💕JAMANI MUNGU ANAHURUMA 💕MUNGU AKUSAMEHE PIA 💕ASANTE MUNGU KILA SIKU KWA WATU KAMA NYIE YANI WEWE NI MAANA SANA 💕HASA KWENYE ULIUMWENGU WA ROHO 💕❤️❤️MUNGU AWE PAMOJA NAWE
Mimi kilichosababusha niokoke ni hiz shuhuda sababu na mimi nimehangaika na waganga saaana tangu 2014 ad hii 19 lakin nimeamua nimpokee yesu kristu waganga, wachawi na shetani woooote ni walele company moja
Jameni Shetani husumbua tena ni muongo, Sifa na Utukufu ni kwa Mwokozi Yesu tu 😭😭😭☝️🙏🏾🙏🏾
Cha ajabu wanaosikiliza ni wachache ila angekuwa Diamond ungeona watazamaji na wanao like
💕JAMANI MUNGU ANAHURUMA
💕MUNGU AKUSAMEHE PIA
💕ASANTE MUNGU KILA SIKU KWA WATU KAMA NYIE YANI WEWE NI MAANA SANA 💕HASA KWENYE ULIUMWENGU WA ROHO
💕❤️❤️MUNGU AWE PAMOJA NAWE
Yesu ni Bwana.
JESUS is the solution to all our problems,lets believe in Him all the time and all our problems will be solved,
Hakika Mungu anaweza ana upendo wa ajabu yani sijui nimtumikie vip ajue namhitaji wapendwa tusirudi nyuma kabisa
Ushuhuda mzuri ila hizo burudani zinaondoa ladha kusikiliza nyimbo ungeweka sehemu yake inayojitegemea
Doh kijana huyu amepitia makubwa kweli pole sana mmm
Mimi kilichosababusha niokoke ni hiz shuhuda sababu na mimi nimehangaika na waganga saaana tangu 2014 ad hii 19 lakin nimeamua nimpokee yesu kristu waganga, wachawi na shetani woooote ni walele company moja
Wow!Mungu ni mwema,ubarikiwe sana
Amen
Kweli kabisa hujakosea
Lucas Gasper Amen 🙏🏿
Ushuhuda wako mzur
Wimbo mzuri but umeptia changamoto nyingi sana hivyo usirudi nyuma endelea na safari ya kumfuata YESU
Wimbo mzuri sana ila ungewekea sehemu yake,kwa kuwa kwa sasa tunasikiliza shuhuda tunataka kusikia shuhuda.na wimbo uweke separate .ila ni mzuri sana.
Amen
The blood of jesus krist
God is good
Pt3?
coming soon
Yesu ni Wa hatari
Plis nitapataje huu wimbo nimesamehewa dhambi imenibariki sana
Amen