DRAKE amchana vibaya KENDRICK LAMAR kwenye DISS track mpya, ni HATARI! Haya ndio aliyomuambia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @BenMamadou-w9e
    @BenMamadou-w9e 6 หลายเดือนก่อน +11

    Kendrick Lamar alifanya mda mrefu afanyi music Ila Kendrick Lamar ni next level kwa hip pop wa subiri sasa wataona cha moto na wataona maana ya hip pop from New york na drake sio rap kabisaa

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna vitu Wala havihitaji maelezo Drake yupo ligi ya peke yake kabisa hakuna rapa Sasa Hivi anamgusankwa chochote

    • @OkaMaboy
      @OkaMaboy 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @ramadhanumba
      @ramadhanumba 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@Oldskulgemini9991kbx

    • @sostenesndemela8982
      @sostenesndemela8982 6 หลายเดือนก่อน

      ​​@@Oldskulgemini9991sawa ila hawez battle na lamar na huo ndo ukweli

    • @ramadhankassim7205
      @ramadhankassim7205 6 หลายเดือนก่อน +1

      If you talk about lyricism, K. Dot is on his own league.. Lakini kama kurap Drake anajua kurap na anaweza kudeliver bars, cadence, melodic flows and pettiness

  • @desngalaba1181
    @desngalaba1181 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa watu ambao awajui Kendrick na Drake wamekuwa wakitumiana diss kwa muda sasa sema ikagika stage drake akawa ajibu ila akawa anamtupia jiwe la gizani ila. Hizi wiki mbili zimekuwa zamoto baada ya Kendrick kutupa jiwe kwamba yeye nimkubwa kuliko Rap wote wanao tengeneza G3 yani Drake na J Cole hii imemfanya Drake kutupa dongo kali sana kwa kendrink na katika diss zote mbili alikuwa anataka kendrick amjibu niwazi kuna kitu Drake anakijua kuhusu Kendrick ili amdiss vizur. Ila kwa watu ambao awamjui Kendrick jamaa ni moto pia tena moto wa mbali nikama Alikiba vile hata akikaa kimya vipi aki drop track inakuwa nikali sana na ni bonge la genius Rapper.

  • @jamesnkumbila5937
    @jamesnkumbila5937 6 หลายเดือนก่อน +5

    We need story like this please 😊...it pure intertaiment

  • @ombeniruvubika5392
    @ombeniruvubika5392 6 หลายเดือนก่อน +2

    Drake hamuwezi Kendrick kwenye ngoma zaku diss, anaemuweza tuu ni J.cole, ila J.cole hataki ugonvi na mwanae Kendrick. Ila Drake aache tuu ingali mapema, Kendrick Ni mkali sn kwenye hizo ngoma.

    • @ramadhanumba
      @ramadhanumba 6 หลายเดือนก่อน

      😂 We kaa kimya Weee nani Kama drake wee

    • @neglonino1086
      @neglonino1086 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@ramadhanumbadrake amna kitu kabisa cos uyo Kendrick Lamar ni nyoko mbili huyo jamaa ni entertainer sio msanii kutokana na mitandao inayompa support hivi kuna tuzo Kendrick Lamar aliwahi kushiriki kwenye tuzo na akaikosa kama uyo drake AF hiyo jamaa mwenyewe anaban pua aje kushindana na msela

  • @khalidibero
    @khalidibero 6 หลายเดือนก่อน

    Kikubwa Pongezi Kwa Kendrick kumrudisha Drake kwenye rap kali ambayo ilimfanya lil wayne ampe dil pale Young money.

  • @OmegaThreads
    @OmegaThreads 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂 sky hizi vita unazipendaga sana aiseeeeh
    Shukran Kwa uchambuz

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 6 หลายเดือนก่อน +2

    Bonge la ngoma Drizzy kaua

  • @jables6804
    @jables6804 6 หลายเดือนก่อน +1

    Drizzy

  • @jmlaytv6961
    @jmlaytv6961 6 หลายเดือนก่อน

    Both Drizzy and Kendrick Lamar are the best in their ways, they are both lit🔥🔥

  • @socialmedia1456
    @socialmedia1456 6 หลายเดือนก่อน

    big time

  • @Wil_thug
    @Wil_thug 6 หลายเดือนก่อน

    Drizzy nailed it

  • @thobiasthom9353
    @thobiasthom9353 6 หลายเดือนก่อน

    Mtu ana ma ghost writers afu mnamsifia,diss track haitakiw kuchukua wik mbil au tatu kureply diss nyingin inakuw kam hun uwez wa kujib diss.

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumekucha😂😂😂😂😂

  • @malumethedon1411
    @malumethedon1411 6 หลายเดือนก่อน

    That's what Drake's ghost writer managed

  • @kingcole60
    @kingcole60 5 หลายเดือนก่อน

    KDot kaachia kitu huko mbona upo kimya tu

  • @jeromemsele290
    @jeromemsele290 6 หลายเดือนก่อน

    Lamaa ni mnyama. Sana. Hawez. Kumjibu

  • @AwardBillb000ard
    @AwardBillb000ard 6 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂 nakumbuka kwenye Zeus ya Eminem.. Em alimwambia
    "And Drake they're gonna turn on you too, And more you win, The sooner the do, they'll be calling you a trash bin"
    Na kweli wamekuja Sasa Drake anadhihirisha Mambo anayaweza 😂😂 Great

