PART38:TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI AELEZA ALIVYOZIPATA/KILA MWEZI NAUA WATU/NIMEMUOA MAMA YNGU/MSUKULE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 427

  • @jeffmwangemihsc4309
    @jeffmwangemihsc4309 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaah....bakora za mikakati zimeishia hapa?
    Mshikilie Yesu!!

  • @happymarksimwita5244
    @happymarksimwita5244 3 ปีที่แล้ว +23

    Hii story kwa huu mwaka 2021 kwangu mm ni namba moja

    • @wilsonmatunda4937
      @wilsonmatunda4937 3 ปีที่แล้ว

      Ni ya kusisimua sana kwangu mimi Mzee wa Msosi! bado ni namba one!Kuanzia kutoroka Gamboshi, kukamatwa na kurudishwa halafu kutoroka tena, kupata utajiri na hela kuota miguu, jela, ukichaa na mengineyo mengi! Wacha tu, dunia yetu ina mambo sana!

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi Sana broo

  • @marykibwana9413
    @marykibwana9413 2 ปีที่แล้ว

    Kwa story hii Davista Mata nakupa big up.

  • @suzaynnekenyagah1438
    @suzaynnekenyagah1438 2 ปีที่แล้ว

    Eiiiiiiiish Mungu tulinde hii story imeniguza

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 ปีที่แล้ว

    Pole Sana brother

  • @lizrhobi9712
    @lizrhobi9712 3 ปีที่แล้ว

    Kilicho na mwanzo hakikosi mwisho stry nzuri nimejifunza

  • @zakariyamkhandi5713
    @zakariyamkhandi5713 ปีที่แล้ว

    Miongoni mwa story za davista ni hii na Ile ya zablon

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 3 ปีที่แล้ว

    Jaman part 37 mbn haipo au imefutwa

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona sioni 37 jamani au ni simu yangu

  • @kelvindaudi6765
    @kelvindaudi6765 3 ปีที่แล้ว

    Nkweli kaka mungu ni mwema

  • @sifamdaki966
    @sifamdaki966 3 ปีที่แล้ว

    37 uko wapi jmn😭😭

  • @joejason7661
    @joejason7661 3 ปีที่แล้ว

    Davistar, nambari 37 Vipi 🤔

  • @AbdallahKitimla-p9z
    @AbdallahKitimla-p9z 8 หลายเดือนก่อน

    Ni stoli nzulisana

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

      🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @aiyamhassan1321
      @aiyamhassan1321 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 mwenzenu mbn sielewi mali zilipoteaje ya 37 siioni😂😂😂😂😂

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 ปีที่แล้ว

      @@aiyamhassan1321 pole wngu ilitolewa❤❤❤😥😥

  • @sadiqmwafrica6759
    @sadiqmwafrica6759 3 ปีที่แล้ว +1

    Story inaelekea kuisha hapa

  • @semwandambaza2184
    @semwandambaza2184 3 ปีที่แล้ว

    Bado unapenda wanawake wenye uzuri wa kimataifa??,,,,

  • @xiwuyan457
    @xiwuyan457 3 ปีที่แล้ว +8

    Huyu Brother Story yake ni BIG sana..na ina kila ujanja wa ibilisi...imenifunza namna ya kusali kuanzia uchafu kwenye chakula.. usalama usiku..kutogombana na watu ovyo

  • @davidsolomon5240
    @davidsolomon5240 3 ปีที่แล้ว +16

    Mzee wa bakora! History yako ni nzuri Sana! Nimeipenda na imefundisha Mambo ya kiroho, Mungu akubariki Sana pamoja na bro Davista Mata Kwa jina la mfalme mkuu YESU KRISTO.

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @heritier5119
      @heritier5119 3 ปีที่แล้ว

      Tupo na Yesu tunafurahia maisha na utajiri wa halali pasina shaka

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 3 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana ndugu. Hongera kwa kuachana na mambo hayo. Swali. Je, uliweza kujua sababu ya malkia kumwita mkeo ni mtu wao?

