MAKAMO WA RAISI AMUONYA PASCHAL WIMBO WAKE MPYA KUTAJA MAJINA. AMGOMEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2023
  • #call0688199370 #0766998994 #paschalcassian #

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @gib3888
    @gib3888 ปีที่แล้ว +53

    mtumishi wa mungu usiogope hivo n vitisho baridi kwanza nyimbo zako zime n pariki snaa mungu yupo pamoja nawewe 🙏🙏

    • @mfirimassawe9023
      @mfirimassawe9023 ปีที่แล้ว +1

      Tupe Mandiko yasemayo kuwa mafuta yamesha nguvu au kupitwa na na wakat,mtumish unatafuta Kiki na watumishi wamungu ,utapotea kuwa makini ,huku si

    • @celiahaule9166
      @celiahaule9166 ปีที่แล้ว

      Sema baba wanadamu tupone

    • @lolenvitus8467
      @lolenvitus8467 ปีที่แล้ว

      AMINA 🙏 baba, siku zote msema kweli huchukiwa na walio wakosaji,mungu akulinde mtumishi wa mungu.

  • @jameskija
    @jameskija ปีที่แล้ว +18

    Amina sana tena uwaambie natamani Mungu ukuinue juuu kabisa ulihubili neno la kweli nasi kona kona nakuombea Mungu awe nawe akupiganie akulinde leo kesho hata milele

  • @louisejeanne8306
    @louisejeanne8306 ปีที่แล้ว +56

    Songa mbele baba , Mungu mtetezi wako yupo atakupigania. Yesu alituambia tuwe tayari hata kufa 😢na tunayoambiwa gizani lazima tuyaseme nuruni 🙏🙏🙏 . Makamo wako mkuu ni yesu 💪💪💪

  • @laodikiagiantsingers1027
    @laodikiagiantsingers1027 ปีที่แล้ว +10

    Mungu akutangulieee mtumishiii wa Mungu uendeleeeee kutufudishaa na akuepusheee na rohoo za husdaa

  • @alexseve7720
    @alexseve7720 ปีที่แล้ว +21

    Ubalikiwe sana Mtumishi hiyo Ndiyo kweli Watu wana takiwa Kujua..waziache Njia zao Mbaya..🙏🙏🙏🙏

  • @carolineatieno2875
    @carolineatieno2875 ปีที่แล้ว +11

    Shetani imeingia ndani yao ndo maana wana chuki na wewe the truth must be told, if they dont need the truth then come to kenya we need it especially me i neee to kno God more and i love that song, yenye umesema,WAMBIENI WATU UKUELI i lov it so much, tell them the truth man of God and be blesed.

    • @marthachelagat2702
      @marthachelagat2702 ปีที่แล้ว

      Caroline Atieno tutoe wapi wachungaji kama huyu

  • @thepresidenttobe5481
    @thepresidenttobe5481 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Paschal. Usiogope tuko wengi tulio pamoja nawe. Tutakusapoti kwa kila jambo. Hao ni mawakala wa shetani tu wanaona shida siri zao kufichuliwa

  • @joshuamwamala4795
    @joshuamwamala4795 ปีที่แล้ว +65

    Hii ni sauti ya mtu aliyaye nyikani tutengeneze njia zetu Yesu analudi upes Mungu tusaidie.

    • @chengeson
      @chengeson ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @josebambo1419
      @josebambo1419 ปีที่แล้ว

      Huo wimbo unaitwaje tafadhali

    • @brightergermanus2163
      @brightergermanus2163 ปีที่แล้ว +2

      @@chengeson NI KWELI KABISA MTUMISHI NENO LA MUNGU LINASEMA WAZI KWAMBA MUMEPEWA BURE. TOWENI BURE

    • @brightergermanus2163
      @brightergermanus2163 ปีที่แล้ว +2

      HUYO MAKAMU WA RAIS YUPO KATIKA HEKIMA YA KIDUNIA AMBAYO NI UPUMBAVU MBELE ZA MUNGU

    • @user-zd9hy1yd7c
      @user-zd9hy1yd7c หลายเดือนก่อน

      ​@@josebambo1419mwamposa

  • @johnchalahani6924
    @johnchalahani6924 ปีที่แล้ว +15

    Uko sawa Paschal. wanaopinga ni vipofu wa Neno la Mungu. Endelea kusema kweli ya Mungu

  • @agnesnzala885
    @agnesnzala885 ปีที่แล้ว +7

    I love so so so much Your songs especially the new song very very nice song O love ❤️😍💖❣️💕 it

  • @deborahngoliga
    @deborahngoliga 4 หลายเดือนก่อน +2

    mungu akubariki sana mwinjilisti wangu napenda sana mtu anayezungumza ukweli ili tupone sema babaaa, usiogope vitisho vya mtu yeyote mungu ni mwema, na uponyaji hauuzwii jaman watu tunapotea.

