Msanii wakwnza Africa ambye naweza nikavaa htantshet yenye Jina lake au picha yke na nikawa proud and comfotable... Wasanii wengne wte africa cwezi baado,
Ukinikata kwa kiwembe damu yangu DIZASTA MTUPU.nikiamka nikila nikilala ...daah! Sisemi sana.wacha tu! Huyu Mwamba ni natural talented.nampeperushia bendera toka Kenya Mombasa..mitaa ya Mtwapa mzambarauni.💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Natia chata kweny list ya maveterani/ Wanaopamba bit kama binti mwenye pete yani/ Chagua jumba la sanaa uchukue kitu uketi ndani/ Au undelee kusearch role modo wako anamdate nani?/ ZUCHUUUU MAMAMAEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@@eddiedonald7483 top tiers wako hawafai kwenye hii selection ....... Dunia ilianzaje, ukifa unaenda wapi, sijui yai sijui kuku that kind of big questions Am a street legend
Tumsifie mwana na kumpa support ya kununua Albamu....ukinunua hiyo albamu hautojutia.....kuna kazi kama TOP SHELF, MWANASESERE, CHUPA MOJA YA ZIADA, NOT HERO.... aisee wiki ya pili hii sijaichoka
Hadimu kama mythical creature Lyrical teacher naacha case ya criminal kisha napotea kwenye SURFACE siachi PHYISICAL FEATURE naacha HISTORY na ELIMU to every CRITICAL THINKER DZSTVN 🧠🙌♥️🙏
Dizasta Vina is NOT the Tanzanian Kendrick Lamar. He is The Tanzanian Dizasta Vina. His acumen and skill set doesn't need any validative comparisons. He writes for us, defines us and represents us.
3:16 Nimeshiba contents, cheki TH-cam// Nna material priceless, kwenye fuvu// Japo wanaziba ili nisitrend, kama Dudu// Sizifuati trend, trend nacreate kama Mungu/. Aloo Dizasta ni Noma.
Bro u knew mbaya mbovu kinyama yani daah no one bro mmh nimeilewa sana mmh akili nyingi sana zimetumika humu ndan kamaa ufikirii mbali u never know what u means ndani yaii song mmh maaana umenifunza vingi kwenye hii song ✍️🎵🎶🎵🇹🇿♥️ Vina God bless you and lam so proud to be ur fans ,live more bro
@@gwantadibusta me sio Buda Buda i look friendly ndo maana marapa wana kuja kuja Wananizoea kiboya naishia kuwafunza lugha Ningewafundisha kuongea na wake zao ila nachunga mda
Adimu kama mythical creature, lyrical teacher, naacha case ya criminal kisha, napotea kwenye surface siachi physical feature, naacha history na elimu to every critical thinker.
Yaan mm ningekuwa underground rapa ningeacha tu nimuachie huyu jamaa game maana daah anaweza kuongea kila anachoimba mtoto wowote wa hv sasa no,rapcha,no killer,no boshoo,no maarifa @DIZASTA ni namba 1-20
I wish ufungue chuo cha rap,mcs wajifunze kabla hawajaingia sokoni,it is good for the industry,no hard feelings,kwa level yako ifike mahala serikali iingilie kati kuwe na recognition za watu kama wewe
Msanii wakwnza Africa ambye naweza nikavaa htantshet yenye Jina lake au picha yke na nikawa proud and comfotable... Wasanii wengne wte africa cwezi baado,
Ukinikata kwa kiwembe damu yangu DIZASTA MTUPU.nikiamka nikila nikilala ...daah! Sisemi sana.wacha tu! Huyu Mwamba ni natural talented.nampeperushia bendera toka Kenya Mombasa..mitaa ya Mtwapa mzambarauni.💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Unachagua maneno vizuri sana Vina..Special special ability
Natia chata kweny list ya maveterani/
Wanaopamba bit kama binti mwenye pete yani/
Chagua jumba la sanaa uchukue kitu uketi ndani/
Au undelee kusearch role modo wako anamdate nani?/
ZUCHUUUU
MAMAMAEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@@eddiedonald7483 top tiers wako hawafai kwenye hii selection
.......
