Unapanda jukwaani ghafla inakujia Picha ya Ngwear, kama yupo pembeni , Mara Mez B unasikia kama anakuita ..unavuta Picha utani Wa Mazengo High school na wana chemba lakini unagundua Ngwear yupo mavumbini , Mez B yupo mavumbini! ... Hamu yote ya kuimba inaisha unaamua kuacha mziki na kuwaenzi wanao! Hongera bro Noorah Kwa busara hizo mpe Hi Dark Master
Noorah alikuwa mwanamziki mzuri. Ila ukweli ni kuwa muziki haukuwahi kumlipa. Kuna maisha pembeni ya muziki, sio kila MTU ana destiny katika music industry. Good work brother.
Amechukua uamuzi sahihi yaleyale yakina Vanessa uwezi fanya kitu kikawa kinakutoa Hela wakati hiko kitu kilitakiwa kikulipee imagine for 15yrs alafu hufaidiki ..He was my Best Artist back in the days pamoja na Marehemu Mangwea.. Pumzika Bro fanya mambo yako mengine Mziki unastress sanaa
Jamaa smart sana halafu nimenote kadiri umri unavyokwenda ndio anazidi kua handsome kumbe siri ni ibada anazozifanya TID inabidi ajifunze kupitia Noorah big up sana bro.
Respect to Noorah this guy knew what club music was tempo, pitch, kick you could mix his songs with anything kwa club na watu hawatatoka dance floor... Respect!!
Kuna kipindi nilitaka niache shule ili nikafanye mziki, kuna mtu akanambia kama kweli unataka mziki soma kwanza, nimemaliza chuo nafanya kazi niliyosomea pia nikifanya mziki, ila ni mwaka wa tatu sasa sijatoka kimzki, nawaza bila hii elimu ningekuwa nimekata tamaa na maisha labda
Tuko wengi kwenye hili Mziki ulinichukuwa kiasi cha kutaka kuwa my major career Lakini sasa miaka kibao imepita nimeopt kuinvest kwenye media tu Mziki stress sijutii kufanya nnachokifanya kwa sasa
Noorah nakukumbuka sana kwenye nyimbo yako ya lugha gongana aseee nilikua nafatilia mpaka interview zako ulisema hio nyimbo uliifanya pekeyako na ulifanya sehem ambayo alitakiwa akae mwanamke 💪🏽💪🏽💪🏽 noorah
ukiendekeza macho ya watu kamwee huwezi fikia malengo yk bora ufanye kile unachokion kitalet faid kwako na famili yk so kufat2 mkumbo honger kk ila nime kusahau sijuw nilikuw mdog kipindi kile waimba au ndo maisha2
Respect brudah...nipo London nimefulia but sijakata tamaa...Nina kazi ninayopenda kufanya na bado naisomea zaidi lakini tatizo Niko nalo ni siwezi ku save enough niseme sasa nirudi nyumbani Singida...Nimeangalia hii clip na sasa nimepata moyo zaidi kwamba bado nina Nafasi tho I gotta race against time.Ahsante bro
Hivi Kwanini wasanii wanapata kidogo tofaut na wanachofanya !? Katika Watanzania million 50,million 1 hawakosi kuwa mashabiki wa muziki,kwa mwaka msanii mkali kama Noorah alitakiwa afunge hesabu hata ya million 500 na kuendelea,ila kuna Wasanii wabongo wanatoa mangoma makali alafu wako pale pale,yaani Wasanii ni billionaires ambao wamelala
Ingekua bora zaidi. Ungeikweka no ya noorah.. tumlipe hela zake elfu Kumi sisi mafans wake wa kweli.... Tunafurahishwa na kazi zake. Kabisa.. kwa ujumla what i take from this is Noorah.. is wise .. very wise...
