Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @hidayangoda4724
    @hidayangoda4724 2 หลายเดือนก่อน +29

    Mama yetu mpendwa mama wa wengi Rais samia Mungu aendelee kukutunza kwa ajili yetu asante kwa maamuzi mazuri uliyoyafanya kwa manufaa ya nchi yetu na watu wake Tanzania haina nafasi kwa matapeli kabisa,barikiwa sana mama Samia

    • @DamasjoachimPetro
      @DamasjoachimPetro 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nchi hii ina wapinga Kristu wengi, Mungu wapige wote waliokinyume na Nabii wako Kiboko ya wachawi

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @bujashidaniel5537
      @bujashidaniel5537 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@DamasjoachimPetrouna akiri timamu kwel ww

    • @neemambotola1139
      @neemambotola1139 2 หลายเดือนก่อน +1

      Aende bhn

    • @yassirabdallah3230
      @yassirabdallah3230 2 หลายเดือนก่อน

      @@DamasjoachimPetro haaaaaaaaaaa 🤔 kwaiy ulikuwa radhi kugombanishwa n jirani yko

  • @jacksonmachare663
    @jacksonmachare663 2 หลายเดือนก่อน +69

    Napenda mnooo nchi yanguuu Tanzanian ❤❤ inajali sana sana watu wake , huyu kiboko ya wachawi feki angeendelea kuaa apa angepotosha watanzania wengiiii mnnooo

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 หลายเดือนก่อน

      Hao wanaotekwa nao,wizi wa kura,ufisadi au na ww umegeuka kuwa chawa

    • @HassanJambia
      @HassanJambia 2 หลายเดือนก่อน +2

      Wapo wengi hawa sii kiboko tuu

    • @Josephineexsuper
      @Josephineexsuper 2 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo siku Ile aliwatuma waumini wapaze kelele pale nje ya kanisa😂😂😂pale ndo alikosea sanaaaa...usishindane na mamlaka

    • @DanielMwananzila
      @DanielMwananzila 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona unaumia sana😂😂​@@MathewNathan-yb2bz

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 หลายเดือนก่อน +28

    Kiboko wa wachawi ni Mungu pekee.potelea mbali.kahubiri Congo

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI หลายเดือนก่อน

      Oya 😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌🙌

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga หลายเดือนก่อน

      Nashangaa na akatapeli kwao

    • @bintmrisho3526
      @bintmrisho3526 หลายเดือนก่อน

      Unajisikiaje asaiv😂

  • @JacklineMasawe
    @JacklineMasawe 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ewe mwenyezi mungu simamia nchi yetu Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿zidisha amani na utuondolee mauwaji ya kinyama kwenye inchi yetu 🇹🇿🇹🇿

    • @WilsonEmmanuel-bs6op
      @WilsonEmmanuel-bs6op หลายเดือนก่อน

      Na kwel shelekali yatu mungu Uwa hanaipenda naungezidi kuukaa ungepotea Ukwel Nenda Congo Uko

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 2 หลายเดือนก่อน +87

    Asante Mungu jamani acha tu baba nenda tu kwa kweli huwezi endelea na huu mpango wako kiukweli… nenda tu Congo nako wachawi wamejaa

    • @Bravegirl.427
      @Bravegirl.427 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kuchukua familia yako ije congo , tz hapana hatutaki

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 2 หลายเดือนก่อน +5

      Kashaona makafiri wa tanzania hawatowi sadaka anarudi nyumbani sasa

    • @chany9950
      @chany9950 2 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣👍🏾

    • @super_boy_tz
      @super_boy_tz 2 หลายเดือนก่อน

      Maureen unanini wewe 😂😂

    • @thomasgabriel3205
      @thomasgabriel3205 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 2 หลายเดือนก่อน +17

    Tapeli Mkubwa kabisa wewe kaaa kwenu haya mambo ya kitapeli sijui kiboko ya wachawi hii nchi imechoka na matapeli mnataka kutupeleka shakahora

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 2 หลายเดือนก่อน +11

    Mungu Ishike Tanzania na vizazi vyake kama tunavyokusihi ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai Ujitukuze YEHOVA

  • @EliaEmmanul
    @EliaEmmanul หลายเดือนก่อน +1

    Mama yangu samia nakupenda sana kwa unacho kufanya kwa ajili ya watanzia

  • @HansChuma
    @HansChuma 2 หลายเดือนก่อน +26

    Hua mm nashangaa sana mitanzania mingine shenzi kabisa yann usapoti upumbavu kwann usifanye ungese huo kwenu et namuomba mama shenz kabisa em hii nchi vp

    • @MfiriFulgensi
      @MfiriFulgensi 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nawewe ilikuw mchawi ?