  • @msalimsali6989
    @msalimsali6989 3 ปีที่แล้ว +10

    Daah hii story naamn imetufundsha sana mungu ananguvu sana 🙏🙏🙏

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 ปีที่แล้ว +7

    pole sana ndugu
    nmekusikiliza mwanzo mwisho na nmehaıd nikirud tz lazma tuonane ndugu nmeshachukua namba yako ila Riziq yako ıpo tu !
    niandalie kitabu ndugu

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 3 ปีที่แล้ว +15

    SIO SIRI KWA ELIMU NILIOPATA HAPA KWENYE HII STORY NI ZAID YA DEGREE. YAAN ACHA 2 MAISHA NISAFARI NDEFU SANA. NIKUCHANGIE *-DAVISTA-* *-NAKUPENDA SANA-* .. ❤️❤️❤️🙏

  • @Laila-lz4ij
    @Laila-lz4ij 3 ปีที่แล้ว +13

    Huyu kaka alitaka utajiri Wa kuzimu. Akapoteza family yake,,, kweli tu ni degree kubwa tumepata hapa. Shukran Davistar.❤️
    Sijui Hali ya zainat na mama yake mdogo itakuage wakisikia hii simizi 💔💔

    • @kawtharsaleh9229
      @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว +2

      Nikweli me nakihitaji kitabu kutakua mambo mengi hakuyasema

    • @kisurangusa554
      @kisurangusa554 3 ปีที่แล้ว +1

      Haise ila inauma sana kuchezea maisha ya wanadamu kuwatoa kafara,

    • @kawtharsaleh9229
      @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว +3

      @@kisurangusa554 mbaya zaidi kamaliza anafamilia yake afuu alivo sheytwan embu tazama alivo uwa watu alivo uwa ndg zake Nasheytwan alikua bado hajalizika kukataa kumtoa shangazi yake kaharibu kila kitu kosa moja hakumbuki huku nyuma kama washa teketeza binadam wengi

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 ปีที่แล้ว

      @@kawtharsaleh9229 awe karibu na mungu sana. Akijisahau tu ajue atatolewa kafara na malkiya. Mtihani alokuwa nao si mdogo😢
      Bado nawa fikiria wote aliowatoa💔💔💔

    • @kawtharsaleh9229
      @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Laila-lz4ij nikweli huenda hapo anamchora tuuh akijisahau tuuh anamfata

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 ปีที่แล้ว +4

    🤔🤔🤔🤔😭Yaani inasikitisha sana.. Kutoka kwa million sasa hata bajaji Huna shetani mbaya sna.. Wapenda manabii mbadilike kaka ametoa ushauri wa bure.. Niliwashutukia kitambo wote wa bm maziwa.. Wanawaponda waislm pia Leo ukweli davista watu wameujua.. Mara kavaa kanzu baibui maimuna.. Leo wao ndio wapigaji🤣🇮🇳🇮🇳🇮🇳

    • @shizaarfred4059
      @shizaarfred4059 3 ปีที่แล้ว +3

      Yani ww kama mm niliwaambia watu wemekazana wanaomba no BM maziwa ili wapewe huduma ila kwenye mahubiliyake anakwambia msujudie mungu wake nikawa nawaza unamsujudia MUNGU wake unajua ?je ni MUNGU yupi huyo

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 ปีที่แล้ว +1

      Pia kila mgonjwa akipenda pale muislam baada ya kutibiwa anabadiriswa dini😅

    • @hancymachibbula4355
      @hancymachibbula4355 3 ปีที่แล้ว +1

      Jiulize kina Tito wanapata wapi hela? ni watoa kafara ila wameamua kujificha kwa kutangaza neno la Mungu kumbe mafraun wakubwa

  • @shaby988
    @shaby988 3 ปีที่แล้ว +4

    Mze wa mikakati katisha had nimemsahau zabron

    • @rosekingalu4403
      @rosekingalu4403 3 ปีที่แล้ว +1

      Inamaana Hana mkee sasa??

