Mijambanzi mikubwa iyo kazi kula hela za wananch wape kamba ngoz baba makonda mungu akupemiaka mia nane isikuuwe minguliwe iyo ht chunya wapo wengi tu baba ailove u poo ulishushwa baba
Yaani Hawa watendaji wa chini wanatuumiza sana sisi wananchi wa kawaida, ardhi kwa wananchi mnachukua wenyewe lakini baadae mwananchi anakuwa mtumwa kwenye nchi yake.
Waajiriwa wote wa Serikali wanavitambi Wanawake kwa Wanaume Nchi zote mitaani shida moja kwa nyingine sababu ya ukosefu wa kutoka kwa waliochachaguliwa
Mama Samia naomba muongezee ulinzi makonda kazi yake nzuri
Hongera sanaaa makonda Kwa kazi nzuri 🌹🌹🌹kazi iendelee
Uthaminishaji wa 2016 tunautaka kahawa ilishakauka mnatuambia umerudiwa kwa kilichopo shambani mnatudhulumu lipeni hela zetu wanyonge
Mijambanzi mikubwa iyo kazi kula hela za wananch wape kamba ngoz baba makonda mungu akupemiaka mia nane isikuuwe minguliwe iyo ht chunya wapo wengi tu baba ailove u poo ulishushwa baba
Ulinzi uongezwe
Cheki msela kajaa kitambi tu cha dhuluma dah noma sana
Kwa MAKONDA mtakoma tu
Huyu ni mevi wa pombeni haelewi kinachongeleka😅😅😅 mimi bado sijamuelewa anababaika😂😂😂😂😂 pombe zipo kichwani
Hahahaha kalewa kweli huyu😂😂😂😂
Makonda unafaa kaka chapa kazi acha baadhi waseme eti wewe sio unawenza sana
Hatuna viongozi tunawapigaji
Wanyooshe Makonda
Rais Samia makonda analindwa namungu,ilanakuomba ukiwa Rais wetu muongezee ulinzi makonda anafanya makubwa,nawananchi tunatakahivyo,utatuziwamambo nihapokwahapo
Kwanini mtu anaye tumikiya wanainchi hawampendi? Kama makondo wanayopenda inchi wanamsaidiya Tanzania itakuwa juu Sana zaidi yayangingine mataifa
Jamaa kashayakanyaga huyu
Safiii sana MAKONDA
Pongezi makonda sijui Kenya itafanya kama ww wananchi wanateseka
Nimecheka sana😂😂😂😂
We need this guy in Kenya 🇰🇪🇰🇪
Uwenao katibu mwenezi,viongozi wengi wanaingiza siasa mpaKa kwenye maisha ya watu.mbane tuu aeleze vizuri.
Mikutano yamakondo tunaifata kwaukaribu na mungu amuwezeshe nikazi kubwa ya kujiripuwa Kama kiongozi
🔥🔥🔥🔥
Nani ameskia mweshimiwa mneki 😂😂😂😂😂
Wizara ya pesa inapokea vitu vya aina hiyo vingi shida inaonekana ufatiliaji ndio shida
Huyo mkurugezi amepiga kenvannt
Ona hayo mafisiem yalivyokuwa na vitambi, Kazi yao kuiba na kula kila hela ya mradi wa maendeleo
Aaaaaaah makonda unawapa moto viongozi
😂😂😂😂 hatar kwel
Magu huyu kaludi mambo ni oya oya
Uwongo mbaya makonda ana pendwa
Yaani Hawa watendaji wa chini wanatuumiza sana sisi wananchi wa kawaida, ardhi kwa wananchi mnachukua wenyewe lakini baadae mwananchi anakuwa mtumwa kwenye nchi yake.
Kama kweli makonda umetumwa tunmtaka aliyekutuma afanye maamuzi sahihi.
Waajiriwa wote wa Serikali wanavitambi Wanawake kwa Wanaume Nchi zote mitaani shida moja kwa nyingine sababu ya ukosefu wa kutoka kwa waliochachaguliwa
Apewe form ya urais pia ulinzi hautosh kwake anahatarisha masisha yake
😂😂😂
Respect
Mh Mwenezi utauaaaaaaaaaaa😂
Mheshimiwa mheshimiwa hiyo hatuitaki uoga tu huo.
Matapelihawa dowanafaka mwanaichi wanaadama niwakufugwatu
Tathmni 2016 watu hawajalipwa fidia mpaka Leo huku kigoma tujiandae kisaikolijia wahanga wa uwanja wa ndege kigoma tuliofanyiwa tathmni mwaka Jana.
Hivi vyeo watu wanavipataje?
😂😂😂
Ukuwa narogo mbaya nainchi yako unatarajiya Nani atapenda inchi yenu,,tunafata kwaukaribu mukutano yama kondo
makonda ache komedy anaelewa kila kitu kuhusu fidia ya hao watu , kwanini anakataa kumruhusu naibu waziri atoe ufafanuzi?
Daaa kamchanganya sana
😅😅
Makond utaua. Watu
😂😂😂😂
Moto huooooo!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Meneja ana maana uyo
Safi sana watumishi wazembe sana
😂😂
😅
Kayakanyaga
Majizi hayo kila siku yanakula pesa za wanyonge