  • @advocatepetermbogoro1192
    @advocatepetermbogoro1192 หลายเดือนก่อน +1

    Toka shetani kwa jina la Yesu, nabii wa uongo ushindwe.

  • @visionstudios6804
    @visionstudios6804 2 หลายเดือนก่อน +3

    Inafikirisha sana, haiwezekani eti uwe na uchungu na nchi nyingine kuliko nchi yako uliyozaliwa, watanzania wengi wanaokimbilia kwenye haya makanisa yanayozuka ndio wanawapa moyo hawa matapeli kuendelea kukimbilia huku... Watu wafanye kazi hakuna maisha ya short cut.

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama yetu wageni wanaoingia tz wachunguzwe sana kenya wanaigeria wamejaa kenya na wamechinja wadada huko wageni wote wachunguzwe na waondolewe tz wana madhara wengi wao

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 2 หลายเดือนก่อน +29

    Mtumishi Wewe ulimfukuza mtumishi mwenzako Lutumba kanisani kwako tena mkongo mwenzio mbele ya waumini hukujali utu na huduma yake. Urekebishe huduma zako ziendane na Mungu

    • @henrychacha5592
      @henrychacha5592 2 หลายเดือนก่อน +7

      Ukweli kabisa mimi niliumia sana alipomdhalilisha Lutumba mbele za waumini wake.Pengine amevuna alichopanda

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kweli kabisa na yule alimsaidia. ..laana sana

    • @nurdinngalo-hj1ow
      @nurdinngalo-hj1ow 2 หลายเดือนก่อน +3

      Yah ni kweli afu kwa nn huyo mungu asikuinue huko kongo ivi hawa vipi

    • @abdallahally842
      @abdallahally842 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo kafukuzwa na fitina ya matapeli wenziwe aliwaibia wapumbavu eeh waumini wapuuzi wapigwa pesa ehh waumini wapumbavu waliwa lakitano eehh matapeli wenziwe wanaiba Kwa maji ya buku na mafuta ya buku tano yeye Anataka kutapeli lakitano ehh watu wangu wannangamia Kwa kukosa maarifa ehh wapumbavu wanaibiwa sababu wapumbavu wanafurahia kuibiwa😊😊😂 wapumbavu oyee

    • @PatsonKyando
      @PatsonKyando 2 หลายเดือนก่อน

      Haina uhusiano

  • @marryeliasmarryelias9289
    @marryeliasmarryelias9289 หลายเดือนก่อน +2

    Raise wetu ana kazi nyingi za kufanya Kwa wanaichii wa Tanzania na siyo matapeli kutoka inje ya inchii😢😢

  • @ZeishaFuture
    @ZeishaFuture 2 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu mwizi tu aombee kwao kuna vita watu wanateseka na njaa wanga pia kumuombea mtu laki tano hawa ndo wanatuvunjia amani ya nchi yetu kama wametumwa vile na mungu atakuhukumu kwa unachofanya zama za manabii wa uongo ndo hizi

  • @righitkileo
    @righitkileo 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤hii imeenda yaani wewe ulimtimua mtumishi mwenzako kama Mbwa na wewe umetimuliwa.❤❤tena masaa 24 ❤❤❤sasa unadhani Munqu Anadhihakiwa??? MUNGU fundi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JohnKatwanga-l1g
    @JohnKatwanga-l1g 2 หลายเดือนก่อน +23

    Mitanzani mijinga sana ndomana mataperi wanakimbiria tanzania

  • @modekaijames
    @modekaijames 2 หลายเดือนก่อน +23

    Huyu jamaa mjinga kweli sasa watoto wako wa wili na mke mmoja ndio ufanye upumbavu kwa watu wengi
    Nenda congo chukua na mkeo😊

    • @AhmadMtemi
      @AhmadMtemi 2 หลายเดือนก่อน +1

      Km ww nimtu wamungu,fanya maombi huko kwenu vita imalizike.Umejichubuwa sura ww nishoga. Mtu wa dini hawezijichubuwa km ww.