  • @consolatamuga7471
    @consolatamuga7471 ปีที่แล้ว +22

    Mwenyezi Mungu akutangulie akufunike kwa damu ya mwanae mpendwa Yesu Kristo adui asipate nafasi juu yako

    • @leahsanga3777
      @leahsanga3777 ปีที่แล้ว

      Mungu akusaidie baba kaza mwendo endelea na kazi ya bwana hivyo ni vitisho tuu vyakutaka kuharibu kazi ya bwana endelea baba kaza mwendo wala usikate wala kugeuka nyuma na mungu akusaidie kwa jina la yesuuuuuuuuuuuuhuuuuuuuuu

  • @stevendavid8054
    @stevendavid8054 ปีที่แล้ว +27

    Amen Mtumishi wa Mungu,Mungu amekuponya kwa makusudi,sema kweli na Mungu atakubariki,nakupenda Sana,nakumbuka wakati unaumwa tulikuwa tunaongea kupitia sms

    • @josephkashana9846
      @josephkashana9846 ปีที่แล้ว

      Asante mtumishi tunakupata sana mungu akulinde

    • @ryobanchagwa2499
      @ryobanchagwa2499 ปีที่แล้ว

      Nipo Musoma Baba Nakupenda pambana tunakuombea

  • @elishabsfcultivation9517
    @elishabsfcultivation9517 ปีที่แล้ว +4

    Mtumishi wa MUNGU upo sahihi kwa 100% nakupenda sanaa Katika Kristo Yesu, Mimi mwenyewe nimekuwa nikikilashi sana kupitia Facebook hayo mahubiri ya mwamposa, na wengine kama yeye! husiogope MUNGU Yu pamoja naweee! Nyimbo zako zinanibaliki sana nikisikilizaaa

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi ปีที่แล้ว +6

    Kuwaonya hadharani ni halali maana hata wao ramli wanazopigia waumini wao kanisan huwa wanafanya wazi wazi. Big up sana mtumishi Paschal Mungu akujalie neema kubwa uendelee kutia mchanga vitumbua vya hawa wahuni wa mjini wanojiita watumishi.

  • @happynesspaul7553
    @happynesspaul7553 ปีที่แล้ว +8

    Njia ambayo mungu ametumia ni kufikisha ujimbe Kwa njia ya uiambaji. Msitetee uovu

  • @barnabasmboya7688
    @barnabasmboya7688 ปีที่แล้ว +33

    Upo sahihi kabisa Mtumishi wa Mungu. Nakuombea SONGA mbele USIOGOPE vitisho vya wanadamu. Siri za shetani ni lazima zifunuliwe na watu waje kwa Yesu.

    • @azizanyiranzeyimana7073
      @azizanyiranzeyimana7073 ปีที่แล้ว +1

      Pascal ikwaumeitwa na Mungu basi simama kama Paulo kwa waroma walausiwaogope. Kwamaanawoga nimtego,natena ukweli unakata kamakisu kwayule asie mkweli basi simamakama Elia pazasauti. Mpaka Mungu mwenyewe atakaposema inatosha. 🙏 🙏 🙏

    • @edwardnathan6294
      @edwardnathan6294 ปีที่แล้ว

      Uko sahihi mtumishi

    • @marthakibona
      @marthakibona ปีที่แล้ว

      Kweli kabixa

  • @davidjackson448
    @davidjackson448 ปีที่แล้ว +9

    Mungu azidi kukutumia mteule maana hii vita sio yako bali ni ya Mungu na wanao jiinua kukuvunja moyo Mungu atashughulika nao naamini.🙏🙏

  • @juliusjohnii7823
    @juliusjohnii7823 ปีที่แล้ว +17

    🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏 Paschal umejaaa roho mtakatifu,wanaoshindana na roho mtakatifu wa Mungu aliye ndani yako Hao ni mashetani wanataka waendelee kutupoteza, wameshindwa tena wameshindwaaaa katika jina la Yesu, Amen 👏👏👏

  • @simiyukevin6239
    @simiyukevin6239 ปีที่แล้ว +17

    Hapo ndipo mtumishi injili lazima isonge mbele kwa ukweli Mungu akujalie neema Na tunakupenda sana 🙏🙏🙏

    • @solsimaniakanam7843
      @solsimaniakanam7843 ปีที่แล้ว

      Kilamumoja anavitavyake huyuamefikiya hapohakuna wakumuzuiya anapita atafikalevo yengine huyuanaaza yukomahali pangumu ambapo wezakewalipita wanaedambele pole utafikatu nimekujibu kiulimwengu Waroho badouko porini nyikani kamayohana hujamubatiza yesu hizomeseji hungezijibu ungeimbawimbotu ukifatananao utabakihapo kwamabishano nasikiyahuruma ya Mungu ukweli achananao usiwajibu kamawatakuhitaji kweli watakuitaofisini achakuwajibu diowanakulengeza hivyohiyo ombasana mutumishi

    • @stanslauschacha2833
      @stanslauschacha2833 ปีที่แล้ว

      Mungu akupe wigo wa ulinzi

    • @nashonjonas9240
      @nashonjonas9240 ปีที่แล้ว

      Injili ilinza kwa mateso, itaisha kwa mateso tunaomba kwa wanao sema kweli tuko nyuma yako, sisi tunahila kilichondani ya manabii wauwongo, barikiwa baba

  • @fasheamani5395
    @fasheamani5395 ปีที่แล้ว +11

    Mbarikiwa na Paschal nawapenda Bure, mmoja anagonga kwa anjili na mwingine kwa nyimbo, endeleeni tu.

