"Sio kila mjinga unamzidi kila kitu" naomba Rapcha atulie kabisa Kama wamemuonya kwa dakika 8:27 akijibu Basi balaa la Dizasta ni la masaa 48 naomba like kwa Dizasta heshima kwake
aise kiukweli sijawai kumskia huyu jamaa ila baada yakuskia hi track yake 8:27 nimetokea kumpenda yaan ni real rapper and bars zake zipo on the other lever....jamaa ni real nigga Rapcha nimtoto kbs. Ngoma kali sana
Daah!! Nimeisikiliza hiingoma kabla aujaifafanua sikuielew bt ulivyofafanua umemaliza brazaa. Ukiendelea hivi ngoma za hiphop zitakuwa high tena appreciate it
Dizasta n mtu safi ata katka maisha yake yakuish na co mtu wa drama yupo kwa ajili ya kutuelimisha na anaish org na mitaaa ataki kikii anazo taka rapcha na katika uandshi rapcha bado sana kumfkia dizasta kama elimu yako ya cerficate n ngumu kumuelewa dzasta nn ana andka
Kila kichwa kimepita kigoma kikasoma ni level nyingine broo dizasta namjua tokea yupo kigoma secondary ni shida huyoo Huyo rapcha n mtoto kuanzia kwenye Mdundo mpka rap kidogo sana ana being na kick za Mdundo ila dizasta shughuli ingine Yani ana ngoma zingne kama taarifa ya habar kumbe mwana ndio anarap hvoo me nadhan rapcha akasikilize Hatia 1-5 atajifunza kitu mwamba kadis kanisa huyo na family ikamtenga huyoo unalijua hlo
Rapcha hasitaili matusiyake jamaa maana hataeza kuyamdu rapcha mwenyewe bado mtoto wa mama aje abattle na mimi achane na dizasita sio hadhiyake hakuna mwana hip hop mkali ka dizasita hapa Tanzania nashangaa hapewi tuzo sijui wanaangalia nin
Industry ya hiphop inahitaji watu wenye swagga kwenye kurap, social media,na media zinasahau kuwa wanainfluence kubwa sana ya kuwafanya wasanii kama dizasta kusikilizwa na watu wengi ,msanii kama rapcha hawezi jilinganisha na dizasta kwa reason moja tuh ya kuwa mainstream.Dizasta is genius na mziki wake ni tiba kwa watu haswa wenye kupitia trauma problems, dizasta ni kama clinical psychologist.Hivyo rapcha dizasta kulike post ya hater wako ni utambulisho pia kuwa he is out of matrix kama kitu kilichosema ni ukweli basi lazima watu tulike but anyway battling ndio utamu wa hip-hop tunamsubiri ajibu pia.
Rapcha anakuja kumuua huyu jamaa. Watu wengi tunamjua rapcha katika upande mmoja pekee wa kufanya muziki wa burudani bt hatujajua upande mwingine wa rapcha.. tumezoea dizasta na tunamjua kiundani nd maana tunasema rapcha kayavaa ila tukumbuke miaka mitano nyuma rapcha alikua akimsikiliza dizasta that is why nawaambia rapcha anakuja kummaliza dizasta
My G Dizasta kiukweli industry haijamtendea haki ana album kali kuliko hao wanaopewa tuzo za hip hop artist bora cjiu wanaangalia nini maybe izo kiki zao
This is incomparable, maana Rapcha kamataja kidogo tuu, but Huyu dizasta yeye katunga nyimbo almost nzima kumsema mwenzie. Rapcha nae ajibu tuu kwa kumpa nyimbo nzima
Huyu dizasta hafai!! Silaha ya kutungulia ndege angani yeye kamweka mwenzake mita mia tu kamtungua! Ndio Nini Sasa!! Ana roho ngumu huyu! Na anakwambia eti hii Ni clarification tu Wala sio diss! 😂😂😂Ila jamaa Ni fundi aisee! Hiki kizazi Cha rap Cha Sasa Katu hakiwezi kukaa meza moja na dizasta! Sio level yao!
Kitu tulicho sahau wengi hiki ndicho alicho kitaka rapcha kwanini? Tuanze na jina la nyimbo ya rapcha kwanini kaiita story nyingine? Jina limebeba hichi kinacho endelea nicca hapa rapcha ka 🏆
This guy's got lyric talent no doubt. My only issues are: 1. Why would he say this isn't a diss song when he's clearly dissing? 2. Why would he respond to one subliminal line with a whole track? If that ain't clout chasing, what us it?
