuri ila hizi kero za ajabuajabu ni kielelezo kuwa systems za kuhudumia wananchi haziko sawa kabisa, tunaitaji maboresho hasa kwenye mahakama zetu

  • @user-bx1bz5xx8d
    @user-bx1bz5xx8d 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmh serikali yenyewe ishaanza kumpinga huyu makonda tumuombee tu uzima mana watu hawachelewi kumtanguliza mtu ahela

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 5 หลายเดือนก่อน +1

    Akika makonda ni mfano wa vijana kazi nzuli

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 5 หลายเดือนก่อน +1

    HIYO NDIO BACK To BACK PIGA NIKUPIGE

  • @user-qc4ms4mq9r
    @user-qc4ms4mq9r 5 หลายเดือนก่อน +1

    Najisikia kulia kila nikisikiliza clip za makonda!! Anyway Mungu naomba utulindie makonda wetu

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wote Wawili ni Matapeli😂😂😂

  • @user-zm7kk1tr5l
    @user-zm7kk1tr5l 5 หลายเดือนก่อน +5

    Wasukuma tuko vizuri kwenye uongozi apa kazi tu wasuma wote tujuwane

    • @richardbenny156
      @richardbenny156 4 หลายเดือนก่อน

      Likambila hili libaguzi. lishaanza kuweka ukabila. Akili maji

  • @Kakabenard_tz
    @Kakabenard_tz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mm sijui kama najua blue card si ya clinic wamama wakae hapa watuelekeze

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 5 หลายเดือนก่อน +2

    MAKONDA WANYOOSHEE 😂

  • @user-th6mr7sq2k
    @user-th6mr7sq2k 4 หลายเดือนก่อน

    Jaman 😮😮😮😮

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 5 หลายเดือนก่อน

    BACK TO BACK PIGA NIKUPIGE 💪😃😃😂

  • @Antelopeaccessories
    @Antelopeaccessories 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂watu wanajuamini safi sana

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda hongera kwa kuisaidia serikali kupitia chama.

  • @user-kd5hw4rq7q
    @user-kd5hw4rq7q 5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😆😆 mzee kajichangnya

  • @Khamishajj763
    @Khamishajj763 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaingia cha kikee😂😂

  • @alecheconradninje6183
    @alecheconradninje6183 5 หลายเดือนก่อน

    Serikali aitakiwi kufanya kampain yyte makonda kamaliza hata wasanii awatakiwi Makonda anatosha mama kuendelea miaka mingine 😂😂

  • @user-nl6pd9mv4q
    @user-nl6pd9mv4q 4 หลายเดือนก่อน

    Haha😂😂😂😂😂😂😂 mi nacheka tu .

  • @officialdinaize
    @officialdinaize 4 หลายเดือนก่อน

    Touch zilivyowashwa ndio kamvuruga kabisa😂

  • @user-ij2lp1om6i
    @user-ij2lp1om6i 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya wasanii sasa

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda utauwa watuuu😂😂😂😂

  • @johnbundala7596
    @johnbundala7596 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tibuni taifa sio matatizo ya mtu mmoja mmoja na imekua kama mtindo mpaka kwa viongoz wakubwa nawaona wakijipitisha kwa mtu mmoja mmoja wachen hizo siasa wasaidieni watu jamani sio kama hamfany kazi lakin n kama hewaa maana Hamna jambo kwanza wee angalia wenye shida na wanaosaidiwa hakuna uwiano kabisa watanzania tuukatae kabisa mfumo huuu n mbaya saaana I tell you na hii itoke kwa Kila mmoja wetu love you all🎉

    • @meshack3266
      @meshack3266 5 หลายเดือนก่อน

      Sasa aya ya mwananchi mmoja mmoja atasikiliza nani iv ungekuwa ndo wewe unazulumiwa naumepata nafasi ya kuelezea kwa mtu unae Amin atakusaidia isonge ongea acha nawe siasa wasipo sikiliza matatizo mnasema wanasikiliza amupendi khaka beeee

  • @user-nk6pl6tu2m
    @user-nk6pl6tu2m 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akulinde ww ni rais makonda wa miaka inayokuja

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa hiyo wewe hapo kuna kazi nzuri inafanyika na Makonda,huoni huo ni usanii?

    • @ahmedsdk6736
      @ahmedsdk6736 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@yassinnabwera4273 Kwa hiyo unataka kutuambia hilo n igizo wamesoma script sio?

