God forbid. There is no sufferings that will lead me yo the one seek the devil's help in order to get this worldly useless fame, money, and items I can't take with me when I go back home in heaven. I'm a sinner but I love and trust Jesus Christ as the only way to the father. Amen.
Mimi huwa siamini nielekeze sehemu hiyo nikathibitishe nami nikapate cha kusimulia kwani TZ pekee ni nchi inayoshangaa sana hbr ya Philimasonic wakt uingereza USA na nchi za NATO Philimason ni kawaida kwao na wanaalika watu kusherekea sawa na Harusi unavyoalikwa na kadi zao.
Mh! Duniani kuna mambo ya ajabu kweli! Laiti macho yetu ya rohoni yangefunguliwa tukaona jinsi shetani alivo busy na ma agent wake, wanadamu tusingecheza na wokovu, Mungu tusaidie
@@davidamwai2478 apana tena sana, utafauti upo mkubwa, illuminati karafara na damu, Freemason hawana hiyo, hakuna pesa yoyote unayopewa ukijiunga na Freemason, wale husaidiana kwa kuchangiana wenyewe kwa wenyewe moja wao akiwa na tatizo, ni watu tuu wakawida wanao fanya kazi kawada wala hamna utajiri wowote, naongea hivyo nina majirani, marafiki na shemiji yuko Freemason
Unasema umeambiwa uchague jina la kiislam Kwanza Freemanson hawana dini kama dini basi wawe wakristo maana Freemanson asili yake ni wazungu hata Marekani ushawahi kuona wanapga vita ukristo lakn dunia nzima wanajua Marekani hapgi vita dini yoyote isipokuwa uislam tu
Huyu Anaitwa Emanuel Katika Bible Jina Emanuel ni Jina alilopewa yesu likiwa na maan ya 'Mungu Nasi' Hivyo basi Yesu au Emanuel Ni Majina pekee ambayo huogopwa na Lusifa Yaani ukiwa HQ ya freemason pale Posta Mule Ndani Huruhusiwi kusema Neno yesu au Emanuel Koma kabisa, Huyo Agent alimbadili kijanja Sana Ili asisituke, Karibu kufatilia Sana Hata hizi interview ni sijawahi Kuona mtu katoka katika chama cha Lusifa alaf Akawa muislam NEVER, They're Christians May almighty God Bless you in Jesus Name
Mimi niko marekani na wengi wao hata walio weusi huku dini yao uislam huamini angalia wafuasi wa 2pac wako Saudia tunavoongea wanakimbilia huko wanapovunja masharti na kujibadili waislamu
Waliyemtuma aende kule ni nani na alikuwa na akili timamu watu kama hao hatuna muda nao ilikuwa tamaa zao kwanza wamshukuru Mungu ilikuwa inatakiwa wafe maana ilikuwa ni tamaa zao
MWENYEZI MUNGU ATUSAIDIE JAMANI ESPECIALLY SISI VIJANA.. MIMI KIJANA UROHO WA VITU VISIVYO NA MAANA KABISA... MHH😒😪😭😭😭🚮 WE MUST LEARN AND PRACTICE DAILY TO FEAR THE LIVING GOD IN HEAVEN AMEN 🙏🔥🔥🔥🕊️ 2TIMOTHY CHAPTER 4 VERSE 7 GOING ON... I HAVE FIGHT A GOOD FIGHT.. I HAVE FINISHED MY COURSE... THE REST WE LEAVE FOR JESUS CHRIST THE RIGHTEOUS JUDGE TO JUDGE AMEN 🙌💞💞🔥🙏🙏..
Uchawi ni uchawi tu! Iwe ni freemason au africa! Shetani ni yule yule na utendaji ni ule ule! Tatizo nyie mmeharibiwa na elimu ya kidunia kwamba wazungu wamestaarabika kuliko sisi! Tofautisheni ulimwengu wa kiroho na wa mwili!
Huko aliko enda alienda kutafuta pesa za majini kwa waganga wa kienyeji sio freemason bab. Halafu freemason hawatoagi pesa za namna hiyo huwa wanakupa formula ya kukufanya uwe tajiri pili freemason wanahitaji watu wenye ushawishi katika jamii, wafanya biashara au watu wenye vipaji ndio wanakupandikiza nyota ya kukuongezea mvuto. Freemason hawapokei mtu asiye na nyuma wala mbele ndio maana wanaitwa wajenzi huru.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Hata mie nnajiuliza hilo swali maana qitan imekataza hayo yote lakini hawa hawa wakristo na waislamu ndio wachawi.