Rapcha haiwezi hii battle angekaa kimya au kama anataka atupe burudani wasikilizaji basi ajibu,diss track ya dizasta itakuwa na dakika 20 tunaua na tunasafirisha kwenda shinyanga hahaha 😂🤣😂😂
Dizasta Sio Wa Kumjibu Huyu Dogo Kwa sababu huyu Dogo Bado Kichwa Chake Hakiwezi Kuvumilia Tabu za lyrcs Za Dizasta.. Ona Dizasta Alivo Relax Na Tunapata Kile Ana Deliver ....THE BEST Z DIZASTA
"Sio kila mjinga unamzidi kila kitu" naomba Rapcha atulie kabisa Kama wamemuonya kwa dakika 8:27 akijibu Basi balaa la Dizasta ni la masaa 48 naomba like kwa Dizasta heshima kwake
😂
🤣🤣🤣
Iki kichwa rapcha hakiwez at wakiungan na lunya hawamuwez km onyo katumia dk 8 je akidis?
Ilaa amekima akijitingisha ameisha kifo
Naomba kwa mashabiki wote wa hip hop ya bongo, Dizasta vina apewe TUZO🙏🏿🙏🏿
Dizasta namkubali
Kaua🤣
tuangalie jinsi gan tunaweza kumfikia jamaa apewe haki yak kitaifa
HAPANA KAKA INABIDI AJENGEWE SANAMU 👑👑👑👑👑
Jamani huyu mwamba ni nyoko sheheeeeee ni shid dizastar
Lunya left..
Rapcha Typing🤔..
Tale trip to garilaya..
Fela Muted...
Kadgo Witness..
Candy Crush Uninstalling..
Mavuzi got Respect🙌🏾..
Mende got shot💥
Kanisa knows everything about Dazasta🙌🏾
Naomba twende tukareact hizi ngoma zote 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
😀😀
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
DIZASTA is an master art class
Rapcha kazingua sana, cheki sasa kilichomkuta🙌
Hawez banaaa Dizasta is another level kimsingi tunamuombea msamaha tuuh
Ujuwi rap
Huyu jamaa ni Never Regular 🤯…..Rapcha kayakanyaga 😂😂
Dizasta for this ni master of clarity😁
Kijana achague moja sasa
Dizasta Dizasta Dizasta nakuita mara 3, utaua mtu masta😂🙌🏾
Siku Moja mualike The black Maradona ufanye nae interview brother sky ikikupendeza 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
i 'm frm RWANDA there is no rap in east africa like dizasta & mwana fa ,fid q, ay ,do samething to promate this guyz is very telented ever
dont forget Khaligraph Jones
Dizasta vina ni level zingine ,mziki wake utaishi milele🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
*Siniliwaambia moto wa Dizasta vina sio mchezo haya m’meona sasa* 😂😂😂
SNS BROTHER UNA JUA SANA KUCHAMBUA MZIKI TUNA ITAJI WATU KAMA NYIE MUNGU AWAPE MAISHA MALEVU TUNA INJOI UDUMA ZENU 🙏🙏🙏🙏
@@alliymohamedalliy6524 FANYA WEWE KAMA LAISI
Dizasta ni genius aisee ilee sio ngoma ni ngoma na nusu .. 🔥🔥🔥🔥
Nilijua tuu dizasta hawezi kukaa Kimya😂😂😂 nilijua tuu he he he wacha niinjoy mziki mzuri I love him
Hip hop ni maisha haina kuzuga, Rapcha started it Dizasta kamaliza yaani 8:27 min joint; kwa just a single metaphor😂😂😂😂 game on lets go champs
Namfananisha huyu DIZASTA vina Na EMINEM.. Hawana tofauti kbsa yani
Dizasta ni kiumbe kingine kabisa. Master class .. best syory teller hip hop
Di zasta mtu hatari
This duuuude is another level to rapcha
Dizasta is more than artist
DIZASTA NI MBAYA SANA 🔥🔥
aise kiukweli sijawai kumskia huyu jamaa ila baada yakuskia hi track yake 8:27 nimetokea kumpenda yaan ni real rapper and bars zake zipo on the other lever....jamaa ni real nigga Rapcha nimtoto kbs. Ngoma kali sana
Mfatilie mwamba ili uijue hip hop vyema... Ni hatari huyu jamaa
Pole sanaaaaaaa maaana hata prof Jay aliumia sanaaaaaaa Baada ya kukosa kumuelewa #the_verteller
Mtafte utakuja nishukru baadae
Rapcha hawezi aiseeeh uwezo wake kama wangu tu dizasta ni jini🔥🔥🔥🔥
Kabsa kaka jini kubwa
Bora wewe mwanangu huyo rapcha ww hakupati wala nn wa kawaida sana dogo, yan kua bongo record anaajiona mkubwa sanaaaa
We jamaa umesema kweli kaka
Kabisa Dogo mshamba tu na kithembe chake
Kaka sky umeichambua vizur sana huo wimbo wasioelewa alichorap dizasta wemeelewa mwanzo mwisho big up sky
Hivi tuzo zinapotolewa Tanzania vigezo ni gani ndio msanii kuwa mshindi..