@@LUPPER. kafanya la maana kweli vinginevyo angeangukia kwenye madawa kama wengine binafsi nampongeza sana kama alivyosema Kuna maisha baada ya muziki wengi wanapotea kwa kulazimisha visivyoweza kulazimishika
Hii ya mwisho ya kuhusu imani ni a very huge point ambayo itajenga watu milele ..Big up brother me nilikuwa sidoz mpaka niskize migoma yako capital fm na eved suza
noorah sio kwa sababu haupo kuna michawi iko humo ni balaaaa bora fanya maisha kaka nimependa unachofanya mno tena mno yaani mno anayemuunga mkono gonga like
nakuunga mkono mana sio kila mtu kajaliwa kufanya hatuwa yakuacha muziki wangine wanacha na wanarudi na muziki sio kitu kizuri katika maisha ya Mwana Adam
He was ahead of time....naamin ktk hlo n miongon mwa wasanii walioanza kuswitch kitambo sanaaaa enzi hizo mc weng walikuw wanaandika na kuchana tofaut na yy...
Naona tunaodaiwa mwekundu na Noorah tumekuwa wengi. Hebu tujirejiste hapa 👇🏾
💸
Noorah maneno mazito. Noorah ni mtu akiongea unamskiliza. Yaani ni minimalist. Simpo language, simple delivery. Big up kwake
Shule ndio kitu muhimu jamaa shule ipo
Mad respect to noorahs hustle, he feeds his family and has a clear head on his shoulders.....the brother is woke
Mshkaji amestuka mapema kabla ya kuingia kwenye stress na kutumia madawa, Big up lyrical & flow genius Baba stars.
Baba styles 😎😎
"WAKUABUDIWA NI MUNGU PEKE YAKE" 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 Kweli brodha. Like kama unakubaliana na NOORAH
Huyu jamaa aliwahi kuugua mpaka baadhi ya watu wakakata tamaa ila siku zote MUNGU akisimama nawe hakuna wa kukutetelesha 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
Brain concussion eeeh?
@@suitbertmaro5792 amaa Shake Memories walitokea madirishani ilikuwa ni Ra4 min walikuwa wanaenda Dom
@@ramsikhamis7083 umeongea lugha gani!!?
Unapanda jukwaani ghafla inakujia Picha ya Ngwear, kama yupo pembeni , Mara Mez B unasikia kama anakuita ..unavuta Picha utani Wa Mazengo High school na wana chemba lakini unagundua Ngwear yupo mavumbini , Mez B yupo mavumbini! ... Hamu yote ya kuimba inaisha unaamua kuacha mziki na kuwaenzi wanao! Hongera bro Noorah Kwa busara hizo mpe Hi Dark Master
Noorah alikuwa mwanamziki mzuri. Ila ukweli ni kuwa muziki haukuwahi kumlipa.
Kuna maisha pembeni ya muziki, sio kila MTU ana destiny katika music industry.
Good work brother.
Mziki ulikuwa zamani, sikiliza sasa msanii wa zamani anavyoongea kama professor
Wewe sasa ndo umeongea
Yani mtu wangu wewe utakuwa intelegencia kuliona hilo mimi nilisema hivyo hivyo Big up Bro
Mr Noorah,long time bro
This guy is very wise.
A man is smart. Dat’s why he had a good and distinctive lyric. Now I see...
Amechukua uamuzi sahihi yaleyale yakina Vanessa uwezi fanya kitu kikawa kinakutoa Hela wakati hiko kitu kilitakiwa kikulipee imagine for 15yrs alafu hufaidiki ..He was my Best Artist back in the days pamoja na Marehemu Mangwea.. Pumzika Bro fanya mambo yako mengine Mziki unastress sanaa
Yupo sawa kwa kila kitu wapo wezi
@@jettymandizanohainamfano770 p
Pp
Jamaa smart sana halafu nimenote kadiri umri unavyokwenda ndio anazidi kua handsome kumbe siri ni ibada anazozifanya TID inabidi ajifunze kupitia Noorah big up sana bro.
We jamaa dah!!
Haya tukimaliza kuchek hii interview naomba turud TH-cam kuchek ngoma za jamaa....