@@LOGOSNew mimi nazungumza kwa mujibu wa kitabu cha kitukufu cha Quran. Quran tukufu imekataza hayo yote. Ni dini ambayo imekamilika na inafundisha tabia njema. Kama una maswali yoyote uliza nitakujibu ili upate kufahamu.
Sasa hivi wanadamu wengine mnaweza kuelezea Mahali ambayo mtu ametoka ama yeye ajieleze alikotoka na alikuwa akifanya nn huko na kunaitwaaje. Mwenye macho utazama na masikio usikia, mkiachiwa muelezee story ya mtu mimalize mtafunga vinywa,.ingia mtandaoni jielezee yako ukitaka kutuambia jinzi unavyojua.
Asalam Aleikum ni lugha ya kiarabu kumaanisha “amani iwe juu yako” na hujibiwa “Waleikum Salaam” yaani “iwe juu yako pia” Na kwa lugha ya kiebrani salamu hii ni “Shallom Aleichem” ila wengi huifupisha na kusema “Shallom” yaani “amani iwe juu yako” na hujibiwa “Aleichem Shallom” yaani “iwe juu yako pia”. Salamu hizi haizihusiani na ushetani wa mtu.
Wewe pastor nimuongo tena muogope mungu nyinyi pastor mbona hua muna penda kutoa ushuhuda WA uwongo alafu huogopi na umemueka mungu mbele kwazungumzia uwongo mungu ana kuona ww shauriako
Hivi nyie wachimbaji .tatudanganya mpaka lini? Acheni uongo muogopeni mungu uchawi upo lakini kutumia jina free mason ni utapeli. Kwavile WA tz wengi hawajui maana ya neno free mason free ni huru mason ni ujenzi ndugu zangu tusiwe wajinga huu ni utapeli watu wametafuta njia za kutapeli watu , uchawi upo lakini sio free mason
Wewe sheh othmani unamatatizo maana jina lako hulipendi ullilipenda LA watu. Kuna %100 ata dini yako ukiambiwa ubadilishe pia utabadilisha kwa tamaaa yako
EMANUEL ...namuomba ALLAH akupe nguvu na afya uendelee kuongoza watu kataika njia ya sawa wewe ni mtu muhimu sana AMIN AMIN AMIN
Allah mbona ni ibilisi?
Allah siyo Mungu mbona Yesu Kristu ndiye Mungu
Part two please usitugawishe jama anajieleza vizuri kabisa na kukanya watu mungu akubariki kaka
Thanks for sharing this testimony to God be the glory sikujua promover TV iko na mafunzo mengi hivi
Asante kwa kutufunulia siri
Barikiwa na Bwana YESU ALIE HAI ushuhuda mzuri sana
Wazazi tuwape watoto wetu majina mazuri.
No doubt huu ushuhda n kwel kabs,asante kwake Mungu,kaka jack ubarikiwe
Huu ushuuda ni wakujenga sana tuzidi kumtegemea Mungu licha ya mapito atatengeza njia
Mungu akutie nguvu kwakurudi kwenye Nuru ya kweli,Wewe Sasa unatufunza kwamba tusiipende dunia na Fahari yake,Barikiwa Sana hawak u wezi hao Mapepo😅😅😅
Duniani kuna mambo ya ajabu jamani. Mungu Awabariki Promover tv 📺. Jacktan Barikiwa sana
Amen
Amen mtumishi wa mungu unasema ukweli kabisa mungu akakubariki sana sana
Hongera Sana mtumishi ubariki
Wana wa Mungu, duniani mna dhiki lakini nina waambieni mjipe moyo. Tuvumilie kwa safari katika Jina la Bwana Yesu.
Amina
Waah heri kufa maskini nikiwa ndani ya kristo yesu
Kamwe Yesu hawez ruhusu watoto wake tufe maskini hakika yeye n mzur
Jaman mwisho wadunia unakalibia kila MTU ajinusuru kea imani yake🎉🎉❤❤ 25:38
Thank you Jesus
Barikiwa sana kwa ushuhuda
Mungu Hamjaribu mtu yeyote ni tamaa zetu za mwili ndio tunageuka ushuhuda wa BWANA
KWELI KABISA. NA MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI
Duh Mungu atusaidie kwakweli
No English subtitles?
Please help with subtitles or translation
ALLAH AKUBARIKI AMIN
Kahama pana shuhuda za hatarii!! Barikiba mtumishi wa Mungu.
