MAJEMEDARI 6 WA SERIKALI YA KUZIMU |SIYO RAHISI KUWAGUSA-SHEHE OMARY MNYESHANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 82

  • @CherieDeDieu
    @CherieDeDieu 10 หลายเดือนก่อน +8

    Ametaja maneno yanayo fanana na aliyotaja Amiel Katekela...in fact alisema Shehe alikuwa mojawapo wa walimu wao kuzimu na anasema kuzimu walisikitika sana Shehe Omary alipookoka. Hawa wakaka wawili wabarikiwe kabisa; wanatoboa ukweli wote ili watu wa Mungu wawe huru. Hallelujah!! Bwana Yesu Kristo atawale milele!

  • @saramichael9059
    @saramichael9059 2 ปีที่แล้ว +5

    Mafundisho mazuri saana haya! Mzid kubarikiwa promover TV pamj na kikundi chote.

  • @myself4128
    @myself4128 5 ปีที่แล้ว +10

    He is telling the truth,
    Nimegoogle baadhi ya majina aisee yamo online,satanachia etc....tena trusted sources ,his testimony sounds so credible

  • @juniorkalinge5861
    @juniorkalinge5861 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa ushuhuda wako kwetu, hee MWENYEZI MUNGU YESU KRISTO AKUBARIKI TU SANA,AMEN&AMEN.

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 ปีที่แล้ว +9

    He is a good speaker. Good teachings brother

  • @sospetermasanja3224
    @sospetermasanja3224 5 ปีที่แล้ว +15

    Huyu jamaa alipata elimu hii akiwa kijana angekuwa Mzee asingeokoka. Mungu akubaliki masomo yako yamenitolea mawazo mabaya kichwani mwangu!!!

  • @patrickombaga6708
    @patrickombaga6708 5 ปีที่แล้ว +8

    kwa kweli nimepata ufahamu mkubwa jinsi ulimwengu wa roho unavyo tesa watu, hasa ukiwa huna mungu wa kweli. NAOMBA NAMBA YA MTUMISHI HUYU. asante sana.

  • @helmashimba7761
    @helmashimba7761 2 ปีที่แล้ว +4

    Tumejengeka 🌿🌼🌼 na anaelezea vizuri

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 5 ปีที่แล้ว +10

    Mungu Baba akuinue zaidi Mtumishi wake ahsante kwa masomo yanayofungua fahamu zetu jina la Yesu Kristo litukuzwe milele na milele Amen.

  • @isayatv4932
    @isayatv4932 3 ปีที่แล้ว +4

    Kweli ya MUNGU ✝️❤️ imefika kwa watu wake, Jina la Yesu Kristo ✝️❤️ linatawala kwa wale wakimbiliao
    Ubarikiwe Daima ✝️❤️
    Mwana wa MUNGU ✝️❤️

  • @Hshshsueue
    @Hshshsueue 5 ปีที่แล้ว +4

    Napenda unavyo aanza kwa mifano mizuri na ndio hunifanya nikusikilize na huwa nabarikiwa sana brother,barikiwa sana na ututembelee huku kwetu 🇰🇪

  • @godwin6325
    @godwin6325 5 ปีที่แล้ว +18

    Huyu brother ana mifano mizuri, anaanza kutoa mifano kabla ya somo husika, fantastic

    • @hardd2497
      @hardd2497 3 ปีที่แล้ว +2

      He's very good in delivery. The Best speaker I've ever seen

    • @beaureed564
      @beaureed564 3 ปีที่แล้ว

      I know im asking the wrong place but does anyone know a way to get back into an instagram account??
      I was dumb forgot the password. I appreciate any tips you can offer me!

  • @patrickombaga6708
    @patrickombaga6708 5 ปีที่แล้ว +7

    ASANTE SANA BWANA JACKTAN. MUNGU AKUBARIKI SANA ,ENDELEA NA KAZI HII ILI WATU WAFUNGULIWE

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akurudishie Utajiri zaidi ya ule wa Kidunia ili usianguke

  • @congoswahilitv6465
    @congoswahilitv6465 5 ปีที่แล้ว +6

    mungu ni mungu ame kufanya tujuwe tusio yajuwa 🇺🇸🇺🇸🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 11 หลายเดือนก่อน +2

    All Glory be to God

  • @Deedee88110
    @Deedee88110 2 ปีที่แล้ว +2

    God Blesses be upon you my brother in Christ Pastor Omary

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie saana

  • @charlesgabriel8941
    @charlesgabriel8941 3 ปีที่แล้ว +8

    Hii ni University ya kipekee ambayo elimu yake haipatikani popote ila katika mafundisho ya kiroho tu. Mwenyenzi Mungu akujalie neema yake akupe umri mrefu tuendelee kupata mafundisho adimu sana.