Hahahahahhaha kwel kabx
Muhimu
Bila shaka
ni mekwisha msikiliza tayari kupitia song ' unanitega ' ft mwana fa
Amekua nlikua nshamsahau
Nina elf 10 yako bro bila ubishi...ila mm nafkir unanidai zaid ya hiyo. Sabab umeinspire kitu kikubwa sana ndan yangu..."UKURASA WA PILI"
Saidia masikini na fukara utapata malipo mazuri kwa Mwenyezi Mungu
Kwanini tuditafute namna ya kuchanga na kumtumia bro... Mimi roho inaniuma nahisi ananidai saaaaana
Moja Legendary wa Tanzania niliocheza Sana nyimbo zake disco big up real artist
Kabisaaa yaani tulienjoy Sanaa Enzi izo sio saa hii kanyaga kanyaga mmh
@@watakaniitaje1215 😂😂😂ati nini? Kanyaga kanyaga
@@watakaniitaje1215 heheee
This man knows how to answer questions in interview, thumb up to him
And the quationer is good
Kama namuona mzee ngarama baba nura ustaadhi from kigoma God bless u bro hope hapo kamabarage wadau wanatoa support ya kutosha
Sheikh ngarama atakuwa proud sana
I love this guy na nikawa najiuliza yuko wapi, finally nimemuona 🙏
Respect to Noorah this guy knew what club music was tempo, pitch, kick you could mix his songs with anything kwa club na watu hawatatoka dance floor... Respect!!
This the Best Motivational Interview have ever seen....Maisha ya UMARUUFU ni gharama...sometimes Living normal is Good.
Sad news ever! He was one of the best players in the game
👊👊👊👊🔥Tengeneza wasanii bro unaakili kubwa sana ya maswala ya music napenda nyimbo zako interview yako imefanya nikukubali zaid bro👊👊👊👊👊
Kuna kipindi nilitaka niache shule ili nikafanye mziki, kuna mtu akanambia kama kweli unataka mziki soma kwanza, nimemaliza chuo nafanya kazi niliyosomea pia nikifanya mziki, ila ni mwaka wa tatu sasa sijatoka kimzki, nawaza bila hii elimu ningekuwa nimekata tamaa na maisha labda
Kwer bro mipia napenda san mzki nafanya mziki uku na fanya kaz mwak wa5 nafany na bado miyayusho bila kaz ninge maish yasingeenda
Muziki unaumiza sana wanamuziki
Tuko wengi kwenye hili
Mziki ulinichukuwa kiasi cha kutaka kuwa my major career
Lakini sasa miaka kibao imepita nimeopt kuinvest kwenye media tu
Mziki stress sijutii kufanya nnachokifanya kwa sasa
Umetuwakilisha vizuri sana SHY TOWN kwenye Music...Much Respect Bro
Great Interview
Ukiishi kwa kuangalia macho ya watu hauwezi kutoboa me sioni ajabu kuuza duka as long as ni biashara halali afanye tu!!!
Surely. Umeongea sahihi kabixa
Fact 👏👏👏
nimependa sana wazo lake..wenziwe wanavuta unga sasa
Duka la spare hilo baba mtaji wake sio mchezo
@@josephstephen2047 exactly hilo sio duka la kitoto
Bro usirudi tena huko hata kama kunapesa mtumikia Allah kwa ajili ya maisha yako baadae.maisha ya dunia ni mafupi sana.
Chemba squard imeondoka daah!Mez B Albart Mangwea😭😭😭
Hongeraaaa pia kuna maisha mengine baada ya mziki
Wasanii wa Zamani Shule ilikuepo buana!..sio wasanii wa sikuizi Shule ngumu vingereza vingi much respect Bro@buku ten yako ninayo😂
Kabisaaa
Nimetoka kusikiliza tena Unanitega na Chochote Utapata kweli mashabiki wako unatudai elfu kumikumi, seriously tudondoshee namba yako maana tunajisikia tuna deni kwako!!
Noorah nakukumbuka sana kwenye nyimbo yako ya lugha gongana aseee nilikua nafatilia mpaka interview zako ulisema hio nyimbo uliifanya pekeyako na ulifanya sehem ambayo alitakiwa akae mwanamke 💪🏽💪🏽💪🏽 noorah
Wimbo wote aliandka yeye ila Ile sauti ya kike Alikua ni Sara (shaa)yule wa kundi la WAKILISHA
Uyu msanii namkubali Sanaa🙏🏽🇹🇿👌
Ayo tv bigup Sana👏👏
Mad love for u bro! Yo a music legend and if there was a good formation mazee this industry ingekua juu sana cause they would have the best teachers!
noorah anatuchapa bdo na lugha gongana kwa interview pia 😂😂 yenyewe ajuae ajua💪
Free style ni noooma alfu wimbo wa chochote utapata wa kelyn ndo huwa unanifanya nijiulize huyu broo yuko wapiiiiiiiiii
Interview ilikuwa nzuri snaa. Binafsi imenifundisha vitu vingi. U are very smart bro.