  • @abinelsimon3963
    @abinelsimon3963 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana mtumishi,Mungu wa mbinguni akubaliki,nena maana dunia ilipofika Ni pabaya watumishi hawapendi kuambiwa ukweli,Amani ya Bwana iwe pamoja nawe katika huduma yako!

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 ปีที่แล้ว +3

    Ameeen, mungu akitie nguvu mtumishi wa mungu,maana huu ukweli unaousema lazima wakuchukie aseee sio kwa nondo hizi,,barikiwa sana🙏🙏🙏

  • @mossendoghwe317
    @mossendoghwe317 ปีที่แล้ว +11

    Uko sahihi kabisa, usiyumbishwe tena simamia msimamo wako anaeinuka kupngana na wewe atashindana na kusudi la Mungu na Mungu atashughulika nae!

  • @barakakasamia5036
    @barakakasamia5036 ปีที่แล้ว +12

    Natamani neema kama iyo iwe juyangu Mungu anitumie kama wewe na kuzidi ili ulimwengu ufaamu kuwa wapo watumishi was Mungu wa kweli

  • @sakinarugudukajoshua4921
    @sakinarugudukajoshua4921 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe Tena kwa kufanya kazi ya Mungu kwa ujasiri. Unapo mtumikiya Mungu kwa kweli na haki Unatangaza vita na shetani.
    Wajumbe wa shetani wote watakucukia kwa kweli iliyo ndani mwako.
    Acha Yesu Christo akutete na akuvike nguvu upate kushinda hila za shetani. Mungu akuinuwe kiroho na kimwili pia.

  • @louisejeanne8306
    @louisejeanne8306 ปีที่แล้ว +15

    Hallelujah hallelujah kaka yangu 🙏🙏🙏 hiyo ni Kweli!! Maana jina analolitumia ni la yesu christo unayemuamini, sasa nilazima ulitetee jina la christo lisiendelee kuhaibika kwenye mahuduma zao za mafuta na maji 😢. Kuliko watu walifuate neno ili wapone ki Roho na kimwili, matokeo yake wanafata mafuta na maji 😢

  • @asminmakoha6889
    @asminmakoha6889 ปีที่แล้ว +9

    Mungu akupiganie wanadam hawapendi ukweli washindwe katika jina lamungu wanazaridi

  • @geralddasius3625
    @geralddasius3625 ปีที่แล้ว +13

    Kweli mtumishi wa Mungu wambie wapone maana wanaangamia kwa kukosa maarifa bwana akusaidie sana

  • @funnymohammed1494
    @funnymohammed1494 ปีที่แล้ว +4

    Sikupendi na mungu anajua siku za mwisho kweli acha mungu afanye kazi yake wewe sio hakimu unakela

  • @peninanganzu2883
    @peninanganzu2883 ปีที่แล้ว +6

    Mungu ni pamoja nawe Mimi niko mbali nakuona nakusikiya Jesus's hopefully is above you usiogope kusema ukweli wa Mungu tutakuombea Dunia imefika mwisho jibulangu ni Amen kumbuka poul Amen 🙏

  • @user-dq9bf5qy6n
    @user-dq9bf5qy6n ปีที่แล้ว +18

    Utuzwe sana na bwana Mungu 🙏🙏 uko sahihi kabisa

    • @justermulengeki6970
      @justermulengeki6970 ปีที่แล้ว +1

      Imani ni Nini? Mungu tusaidie tuwaombee.

    • @annaclethankwabho2552
      @annaclethankwabho2552 ปีที่แล้ว +2

      Usiope mtumishi wewe toa ujumbe wa Mungu hata akina Paulo walifungwa ukifungwa atakuwa ameruhusu aliye kutuma neno la MUNGU wanalifanya kimazoea ....Mungu aendelee kukutunza

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 ปีที่แล้ว +16

    Ameeen nimekuelewa San mtumishi ubalikiwe

  • @lazarolawa6747
    @lazarolawa6747 ปีที่แล้ว +5

    Mtumishi wa mungu nskupa pongez kubwa sana kwa kuimba nyimbo zinazo tufungua macho narikiwe sana myumishi nakukubali🙏🙏🙏👏👏👏

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 ปีที่แล้ว +10

    Neno la Mungu ni upanga, usiogope Mtumishi wa Bwana, Mungu yupo pamoja nawe.

