Bwana apewe sifa, kwamajina Naitwa keneth Wilson Naitaji mungu aendelee kunitendea mema maishani mwangu, maana baada ya Kuanza kufuatiria madhabahuu hii naona mkono Wa bwana unatenda ameen
MIMI OMBI LANGU LA KWA MUNGU NAOMBA AKUPE MIAKA MINGI ILI UENDELEE KUTUSAIDIA KUPITIA YESU AMENI 1 MTUMISHI NIOMBEE NILIPWE PESA ZANGU NINAZODAI NAITWA GRACE M8CHAEL MANYENYI AMEN
Amen mtumishi ubarikiwe
Mungu azidi kukupandisha katka viwango vya juu
Naomba msaada w kuppkelewa mgonjwa wangu n kuponywa magonjwa yanayomsumbua
Baba naombauombee mume wangu awezeze kuhamia mbeya unapo gusa wengine usimupite
Mwamposa baba unatubariki bas tu
Bwana apewe sifa, kwamajina
Naitwa keneth Wilson
Naitaji mungu aendelee kunitendea mema maishani mwangu, maana baada ya
Kuanza kufuatiria madhabahuu hii naona mkono
Wa bwana unatenda ameen
Madhabahu ipi? Maana umesema hii... ipi sasa?
Tuache udini siumeona viongozi wadini wote wapo tuangalie imani yetu
Love u my spiritual father
Ubarikiwe sana mutumishi wa mungu
Amna
Asanteee dad❤
MIMI OMBI LANGU LA KWA MUNGU NAOMBA AKUPE MIAKA MINGI ILI UENDELEE KUTUSAIDIA KUPITIA YESU AMENI 1 MTUMISHI NIOMBEE NILIPWE PESA ZANGU NINAZODAI NAITWA GRACE M8CHAEL MANYENYI AMEN
Jambo Hilo uzarendo ninjambo nzuri Sanaa kwa watu wote na kwa taifa letu
Ameeeeeeeeeeen
Ameeeen 🙏 Mtumishi pammoja Sana
hogera Sanaa mtune kwa ushauli mnzuri kwa taifa retu
Powerfully message
Safi sana mtumishi pamoja sana
Mungu akuzidishie Iman mtumish
Mimi mchungaji yakobo kutoka mkoa wa Mara sirari
God helps us to grow.
Nataka jipu shavuni kwangu limepasuke na lipotee ameen
Wewe mwehu tu wewe wenzio biia mwamposa hatuwezi
Naitaji,kuinuliwa kiuchumi, kwanzia Sasa , msingi wa biashara Sina ,Ila naitaji niupate kwa njia lahisi , ameen
Acha ujinga fanya kazi mama
Hawa sio kiongozi yaani Eva mwanamke hana fulsa ya kuongoza.
Kupitia maombi hay naomba kufunguliwa njia ili niwez kupata kodi ya nyumba kwa jina la yesu
Ameeeen,god bless you
Ameni amen mtumishi mwamposa hicho chombo kisimamie na haki pia nchi yetu haki imepokonywa na watu wachache hasta watumishi wa umma
pamoja Sana
Love u Dady
Ubarikiwe
Mutume ubarikiwe
Ameeeeeen Ameeeeen ameeeeeen
Amém
Amén em nome de Jesus Cristo.
Nabii wa uwongo huo nyinyi msimwamini mtumishi wa shetani
Ameeeeeen,Ameeeeen
Naomba kupitia maombi haya nibalikiwe nitolewe Bala namikosi niweze kulipa madeni nakubalikiwa zaidi
AMEEEEEEEEEEEE
Amen
Amenee
Ameen
Hatujapewa Rais na MUNGU hata wewe sio mtumishi wa MUNGU WA KWELI, Acha kupotosha watu.
Kupitia maombi haya naomba kufungua biashara kubwa kwa jina la yesu
Natamani sikumoja uwe raisi UPAKO UZIDI KUENEA
Naitaji kuombewa niwezekulipwa pesa zangu kwa wakati mtume,ameen
Ameeeeeen baba
Amen
Uko vizuri mtumishi Fanya kazi uliyotumwa na Mungu. Ameen.