Damu ya yesu inatenda mema asante yesu
Vizur
Nasubiri kwa hamu part 2
Mungu utuponye
😂😂😂 huyu dah!ametumwa kweli na waliomtuma anawajua mwenyewe
Mungu atusaidie
HAMKUJARIBIWA..
BALI MLISHIKWA NA TAMAA MKASHINDWA KUJIZUIA... 🤦😪😭
Amen be blessed,,next Part 2...
YESU ANAOKOA
Waiting for part 2 .....
Hooo my God
Amina
Mungu azidi kukulinda
Hizo sehemu zenye madini ,migodi ya dhahabu in hatari kwa mambo ya Giza! Maana watu wanashindana kimaisha!
Safi tuambie ili na wengine tupone MUNGU zaidi kukupigania,kukutunza,kukulinda na kukuheshimisha
God forbid. There is no sufferings that will lead me yo the one seek the devil's help in order to get this worldly useless fame, money, and items I can't take with me when I go back home in heaven. I'm a sinner but I love and trust Jesus Christ as the only way to the father. Amen.
Yesu ni mweza
Ila waganga washezi sana😀😀😀😀walitaka utembee na miguuu ili wakukomoe shetani aiseee afai..shetani ni baba wa uongo
So.bila kuobewa huwez iacha tu kwa raha zako bora umewapa hela zao.?
Bwana yesu asifiwe sana hata uislam unalaani hicho chama kwa maana ni shetani hao ni wachawi hawezi kutumia msaafu ni kibabu cha mungu
Thengs god
Amn
Hee mpungula nimeikumbuka ukiwa unaelekea Lowa au Wigehe haha long time
Pesa daaaaa
Kaka hadii hukuu upoooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@wigomwenyeflevazake7913 nipo kaka 😀😀😀
@@wigomwenyeflevazake7913 nipo kaka 😀😀😀
Aaah, hizo habari za freemason siziamini. Haya mambo hayapo. Nipelekeni huko nijiunge
BWANA YESU ASIFIWE
Amen
CV Mwa
Naitaji namba yako mtumishi
Na subiri part 2
Bora kufa masikini kuliko kujiunga na hicho chama
Jaman wapendwa nibora ufemaskini kuliko kujiunga uko MUNGU atusaidie SANA
Inakuwaje muweze kutoroka huyu ibiilisi?
thank you jesus
😢😢
Jacktan vp mbona hujamalizia ushuhuda wa anton mbaya?
Mimi huwa siamini nielekeze sehemu hiyo nikathibitishe nami nikapate cha kusimulia kwani TZ pekee ni nchi inayoshangaa sana hbr ya Philimasonic wakt uingereza USA na nchi za NATO Philimason ni kawaida kwao na wanaalika watu kusherekea sawa na Harusi unavyoalikwa na kadi zao.
Mungu akusaidie akupe macho ya rohoni
That water is from mortuary and blood of the dead
Mh! Duniani kuna mambo ya ajabu kweli! Laiti macho yetu ya rohoni yangefunguliwa tukaona jinsi shetani alivo busy na ma agent wake, wanadamu tusingecheza na wokovu, Mungu tusaidie
Nasi hatuko busy hata kidogo,atatuacha kweli??
Hiyo siyo FREEMASON, NI UCHAWI, ILLUMINAT
Zote kitu moja
Illuminati huezi ingia na salary wale kwa hivi vyama ndio waku matajiri
@@davidamwai2478 apana tena sana, utafauti upo mkubwa, illuminati karafara na damu, Freemason hawana hiyo, hakuna pesa yoyote unayopewa ukijiunga na Freemason, wale husaidiana kwa kuchangiana wenyewe kwa wenyewe moja wao akiwa na tatizo, ni watu tuu wakawida wanao fanya kazi kawada wala hamna utajiri wowote, naongea hivyo nina majirani, marafiki na shemiji yuko Freemason
@@emilyotika394 Kwanini wewe hujajiunga? Kwani Kuna tatizo gani?
@@emilyotika394 nenda USA utawajua
Mimi nilikua na Hali hii. Huyu JAMAA atume namba yake
Watoke tu tuko siku za mwisho
Ninaweza sema huyu jamaa anakipaji sana maana uongo anautengeneza unaonekana kama ni ukweli
Pesa inatafutwa kwa njia nyingi sana.