Dizasta anastahili kuwa juu zaidi ya hao wapiga kelele...
Tunakuomba uitafsili nyimbo ya dizasta inaitwa mwanajua
Dizasta ni namba kwenye hili game
Rapcha akijaribu kujibu kaumia, huyo Dizasta n hatari.
Dizasta vina n mtu mnoma saana.
Style yangu imenspire the culture
Imeinspire the Nengos,the shaulins the maaarifa the raptcha ......
Nimeacha DNA hata nikifa sina deni tena!
Rapcha na mandonga ni the same tofauti ni beat tu
dizasta 😀😀😀 akili nyingine hii ! rapcha hamuwez dizasta 🤣🤣
Daah!! Nimeisikiliza hiingoma kabla aujaifafanua sikuielew bt ulivyofafanua umemaliza brazaa. Ukiendelea hivi ngoma za hiphop zitakuwa high tena appreciate it
Rapcha kayakanyaga sana hapa😅😅😅😅, sijui atafanyaje labda atulie tu maan alichofanywa humu🙌🙌😅
Kaingia cha kike 😂😂
"Kafute candy crush kwenye simu"
Bonge la mstari, hii inamaana rapcha bado mdogo sana kumdis dizasta. 🤣🤣🤣
😂😂😂🙌 nlilijua hili mapemaa uyu vina ni wadunia nyingine🙌
Kazi ilikuwa ngumu waajiri wamefanya dua site.😂😂
Dizasta n mtu safi ata katka maisha yake yakuish na co mtu wa drama yupo kwa ajili ya kutuelimisha na anaish org na mitaaa ataki kikii anazo taka rapcha na katika uandshi rapcha bado sana kumfkia dizasta kama elimu yako ya cerficate n ngumu kumuelewa dzasta nn ana andka
Simply maji ni marefu sana kwa Rapcha anyanyue bendera nyeupe..
Akijibu hii DISS TRACK ya Dk 20 inakuja Dizasta anaisha kwenye DIMENSION nyingine kabisaa
Mamamae Rapcha hapa kayakanyaga Dah!!! Aseee hiii n diss track ya miaka mitatu ijayo😂
Dizasta mwenyewe kasema hii sio dis track hii ni ferification tu ila akitaka bifu aseme mwenyewe kuanzia sasa
😂😂
Kwa ushaul rapcha akamtafute p mawenge na mbish wamsaidie 😄😄
Ukiwajumlisha wote bado hawatomuweza Dizasta just fikilia jina tu Dizasta
Rapcha mtoto mdogo sana atulie tu
let me ask u sky u know dizasta is best rap in east africa what did u do to support him ?????
*Rapcha umeyakanyaga 😂😂 yaani humuwei hata robo Dizasta vina*
Huyu jamaa ni hatari sana, namuona kwa mbali sana baada ya miaka kadhaa ijayo.
Daaa watamuuwa wanga wang hawafai
Kila kichwa kimepita kigoma kikasoma ni level nyingine broo dizasta namjua tokea yupo kigoma secondary ni shida huyoo Huyo rapcha n mtoto kuanzia kwenye Mdundo mpka rap kidogo sana ana being na kick za Mdundo ila dizasta shughuli ingine Yani ana ngoma zingne kama taarifa ya habar kumbe mwana ndio anarap hvoo me nadhan rapcha akasikilize Hatia 1-5 atajifunza kitu mwamba kadis kanisa huyo na family ikamtenga huyoo unalijua hlo
Rapcha hasitaili matusiyake jamaa maana hataeza kuyamdu rapcha mwenyewe bado mtoto wa mama aje abattle na mimi achane na dizasita sio hadhiyake hakuna mwana hip hop mkali ka dizasita hapa Tanzania nashangaa hapewi tuzo sijui wanaangalia nin
Industry ya hiphop inahitaji watu wenye swagga kwenye kurap, social media,na media zinasahau kuwa wanainfluence kubwa sana ya kuwafanya wasanii kama dizasta kusikilizwa na watu wengi ,msanii kama rapcha hawezi jilinganisha na dizasta kwa reason moja tuh ya kuwa mainstream.Dizasta is genius na mziki wake ni tiba kwa watu haswa wenye kupitia trauma problems, dizasta ni kama clinical psychologist.Hivyo rapcha dizasta kulike post ya hater wako ni utambulisho pia kuwa he is out of matrix kama kitu kilichosema ni ukweli basi lazima watu tulike but anyway battling ndio utamu wa hip-hop tunamsubiri ajibu pia.