  • @margaretambani552
    @margaretambani552 ปีที่แล้ว +25

    Injili iendelee mbele usimupe shetani nafasi God always wil protect u 🙏

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 ปีที่แล้ว +5

    Unatakiwa kuombewa sanasana tuko vitani vita ni kali sana tunaomba Yesu akulinde akufunike akukumbatie akufiche akuatamie ee Yesu mlinde yohana ni sauti ya mtu iliayo nyikani

  • @saidibaraka931
    @saidibaraka931 ปีที่แล้ว +2

    Que Dieu vous bénisse, serviteur de Dieu, vous dites la vérité, c'est pourquoi ils se battent, mais ne vous inquiétez pas de leurs paroles.
    usijali na maneno yao mtumishi wa mungu Paschal Cassian cha msingi tu simama imara na injili ya bwana wetu yesu kristo ubarikiwe sana tu

  • @enockgeorge8336
    @enockgeorge8336 ปีที่แล้ว +6

    Asante sana kaka kwa kuendelea kuisema kweli Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu

  • @happey2878
    @happey2878 ปีที่แล้ว +23

    Dume la yesu toka Tanzania nakupenda sana waambie kweli wanafiki wamemzoea mungu.usiogope passical mungu yu pamoja nawe aliekuepusha ajali alikuwa na makusudi nawe.

    • @martinakapugi1306
      @martinakapugi1306 ปีที่แล้ว +2

      Mungu aendelee kukutumia mtumishi nabarikiwa sana kuna muda napona kupitia tuu nyimbo zako

    • @gloriaaugustino8031
      @gloriaaugustino8031 ปีที่แล้ว +1

      Yesu alisema falme haziwezi kufininiana Musa mwacha awe frmason angewakama fremason ? Mm nitasali Kwa Musa mwacha

    • @piuselias1729
      @piuselias1729 ปีที่แล้ว

      Mungu sio mungu✌

    • @gloriaaugustino8031
      @gloriaaugustino8031 ปีที่แล้ว

      @Jacline David ndio nishachagua

    • @magwalichite3474
      @magwalichite3474 ปีที่แล้ว

      Uko sawa kabisa maana wanaoweza kusema ukweli ni wachache,wewe SEMA na tuko nyuma Yako kwa maombi.Mungu akutie nguvu wala usiogope.soma wafilipi 1:21,27

  • @franckkonkwa2120
    @franckkonkwa2120 ปีที่แล้ว +6

    Jambo mtumishi wa mungu siko mtazania ao siko muimbaji Ila Niko mushabiki Yako kutoka Burundi tafuta mawasuliano mazuri na watu wote

  • @ConscientKavusa
    @ConscientKavusa หลายเดือนก่อน +1

    Muinjilisti wa mahubiri mazuri ya kutengeneza njia ya ujio wa Kristu Yesu, songa mbele. Mungu wa kweli, akuwezeshe na kukushindania. Dunia imeharibika. Waganga wametaka wapitie Jina la Yesu Kristu ili wapate mali ya dunia. Mtumishi Paschal Cassian nakuunga mkono. Mungu atusamehe ku kupungukiwa.

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 ปีที่แล้ว +5

    Daah mwamba wa Bss 2008 Umeupiga mwingi sana madam LITA mungu akupe maisha marefu uwatoe wakina Pascal Wengine Amiina

    • @paskaliasuwi
      @paskaliasuwi ปีที่แล้ว

      🙏🙏

    • @JosamaSamwel-zk7sf
      @JosamaSamwel-zk7sf 7 หลายเดือนก่อน

      Mtumishi wa mungu hayupo awezaye kukunyamazisha,na huyo makam inaonekana na yeye ni mmoja wao, hata ingekuwa ni mim ungenitaja,kwa nini nikosee halafu nikionywa nianze kujifichia kwa viongoziii? Watubu tena watubu

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 ปีที่แล้ว +20

    Songa mbele Mtumishi wa Mungu, hivyo ni vitisho vya shetani kukudhoofisha ili usiseme kile ambacho Mungu amekuagiza useme. Songa mbele Mtumishi wa Mungu, shetani fumba kinywa chako kwa Jina la YESU. AMEEN.

    • @frankdickson1480
      @frankdickson1480 ปีที่แล้ว

      Kaka Usiogope sema kweli MUNGU atakua upande Wako Unanitia Moyo Sanaaaaa

    • @frankdickson1480
      @frankdickson1480 ปีที่แล้ว

      Mimi naitwa Pastor Frank nipo dodoma mjini, Yesu Asidi kukupa Mafunuo

    • @marthamaganga5700
      @marthamaganga5700 ปีที่แล้ว

      MUNGU aturehemu tupate Kuona mambo ya rohoni.🙏

    • @victoriaeliud1218
      @victoriaeliud1218 ปีที่แล้ว

      Amina a wewesongambele

  • @nyemowanyotanjemaudm4360
    @nyemowanyotanjemaudm4360 ปีที่แล้ว +18

    NPO nyuma yako mda mlefu sana,nakuombea kwa MUNGU azid kukulinda ili uzid kuitangaza kweli yake milele,by NYEMO wanyotanjema 🎤🎧🎤

  • @marymnemela2432
    @marymnemela2432 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akutie nguvu simamia kweli, niko pamoja na wewe barikiwa sana

  • @shila9887
    @shila9887 ปีที่แล้ว +37

    Thanks Lord JESUS for this man.