Dunia ilianzaje, ukifa unaenda wapi, sijui yai sijui kuku that kind of big questions
Am a street legend
Najua nitakuwa Star that's not my major dream
Stardom is for little kids legacy's the better thing
Kumbe star nimefika kwa movie hii Dadandandaaaaaa 🔥🔥
Tumsifie mwana na kumpa support ya kununua Albamu....ukinunua hiyo albamu hautojutia.....kuna kazi kama TOP SHELF, MWANASESERE, CHUPA MOJA YA ZIADA, NOT HERO.... aisee wiki ya pili hii sijaichoka
Hiyo album wap inapatikana
@@ayubukaduma1017 cheki pinned msg hapo juu
@@ayubukaduma1017anaiuza shilingi 10,000/= anakutumia kwa e-mail, watsup&telegram
kuna hiyo a confenssion of mad father kuna hiyo theluji
Last confession ni hatari sana
Ukoo wa MBUZI unawapa salaam HIGH 5......🔥🔥🔥
Mnunue Album wazee.. hii michano watu zaidi yya wiki 2 sasa... so tu-show true support wazee..... PARADOX
Tayari tushachukua
Usisahau Kumsapoti Mwana,
Kwa Kununua Albam Yake...
Shule Ya Critical Thinker!
Mwanetu Saizi Kachangamka Sana Sijutii Kuwa Shabiki Ake Sijutii Kununua Albam
katoto kajuzi ndokalikuwa kanataka kufosi bato 🤕🤕hapa 😎😎 dizasta vina karvina la michano woooh🎧🎧🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hadimu kama mythical creature
Lyrical teacher naacha case ya criminal kisha napotea kwenye SURFACE siachi PHYISICAL FEATURE naacha HISTORY na ELIMU to every CRITICAL THINKER
DZSTVN 🧠🙌♥️🙏
Tunaomkubali dizasta vina tujuane
System ni ya kiwaki tuu mwanangu ila unastahili zaidi.
Diizasta vinaaa..! Kaka nmeanza kukufatilia cku c nyingi sana, tena nmeanza sababu ya mdogo angu..unaua sana bro no lie 🔥🔥
Msimshindanishe tena uwezo wake umejitoshereza
Dizasta Vina is NOT the Tanzanian Kendrick Lamar.
He is The Tanzanian Dizasta Vina.
His acumen and skill set doesn't need any validative comparisons.
He writes for us, defines us and represents us.
3:16
Nimeshiba contents, cheki TH-cam//
Nna material priceless, kwenye fuvu//
Japo wanaziba ili nisitrend, kama Dudu//
Sizifuati trend, trend nacreate kama Mungu/.
Aloo Dizasta ni Noma.
Video bora kabisa ya hip hop kwa mwaka 2024❤❤❤
tulionunua album tujuane hapa 🌋
Niliilipia 10000 na black Maradona mapema sn alinipatia mzee magoma yote yamenikosha ila hii na Hatia Vi n zaidi ya noma
Tupo brother. Wazee wa kusikiliza Interlude ya Hatia VI
@@abdulmohd6880 safi tusupport kazi yake aisee 🫧
@@dunstunnchimbi7994 ewaaaaa maridadi kabisaa
@@dunstunnchimbi7994 😅 naiskilizaga sana ile interlude jamaa wanavyobishan.
Dhambi zote za dizasta naziomba nan anazo!? Azilete.... This guy is alien 👽
Me nampa miaka yangu mitano ya kuishi duniani
NO BODY IS SAFE ....🔥🔥🔥
Bro we Ni LEGEND....+ ...WORRIOR
Mwambamm sina mengi the way I feel about your lyrics ALLAH ndoanajua 🙏🙏
Fika ghetto pika ugali wako na nyama, kula ushibe then njoo ckiliza hii ngoma😊
Utanishukuru badae
Huwezi kusikiliza nyimbo ya Dizasta mara moja na ukaielewa.