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@AhmadMtemi😂😂😂😂

    • @modekaijames
      @modekaijames 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@AhmadMtemi kweli aise yeye akakae goma au butembo na mke wake waombe vita vimalizike

    • @davidwatson6821
      @davidwatson6821 2 หลายเดือนก่อน

      Pumbavu kabisa, kwani lazima uishi Tanzania???? fanya hukohuko, mbona utawapata tuu wa kuwapotosha????

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 2 หลายเดือนก่อน

      @@davidwatson6821 😂😂😂😂😂😂

  • @mariecruz921
    @mariecruz921 2 หลายเดือนก่อน +67

    "Watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa"

    • @AliNassor-qt6fm
      @AliNassor-qt6fm 2 หลายเดือนก่อน +2

      Na watu hao ni wakristo

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 2 หลายเดือนก่อน

      Hata waisilamu wanao jilipua wanaangamizwa kwa ujinga mtu una meza bomu eti ni imani ya shahidi😂​@@AliNassor-qt6fm

    • @LucyNgowi-m5z
      @LucyNgowi-m5z 2 หลายเดือนก่อน +6

      ​@@AliNassor-qt6fmpale hatawaislam wapo kwa mwamposa ndio kuna utitiri wa waislam katika kukosa maarifa hakuna cha dini ni mtu yeyote yule asiyejirambua pia

    • @simonzakaria4770
      @simonzakaria4770 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@AliNassor-qt6fmkwa taarifa yako waislamu ndiyo huwa wamejaa kwenye hayo makanisa

    • @elizajoseph7209
      @elizajoseph7209 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ata Congo kuna wachawi nenda kawauwe uko kwenu Congo tapeli mkubwa.

  • @PaulathMpole-g4n
    @PaulathMpole-g4n 2 หลายเดือนก่อน

    Inasikitisha aiseee mungu yupo

  • @MorisHaule-n7h
    @MorisHaule-n7h 2 หลายเดือนก่อน +27

    mungu ni mwema tupo kwenye nchi ya kistaarabu sana fuata utaratibu tu na maagazo ya nchi kaka

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 หลายเดือนก่อน

      Hii bado haijawa nchi ya kistaarabu ina makando kando mengi sana

  • @salumkasim5840
    @salumkasim5840 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo mungu kakureta Tanzania tu nchi zingine waumini hawapo acha kuiharibu Nchii kwa kujifanya mungu mtu

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 2 หลายเดือนก่อน +19

    Kwani Tanzania ni kwenu si ubaki huko huko kwenu Congo 🇨🇩 kenge wewe na huyo mkeo si mchukue huko huko Congo wewe unajifanya Nabii, Manabii woto sehemu walizo fukuoka waliondoka na wake zao pia

    • @innocentswai22
      @innocentswai22 2 หลายเดือนก่อน +2

      Chunga mdomo wako usiongee ovyo

    • @MubaKhamis
      @MubaKhamis 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@innocentswai22mtumie nauli mke wako akufate

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 หลายเดือนก่อน +1

    Siyo lazima kufanya kazi Tz tumika hukohuko kwenu congo hatukutaki

  • @lightnessmasai8546
    @lightnessmasai8546 2 หลายเดือนก่อน +13

    Asantey MUNGU ENDELEA KUMUATHIBU HUYU TAPELI

    • @elidaburton8737
      @elidaburton8737 2 หลายเดือนก่อน +1

      Pepo kabisa ilo wangempa sekunde aondoke

  • @aboudijaaboudija
    @aboudijaaboudija 2 หลายเดือนก่อน +57

    Tanzania imekua nchi ya uhuru sanaa kila mmoja anakuja Tz kufanya upuuzi 😢

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 2 หลายเดือนก่อน +2

      Si wapumbav wanajua hiv hu jamaa mchungaj au tapel

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tumekuwa wapumbavu sana

    • @misojiyona2648
      @misojiyona2648 2 หลายเดือนก่อน

      Fungua kanisa congo uchukue na mkeo na wanao umeibia watu tumetoshaaaa

  • @AFRICANVILLAGE-l8x
    @AFRICANVILLAGE-l8x 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hapo serikali mmefanya jambo la maana huyu mpinga kristo aende zake

  • @AntoniaRyoba
    @AntoniaRyoba 2 หลายเดือนก่อน +8

    Nenda zako udiludi tena hapo selikali imefanya kazi zuri

  • @saidhussein951
    @saidhussein951 2 หลายเดือนก่อน +16

    Tapel..Mmoja tuuu we rudi kwenu bhana!!!