Yan mtu mzm awadanganye ili afaidike na nan km naww unawez kutunga jalibuni na nyie mtuletee story zenu
Unasema umeambiwa uchague jina la kiislam Kwanza Freemanson hawana dini kama dini basi wawe wakristo maana Freemanson asili yake ni wazungu hata Marekani ushawahi kuona wanapga vita ukristo lakn dunia nzima wanajua Marekani hapgi vita dini yoyote isipokuwa uislam tu
Kwani ushawai jiunga nao?
@@moreenwangari3707good question 😊
Huyu Anaitwa Emanuel
Katika Bible Jina Emanuel ni Jina alilopewa yesu likiwa na maan ya 'Mungu Nasi' Hivyo basi Yesu au Emanuel Ni Majina pekee ambayo huogopwa na Lusifa Yaani ukiwa HQ ya freemason pale Posta Mule Ndani Huruhusiwi kusema Neno yesu au Emanuel Koma kabisa, Huyo Agent alimbadili kijanja Sana Ili asisituke, Karibu kufatilia Sana Hata hizi interview ni sijawahi Kuona mtu katoka katika chama cha Lusifa alaf Akawa muislam NEVER, They're Christians
May almighty God Bless you in Jesus Name
Mimi niko marekani na wengi wao hata walio weusi huku dini yao uislam huamini angalia wafuasi wa 2pac wako Saudia tunavoongea wanakimbilia huko wanapovunja masharti na kujibadili waislamu
Aaamina
Ndio SEMA
being a teacher you were not poor ...
Waliyemtuma aende kule ni nani na alikuwa na akili timamu watu kama hao hatuna muda nao ilikuwa tamaa zao kwanza wamshukuru Mungu ilikuwa inatakiwa wafe maana ilikuwa ni tamaa zao
🙏🙏🙏
MWENYEZI MUNGU ATUSAIDIE JAMANI ESPECIALLY SISI VIJANA.. MIMI KIJANA
UROHO WA VITU VISIVYO NA MAANA KABISA... MHH😒😪😭😭😭🚮
WE MUST LEARN AND PRACTICE DAILY TO FEAR THE LIVING GOD IN HEAVEN AMEN 🙏🔥🔥🔥🕊️
2TIMOTHY CHAPTER 4 VERSE 7 GOING ON...
I HAVE FIGHT A GOOD FIGHT.. I HAVE FINISHED MY COURSE... THE REST WE LEAVE FOR JESUS CHRIST THE RIGHTEOUS JUDGE TO JUDGE AMEN 🙌💞💞🔥🙏🙏..
Hao ni uchawi wakiafrika Hakuna ufreemason hapo unafiki mkubwa alafu unaaribu dini ya wenzako
Inaonekana ww ndo kiongozi wa freemason had unajua taratibu zao
It's not my potion
Waongo ao wanashida naela tuu ao acheni kupotosha watu nyie ela tunaIacha hapahapa
Hakuna Free masons Tanzania kuna Chama cha wachawi au washirikina! Hayo majina tuu shetani anachakachua wasishitukie,
Umeona eeh ata masharti Aya yamekaa kiuganga Uganga sio kifreemason
@@winniesalum483 na wewe umewahi kwenda huko?
uchawi wa kiafrika wanachomekeaga freemason
Uchawi ni uchawi tu! Iwe ni freemason au africa! Shetani ni yule yule na utendaji ni ule ule! Tatizo nyie mmeharibiwa na elimu ya kidunia kwamba wazungu wamestaarabika kuliko sisi! Tofautisheni ulimwengu wa kiroho na wa mwili!
My brother ukitaka kujiunga unalazimika kufanya nini?
Hivi watu wanajua maana ya freemason? Au illuminat
Ata ww ni mmoja ya watu jee unajua maana yke???
Wajue wapi wana wapiga mchanga wa macho waafrika wenzao
Freemason hawana utaratibu huo hao ni waganga wa kienyeji. Freemason ni taasisi kubwa
Umewahi kujiunga utupe muongozo kidogo?
@@messimessi7255 kwakweli atusaidie kutueleza inaonyesha anajuwa zaidi kuhusu freemason maana habishi bure. Amcheki jactain basi kwa ushuhuda.
Ni taasisi kubwa kwani ni ya babaako?!
Huko aliko enda alienda kutafuta pesa za majini kwa waganga wa kienyeji sio freemason bab. Halafu freemason hawatoagi pesa za namna hiyo huwa wanakupa formula ya kukufanya uwe tajiri pili freemason wanahitaji watu wenye ushawishi katika jamii, wafanya biashara au watu wenye vipaji ndio wanakupandikiza nyota ya kukuongezea mvuto. Freemason hawapokei mtu asiye na nyuma wala mbele ndio maana wanaitwa wajenzi huru.