    • @shaby988
      @shaby988 3 ปีที่แล้ว

      @@rosekingalu4403 ndio hana

  • @johnbaraka3743
    @johnbaraka3743 3 ปีที่แล้ว +10

    Ahsante kwa kazi njema Davistar,Mungu akubariki!

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 3 ปีที่แล้ว +7

    Hadi huruma omba Sana MUNGU ni Mwenye huruma atakusamehe na kukufanya kiumbe kipya Kwa jina la yesu maana imeandikwa tutubu na kunyenyekea mbele za MUNGU na tutasamehewa ubarikiwe Sana..

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 ปีที่แล้ว +5

    Haise duniani ni mapito, nimejifunza kitu mtu umekuwa tajiri mpaka umepigika haise pole,

  • @neutrineanzilimi9798
    @neutrineanzilimi9798 3 ปีที่แล้ว +6

    Kwa kweli imekua simulizi ya mafunzo tuna shukuru sana mbarikiwe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว +3

    Matajiri wengi ndio mwenendo wao huo na wafanya biashara wakubwa. Ila ukimuona tajir usimuone kapata .kumbe kapatikana . Mana kabanwa na ushetani

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii stry byeee byee imeenda zake jomon tutakukumbuka mzee baba wabakola zanyuma nambele mmmh
    Kaka davistar nenda kwa mchumba angu zabron au mrudie mfaume bna

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 3 ปีที่แล้ว +6

    Dah!
    Nimejifunza sanaa.
    Mungu akubariki Davis.
    Tun'gan'gane kutafuta maisha tukiwa chini ya uwepo wa Mungu tu.
    Njia za kutaka utajiri kwa ushirikina ni hatari sanaa

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 3 ปีที่แล้ว +6

    Davista Part 37 wapi??

  • @rajabhussein7794
    @rajabhussein7794 3 ปีที่แล้ว +3

    Soma kwa jina la mungu wako,mwalimu lwanda magere nikupe pole Sana ila naomba urudie kazi yako ya kufundisha tuition inalipa Sana ukiweka mipango yako sawa kwasababu hata mimi nilianzia kufundisha tuition na sasa Nina shule yangu na pia usiache kuandika vitabu mungu atakusaidia mdogo wangu

  • @suzansimon5296
    @suzansimon5296 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwakwl hii ctor inamafunzo mengi Sana hasa kwetu sisi wanawake wenye vijitamaa vyakupenda watu wenye hela kumbe wengi wao wanamambo mazito nmeogopa Sana🙆

  • @dyna013
    @dyna013 3 ปีที่แล้ว +4

    Waaa!!! God is great. This story is shocking and a true eye-opener. I have learnt a lot - mostly that I should thank God for His wonderful protection. Thank you Jesus!

  • @shabanikinyenje8168
    @shabanikinyenje8168 3 ปีที่แล้ว +4

    Kaka nimekusoma vema pole sana na matatizo uliyopitia yote ni maisha lakini umetupa somo zuri Sana kwa wale ambao hatumjui Mungu vizuri.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Labda ww ila sisi wakristo tuloamn tukabatzwa na kuokoka tunamjua vzr hatutapotea ktk safari yetu hapa duniani

  • @djmtengwatz1099
    @djmtengwatz1099 3 ปีที่แล้ว +7

    Tutakukumbuka Mzee Wa Bakora Za Kimkakati.....😊

  • @mussajuma3100
    @mussajuma3100 3 ปีที่แล้ว +3

    Du! Maisha km movie yaan from hero to zero

    • @samaboy2592
      @samaboy2592 3 ปีที่แล้ว

      Hahah v8 hadi kwenye baiskel 🤣

    • @dsgroup6093
      @dsgroup6093 3 ปีที่แล้ว +3

      Hapana huyu ametoka zero na sasa ni hero maan alkuwq anapitia mambo mabaya sasa yuko seem salama so amesinda vita yeye ni hero

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 3 ปีที่แล้ว +1

    shetani huwa ni muhuni tu'yaani ww miaka yote hiyo ulikuwa unatwanga maji kwenye kinu viumbe waliolaaniwa hawawezi kufanyika baraka ,wana kazi moja tu kuua."kwa lugha nyepesi wote wenye mali za kipepo ni sawa bure yaani ni maskini wa kiwango cha juu sana.