    • @josephkaveya4284
      @josephkaveya4284 ปีที่แล้ว

      Twende kazi baba

    • @sophiaesmarcharo9775
      @sophiaesmarcharo9775 ปีที่แล้ว

      @@josephkaveya4284 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @obedylupenza2519
      @obedylupenza2519 ปีที่แล้ว

      Umeongea ukweli kwa wale wenye akili wataelewa ila kwa wapumbavu wataona unawivu.

  • @ruthmwasomola2004
    @ruthmwasomola2004 ปีที่แล้ว +7

    Mtumishi endelea kusema kweli na mungu azidi kuwa na wewe daima kweli inapo semwa kwa wabaya lazima inajeluhi nyimbo zako zinabaliki sana

  • @judithbett420
    @judithbett420 ปีที่แล้ว +13

    Ni kweli kabisa usipowaambia watu ukweli utahukumiwa. Ni vizuri umesema ukweli na utakuwa Safi mbele ya Mungu. Mungu akuzingire na Malaika wake na akufunuke na damu ya yesu. Atakaye jaribu kukugusa moto ya yesu imuchoma kabisa katika Jina la yesu amen 🙏

  • @annambilinyi3722
    @annambilinyi3722 ปีที่แล้ว +2

    Ufalme wa Mungu,unatekwa na wenye nguvu kama wewe,Damu ya Yesu ikufunike!!Songa mbele usirudi nyuma mtumishi tupo pamoja,tunakuombea!

  • @jumaomutimba7494
    @jumaomutimba7494 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe huo mzuri, na uafikie pia watumishi wengine huku Kenya

  • @amaniupendo1078
    @amaniupendo1078 ปีที่แล้ว +11

    Mungu akuhimarishe.
    C'est un message de lumière. Que le Saint Esprit soit avec toi mon frère

    • @godfreyapolnary5856
      @godfreyapolnary5856 ปีที่แล้ว

      Na Mimi ntakuja na hoja yangu mniambie umeandikiwa wapi mtumishi wa Mungu aitwe Baba maana Mimi toka nisamage biblia huwa naona mtumishi ,mtu wa Mungu,nabii wa bwana ,mtume ,mwinjilisti ,mwalimu,mchungaji ,na askofu Mara moja ndani ya biblia lakini ili Jina askofu ndo Lina maana kubwa kwa kanisa la Sasa na msingi wa kanisa wa Sasa unaonekana umejengwa juu ya Askofu badala ya kuwa Kama unavyoelekeza biblia kuwa umejengwa juu ya hao mitume na manabii wanaopigwa Vita leo kwa upande wa biblia baba NI Mungu pekee ukija kimwili baba NI yule aliye kuzaa kimwili labda Mimi ndo sielewi biblia mnisaidie.

    • @davisdid673
      @davisdid673 ปีที่แล้ว

      Exactement

  • @Glove233
    @Glove233 ปีที่แล้ว +4

    Namkubali Sana huyu brother Mwenyezi mungu akutangulie 💓🙏

  • @matendombilinyi476
    @matendombilinyi476 ปีที่แล้ว +2

    BWANA, Mungu wetu; uliye muumba wa vyote ktk njina la Yesu kristo. Mtumishi wako huyu tunamwombea kwako mtunze na umlinde. Nyosha njia yake na isafishwe kwa uweza wako Yesu Kristo! Ameeeeeeeen.

  • @manenoerick9957
    @manenoerick9957 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana mtu wa Mungu. Utapingwa kwa sababu ya kweli uliyoisema. Ila nondo ishawaingia. Kanisa la Leo tuache umazingaombwe kwenye Mazabahu ya Mungu.

    • @ruthjemson4386
      @ruthjemson4386 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe Sana mtumishi Cassian nakuelewa sana

  • @alicejumaa89
    @alicejumaa89 ปีที่แล้ว +11

    Neema ya Yesu kristo ikulinde mtumishi. Umepona kwa kusudi la Mungu.

  • @chritinaphilip7439
    @chritinaphilip7439 ปีที่แล้ว +9

    Usiogope mtumishi wa Mungu Bwana alie kuita na awe nawe 😢🙏🙏

    • @ngainabusuna1419
      @ngainabusuna1419 ปีที่แล้ว +1

      Usikate tamaa mtumishi we song a mbele sasa hiv watu hawataki ukwel

  • @abdulmilingita2114
    @abdulmilingita2114 ปีที่แล้ว +9

    Ukweli unaumiza na ukiwa mtu wa kuongea kweli kwa dunia ya leo jibu ni kwamba utapigwa vita mno.
    Mungu akulinde sana PASCAL

    • @AbelyThedonny-ko4fw
      @AbelyThedonny-ko4fw ปีที่แล้ว

      Kaza buki cassian kila hatua mungu yuko na wewe

    • @madamsanga
      @madamsanga ปีที่แล้ว

      Hujatujibu swali letu bado tatizo unapaniki sana broo

    • @madamsanga
      @madamsanga ปีที่แล้ว

      Wewe unahukumu na umeona ndonjia ya kutokea kimaisha

    • @magrethlubimbi4055
      @magrethlubimbi4055 10 หลายเดือนก่อน

      Dada Muombe Mungu reheme na hekima za kiMungu za kuona vya rohon

  • @johnmhagama855
    @johnmhagama855 ปีที่แล้ว +5

    Mutumish wa mungu usiogope hiv vitisho 👏👏👏👏👏

  • @denisjonathan954
    @denisjonathan954 ปีที่แล้ว +9

    Kaka Mungu aendelee kukutumia wewe wambie ukweli maana tumeambiwa pigeni kelele msinyamaze kimya