    • @youngbona3804
      @youngbona3804 6 หลายเดือนก่อน

      Mwanang unafatlia san aya mmbo👊✌kmbe wanyamwezi tupo wengi,,af wengi wanaomchana drake amewpambaniaga sana wapate hits coz uwa wanafanya kawaida sana🚀🔥

  • @JumaAbdallah-xb8nk
    @JumaAbdallah-xb8nk 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ili album itoboe lazima umdiss drake

    • @barakayesaya5000
      @barakayesaya5000 6 หลายเดือนก่อน +1

      Soma vizuri kichwa Cha habari

    • @audaxmlowa9953
      @audaxmlowa9953 6 หลายเดือนก่อน

      Na hicho ni kiswahili tu

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 6 หลายเดือนก่อน

    Ni bonge la ngoma aisee hio ya Drake

  • @shaibukhamis863
    @shaibukhamis863 6 หลายเดือนก่อน

    Ngoma iv fresh 2 diss track

  • @dennisizzrael1178
    @dennisizzrael1178 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kendrick ni mzizi,kama jcole na ukali wake wote kaomba msamaha,drake ni nani? Drake haezi ata freestyle

    • @jeremiahevodius925
      @jeremiahevodius925 6 หลายเดือนก่อน

      Ujuwi mziki tulia

    • @dennisizzrael1178
      @dennisizzrael1178 6 หลายเดือนก่อน

      @@jeremiahevodius925 bro wewe ndio hujui mziki,kama Rick Ross amekiri Drake ana ghost writer who are you kunipinga

    • @jeremiahevodius925
      @jeremiahevodius925 6 หลายเดือนก่อน

      @@dennisizzrael1178 uyo Rick Ross nyimbo zake Kali zote zilizo fanya vizuli dreck Katia mkono na mashail mengine katungiwa na kipande kinacho pendwa ni alicho imba dreck utamsemaje uyo mtu

  • @josephsamwel6511
    @josephsamwel6511 6 หลายเดือนก่อน

    J cole kaonesha udhaifuu nmemshsha viwango

  • @JumaAbdallah-xb8nk
    @JumaAbdallah-xb8nk 6 หลายเดือนก่อน

    Walimtaka sana drake ngoja uone diss track zitakavyotoka. Huu jama for now Ndoo ameshikiria hip hop so everyone need to take advantage kwa hii bif

    • @BenMamadou-w9e
      @BenMamadou-w9e 6 หลายเดือนก่อน

      Kendrick Lamar is the next big man

    • @youngbona3804
      @youngbona3804 6 หลายเดือนก่อน

      Yah mwamba anawakimbiza sku zote

  • @babamily1780
    @babamily1780 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kikubwa wasishikiane mitutu washie kwenye maneno tu

    • @josephsamwel6511
      @josephsamwel6511 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa wenzet biff zao znawaingzia hela ss bif zetu ni majungu

    • @babamily1780
      @babamily1780 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@josephsamwel6511 upande wa pesa ni flesh

  • @BenMamadou-w9e
    @BenMamadou-w9e 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kendrick Lamar is the best rap more than drake but Lamar is the new king 🤴 just waiting for king 🤴

    • @shafee9128
      @shafee9128 6 หลายเดือนก่อน

      Drake always win

  • @patricktravis6575
    @patricktravis6575 6 หลายเดือนก่อน

    Hii ndo maan halisi ya hip pop tunataka vita liendelee tunataka kumjua Dizasta vina wa worldwide ni nani😅😅😅😅

  • @sunwizy608
    @sunwizy608 6 หลายเดือนก่อน

    lamar ni mtu hatari

  • @kingcole60
    @kingcole60 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoja tuone KDot atakujaje

    • @BenMamadou-w9e
      @BenMamadou-w9e 6 หลายเดือนก่อน +3

      Lamar ni king 🤴 kabisaa

    • @youngbona3804
      @youngbona3804 6 หลายเดือนก่อน

      King wa nan akat awezi kumfikia mauzo drake kwa mauzo uyo ni king wako wewe😂😂

    • @danielkenedy4357
      @danielkenedy4357 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@youngbona3804uwez wa msani sio mauzo. Drak he's nowhere near kendrik

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@BenMamadou-w9e King wa wanafiki kama ulivyo bongo Alikiba anavyoitwa king mbele ya mondi😅

  • @moshi664
    @moshi664 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ili utrend inabidi umdisi Drake ndoma wasanii wengi wanamdisi sana

  • @frankchamba8894
    @frankchamba8894 6 หลายเดือนก่อน

    Drake copy and paste 😅😅😅 nyimbo zake zote anacopy

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hamna cha maana ulichoandika Mzee🚮

    • @ramadhanumba
      @ramadhanumba 6 หลายเดือนก่อน

      Hujui mziki

    • @frankchamba8894
      @frankchamba8894 6 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanumba we ndo hujui bro we jua nyimbo zake hanacopy nikama haujui hilo ama unataka nikuandikie nyimbo amecopy

    • @helberthwrld3766
      @helberthwrld3766 6 หลายเดือนก่อน

      Nop bruh now days idea n zlezle 2 yaan wan modernize 2 there's nothing new anymore

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 6 หลายเดือนก่อน

    Drake choko tu

  • @EdyFlow-zy8gu
    @EdyFlow-zy8gu 6 หลายเดือนก่อน

    KENDRICK N NYOKOOOO WEWE HUEZ WEKA SAWA NA DRAKEE