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 3 ปีที่แล้ว +4

    Davister usisahau kumuuliza kuhusu vitengo alivyokutananavyo kule kuzimu maana alisemaga atatuelezea mbeleni.

  • @victoriangina2203
    @victoriangina2203 3 ปีที่แล้ว +1

    Kila mapito ina sababa naomba huyu ndugu atafute kanisa la kiroho lenye upapanusi muzuri na mafundisho ya ukweli, ndio aelewe kusudi lake. Na ampokee roho mtakatifu. Maana vita bado anazo.

    • @kimsamespa8490
      @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว

      Shida hayo makanisa hayaeleweki sikuhizi anaeza jikuta karudi kwa malkia

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 3 ปีที่แล้ว

      Na kweli makanisa hayaaminiki tunajiendea tu.Ikitokea akaenda kwenye kanisa la nguvu za giza basi atakuwa ameenda na maji

  • @themessengertz1237
    @themessengertz1237 ปีที่แล้ว +1

    Wowww Brother YESU ALIKUPENDA SANAAA, Wewe kunusurika hivi ni wachache sana sana, Nakuomhea Brother Lwanda Magele na Kaka Davistar Your work is more than a Sermon

  • @joycesycherlwy3835
    @joycesycherlwy3835 3 ปีที่แล้ว +10

    Yaani hii clip imenifunza Mambo ambayo ata ningeishi miaka mia kwenye kanisa singeli soma, yaani nimekuwa kiroho kwa kiwango cha juu zaidi ya miaka mingi sana,umenivukisha mbali sana aisee asante sana,nakuombea ulinzi wa malaika wa Mungu Jehovah mfalme wa wafalme,

    • @geraldmakalala6091
      @geraldmakalala6091 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @konstantinomakolo4898
      @konstantinomakolo4898 2 ปีที่แล้ว

      Bakora za kimkakati, histori inatsha Sana inafundsha na inahudhunisha sanaaaa pia but all in all GOD IS GOOD AND GREAT

  • @gilbertybahati1614
    @gilbertybahati1614 3 ปีที่แล้ว +2

    hii stori na ilee ya rashidi alie kua anaiba kwa uchawi zmenifunza na nmegundua kuwa tamaaa aifai kabisa aisee

  • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
    @salmakiyabosiriyamachoziha8756 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole san kwa pia tumejifunza Mengi san .. shetani anaharibu san watu pia taama ya Utajir Mungu tusaidue Utajir wa kutok kwako

  • @julienaturegrowerstv1958
    @julienaturegrowerstv1958 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimejifunza mengi. LAKINI kumkubali Yesu kama kiongozi wa maisha yako pekee, HAITOSHI!
    LAZIMA uvunje maagano (covenants) na madhabahu (altars) zile ulitengeneza ukiwa hio pande nyingine. La SIVYO, hutaweza kunawiri kwa Yesu. PIA USIPO VUNJA maagano na madhabahu, kizao chako LAZIMA Kitalipa kulingana na neno la Mungu (God will visit the iniquities to the third and fourth generation) Hii ni LAZIMA na sio hoja yakua Msabato, Mkatoliki au Mpentekosti. Ni uhusiano wako (relationship) na Mungu. Maombi ya juu juu ya asante Mungu kwa kunilinda na kuniokoa ni ya kwanza tu. LAZIMA upitie ukombozi (deliverance ) ya Maisha yako, hata kama sasa Mungu amekusamehea na uko msafi, uko sawa na haijalishi binadamu mwingine ana fikiria aje. LAKINI usipo vunja hizo, utaishi maisha ya kusumbuka hata kama umeokoka na Yesu ni mkombozi wako.