Bro wewe ni genius pia.
🙌🏾🙌🏾
Asante
Rapcha anakuja kumuua huyu jamaa. Watu wengi tunamjua rapcha katika upande mmoja pekee wa kufanya muziki wa burudani bt hatujajua upande mwingine wa rapcha.. tumezoea dizasta na tunamjua kiundani nd maana tunasema rapcha kayavaa ila tukumbuke miaka mitano nyuma rapcha alikua akimsikiliza dizasta that is why nawaambia rapcha anakuja kummaliza dizasta
@@Jiko266 dizasta wa miaka 5 nyuma sio huyu wa leo
Dizasta vina & nacha mc & nash mc & bando mc wanaandika sana nawakubali
Dizasta mtu hatary sn 👊🏿🔥🔥🔥
Dizasta, sikuwa nakujua bt leo nimesikiliza hii ngoma bro, we ni master 🔥🔥🔥
THAT’S WHY I LIKE “ SNS “. Big shoutout skywalker unafanya kaz kubwa sana bro ✋🏾🤚🏾
My Best Friend
Mozambique 🇲🇿
Rapcha ni mtoto kwenye mziki bado mtoto sana
dizasta anaweza kukuua kwa kukuchana..rapcha tulia huu 🔥🔥🔥sio level zako utakufa ooh hoo shauli zako
Umenipa ham ya kwenya kuisikiliza hip hop inahitaji hizi challenge shall out kwa Rapcha kulianzisha
Shout out
Anaiheshimu culture akifagia hatupi ndani🔥🔥🔥
Ni kama 2pac amefanya remix ya Hit Em Up....hii Rapcha akae kimya,
Ngoma Ndoige, akikimbia Kijijini inamfuata akikimbia kwa Majani imemfuata tu.🤣🤣🤣🤣
Hii ndio hiphop sasa. Amekuchokoza nenda studio kajibu🙋🏾♂️
My G Dizasta kiukweli industry haijamtendea haki ana album kali kuliko hao wanaopewa tuzo za hip hop artist bora cjiu wanaangalia nini maybe izo kiki zao
P hajamwambia game jela sio daycare?
Dizasta Ni alien
Mi na enjoy saanaaaaa jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kati kaka na bwamdogo ...huu iz huu
This is incomparable, maana Rapcha kamataja kidogo tuu, but Huyu dizasta yeye katunga nyimbo almost nzima kumsema mwenzie. Rapcha nae ajibu tuu kwa kumpa nyimbo nzima
Mdanganye tu uyo mtoto, dizasta hajamdiss mbona kamwelekeza tu akitaka bifu basi ajibu.
Nyimbo yenye dakika nyingi ya Raptcha ni dakika 4
Zephania🤣🤣🤣humjui dizasta
Hapo disasta ajadiss kamuelekeza TU dogo
Kagusa mavi gizani mwanenu rapcha
Aaahhhh dizasta mxamehe 🤣. 2fanye kazi kakah achanah nae 2pe ngomah
Rapcha acha upuuzi tafuta level zako shubamit....!
Mi no fan wa young killer na dizasta hawa wamba wanajua rapcha ata achanee ngoma mia majibu yake yatakuwepo umu
dogo kalalamika kisa mtu katoa top ten yake ila Dizasta kampa free education sijui akitoa diss track itakuaje🤣🤣jamaa ni genius.
Hakuna hip hop rapper kama dizasta at the moment this dude is dangerous hallooooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Daaaaa uyu mwamba dizasta vina sio wa nchii ya hapa , aliesikiliza zaidi ya mara moja tujuanae
Rapcha the next level
Dizasta vina atengwe ana vigongo ambavyo vitaishi milele.