  • @amedeuskimario8895
    @amedeuskimario8895 5 หลายเดือนก่อน

    Wazee kama hao wapo kila sehem ata kwetu huku wapo

  • @mohamedimbinga7422
    @mohamedimbinga7422 4 หลายเดือนก่อน

    Wahuni wa zamani

  • @khadijahamisi5561
    @khadijahamisi5561 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂ngoma inogileeeeeee

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂nchi hii

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 5 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmmm Mungu Linda

  • @juliusmalanga7185
    @juliusmalanga7185 5 หลายเดือนก่อน

    Tunduma nye ni mafala mna shida Kila kona maji amna umeme..mnapiga kelele Bila Friday ku Kosa alimu

  • @noelyhaule955
    @noelyhaule955 4 หลายเดือนก่อน

    hiyo kesi ningekua mmi ingenishinda t😂😂😂

  • @user-ml3zf7mw1y
    @user-ml3zf7mw1y 5 หลายเดือนก่อน

    Sio kama anampigia kapeni, insomnia kama hujui kufa kaangalie kaburi, ni maana kwa vile ww huna matatizo ndipo pale unapomuona MAKONDA anacheze, laiti likufika utatamani umuone Makonda

  • @mparestinambaggar8736
    @mparestinambaggar8736 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani makonda haruhusiwi Kua raisi lkn ngoja amalize kwanza mama samia alaf aje makonda mana hii ni mashine ya kazii magufuli mtupuu 😂😂😂

  • @BakariKibauri-qh7gf
    @BakariKibauri-qh7gf 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona tochi mchana😅😅😅

  • @expert5898
    @expert5898 5 หลายเดือนก่อน

    Hahahahaha... makonda kahoji vizuri saaaana.

  • @user-vc9nd6yg7u
    @user-vc9nd6yg7u 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda tunaomba saidia madereva wa malori. Wanapata tabu sana

  • @user-mf4cj2dx7t
    @user-mf4cj2dx7t 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wasaidie wananch makonda

  • @nellywizz9631
    @nellywizz9631 4 หลายเดือนก่อน

    Amn mzee yuko sawa ila anapigwa sabbu kuna ushabiki tu

  • @amanishoo1813
    @amanishoo1813 5 หลายเดือนก่อน

    Ni nashangaa huyu ndg Makonda anauliza maswali muhimu sn mbona wanasheria wetu wanashindwa hizi kesi,ebu wamwache Makonda awasaidie hawa wananchi wao serikali wameshindwa wakae kimya

  • @AlissonJB_77
    @AlissonJB_77 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nilichoona Ni kwamba Makonda anampigia Kampeni Samia ili awe raisi tena Mwaka ujao 😂😂

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 5 หลายเดือนก่อน

      Ndio hivo WAPINZANI wanapigania RUZUKU na kupotosha watu 😢😢😢😢

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 5 หลายเดือนก่อน

      Sasa ulitaka afanyeje wakati ndi mnec kazi yake nini

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@tanzcanmediatv4473MIMI NAONA ANAWAPA WAPINZANI POINT KWA KULE KUONYESHA KWAMBA VIONGOZI WATEULE HAWAWATENDEI HAKI WANANCHI.

  • @user-py9jj5yr9l
    @user-py9jj5yr9l 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kaulizwa mashwali ya kisheria na akaja kweli mwanzo aja pokea ata senti mia mara kapoke amesha jaa uyo

    • @user-kd5hw4rq7q
      @user-kd5hw4rq7q 5 หลายเดือนก่อน

      😆😆😆😆 mzee kajichnganya

  • @JosephAtanazi-hs3gw
    @JosephAtanazi-hs3gw 5 หลายเดือนก่อน

    Du kweli hii ni kampeni

  • @sulemanmati8213
    @sulemanmati8213 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda na kassim majaliw nawakubali sann

  • @ajuayesanga1964
    @ajuayesanga1964 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huo uwanja anao sema aliuza milioni 12000000 niwamtu

  • @evaemil856
    @evaemil856 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani Chadema Chadema

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 5 หลายเดือนก่อน

    Uelewa mdogo mnauziana asset kwa cash kweli bila maandishi

  • @HappinessSawe
    @HappinessSawe 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wote hamna aliyeelewa

  • @abeidjuma7533
    @abeidjuma7533 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂makonda waeche wawili

  • @mohamedabdul9895
    @mohamedabdul9895 4 หลายเดือนก่อน

    Dah huyu makonda balaa sijui kasomea wpi sheria yani akikuhoji hutoboi lazima akushinde

  • @DiorMabaril-qy6yp
    @DiorMabaril-qy6yp หลายเดือนก่อน

    Huyu sianaweza uzisha inch yote akipewa nafasi

  • @ajuayesanga1964
    @ajuayesanga1964 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee nitaperi Sana upande wa viwanja ila kwamtu asiye mjua ataona wanamuonea huyu anaye lalamika alikuwa rafikiyake wa damu kamgeka huyu mzee westoni alamu simwelu kama anakiwanja kuuza maratatu kwa watu tofauti haoni hatari

    • @ClementinaHabineza
      @ClementinaHabineza 5 หลายเดือนก่อน

      Mwizi mukubwa mungu amuwone

    • @albertmarco1882
      @albertmarco1882 5 หลายเดือนก่อน

      Anaonekana. Tapeli

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 4 หลายเดือนก่อน

      Makonda unakazi ngumu sana , Mungu akungoze ,kama Musa alivyo muongeza Musa jangwani,arivyowaongoza Wana waisraeli,wakati wakitoka mikono mwafarao,unakazi ngumu,ila Mungu atakutia nguvu unayaweza mambo yote,,wafripi,4,10.