  • @davidmagita7807
    @davidmagita7807 3 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana ndugu yangu! Nimeumia sana. Mungu atakusaidia sana!

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 3 ปีที่แล้ว +4

    Kila la kheri #MZEEWABAKORA,,,pambana,mrudie Mungu na kumtumikia pia kwake hakuna lisilosameheka,Amen🤝

  • @iadeclementine5604
    @iadeclementine5604 3 ปีที่แล้ว +3

    Nashukuru sana kujua hii channel nimejua vitu vya ajabu ila shetani hana uruma kabisaaa ni muongo tu 🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @lazarojohn8080
    @lazarojohn8080 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwasisi watu wamikoani kukipa kitabu nimeona siraisi

  • @vivicagreco7767
    @vivicagreco7767 หลายเดือนก่อน

    Davstar shikamoo.. nipo TUNDUMA nimesikiliza stori yooooooooote. SWALI? Ivi anachoeleza ni stori ameiandika au ni yamememtokea kweli?

  • @rogermomodesty3568
    @rogermomodesty3568 3 ปีที่แล้ว +2

    Inaumiza Sana,,, kitu ambacho nachukia maishaishani Ni kumwona binadamu nwezangu akipitia maisha ya tabu naumiaga Sana,, japo mi mwenyewe Ni mwangaijaji,,, Mungu akufungulie milango kakangu upate iyo Bajaji haraka sana

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 3 ปีที่แล้ว +4

    Hii story ni namba moja. Ubarikiwe na Bwana Yesu

    • @nelsonnevlin2919
      @nelsonnevlin2919 3 ปีที่แล้ว

      Sure...namba mbili ni ile ya yule dada wa mwanza nayo hatari mnoo namba tatu ya yule mchizi wa mtwara..ndio tatu kali

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 19 วันที่ผ่านมา

    Msimuliaji hajatupa hitimisho zuri kuhusu yule Dada Ashura wa kule Tarime maana alisema ataelezea vizuri baadae.

  • @zulfajohnkilongozi4943
    @zulfajohnkilongozi4943 3 ปีที่แล้ว +3

    Ameoaaa?

  • @nasibubalonzizubusa3449
    @nasibubalonzizubusa3449 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli shetan Hana huruma kabisa Yani kumtolea kafara zote hizo lakini ukikosea kidogo tu anakuadhibu

  • @frankvianey3890
    @frankvianey3890 3 ปีที่แล้ว +3

    Rafik yangu mungu akubarik sana,tumejifunza mambo mengi sana kupitia simuliz yako na tunakushukuru sana kwa ujasir wako wa kuamua kuelezea umma mambo yote uliyowah kuyafanya ili tuweze kujifunza.

    • @eliaschimba5152
      @eliaschimba5152 3 ปีที่แล้ว +1

      God is a God of second chance, mtumikie mungu kwa moyo wako wote

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwangu nimesoma kitu kwamba ganda la ndizi sio zuri

  • @joycekariuki46
    @joycekariuki46 3 ปีที่แล้ว +2

    Very educative story however it's better to trust in Jesus christ and to let God bless us and be our own

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kaka yangu tuwafundishe watoto wetu kumjua Mungu na faida zake tunawajengea imani

  • @mkopofasta1299
    @mkopofasta1299 3 ปีที่แล้ว

    Davistar nimefurahia kazi unayoifanya.Naomba nishauri, usiishie tu kuwashauri watu kumuamini MUNGU.Nashauri uwashauri kumpokea YESU.Ukisema wamwamini MUNGU, Ni MUNGU GANI HUYO? MIUNGU WAKO WENGI SANA.TUWASHAURI WAMWAMINI MUNGU KTK JINA LA YESU

  • @stejasatv7349
    @stejasatv7349 2 ปีที่แล้ว +1

    Story Kali duniani na msabato noma sana

  • @fredyefd8116
    @fredyefd8116 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuu Yani siku ya Leo nimeshinda ndani nimeanza kipande Cha 27 mpaka 38big up sana