  • @deusdeditmarwa1324
    @deusdeditmarwa1324 2 หลายเดือนก่อน

    Nabii Dominic, Bwana Yesu asifiwe. Nadhani ni vema Sasa ujibu hoja hizi zilizokusababishia ufarakane na watu Fulani pale Buza

  • @AsiaShaban-zz4yr
    @AsiaShaban-zz4yr 2 หลายเดือนก่อน +13

    Mtapeli mkubwa wew na wafanyakazi wako kweli pesa unaitisha watu laki tano et kukuona2 kwenda sio laki tano ni mamilioni ya pesa

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mpuuuuzi kweli kweli , mama yetu kipenzi hawezi kufanya hivyo.kafanye huduma huko kwako Tz hapana

  • @khalidwaid8021
    @khalidwaid8021 2 หลายเดือนก่อน +92

    Sasa alikuwa anatabiria watu lkn yeye hajui hatima yake km atafukuzwa😂

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 2 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉😂😂😂 ah

    • @lucymtui8680
      @lucymtui8680 2 หลายเดือนก่อน

      🎉😂

    • @masungadutta3823
      @masungadutta3823 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 nimecheka kwa sauti

    • @faridaamenye8405
      @faridaamenye8405 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 hii ni maajabu

    • @LucyNgowi-m5z
      @LucyNgowi-m5z 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @dignachami7382
    @dignachami7382 2 หลายเดือนก่อน +14

    Asante Tanzania nchi yangu nakupenda kwa moyo wote ,huyu jamaa aende kabisa na asirudi tena nnahasira nae sana ametapel watu wengi sana serikali imshughulikie

  • @kanezajoella6663
    @kanezajoella6663 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wame fanya vizuri sana angefungwa hata jela

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 2 หลายเดือนก่อน +11

    Tapelii mkubwa sana uyoo jaamaa

  • @eliariro5514
    @eliariro5514 2 หลายเดือนก่อน +7

    Aende zake mpotoshaji wa maandiko takatifu.

  • @mashalitobunane
    @mashalitobunane 2 หลายเดือนก่อน

    Yeyote anaetumwa na Mungu hakuna wa kumgusa, Kama ni kusudi la Mungu kuwepo hapa mwambie yeye aingilie kati sio mama Samia, aidha unaweza kuanzisha huduma congo nako wanahitaji huduma sanaaa

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 2 หลายเดือนก่อน +16

    Hela ya carolite imeisha au mbona unalia lia sanaa 😂😂😂😂😂

  • @IrèneNapangwe
    @IrèneNapangwe 2 หลายเดือนก่อน

    Mwezi Mungu hatusahidiye sana

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wapo wengi mungu ni mwema bado kuna wengine wengi tuu

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ibariki Tanzania ...Tanzania nchi yngu❤

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwakuwa mshajua tanzania ndo kuna mazuzu yenu ya kuwatajirisha😊,,,ishi kwenu kila mtu akae kwao

  • @deusdeditmarwa1324
    @deusdeditmarwa1324 2 หลายเดือนก่อน

    Dominic, unaweza kuwa na karama ya unabii, lakini hekima ya ku interact na watu ni Bora sana

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 2 หลายเดือนก่อน +9

    We hufai 500,000/ hata hivyo sisi majirani zako tuna ilaumu mpaka serikali yetu nayo ilihusoka kukuruhusu Kuwaibia nduguzetu, broo we ni jamaeetu kubalitu kuwa ulikuwa tapeli

    • @maryamos7663
      @maryamos7663 2 หลายเดือนก่อน

      Hamisha familia yako kwenda Congo.