Bro 🎉🎉🎉 mwenye atakae mfananisha huyu bro na msanii wowote bongo atakua katukosea heshima sisi kama fans wa good music 🎉🎉🎉
Ambao atuchoki kutazama na kuskiliza hii like hapa
Kuna jambo dogo ambalo hata watoto hawajatambua kwamba kuna joto ila dizasta ni wa moto kushinda jua
Najivunia kua shabiki yako
Mzee nanilikua nasubiri nobody
Is safe5 jiwee
Bro u knew mbaya mbovu kinyama yani daah no one bro mmh nimeilewa sana mmh akili nyingi sana zimetumika humu ndan kamaa ufikirii mbali u never know what u means ndani yaii song mmh maaana umenifunza vingi kwenye hii song ✍️🎵🎶🎵🇹🇿♥️ Vina God bless you and lam so proud to be ur fans ,live more bro
Daah kama baba angu angekuwepo ningemwambia dizasta ni nani.. na kila siku niimbe nyimbo moja kabla ya kwenda shule na kulala🔥🔥
Mdundo wa ringo beat💥michano ya maradona 💯
bro u getting better and better acha na tungo kideo cha hiphop iki apa
Dizasta vinaaaa,,, umetisha sana mkuu God bless 2024 tumeanza na confidence ya hali ya juu
Nlitamani kua Artist alivotokea DIZASTA nikaaacha For Him kashaimba kula kitu ntaimba nn
Yu nailed it
Mshikaji wangu dizasta unaua sana
Salute
Jina Vina, na. Kazini mistari.... DIZASTA VINA
Rappers mnamskilizagaa uyu mwenzenuu kweliii jifunzenii kitu jamaa akilii kubwaa sana uyuuu
Vinaa hiyo album nipe uelekeo naipataje . Umetisha nyimbo n makin
Mambo ndio hayo sasa, mwana kaiteka hip hop, nani anabisha?
My childs wako na two options , listening to dizasta vina masterpieces au wakajenge nyumba yao wakafie mbali
We need To Goo Number 1 On Trending Oooh My Genius DIZASTA 22 Now❤
Walikuja na Kuondoka kama Menstral Period….. Qudadeki
@@gwantadibusta me sio Buda Buda i look friendly ndo maana marapa wana kuja kuja
Wananizoea kiboya naishia kuwafunza lugha
Ningewafundisha kuongea na wake zao ila nachunga mda
RINGOBEATZ🔥🔥🔥💯🎶 dundo la kubwa mno
Herufi za hii keyboard hazitoshi kuutukuza ufundi huu.
Nyie watoto WA 2050 uyu jamaaa ni hatal kwa wakati wetu jifunze vitu humuuu
Big love from kenya🇰🇪kijana hatari...Badili spana hii ni volvo.
Bonge moja la pumbu, kubababake,
Noma sana.
Kuliko anaye sema elimu ni ufunguo wa maisha
Bora ni msikilize disaster vina
Kuna kitu Nita pata
Van ghor mzee wa kuwapa kizungzungu ukishade layers
Nobody safe series 🔥🔥🔥🔥3,4,5 ni motoooo
Rapcha, lunya, njoo mjifunze 😂😂😂. Nakushangaa Ukija Bila Plan Kwenye Battle
Adimu kama mythical creature, lyrical teacher, naacha case ya criminal kisha, napotea kwenye surface siachi physical feature, naacha history na elimu to every critical thinker.