  • @ashuraabdulmaalik5319
    @ashuraabdulmaalik5319 ปีที่แล้ว

    Yaani hii story imenumiza sana imwnifanya nimkemee sheytwani kila wakati, Ndugu zangu Sheytwan hawezi kumpenda binadamu hata kidogo ndio maana Mwanyezi Mung kasema tumkemee kila Mara wakati,
    Tazama amepoteza watu wangapi,ukijumlisha ndugu na wapenzi na watoto wako wazuri n a mwisho akataka kukumaliza kabisa ila yy kapata faida

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani hapa hii str over xote mana aft utajiri ukaingia kwaumasikini maisha yakawaidaa loo tumia nguvu xako sio ushirikina

  • @vivicagreco7767
    @vivicagreco7767 หลายเดือนก่อน

    Davstar huyo kaka anaitaji maombi mengi Zaid. Duh.

  • @mosesmulli6633
    @mosesmulli6633 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa hivo vifo vyote kwenye ajali au mauaji yeyote yanasababishwa na shetani.? Na hao watu huenda kwa ibilisi?

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 2 ปีที่แล้ว

    Mwisho amenitowa machozi kweli shetani nimuharibifu😔😔😔so sad azidi kulaaniwa shetani

  • @shalokhan6364
    @shalokhan6364 3 ปีที่แล้ว +1

    See u.gain

  • @zachariamichael3992
    @zachariamichael3992 ปีที่แล้ว

    Aseeee ndo nimeifalita hii story jana na leo jmn aseee nimejifunz kusali kbl ya kula kngn kumjua mungu jmn shetan ni mby sn

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @ryhislamminamuonamsengetu9111
    @ryhislamminamuonamsengetu9111 3 ปีที่แล้ว

    Wa pumbav wa tu wana teseka wao wanataka kwend na mim kunamtu ali niambia unavo sikiliza eti niombe namba ni mtumie nika mjibu ushindwe sikiliza mwenyewe uchukuwe namb usinitie dhambini mie

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 ปีที่แล้ว +3

    Nahisi number moja.. Wapendwa au tumegongana number 1🤣🤣🤣

  • @sheikhabdallahiddi3350
    @sheikhabdallahiddi3350 3 ปีที่แล้ว

    davistar nikweli watu warudi kwa mungu. je kweli watu wanamjua mungu?. je mtu akisema mimi mungu au mtoto wa mungu .au mungu anafanana na hiki au kile.je ni sawa?

  • @julithmsokwa6197
    @julithmsokwa6197 ปีที่แล้ว

    Pole sana kak mejifunza kitu toka mwanzo ad mwisho vijana sisi wa asaiv twaitaji pesa nyingi za halak xomia2 mia2 na tamaa sana

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimefika 👍

  • @Wk_Technologyreview
    @Wk_Technologyreview 3 ปีที่แล้ว +1

    ubarikiwe sana Brother Davista hii story imenifungua mengi sana yan hayahesabiki hat kidogo asante sana msimuliaji
    mm kama kijana nimejifunza mengi kuwa mtu wa maombi na mkiristo kwelikweli, kutokuwa na tamaa, mke wa mtu, uongo, ubishi/ukorofi kwa mtu usiye mjua, uzinzi na mengne mengi asante san nimefutilia hki kisa toka mwanzo hadi mwisho
    tujifunze kwa mifano vitu vya hapa duniani ni mapito tu.🙏

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 3 ปีที่แล้ว

    Davista saidia huyo jamaa aende afanyiwe deliverance ili nyota yake ifunguliwe.