  • @SelinaMakana-y9k
    @SelinaMakana-y9k 2 หลายเดือนก่อน

    Karibu kenye

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 2 หลายเดือนก่อน +20

    Si mke wake amfate huko huko jamani? Baki huko huko kiboko ya wachawi

  • @JenethFrank
    @JenethFrank 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nabii gani ambae ulishindwa kuona hayo yaliyokupata??? Achana na watanzania moyo wako umeuachaje huku ungali hai huko ulipo acha kudanganya watu. Jutahidi kufanya huduma ya ibada ya kweli huko kwa ndugu zako Mungu atakusaidia na ikiwa utaziacha njia zako mbaya Mungu atafanya njia siku moja utakuja na injili ya kweli Tanzania na si ya kichawi wala kiganga. Hata hayo mavazi yako tuu si ishara nzuri badilika

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 2 หลายเดือนก่อน +17

    Bora umeondaka ungechelewa ungepotea kabisa Asante Tanzania kwa Amani ya Kanisa watoto wako salaam chini ya Jamuuri ya Tanzania

  • @ntakilutandato
    @ntakilutandato 2 หลายเดือนก่อน

    Pole baba mchungaji..Tanzania siyo sehemu nzuri ya kuishi.

  • @ndebilengelela6417
    @ndebilengelela6417 2 หลายเดือนก่อน +9

    Hatutaki banaaa,Mh.Dr,Rais.Samia Suluhu hasani wabakie hukohuko wanasumbua watanzania wanaomba vibali vzr ila wanafanya tofauti wanafanya wote watumishi wa Mungu tuonekane sio wa kweli kiukweli mie naona abaki tu huko.Kama wito autumie hukohuko kwao.

  • @SuleimanJob-e2l
    @SuleimanJob-e2l 2 หลายเดือนก่อน

    Pole jaman

  • @phestostanley4019
    @phestostanley4019 2 หลายเดือนก่อน +9

    Hakuna uende ufungue na huko wachawi wapo , unaleta laana juu ya nchi yetu kwenda huko

  • @deusdeditmarwa1324
    @deusdeditmarwa1324 2 หลายเดือนก่อน

    Dominic, mwaka huu 2024 umefanya makosa mengi Kwa mdomo na vitendo. Tubu makosa yako Sasa Kwa Bwana Yesu

  • @HassanAhmed-di9jq
    @HassanAhmed-di9jq 2 หลายเดือนก่อน +34

    Sababu niutapeli nahuko uliko mungu yuko na kama nimke bass hujakatazwa kumchukua

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly 2 หลายเดือนก่อน

      Si ndo apo sasa😂😂😂😂si mchungaji endelea kuchunga uko😂😂

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂si ndo apo sasa..si mchungaji,endelea na utumishi uko kwenu😂😂kwani ndugu zako wao hawahitaji huduma,ni watanzania tu ndo wameandikiwa huduma

    • @itanzaniaAS
      @itanzaniaAS 2 หลายเดือนก่อน

      EWAAAAAA😂😂

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 หลายเดือนก่อน

    Ushindwe kwa Jina la Yesu aliye hai

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 2 หลายเดือนก่อน +17

    Bwanaaa Gooooooo.......na Usirudiii Tena

    • @hawasaid7151
      @hawasaid7151 2 หลายเดือนก่อน

      Tena akomee uko kwao mfyuuu

  • @zakariamwasenga
    @zakariamwasenga 2 หลายเดือนก่อน

    Kahubiri kwenu 🇨🇩, kwa heriiiii

  • @AfyaYangu-yc7zw
    @AfyaYangu-yc7zw 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hata Yesu aliambiwa hivihivi mnavyosema walisema kama kweli ww mwanawamungu jishushe mwenyewe mimi naomba haya yote tumwachie Mungu yeye ndo anajua kuwa huyu wangu au la

  • @fortuneakankizya5336
    @fortuneakankizya5336 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupataje prophet

  • @zayneryassin6054
    @zayneryassin6054 2 หลายเดือนก่อน +76

    Siufungue kanisa congo nao wanataka huduma zako sana

    • @sirjoel6802
      @sirjoel6802 2 หลายเดือนก่อน

      Kabsa

    • @paschalfausitine7108
      @paschalfausitine7108 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio kbs

    • @paschalfausitine7108
      @paschalfausitine7108 2 หลายเดือนก่อน +5

      Inaonekana Kongo ,wajanja , cc ,wabongo ,ndo, tunapenda Sana kuombeya , na umasikini uko , pale pale

    • @BuhetySharia
      @BuhetySharia 2 หลายเดือนก่อน +3

      Akafungue Kongo....vita iishe..