Ndugu wangu wadam ina sound adam nkwel adam aache upuuz dzasta nmkal alafu ua anjifany amfaam DIZASTA VINA POTENTIAL CLIMINAL🤴🤴🤴🤴🤴
Bro wewe ni hip hop kabisa bundala
Huyu dizasta hafai!! Silaha ya kutungulia ndege angani yeye kamweka mwenzake mita mia tu kamtungua! Ndio Nini Sasa!! Ana roho ngumu huyu! Na anakwambia eti hii Ni clarification tu Wala sio diss! 😂😂😂Ila jamaa Ni fundi aisee! Hiki kizazi Cha rap Cha Sasa Katu hakiwezi kukaa meza moja na dizasta! Sio level yao!
Nakubaliii sky wew ni mtangazaji na nusu
God of war 🔥🔥 vinaa dizasta
Sky wewe noma uchambuz shikamooo,🙌🙌🙌
Kitu tulicho sahau wengi hiki ndicho alicho kitaka rapcha kwanini? Tuanze na jina la nyimbo ya rapcha kwanini kaiita story nyingine? Jina limebeba hichi kinacho endelea nicca hapa rapcha ka 🏆
Dizasta akili kubwa mno 💪
DIZASTA VINA cyo Artist tu mwamba ni zaidi ya kiongozi mwanamapinduzi wa Africa. Rapcha afanye tu mziki asichanganye files
Dizasta kafanya mazishi💥💥
😂😂😂😂😂😂
First msikize D anavyo rhyme
Uyo rapcha ashindane na maarifa na sio DIZASTA
🤣
🙄😁😁 kabisa
Dizasta et wana wanasema hapo ni km umekohoa bado hujaongea
Kwani Rapcha hamjui Dizasta kua ni kichwa hatari sana ktk uandishi?😂😂😂😂
😂😂 hawa madogo jau jau😅 afute candyc crush kwenye simu
YAANI APO HAJADISS DAAH DIZASTA NDO STOR NYENGINE YENYEWE SASA HIVI DIZASTA NA JINI NANI NI JINIII HAHAHAH
Dis boy z genius duh
Dizasta Vina is a master over other shallow rappers,
Jamaa nyimbo zake huwa ni ndefu ivo ivo
ndo maana hapend main stream.. hapangiwi.. IQ KUBWA
Huyu Dizasta nihabari nyingine asee kama humjui ukifatilia rap zake utajua jinsi jamaa nimkali
Dizasta ni fire 😊
Huyo ndo vina dizasta Hana maneno mengi lakin vitendo sanaaa
This guy's got lyric talent no doubt. My only issues are:
1. Why would he say this isn't a diss song when he's clearly dissing?
2. Why would he respond to one subliminal line with a whole track? If that ain't clout chasing, what us it?
That's a diss but he had tu spice it with ego. Hip hop culture
He just try to clarify
Star Ford: it's just a clarification from the beast
Imagine how a diss track will be ?
Hapo DIZASTA katoa tu onyo.. Vipi kama akiamua kumdiss kbsa
my boy gini rapcha ni mbadi subiri na muone line moja metoa track subiri muone tukiandika dk 3 mtatoa album
Rapcha hamuwezi dizasta hata washirikiane na p fank
Hujui unachosema rapcha z my homy ila kwa hili anadill na senior utoto afanye na lunya😂😂
Hata amshirikishe p funk hamuwezi dizasta😅😅
Achukue malapa wote tz na east Africa. Dizasta mmoja anawabaka live
Achukue malapa wote tz na east Africa. Dizasta mmoja anawabaka live
Sky unatak knifanya nianze kusikliza hip-hop 🤣🤣🤣🤣🤣
Kama mwanaume ajibu hiyoo hahaha 😂😂 i like it respect sana dizasta
Rapcha haiwezi hii battle angekaa kimya au kama anataka atupe burudani wasikilizaji basi ajibu,diss track ya dizasta itakuwa na dakika 20 tunaua na tunasafirisha kwenda shinyanga hahaha 😂🤣😂😂
😂😂
Dizasta Sio Wa Kumjibu Huyu Dogo Kwa sababu huyu Dogo Bado Kichwa Chake Hakiwezi Kuvumilia Tabu za lyrcs Za Dizasta.. Ona Dizasta Alivo Relax Na Tunapata Kile Ana Deliver ....THE BEST Z DIZASTA
Dizasta atabaki kuwa best hiphop artist
Bro uko vizur uchambuzi wako Hadi tume enjoy uendelee kuishi kubarikiwa pia
HII NDIO HIP HOP SASA 👏👏👏👏