@@chuggapjt3782 nyota ya huyu ni uhubiri
Acheni kutoa ushuhuda wa uongo
Hakuna freemason kama wewe
Kwa nini mhusika abatizwe jina la Kiislamu ndio aingie Freemason???
Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Hata mie nnajiuliza hilo swali maana qitan imekataza hayo yote lakini hawa hawa wakristo na waislamu ndio wachawi.
@@ikabako2454 Chunguza kwa undani zaidi!
@@LOGOSNew mie nnaongea nnachokijua. Kuna uislamu na waislamu hali kadhalika ukristo na wakristo. Mashaka na ya watu sio ya dini.
@@LOGOSNew mimi nazungumza kwa mujibu wa kitabu cha kitukufu cha Quran. Quran tukufu imekataza hayo yote. Ni dini ambayo imekamilika na inafundisha tabia njema. Kama una maswali yoyote uliza nitakujibu ili upate kufahamu.
@@ikabako2454 Niko na swali : Dua Albadr ni nini? Si uchawi? Mbona huhusu kuita mapepo yapiganie mtu?
Uyo muongo , bado haja jitowa
mwenyewe uso wake una fanana na mchawi
Wakristo mu muogope Mungu
Drama zenu zimekuwa nyingi,
MAGUMU HAYA NDUGU JACKTAN
Kabisa
Sasa hivi wanadamu wengine mnaweza kuelezea Mahali ambayo mtu ametoka ama yeye ajieleze alikotoka na alikuwa akifanya nn huko na kunaitwaaje. Mwenye macho utazama na masikio usikia, mkiachiwa muelezee story ya mtu mimalize mtafunga vinywa,.ingia mtandaoni jielezee yako ukitaka kutuambia jinzi unavyojua.
Asalam Aleikum ni lugha ya kiarabu kumaanisha “amani iwe juu yako” na hujibiwa “Waleikum Salaam” yaani “iwe juu yako pia”
Na kwa lugha ya kiebrani salamu hii ni “Shallom Aleichem” ila wengi huifupisha na kusema “Shallom” yaani “amani iwe juu yako” na hujibiwa “Aleichem Shallom” yaani “iwe juu yako pia”.
Salamu hizi haizihusiani na ushetani wa mtu.
BARIKIWA Sanaa kwa kutufundisha juu ya it salamu coz itasiadia kuondoa tofaut Kati ya wakrist na waislam
@@marinahonest5759 naam na hivyo ndiyo Yesu alivyokuwa akisalimia. Yesu katika biblia hajawahi kusema bwana asifiwe.
@@ikabako2454 aise kunamambo unayajua unatujuza 🙌🙌
Mbona kuzimu wanaitumia,hiyo salaam
Wewe pastor nimuongo tena muogope mungu nyinyi pastor mbona hua muna penda kutoa ushuhuda WA uwongo alafu huogopi na umemueka mungu mbele kwazungumzia uwongo mungu ana kuona ww shauriako
Wongo
Si lazima kusikiliza
😬
Kakojoe ulale mtoto wa mama huna cha kuongea kwa Wanaume! Acha watu wasimulie maisha walopitia we muulize mama Chakula kipo wapi kafunue ule ulale,
Nina mashaka na wanaokataa.Barikiwa mtumishi tufungue akili na Mungu awabariki sana
Leta wako ukweli
Hivi nyie wachimbaji .tatudanganya mpaka lini? Acheni uongo muogopeni mungu uchawi upo lakini kutumia jina free mason ni utapeli. Kwavile WA tz wengi hawajui maana ya neno free mason free ni huru mason ni ujenzi ndugu zangu tusiwe wajinga huu ni utapeli watu wametafuta njia za kutapeli watu , uchawi upo lakini sio free mason
Pole njoo kwa Yesu ili uijue kweli itakuweka huru
@@ferotial4659 Mnaongopeana sana , Yesu yupo kweli lakin Yesu hapendi UNAFIKI
Wote ni wale wale tu
We ndo hujui kaa kimya
Amina
Amina
Amina
Wewe sheh othmani unamatatizo maana jina lako hulipendi ullilipenda LA watu.
Kuna %100 ata dini yako ukiambiwa ubadilishe pia utabadilisha kwa tamaaa yako