  • @joannanekesa7758
    @joannanekesa7758 ปีที่แล้ว +19

    Ukweli unaweka mtu uhuru kwa maisha ya nyakati hizi watu hawapendi ukweli wa MUNGU hizi n nyakati za mwisho MUNGU akubariki mtumishi

  • @rizikibahati8364
    @rizikibahati8364 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu wahambiye yote kabisa siku zote ukweli lazima usemwe ukweli unahuma wewe songa mbele Mungu yuko upande wako

  • @rebecakikoti374
    @rebecakikoti374 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awe mbele na nyuma yako, akulinde kwa mishale ya moto

  • @norfenvgeraldo9493
    @norfenvgeraldo9493 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu. Paschal , neno linassema kemea , karipia, na mtu yoyote asikuzarau 🙌 keep going 💪

    • @jeniphanzeran8231
      @jeniphanzeran8231 ปีที่แล้ว

      Mnaopinga someni comment za watu ndo mtajua watanzania wengi wanahasira na manabii

    • @filibetamahundi2189
      @filibetamahundi2189 ปีที่แล้ว

      Mwehu wewe nenda milembe

  • @eveeric173
    @eveeric173 ปีที่แล้ว +7

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Baba tunahitaji watumishi wakweli tumechoshwa namawakala wa shetani usihongope Mungu alikutuma upoupande wako

    • @alvinbuchumi8689
      @alvinbuchumi8689 ปีที่แล้ว

      Waache Mungu Mwenyewe,hawaukumu,wewe waombee tumia hekima,hakuna mkamilifu,Chini ya just,simama na Mungu wako kwauaminifu ,tumepona kupitia mwamposa na tumeacha ulevi na uzinzi,mwache auze

    • @hajirithomas9146
      @hajirithomas9146 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe mtumishi wa Mungu , Mungu wa Mbinguni akubariki na kukutia nguvu na hakuna silaha yoyote italayofanikiwa juu Yako!!!

  • @reginamalima9701
    @reginamalima9701 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuongezee Iman kaka mimi na familia yangu tunakufwatilia sana asante hata sasa kuna roho umeziokoa barikiwa mno

    • @debolasinkala2220
      @debolasinkala2220 ปีที่แล้ว

      amen amen ukwel unauma apo umewagusa kaka onge ukwel wapone ao

  • @ivomhagama9796
    @ivomhagama9796 ปีที่แล้ว +14

    Amen,huo ndio upendo wa Mungu kwa Kila mwenye pumzi,,,maana Moto wa milele Hauna mtu maarufuu 🙏🌹.

  • @furahadayson2664
    @furahadayson2664 ปีที่แล้ว +9

    Nakupenda sanaaa mtumishi unaongea kweli

  • @enockmwambepo
    @enockmwambepo ปีที่แล้ว +6

    Niwakati wa kusema ukweli na Kuimba ukweli Kuhusu kazi ya Mungu Hongera kaka Pascal

  • @bigabimagereka5768
    @bigabimagereka5768 ปีที่แล้ว +2

    Amen ndugu Pascal, waambiye kweli ya Bibilia. Songa mbele na iinjili usiogope siku za mwisho kutatokeya na manabii wawongo.

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 ปีที่แล้ว +9

    Yaani mimi niliokoka kutoka moyoni mwangu ,mtumishi wewe ndoulinisaidia,Mungu akupe maisha marefu uendelee kuokoa na wengine

  • @yustinmbilinyi671
    @yustinmbilinyi671 ปีที่แล้ว +6

    Barikiwa sana mtumishi Mungu akusimamie kwenye kila ulitendalo kama paulo mtume wa Kristo aliipigania imani mpaka hata kukubari kufa ikiwezekana na ndio maana mtume Paulo alisema siionei haya injili kwasababu niuweza wa Mungu uuletao wokovu kwa kila atakae amini. Soma Warumi 1:16 ila ukitaka kumuelewa saw saw Pascal mtumishi wa Mungu soma kuanzia hiyo hiyo Warumi 1:15 mpaka mstar wa 32 utaelewa sana sana kwakua huyo Pascal mimi namfananisha na mtume Paulo isome historia ya Paulo alikuaje mwanzo na mwisho alikuaje alafu fuatilia na historia ya huyu mtumishi wa Mungu pascal utaona ufanano wao alafu cha ajabu unaweza ukakuta hata yeye Pascal hajui kwamba utendaji wake wa kazi ya Mungu anafanya kwa kipawa kama alichokuanacho mtume paulo

    • @godfreyapolnary5856
      @godfreyapolnary5856 ปีที่แล้ว

      Na Mimi ntakuja na hoja yangu mniambie umeandikiwa wapi mtumishi wa Mungu aitwe Baba maana Mimi toka nisamage biblia huwa naona mtumishi ,mtu wa Mungu,nabii wa bwana ,mtume ,mwinjilisti ,mwalimu,mchungaji ,na askofu Mara moja ndani ya biblia lakini ili Jina askofu ndo Lina maana kubwa kwa kanisa la Sasa na msingi wa kanisa wa Sasa unaonekana umejengwa juu ya Askofu badala ya kuwa Kama unavyoelekeza biblia kuwa umejengwa juu ya hao mitume na manabii wanaopigwa Vita leo kwa upande wa biblia baba NI Mungu pekee ukija kimwili baba NI yule aliye kuzaa kimwili labda Mimi ndo sielewi biblia mnisaidie.