Complete mcee, punchlines,lyrical ,flow zawadi kubwa!mitaa ipo salama tutasimulia vizazi
missed part ya kikosi kazi, i said that kitambo, .. am speechless... leo nanunua albam
Mashabiki tuna uriza kwann hauonekan wakati kwenye kira risti haukosekan.. Vina mtu mbaya
Wow for sure your the missing peace kwenye kikosi kazi
Mwanangu wa 99 mwanao wa 97 hapa nakuelewa kinoma🔥💪
Daaah yaan hata sijui nikuelezee vipi vina since day one kilingen niliamin utafika mbali wewe n genius broo
best rapper ever in our country dizasta
Fundiiii afu underrated 🎉🎉❤
Niko bize na mkwanja,
na ndio maana sionekani viwanja,
kama vile sikai Dar
"Nina materials priceless kwenye fuvu" Vina
Yaan mm ningekuwa underground rapa ningeacha tu nimuachie huyu jamaa game maana daah anaweza kuongea kila anachoimba mtoto wowote wa hv sasa no,rapcha,no killer,no boshoo,no maarifa @DIZASTA ni namba 1-20
Genius ni uñderstatement, half man half god paradox!!!💯🔥🙌
no body is fukn saafeee damn it
Mr. Morale pass me the album man this joint is Rock
☠️🚀blaza wew n commando🙉
Foleni kubwa sana me nacoment wapi sasa 😂
Duuuh yani wewe umeshindikana bro
Ngoma imeisha bila kupenda 👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿Dizasta unakichwa cha dhahabu 👊🏿👊🏿👊🏿
Dizasta vina ni Great thinker 🫡 much appreciations
Uuh mwaka auishii kaka tobo letu kubwa kitanzania nia nia mpaka kuku akujue mana muda wako kaka nakujua na nilijua hipo siku dunia itakujua
Daaaaaaa huyu dogo rapper mkali sana tumpe sapoti wabongo na East African kwa ujumla
Na fanibes bila mchomvu na b,twangalaaa hahahahaha Nouma we nu nyOko
Tumeanza kukaa treanding baba ni safi sana
Ifike atua TANZANIA tumshukuru MUNGU kwaajirinya DIZASTA VINA
"Ntakushangaa ukija bila plan kwnye battle mana unahitaji kiwango na mipango kunimudu" 🔥🔥🔥🤛Vina unyama sanaa mwana...representing KE
Kichwan kwang sijaonaa wakuu fananishwa nae.....unatup midundoo unatupaa fulaa unatishaaa dzt....... Gg up san
Ndio hii sasa Hip hop in the safe hands
Jamaa.." akili yake KUBWA sana...Cjawah ona wa kumlinganisha nae labda kidoogo tena kwa mbaali NGOSHA
Jina " VINA" na kazini mistariii😂😂😂 ila aisee uncle dizastaa wee ni mnomaaa❤❤🎉🎉🎉
from kenya nampa sikio kuma ww kama humpendi dizasta..juju kumbe nislay queen kama nunu
Kama Nas 😮💪🔥🔥🔥🔥💯You're good Bro
Oyaaa hizi Visuals✊🏽
Walisha prove Ngosha na Prof..
Sisi ni zuzu tukatae kuwa wewe SI Lryical teacher. Nataka Album Leo.
fan base bila Mchomvu na B.Twangaalaaaaaa.......
🇰🇪naipeperusha. Jamaa hakosei💪
Huyu jamaa sijawai ona mimi🥶🙌🏾🙌🏾
THIS VISUALS ARE QUALITY 🔥🔥 KEEP BEING MODERNIZED MASTER
Dizasta vina hujawahi kukosea
D we ninoma kweli wee ni laaananakupa 💐yako we si mkal bali nihatali watoto wakae mbal san san
Game recognizes game ✌🏽... Aliegundua Dizasta kavaa t-shirt ya Album Cover ya Fivara anyooshe kidole 😅
".........ila nachunga muda😅🙌..."
Ndugu watachanga michango ukijitusu
Hip hop is back
Hunaga kazi mbaya kaka wewe ni vina sauti yako ni vina, Ifike sehemu dunia ichue kuna rapper anaitwa DIZASTA VINA🔥❤️🔥
We Ni Rapa Nyokoooooo
I wish ufungue chuo cha rap,mcs wajifunze kabla hawajaingia sokoni,it is good for the industry,no hard feelings,kwa level yako ifike mahala serikali iingilie kati kuwe na recognition za watu kama wewe
Yeah man
Kwa hii sasa ndo nimeuanza mwaka. Na mwaka utakuwa mzuri. Ahsante sana nashkuru brother.
Linapotajwa jina langu marapa wanatokwa na povu, mi ni ndovu, walisha approve Ngosha na prof.