  • @rahaisacl9954
    @rahaisacl9954 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole kaka kila mtu ana mitihani yake kwny maisha ni mungu alitaka tujifunze vingi kupitia ww mungu aendelee kukupigania haezi kukuacha uaibike

  • @samaboy2592
    @samaboy2592 3 ปีที่แล้ว +3

    Namba uno🤣

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 3 ปีที่แล้ว +1

    Shetani hakua na haja na 'Lwanda Magere' kwani keshamalizia family yake yote na kubaki na mzigo mzito wa dhambi kaw kuangamiza nafsi nyingi tu zisizo hatia

  • @amosjblack9614
    @amosjblack9614 3 ปีที่แล้ว +2

    Tuko makini hapa

  • @isayahlesurwa307
    @isayahlesurwa307 2 ปีที่แล้ว

    Kweli nimekuzikiliza mwanzo hadi mwisho Pole sana ,hasara tupu

  • @priscillahkimani2098
    @priscillahkimani2098 2 ปีที่แล้ว

    But imeniumiza familia yote umemaliza sasa umebaki peke yako very sad.

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 ปีที่แล้ว

    Hela ya shetani haiendi bure yafaa nn utajiri wa masharti kwa kuuza roho yako

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 3 ปีที่แล้ว

    Kwa ushauri tu huyu jamaa angetengeneza film kupitia story hii

  • @rosemarry2020
    @rosemarry2020 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wa bakora story yako ni nzuri sana ,ahsante sana kwakutufunza mambo ambayo tulikuwa hatuyafamu mwenyezi mungu akubariki sana,nimechukuwa namba zako nitakutafuta nitahitaji pia kitabu

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 ปีที่แล้ว

      Mimi ningepata tu hiyo dawa ya bakora niwachape wadada

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakweli hawalali sasa wee mkaka siulisha acha kupiga bakola zasana sinjoo unichumbie mimi sasa😂😂

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeona eee

    • @kawtharsaleh9229
      @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว

      @@kalssambaboo9932 nimeona

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 3 ปีที่แล้ว

      @@kawtharsaleh9229 itapendeza

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣hili kaw hil looh utaolewa nawangapi shoga langu wee khaa bado hajapona yupo vile vile nabakola zake utaziweza mmh

    • @kawtharsaleh9229
      @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmamucha4419 😆😆fatma wee hunitakii kher

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 ปีที่แล้ว

    Kati ya story zote ulizowahi kusimulia hii ni kubwa kuliko

  • @mikarubisha3331
    @mikarubisha3331 3 ปีที่แล้ว +2

    Yeah kiukweli hii ilikuwa ni bonge la story yan...lakini Davistar kwa wale wanao kuomba namba za hawa jamaa waliopita njia hizi we wape namba nawao wakajaribu bahati yao ..alafu unakuwa unatengeza watu watakao kuja kutoa story baadae . So we wape connection coz watakuja kusimulia badae.

  • @meenamagreth6362
    @meenamagreth6362 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema sana atakusaidia.

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 ปีที่แล้ว +2

    Ulipata watoto na wale wamama wapangaji? Jipu pls

  • @germainekahambu
    @germainekahambu 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni historia kubwa maisha ni hatari mwanadamu inabidi kujiweka kwa yesu njoo salama hapa duniani iyi ushuhuda inanifunja mengi kabisa

  • @joycesycherlwy3835
    @joycesycherlwy3835 3 ปีที่แล้ว +1

    Nahitaji number ya whatsup

  • @abubakarwadi5773
    @abubakarwadi5773 3 ปีที่แล้ว

    Dah mzeewamikwaju kalosti bora ulivofulia ulikua hatari

  • @margaretwangoi6814
    @margaretwangoi6814 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Lwanda magere law hio story yako imetufunza na kutuelimisha na tututahadhalisha pia May God bless and surround you with his grace na akufiche kutokana na Audi shetani.....imagine bado kuna wengi wanatafuta utajiri wa ibilisi ambao haudumu mwisho akutese kisha akuue ....the devil work is to steal kill and destroy.

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki my brother kwa stori yako nzuri Allah atakulipa lkn kwa uko kwenda yesu ni lman yk

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 ปีที่แล้ว +2

    Eeeh twende naloo

  • @mussajuma3100
    @mussajuma3100 3 ปีที่แล้ว +2

    Du! Final episode huzuni umetanda sana