Lakini pamoja na yote nafikiri baada ya kifo cha Ngwair naona uliwaza mengi ukaamua kuacha game
Coz ukiangalia ata mwak alioacha game ndo mwak alio farik ngwea
Noora you are very matured now... Wisdom yako imepamda Sanaa. Remembering the days of Wu-Zengo
Du ni kitambo sana ni kwetu shiy like atakaetokoea shy
Tena hapo sio kambarage ni nssf ya zamani kwa nyuma karibu fundi pikipiki almasi
ukiendekeza macho ya watu kamwee huwezi fikia malengo yk bora ufanye kile unachokion kitalet faid kwako na famili yk so kufat2 mkumbo honger kk ila nime kusahau sijuw nilikuw mdog kipindi kile waimba au ndo maisha2
Wise and smart. Big up brother
To me he's a music genius and together with Ngwair they made me love music. Keep doing your thing and I've learnt some tips from you. Bless up
Good artist ever Tanzania apart from trending singers we have this one is musical educated in industry
Smart sana Noorah. Majibu mazuri na ushauri mzuri sana kwa vijana,wasanii na binadamu wote kwa ujumla. All the best bruh!
Respect brudah...nipo London nimefulia but sijakata tamaa...Nina kazi ninayopenda kufanya na bado naisomea zaidi lakini tatizo Niko nalo ni siwezi ku save enough niseme sasa nirudi nyumbani Singida...Nimeangalia hii clip na sasa nimepata moyo zaidi kwamba bado nina Nafasi tho I gotta race against time.Ahsante bro
Upo London ila wote tunaipata #hapahapa au sio.
Naimani umesharudi
Dah nilikukubali kipindi kile si mchezo yaani ulikuaga ni mzee wa FREE STLY kinoma.
Huyu ndio msanii mwenye hekima pekee niliyewahi kumsikiliza
Nd very educated mzee wa PCB
Mi ni mteja wake knoma hapo dukani kwake. Buku ten unayonidai kama mshabiki wako ntakuletea
Hahahaha.....one love mzaz
jamaaa yupovizuri akiliyake imetulia anajibuvizuri
Kila huwa nikihitaji kupata ushauri & story za music,,, huwa nakuja kwako bigup mangiii #letambegee
Hivi Kwanini wasanii wanapata kidogo tofaut na wanachofanya !? Katika Watanzania million 50,million 1 hawakosi kuwa mashabiki wa muziki,kwa mwaka msanii mkali kama Noorah alitakiwa afunge hesabu hata ya million 500 na kuendelea,ila kuna Wasanii wabongo wanatoa mangoma makali alafu wako pale pale,yaani Wasanii ni billionaires ambao wamelala
Noorah toa namba nikutumie 10000
Saidia masikini na fukara utapata malipo mazuri kwa Mwenyezi Mungu
0689442347 iyo apo mdogo wangu
@@lizzydiy4590 😁😁😁
@@alvinsafi2733 😂😂😂 watu tuna njaa
@@lizzydiy4590 Hatari sana
Safi sana..umeonyesha uthubutu mkubwa kwa kuwaambia wanamuziki wengine.
Unanidai elfu kumi bro! Fan wako leo kesho
What happens when you interview a smart guy.
Wanachemba wote walikua wakali ila wameisha, Ngwair, mez b , noorah na Dark Master..daah!!😥😥😥😰😰
😭😭😭 umeongea kwa hisia
Wanachemba ndio walileta Radha kwenye hiphop
akili nyingi sana huyu jamaa!!
This dude nice,calm,slow and humble💯hatujasahau ur good music
Noraah,Mangwair walkua mbele ya Muda
daah bg suprise kwangu unaipataje iyo elafu kumi sasa ??
Hongera ndugu ma elezo yame nyooka,,
THIS DUDE THOU WHAT A GEM💎 … Ila watanzania sijui tunafeli nini walah SAD!!!
Ingekua bora zaidi. Ungeikweka no ya noorah.. tumlipe hela zake elfu Kumi sisi mafans wake wa kweli.... Tunafurahishwa na kazi zake. Kabisa.. kwa ujumla what i take from this is Noorah.. is wise .. very wise...