    • @eddyempire9797
      @eddyempire9797 2 หลายเดือนก่อน +4

      Ombea vita yenu iishe

  • @MarianaCharles-oj3hj
    @MarianaCharles-oj3hj 2 หลายเดือนก่อน +1

    duh pole sana jaman huyu sio kiboko ya wachawi huyu nikiboko cha fimbo icho kikachape kwao hatukupendi hata robo nyooooo! umekila hela za shangazi yangu zikutoke mmapua

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 2 หลายเดือนก่อน +12

    Congo mnapenda Sanaa uchawi kuna ndunguyangu katoka shamba kuja kwako ukamwabia laki tano weye ubwa toka nenda kwenu huna uchawi wowote weye tapeli

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba หลายเดือนก่อน

    Jizi sana ili,,tena hatulitaki tanzania,,na watanzania tuache ujinga

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 หลายเดือนก่อน +20

    Baki huko huko bongo kumejaa

  • @LevinaModesti
    @LevinaModesti 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukutia nguvu mchungaji wangu Mungu yupo pamoja tunakuhitaji sana tanzania.

    • @meckmussa1840
      @meckmussa1840 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio zuzu kweli

  • @YustaMfugale
    @YustaMfugale 2 หลายเดือนก่อน +13

    Naipenda nchi yangu 🇹🇿

  • @israelmunuo7938
    @israelmunuo7938 2 หลายเดือนก่อน +2

    Raisi wangu Mama Samia Asante sana Kwa kuthamini maslahi ya Taifa na watu wako, Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan 🙏🙏🇹🇿

  • @AthumaniMsangi-f4i
    @AthumaniMsangi-f4i 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kila mkongo akitua hapa TZ lazima afungue kanisa ama mdawote yupo kanisani serikali inapswa mda mwingine muwaangalie hawa watu sana sasa nabii anaomba kurudi tena bongo wakati waumini ndio wajiandae kupanda FALCON,TAQWA, kukufwata ulipo

  • @NaimaSaidi-p4o
    @NaimaSaidi-p4o หลายเดือนก่อน

    Aymeeen bwana yesu aingilie kati urudi tanzania

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 2 หลายเดือนก่อน +11

    Zezi Sana wewe... Unamutania Mungu Sana... Mungu hazihakiwe shezi Sana

  • @jacklinakinabo6479
    @jacklinakinabo6479 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke ushamuoa huku sio kwake tena,afungushe amfwate Mume wake......wew ni mtu wa Mungu, Congo kuna Vita na matatizo kibao,Ombea nchi yako iwe na amani

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hizo nguvu alizonazo si zimrudishe Tanzania ?

  • @saleziiofficial
    @saleziiofficial 2 หลายเดือนก่อน

    Karibuni kusikia nyimbo yangu wakuu

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hauna Mungu ndani yako bro... baki huko huko

  • @KhalidNa-bn4gp
    @KhalidNa-bn4gp 2 หลายเดือนก่อน

    Safi upuuzi kuondolewa 🎉shenz sana huyu anajikuta dunia kaumba yey

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 2 หลายเดือนก่อน +3

    Safiii sanaaa

  • @ShabaniShebuge
    @ShabaniShebuge 2 หลายเดือนก่อน

    Polesana

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 2 หลายเดือนก่อน +6

    Serikari ufanye kazi yake Barbara Wala isiyumbe kabisa Kwa huyu mtu.sisi watanzania ni watu wa amani .akafanyie huko huko mambo hayo

  • @traveltzworldno8808
    @traveltzworldno8808 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tapeli mkubwa

  • @nadiaamisha2958
    @nadiaamisha2958 2 หลายเดือนก่อน +26

    Ngoja nipite 🤣🤣🤣🤣🤣 wanatabiria watu alafu wanashindwa kujitabiria wenyewe 😂😂😂Anza biashara my wangu maisha magumu

    • @sirjoel6802
      @sirjoel6802 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kabsa