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda hizo Kesi Zako na Hao Wana Ccm Uyawezi na Utaweza, Yalimshinda Magufuli, Mnacheza na Akili Zetu.

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 5 หลายเดือนก่อน

    Vipi walioiba mabillion ya pesa kwenye ripoti ya CAG wamechukuliwa hatua gani
    Anza na hao ndo uku chini kutakaa sawa sio wao wakusanye mwingine achukue hio sio sawa

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 5 หลายเดือนก่อน

    Kajikanyaga mzee kumbe mil.10 alipokea mweee

  • @nicholasgeho3357
    @nicholasgeho3357 4 หลายเดือนก่อน

    Ata Nape Nnawiye alifanya mazingaombwe kama hayo na mwisho wa siku hakuna jipya lolote

  • @mbaraksalum-of3sv
    @mbaraksalum-of3sv 5 หลายเดือนก่อน +4

    Maigizo yanaendelea. Tunataka Umeme, tunataka bei za bdhaa muhimu zishuke sio hizi shida za mtu mmoja mmoja. Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanafanya nini? Hii sio kazi yako Makonda. Na nyie mlojazana kumsikiliza huyu mtu jiulizeni kule kote alikopita hayo mahitaji niloyataja hapo juu yamepatikana? Bei za Bidhaa muhimu zimeshuka?

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 5 หลายเดือนก่อน

      Umeshawahi kuona watu wanauliza hayo maswali? Kuhusu umeme na bei za bidhaa ni vyema ungeuza wewe watu wakijaaa wewe unaumia nini wacha wenye uhitaji wanufaike na hiyo mikutano kama haikuvutia usisikilize kwani umelazimishwa roho ya korosho ya nini😂😂😂n😂😂😂

    • @mbaraksalum-of3sv
      @mbaraksalum-of3sv 5 หลายเดือนก่อน

      @@taseleli9181 Ndugu mimi si mbinafsi na siku zote sijitizami mimi natizama watu. Hao wanaokwenda na shida zao binafsi ni wabinafsi. Tunasema Maigizo kwa sbb uliofeli ni mfumo wala haikupaswa Makonda aende kufanya kazi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa. Labda nikuulize wewe je wooote waliotoa shida zao hapo zimetatuliwa zote? Je woote walokuja na shida zao hapo wamesikilizwa wote? Je ni wangapi ambao wana shida huko vijijini lakini hawakubahatika kuja hapo kumuona Makonda? Nyie MACHAWA mnapaswa kujua kua kumbe watu wana matatizo kuliko mnavyodhani na mnatakiwa kujua kwamba ni kucorapt kwa Mfumo ndiko kunakotengeneza Matatizo na kuyakuza. Kwa hivo kwa Akili yako wewe ilivo ndogo unaamini Makonda atamaliza matatizo yooote ya Watz kwa staili yake hiyo? Shame on you.

  • @richardnyemba
    @richardnyemba 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mzimu wa Magu

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa Mungu katurudishia mwendazake

  • @johnbkimaro
    @johnbkimaro 5 หลายเดือนก่อน

    Maigizo haya

  • @sigisbertbaragomwa5275
    @sigisbertbaragomwa5275 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda unajikaanga kwa mafuta Yako mwenyewe inaonekana selikali Haina kazi

  • @agnessmwanisenga2388
    @agnessmwanisenga2388 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda makonda mpaka naumwa

    • @user-nd8gg4ig7m
      @user-nd8gg4ig7m 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi kwa sasa nikiingia yutubu natizama makonda tu kwakweli naimani namie ipo siku nitasaidika

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 5 หลายเดือนก่อน

      Utasubri sana tena hii kusimama hadharani ni kutengeneza chuki utambue Makonda hataishi milele

  • @user-bl4fo4ld5i
    @user-bl4fo4ld5i 4 หลายเดือนก่อน

    Safi makonda nakukubali miaka mia

  • @user-em4wp1ct7s
    @user-em4wp1ct7s 4 หลายเดือนก่อน

    Ametumia Hekima Sana

  • @Mwasity
    @Mwasity 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂nyapini

  • @johnbundala7596
    @johnbundala7596 5 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni sissa nyieee jamani kama mnacheza na mindset za watu hivoo guys hatufiki kila Yan Kila mwenye chake achukue mapema.