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 4 ปีที่แล้ว +2

    Bwana Yesu ni mwema saana

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 ปีที่แล้ว +2

    That's my Gwajima, my Tanzanian pastor one of the greatest man of God.

    • @marykibwana9413
      @marykibwana9413 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu sio Gwajima, ila alitoa Ushuhuda kwenye kanisa la Pastor Gwajima.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 10 หลายเดือนก่อน

      Huyo Ni Mnyeshani Omary

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🎉

  • @isayapaul7869
    @isayapaul7869 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa elim hiyo

  • @elgabolingo9045
    @elgabolingo9045 5 ปีที่แล้ว +3

    Umenitiya moyo sana asante

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 5 หลายเดือนก่อน +1

    Haelewani Wenzetu maana wanafikiri Yesu ni mwanadamu wa Kawaida

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 3 ปีที่แล้ว +1

    Poreni sana

  • @chumachadollar5917
    @chumachadollar5917 5 ปีที่แล้ว +3

    Jina la bwana lipewe sifa milele daima

  • @stanleyhenrish1055
    @stanleyhenrish1055 5 ปีที่แล้ว +9

    Huyu mtumishi amenipa mavitu ambayo yamenifungua na sasa nishaanza vita ya kupambana na madudu yaliyopo ktk ulimwengu wa roho

  • @johnolenanga6595
    @johnolenanga6595 5 ปีที่แล้ว +5

    Glory to God.

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ukipanda viwango unapambana uko mbele utapambana na mapepo yenye nguvu zaidi . Ukipanda viwango vya kiroho kimungu unakuwa na Vita kubwa zaidi .Yesu saidia watumishi wako !!

  • @paulmtweve109
    @paulmtweve109 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakika ndio namna ya kupata skili ya kupambana kiroho Yesu yu mwema

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +1

    Wakristo kuiona Mbingu ni Kazi kwa sababu tuko Wavivu,wenzetu Moto wanautumikia kisawasawa Wataingia Kiharali kabisaa

  • @ishmaelndayi7848
    @ishmaelndayi7848 4 ปีที่แล้ว +2

    HABARI YENU MTUMISHI, NAWEZA PATA NUMBER YA SIM YA SHEHE OMARY...ASANTENI

  • @zawadianagabriel9768
    @zawadianagabriel9768 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen!

  • @carolineotara9482
    @carolineotara9482 4 ปีที่แล้ว +1

    Pastor kindly pray for me things are not working for me and my children. Amen

  • @tameemothman8192
    @tameemothman8192 5 ปีที่แล้ว +2

    Ww noma

    • @exupershirima4643
      @exupershirima4643 5 ปีที่แล้ว

      Mtumishi naomba namba yako unapatikana wap

  • @nolascochaule9342
    @nolascochaule9342 ปีที่แล้ว

    Hizi story ni mtambuka Kwa sasa kila mchungaji siku hizi anaelezea kuzimu biblia haisomwi, hii ni mbinu Cha ukiijua biblia hutapotezwa, hili Kwa sasa nawaona wote wanaotoka uislamu wanaleta sana haya masomo hatukuzoea ktk wachungaji wetu Hawa wengi walikuwa waganga

    • @jacobmmanyi8676
      @jacobmmanyi8676 ปีที่แล้ว

      Kama Wewe ni msomaji was Biblia utagundua baadhi ya mapepo aliyo yataja ukisoma wanafanya kazi na Baal Belzebub, Ashtoreth n.k. ambao wameandikwa kwenye Biblia. Usipinge tu vitu bila kuchunguza kama ni kweli katika maandiko. Usifuate mkumbo ndugu Ukristo ni mbio binafsi, kwamba wachungaji was kale hawakusema haya haiondoi Ukweli wa anavho kusema mtu huyu was Mungu.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Tena hiyo story nilishaisikia siku moja aise

  • @cindymacho5282
    @cindymacho5282 5 ปีที่แล้ว +3

    Duuh Khee YESU

  • @matataiboston7667
    @matataiboston7667 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe jaribu kujieshim. Utangaze. Neno LA Mungu acha usani

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +9

      Siku zotee shetani ni mpingaji so wewe ni pepo utaki siri zenu zitoke basi kwa damu ya Yesu pale msalabani nakuamuru toka mala moja.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 หลายเดือนก่อน

      Yaani hapo Anachokiongea kinachokuumiza ni Kipi??

