Ushuhuda wa Mganga aliyeokoka | Part-1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
- Tunakukaribisha kwenye ushuhuda mpya,simulizi ya kweli ya kijana ambaye alikuwa mganga wa kienyeji lakinia baadaye akaokoka,katika ushuhuda huu atatueleza mapito yake yote kabla,wakati na baada ya kuokoa.Twende wote
Asante Yesu kwa kuwaita watoto wako hata ambao hawakukujua
Mungu ni Mungu tuu
Asante Baba kwakuiokoa Nafsi hii
Naamin najifunza vingi
Kwa Bwana kila goti litapigwa
I guess Im pretty off topic but do anyone know of a good website to stream newly released series online?
@Bradley Dax lately I have been using Flixzone. Just search on google for it :)
@Mauricio Marvin yup, I have been watching on flixzone for since march myself =)
@Mauricio Marvin Thank you, I signed up and it seems to work :) I really appreciate it !
@Bradley Dax you are welcome :D
Kweli huu ni ushuhuda
Amen,Mungu akubariki
Inakaa ushuhuda zimeisha tzd hamieni Kenya huku ni nyingi Sana maana huu ushuda nimeusikia toka 2018 hivyo ushauri wacheni kujirudia
Umejirudia kivipi?
Polee
Okay, okay... Sasa mizimu inataka tufuge kondoo... I'm subscribing for the next episode
Naamin najifunza vingi
Bitare ninoma.Ila Mungu nmwema.
Jamani Waganga niwaongo mungu pekeyake nimwema
Mungu atabaki kuwa Mungu
amepitia mapito mengi dunia hii ni hatari
Mhh jaman tiba nyingine yaani kama adhabu vile khaa eti ununue sanda mara kunywa damu mbichi uwii nyie waganga mtasema vizuri siku ya mwisho
Hivi wewe jamaa hao waganga na wachawi mbna ni wa kigoma tu 🤔🤔🤔🤔
Ndo office yke ilipo kwaiyo ata ww kama una story atakufata