    • @astonmassawe
      @astonmassawe ปีที่แล้ว

      Amen mtumishi songa mbele baba...

  • @dorcascasrlos
    @dorcascasrlos ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, na akulinde Mana umekubali kuihubiri kweli katika nyakati hizi za mwisho👏👏

    • @brucemandara2708
      @brucemandara2708 ปีที่แล้ว

      Hongera Paschal Mungu akutunze dhidi ya hao wanaopingana Na wewe Mungu akupiganie Na akutunze

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana vile unazungumza ukweli pia kuimba ukweli wa Mungu bila kuogopa bila kutarajia sjui kua milionea .hongera sana kkaangu Songa mbele bila kutishiwa 🙏

  • @graciatully4937
    @graciatully4937 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akushimamiye mutumishi simama n'a yesu tu diye guvu yetu ubarikiwe Sana baba

  • @collethabilabaye3869
    @collethabilabaye3869 ปีที่แล้ว +4

    Big up Mtumishi,piga kelele usinyamanze.Mungu akulinde na akupaiganie katika huduma hiyo ngumu sana.

  • @rebecakikoti374
    @rebecakikoti374 ปีที่แล้ว +4

    Hakika Yesu akulinde sanaaaaaaaa kaka. Nakupenda bure. Hakuna atakaekunyamazisha ikiwa Mungu amekuinua.

    • @renikkigora3664
      @renikkigora3664 ปีที่แล้ว

      Sema kweli yetu ituweke huru mwee! Yalio sirini hakika yako wazi

  • @evelynejuvenary2631
    @evelynejuvenary2631 ปีที่แล้ว +1

    Amen, mwalimu wangu wa mafundisho nikiwa mdogo kupata kominio ya kwanza, alikuwa akitufundisha akiuliza mmeelewa tunaitikia ndiyo, basi anaongeza neno japo ni la kihaya (BAGAMBILA BALINSI BALIIGURU KUULILA) kwa lugha ya kiswahili alimaanisha, ninachokizungumza hapa Duniani hata Mbinguni kinasikika, hakika nimekusikia mtumishi wa Mungu, mwenyezi Mungu akutunze Sana 🙏🙏

  • @moseskundu5950
    @moseskundu5950 ปีที่แล้ว +2

    Amen.mtumishi wa mungu waambie ukweli waelewe👍👍.
    Waohao ndio huenda huko miujiza ndio maana hawataki ukweli🙏🙏🙏

  • @gidionkasenene4992
    @gidionkasenene4992 ปีที่แล้ว +4

    Aminaaaaaa mungu azidi kukulinda nahao manambii wa huongo

  • @beatricemdoe7192
    @beatricemdoe7192 ปีที่แล้ว +12

    Mtumishi wa mungu mungu akubariki na akulinde unayosema ni sahihi kabisa taji lako mbinguni ni kubwa sana sana

    • @starfordbrown3924
      @starfordbrown3924 ปีที่แล้ว

      Amina mtumishi ongea ukweli sikuzote ukweli unauma nakuombea mungu akutie nguvu usitishiwe na wanadamu wewe mwangalie mungu tuu

  • @mathewbahati2831
    @mathewbahati2831 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, uko sahihi. Onya, shauri, Tia moyo , kemea. Maandiko yako wazi, timiza kusudi la Mungu

  • @upendofredrick8988
    @upendofredrick8988 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutie nguvu mtumishi wake uzidi kuitangaza kweli yake watu wapate kupona, pia Mungu akuwekee ulinzi wake kila kona ya maisha yako

  • @tebyjailo1972
    @tebyjailo1972 ปีที่แล้ว +6

    Endelea kukupambana nipo nyuma yako kwa maombi amina

  • @sedekiakiza
    @sedekiakiza ปีที่แล้ว +9

    Mtumishi Yesu akutunze sna

  • @sajienswebe5557
    @sajienswebe5557 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Mungu akusaidie Roho Mtakatifu huwa anajitukuza wewe simama wito wako Mungu kakuita kuponda watumishi WA Mungu hiyo sio vema hubiri neno watu wamfuate Mungu. Kutaja majina ya watu katika mahubiri Yako SI proper. Jitahidi kusimamia wito wako. Manabii wameitwa na Mungu na niwapakwa mafuta huo uinjilisti una mtumikia Mungu yupi. ROHO MTAKATIFU ni mwelevu sana. Nakushauri acha kuwapaka watumishi WA Mungu

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe na BWANA kwa kazi njema ya Mungu.