  • @sadickkihaga1265
    @sadickkihaga1265 5 ปีที่แล้ว +4

    Naomba namba za huyo mtumishi plz

  • @gabrieldamian166
    @gabrieldamian166 5 ปีที่แล้ว +2

    Shuda nyingi tunazo zizickia huwa wanasema

  • @deogratiasnzeyimana6569
    @deogratiasnzeyimana6569 3 ปีที่แล้ว

    Bkzm

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 5 ปีที่แล้ว

    Wewe itakuwa shehe ubwabwa.

    • @mchopaluka4319
      @mchopaluka4319 4 ปีที่แล้ว +4

      Kwa hiyo ungetamani aendelee kuwa mchawi???
      Bwana Yesu ashughulike na akusaidie

    • @bazilkisibo5811
      @bazilkisibo5811 4 ปีที่แล้ว +2

      Acha wivu na wewe okoka

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว

      @@bazilkisibo5811 wewe si zimwi kama huyo jamaa

    • @phakundigervas1360
      @phakundigervas1360 3 ปีที่แล้ว +3

      Haji abdalla bwana Yesu akubariki

    • @monicabh1668
      @monicabh1668 3 ปีที่แล้ว +1

      @ haji abdalla okoka umjue yesu upunguze hasira

  • @gabrieldamian166
    @gabrieldamian166 5 ปีที่แล้ว +4

    Wakati unapewa hiyo Elimu walikuogopesha wakakujengea uoga ndani yamoyo wako !ukweli nikwamba jina la YESU nijina kuu kuliko majina makuu nahakuna kinacho shindikana !mbele ya Damu ya yesu +acha kuwapa watu hofu hebu soma neno cyo majina ya mapepo au unawabudu hao majini

    • @raheemamkambha6013
      @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว +5

      Haogopeshi watu ila anazungumza kulingana na maisha alio yaishi awali na uzoefu sasa kaokoka. Ni vyema kumjua Audi wako na silaha zake ili ukiingia vitani ujue pa kupiga. Yuko sahihi

    • @pericyjohn9122
      @pericyjohn9122 5 ปีที่แล้ว +2

      Schola kila mtu ana namna MUNGU anavyomtumia sisi tuzidi tu kumpenda MUNGU na Imani iongezeke ndani yetu tnx

    • @jimmysof3419
      @jimmysof3419 5 ปีที่แล้ว +6

      Ni vyema kusoma Biblia vizuri ukiona MTU anapinga injili inayomuhusu SHETANI na siri zake basi Huyo MTU tayari ashakamatwa na shetani eneo lake LA ufahamu.Yesu siku zote alifunza kuhusu ufalme wa Mungu NA ufalme wa Giza vile ulivyo.Sasa MTU akisema kanisani kusifunzwe kuhusu ufalme wa Giza ifundishwe tu kuhusu ufalme wa Mungu hapo sio sawa KAMWE.Biblia imeelezea vizuri kuhusu ufalme wa Mungu NA WA shetani.Biblia haiongeii tu kuhusu Mungu Bali pia kuhusu shetani.Mungu angetaka tu tujue kuhusu yeye PEKEE Biblia ingeandikwa tu kuhusu Mungu PEKEE.Kupinga injili inayomwanika shetani NA ufalme wake INA maana UNAMTETEA SHETANI ASIFICHULIWE UOVU WAKE!!!

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +3

      @@jimmysof3419 uyo ndo mpinga kristo ila kashashindwa na damu ya Yesu. Siku zotee shetani ni mbishi

    • @charlesjohn5792
      @charlesjohn5792 3 ปีที่แล้ว

      @@jimmysof3419 kabisa