    • @Elybwayz
      @Elybwayz 2 หลายเดือนก่อน +1

      😅😂 akili za wakiristo ni changamoto sana aende tu

    • @monicamwita9126
      @monicamwita9126 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂

  • @FatherJunior-he4sj
    @FatherJunior-he4sj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Taperi Huyuu na Pia ni mgombanishi

  • @erickmshoboth4705
    @erickmshoboth4705 2 หลายเดือนก่อน +8

    𝙆𝙞𝙢𝙚𝙣𝙤𝙜𝙚𝙬𝙖😂😂😂😂😂𝙚𝙧𝙖 𝙩𝙖𝙢𝙪

  • @deusdeditmarwa1324
    @deusdeditmarwa1324 2 หลายเดือนก่อน

    Nabii Dominic, ukiwa madhabahuni unazungumzia suala la ngono! Unasema kwamba hakuna mwanaume anaweza kumshinda mwanamke ktk mechi ya kitandani! Je ulikuwa sahihi juu ya madhabahu

  • @scholamwasi
    @scholamwasi 2 หลายเดือนก่อน +8

    Ugeni miala 10 fungua kwenu kanisa bana tumetosha makanisa mengi sada

  • @NdaloManyama
    @NdaloManyama หลายเดือนก่อน

    Congo waumini wapo

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 2 หลายเดือนก่อน +4

    Eti nchi ya kistaarabu ogopa sana watu wastaarabu tulikuheshimu ila ukaleta upuuzi

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna nabiiiii mwingine chief godloveee the real world afukuzwe

  • @BASHIRINAMYUNDU-dv5ff
    @BASHIRINAMYUNDU-dv5ff 2 หลายเดือนก่อน +5

    Njoo uendelee kuwaibia nyumbu wanakulilia

  • @obedymwilenga7490
    @obedymwilenga7490 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 2 หลายเดือนก่อน +4

    C hukae congoo huwezi kufanya kazii huko kwenu

  • @octaviathomasy8924
    @octaviathomasy8924 2 หลายเดือนก่อน +4

    Me nilishangaa sijui namba yangu kaisave kila siku ananitumia msg eti ndugu zangu watatu wananiloga wakati si kweli na marafiki wa wili mmmh nenda baba ila uchonganishi wako umekupenda sana

  • @gracemahugi4380
    @gracemahugi4380 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanza kwao huwezi fanya hivi wanatuonea sana visa wanapata bule sisi wanatutoza namaonezi mengi tu serikali imefanya vizuri aende kwao

  • @salumadam2862
    @salumadam2862 2 หลายเดือนก่อน +20

    Kwani huko kwenu uwezi fungua huduma tucho weza kukusaidi ni kukusafilishia mkewako nawatoto wako mkatumike huko congo mjinga mmoja wewe

    • @HansChuma
      @HansChuma 2 หลายเดือนก่อน

      Dah mwanangu mm nakwambia kitukimoja hakuna watu wadwanz kama wakongo wallah nakwambia haowatu huwez wajua mpaka utembee au kukaanao ila washenzi sana hua mm nashaanga madazetu wanawafagilia kingese sana

    • @judithmatage177
      @judithmatage177 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@HansChumaunaweza kuta yanawasibu mengi hawasemi tu wanaona aibu.😂

  • @lonsman
    @lonsman 2 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks Jesus

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kama kweli weye mchawi siuge waronga huna lolote mbwa tu huna uchawiiii tapeli

  • @LevinaModesti
    @LevinaModesti 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu mchungaji wetu tunakupenda karibu

    • @KulwaGuga
      @KulwaGuga 2 หลายเดือนก่อน

      Mchungaji au tapeli😂😂😂😂

  • @HappyVianeCassian
    @HappyVianeCassian 2 หลายเดือนก่อน +4

    Rudisha laki 500000. Ulizomtapeli mke wangu afu urudi.. Wewe ni tapeli hufani nakuchukia sanaa. Usijiite mtumishi huna sifa kabisa

    • @adamnasibu5931
      @adamnasibu5931 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 pole asee

    • @drhanda8201
      @drhanda8201 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro 2 หลายเดือนก่อน

    Tunakuhitaji sana sana

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 2 หลายเดือนก่อน +14

    Mke na watoto watapata baba mwengine na wataenjoi maisha kwendraaaa