  • @geofleyfreenwelluka
    @geofleyfreenwelluka ปีที่แล้ว +3

    Hakuna mwanadam hapa dunian ambaye atasimama kushindana na wewe kwasababu mungu ndie amekupa ufunuo huo ili uwawonye namin kilaswali ambalo watakwambia najua mungu ndo atajibu kwaio wewe kaziyako nikusema hakuna wakkunyamazisha pasipokua nimungu katika jina lamungu mwenye nguvu iwe pamoja nawe amen

  • @bennymkubwa6196
    @bennymkubwa6196 ปีที่แล้ว +6

    Mtumishi tuko pamoja moyo wangu ni kama wakwako,, songs mbele.

  • @lucykilambu8720
    @lucykilambu8720 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 mtumishi wa Mungu usimuogope mwanadamu kile umepewa toa anaye taka kugeuka ageuke maonyo ya Mungu ni mazuri ubarikiwe sana

  • @ladikessy763
    @ladikessy763 ปีที่แล้ว +1

    Amina 🙏 barikiwa sana kaka songa mbele Iman ni njema Kwa Kila mmoja

  • @chrismudogo9574
    @chrismudogo9574 ปีที่แล้ว +24

    Mtumishi wa Mungu na Pia rafiki yangu,usiogope wala kufadhaika moyoni mwako.Aliyekupa ujumbe wa maonyo ni Mungu,hivyo basi aliye na tatizo lolote na ujumbe ulioutoa na amlalamikie Mungu.
    Kila siku Masadukayo na Mafarisayo(Maadui wa injili)wanazidi kuinuka.Mungu atakutetea,atateta na wanaoteta nawe,na wanao kupiga vita wakome wasije wakajikuta wakipigana na Mungu,maana mpinga ujumbe wa Mungu ni adui wa Mungu.
    Nakuombea rafiki,Mungu akutetee,akunusuru na makanwa ya Simba.

    • @pendosaidi
      @pendosaidi ปีที่แล้ว +1

      Mungu akusaidie kukomboa roho zilizo potea hivo ndivyo kaka.

    • @gloriaaugustino8031
      @gloriaaugustino8031 ปีที่แล้ว +1

      Sasa taja watu waende kanisa lipo ambalo Kuko sahihi? Ukinitajia nakupa buku

  • @godfreymuruda8136
    @godfreymuruda8136 ปีที่แล้ว +10

    MAY GOD FIGHT THIS WAR (SHALOM)

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa Mungu, okoa mioyo iliyo potea,na inatoka kupotea. anaye kupinga ni mwenziwe,kwa sababu yana mhusu vipi, sema ukweli kwa sauti kubwa nakufuata toka Kenya 🇰🇪🙏.

  • @harunisimkonda6873
    @harunisimkonda6873 ปีที่แล้ว +1

    Amen, Mungu akuwekee ulinzi dhidi ya mabaya yote yawasiokupenda mtumishi.

  • @papamacheso
    @papamacheso ปีที่แล้ว +9

    Mungu akulinde Papa

  • @richardchami588
    @richardchami588 ปีที่แล้ว +1

    Kuwa na Neno la Mungu kwa wingi Ndani yetu
    Upendo,
    Hekima,
    Maarifa,
    Unyenyekevu,
    Utii,,
    Kuwa na Masikio ya Rohoni
    Kuwa na Macho ya Rohoni
    Hivi Ni Vitu vya Muhimu Sana kwa Mtu yeyote anayemjua Mungu Ni Nani.
    Na hizo Ni Cifa kamili za YESU.

  • @emanuelcharles406
    @emanuelcharles406 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana ....mtumishi Mungu akutetee na kukupingania na akufikishe salaama ktk safar yako

  • @amoseirumva3932
    @amoseirumva3932 ปีที่แล้ว +21

    Washindwe ktk Jina la Yesu Kristo, wakuache mtoto wa Mungu, wewe timiza wajibu wako tu, hao wanaokuambia usitaje majina mbona akina biden wanazungumziwa nani kawashitaki, waseme wakitaka waendee kuwashwa na kuchokwa haswa, twende kazi kaka yangu usihofu Mungu pamoja na nabii wa kweli siyo hao waongo wa injili ya mafanikio nawa kati tuko ktk siku za mwisho, watubu wenywe na wasipo tubu jehanamu inawasubili

    • @abibumbota5160
      @abibumbota5160 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akulinde mtumishi unatufundisha vzr Mungu akupe maisha mema siku zote

    • @makereziron2918
      @makereziron2918 ปีที่แล้ว +1

      Nikajua makamu wa Rais Mpango

    • @magrethlubimbi4055
      @magrethlubimbi4055 10 หลายเดือนก่อน

      Mungu amsaidie huyo makam wa rais wa Duniani

  • @lucykapinga369
    @lucykapinga369 ปีที่แล้ว +3

    Iyende mbele injili hiyooo iyende mbeleeeeeeeeeeeeee .Haleluy Kaka pascal songa mbelee