  • @user-jm6nu3vf8d
    @user-jm6nu3vf8d 4 หลายเดือนก่อน

    Magufuli katika sura mpya chapa kaz kaka

  • @SAIDIMUKSIN-iy2op
    @SAIDIMUKSIN-iy2op 5 หลายเดือนก่อน

    Apo mkweli hajulikan

  • @johnmwawa2838
    @johnmwawa2838 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe Bashite siku hizi ni HAKIMU

  • @SAIDIMUKSIN-iy2op
    @SAIDIMUKSIN-iy2op 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani wakati wanauziana hakukuwa na mashahidi

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 5 หลายเดือนก่อน

      Hujasikia mbele yq watendaji na wenhineo au we we masikio yako yakoje

  • @user-no8xc8qb2b
    @user-no8xc8qb2b 4 หลายเดือนก่อน

    Pambana baba

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka unatisha tapeliiiii

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 5 หลายเดือนก่อน

    Walikua wqnamsema ana vyeti feki kiko wapi? Mbona anaupiva mwingi mpaka ananifanya nipende siasa😂😂😂makonda anajua mpaka anajua tena😂😂😂ni wivu tu walikua wanamuonea huyu ni last bornwa mama samia😂😂😂

    • @gracerichard2817
      @gracerichard2817 5 หลายเดือนก่อน

      Lastborn wa mama samia eti😂😂😂

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 5 หลายเดือนก่อน

    Matapeli yamejificha ccm jamaa wote wanao fanya ugalifu wanamagwanda ya kijani

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 5 หลายเดือนก่อน

    Makubaliano yao walifanya mbele ya ushahidi upi mashahidi ndo watamaliza

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani mashahidi hawakuwepo????

  • @user-ml3zf7mw1y
    @user-ml3zf7mw1y 5 หลายเดือนก่อน

    Ukisema tibu Taifa, swali Taifa ni nini? Taifa ni wananchi je wasisaidie? Habari eti ya UMEME, sukar I nk wengine hawana shida navyo! Wanashida zao tu hilo ulitabue mfano we unataka vocha na mtoto anataka pipi naanapiga kelele dukani

  • @Manyanyatv8551
    @Manyanyatv8551 5 หลายเดือนก่อน

    Jambo tv mnatangaza ushirikina mnazungua.

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 5 หลายเดือนก่อน

    makonda hapo unahangaika bure kasema hajapewa kadi ishu ungesema kalete kadi

  • @HanifaShabani-dr3dq
    @HanifaShabani-dr3dq 4 หลายเดือนก่อน

    Anajichanganya huyo,alipe

  • @godfather-uo9ns
    @godfather-uo9ns 4 หลายเดือนก่อน

    Wahun wazaman hao wazee

  • @funekamole6742
    @funekamole6742 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hii kesi ngumu.

  • @mansixwilliamofficial5496
    @mansixwilliamofficial5496 5 หลายเดือนก่อน

    Kama kesi ipo mahakaman kwañn isiamuliwe mahakaman?huyu makonda naye hamna kitu, kesi ipo mahakaman Sasa unajadiriana nini

    • @mtibahealth
      @mtibahealth 5 หลายเดือนก่อน

      kesi ngap zipo mahakamani na hazifanyiwi, viongozi wanabebwa na mahakama

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama ni hivyo kwanini hayo madai wasipeleke mahakamani

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 5 หลายเดือนก่อน

      SHIDA NI KITU KINACHOITWA RUSHWA!

  • @japhetringo7688
    @japhetringo7688 5 หลายเดือนก่อน

    Ila huyo mzee wanamuonea

    • @adambaton5521
      @adambaton5521 5 หลายเดือนก่อน +2

      Humjui wewe huyo mzee tuulize wenyeji

  • @ibrahimwilliam6410
    @ibrahimwilliam6410 4 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @japhetringo7688
    @japhetringo7688 5 หลายเดือนก่อน

    Uonevu

  • @abisaizablon3805
    @abisaizablon3805 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @SAIDIMUKSIN-iy2op
    @SAIDIMUKSIN-iy2op 5 หลายเดือนก่อน

    Apo makonda unambana huyo mkweli apo hajulikani

    • @user-zv4dg7on2j
      @user-zv4dg7on2j 5 หลายเดือนก่อน +3

      Haujui kupima maneno bhana. Huyo mzee ni tapeli.

    • @allanmoshiro123
      @allanmoshiro123 5 หลายเดือนก่อน +1

      makonda kaamua kuchagua upande