Live kk
Legendary Kama legendary kitambo Sanaaa broo noorah 👊👊👊🇹🇿🇹🇿
Noorah A.K.A Baba stadh nakubali sana flow zako zilikuwa za kipekee sanaaaaaaah Mzee Baba jah Bless you
Sio baba stadh ni baba styles
Santo De Love hahaha
@@santodelove4351 Hahaha
Nimemuelewa sana noorah✌
Noorah a.k.a Baba Styles❤❤
Ishi sana brother, I 'm glad i found this interview, after kuona ile ya Big Chawa.God bless you 🙏🏼
Mimi ni shabiki yako na unanidai elfu 10
Mmmmh! Mpelekee hela yake si mpo jirani tuu hapo?
@@rewaatesh4877 hahahahaha yaani wewe umejuaje kama tuko jirani
Hahaha itabidi namimi nimuongezee. Ila kajitahidi kua na biashara.
@@LUPPER. kafanya la maana kweli vinginevyo angeangukia kwenye madawa kama wengine binafsi nampongeza sana kama alivyosema Kuna maisha baada ya muziki wengi wanapotea kwa kulazimisha visivyoweza kulazimishika
Mimi jamaa ananidai kama 50000
MSHUKURU ALLAH AMEKUONGOZA,TULIA HUKOHUKO KWENYE IBADA NA BIASHARA NYINGINE SIO MUZIKI,KAZI YA SHETANI NI MUZIKI AMINI USIAMINI,USIJE UKAFIA HUKO
Uko vizuri Noor rudi kwenye gems tunakupenda kk tutakusapot na elfu 10000 nitumie namba nikutumie
Kama ulishapitia hii situation gonga like kila jambo na wakati wake
Safi sana kaka wewe ndiyo umechukua uamuzi wakiume siyo kuabudu tu watu kama huyo mzee yusufu
Mi nimemuelewa sana and so humble, real and honest. Maisha ni mazuri sana, nimemuelewa sana.
Noorah yuko vizuri sana kwenye interview ila jamaa angeendelea na game tungekuwa tunaburudika sanaaa.
Ku burudika bila yeye kupata mpunga ni 0
Kitambo sana Noorah nakumbuka kipindi kile cha kina kia bway, maloga, mpandiko, magadula na wengine kibao
Ana maarifa flan hv amazing @Noorah
Good interview..
Maisha niyaajabu sana, tufanyeni ibada tu wanazengwe mana hamna jipya duniani,, umaalufu sikitu kumbe muda wako ukipita nalako haliko
Izo ibada mnazifanya kweli au ni unafki tuu kujiosha
Sio spear za magari tu ,wanauza na spear za pikipiki mfano matairi ya pikpik kwenye hilo pipa la kijani la BP
Huyu man namkubali sana na Nyimbo zake bado zitaishi....
Uko sahihi kabisa. Point kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Nilikuwa namkubali sanaaa,na voice yake iko powa sanaa! Alafu Amenenepa...😉👍🏻
I like you IQ bro.... Responses zako ximetulia just like kina ROMA, Chidi Beeenz...Mwana FA.... AY and more
Ulipoweka x kwenye s tu basi ukafeli
Hii ya mwisho ya kuhusu imani ni a very huge point ambayo itajenga watu milele ..Big up brother me nilikuwa sidoz mpaka niskize migoma yako capital fm na eved suza
Blessed
Respect broo Noorah and Millard ayo,i realy like this chanel
Channel isiyochosha, yenye kuelimisha thanks @millard🌹
Nime mwelewa sana broo nikweli watu wana fanya vitu waonekane rakini hawapo kwjiri ya maisha yao yabade
You are wonderful
Uyu jaama asee alikua anajua
Kwakweli mziki wako ulikuwa watofauti sana sana hongera sana.
noorah sio kwa sababu haupo kuna michawi iko humo ni balaaaa bora fanya maisha kaka nimependa unachofanya mno tena mno yaani mno anayemuunga mkono gonga like
Mad respect Mad love 💪
Big up loved his song
Mpaka leo nasikiliza music wako❤️❤️
Huyu jamaa alikuwa talented sana kwenye prime yake.
Gooooood!!!!
Big up to you brother Malo G🙏GoodInterView