BABA LEVO ASHANGAZWA TID KUWALALAMIKIA CHADEMA/WANABISHANA NA SERIKALI ITAKUWA YEYE/AMEVURUGWA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 456

  • @asinasharifu8022
    @asinasharifu8022 3 ปีที่แล้ว +85

    Umenifrahisha Saana babalevo eti wamlipe nachadema ilo mbona haliwezekani chadema so watu wakuwachezea niwabishi kweli kweli

  • @brobabuu3973
    @brobabuu3973 3 ปีที่แล้ว +54

    Kwa yeyote anayesoma hii..
    nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 3 ปีที่แล้ว +43

    Misemo ni jambo LA kawaida,, TID omba nafasi ya kapeni ccm upige hela acha njaa, b level ba uko sawa

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 3 ปีที่แล้ว +50

    Chadema wanashindana na serikali uso kwa uso itakuwa yeye watamshinda asubuhi 😂😂😂na kicheko chake sasa Kama kacheka had kachoka

  • @mataamiry6720
    @mataamiry6720 3 ปีที่แล้ว +47

    TI D umasikini unakusumbua sana sasa unataka kila msemo ulipwe acha ufukara wewe

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 3 ปีที่แล้ว +3

    Kama umekubali maneno ya baba levo gonga like apa

  • @rozeypwizzy6472
    @rozeypwizzy6472 3 ปีที่แล้ว +13

    hhhhh, sijawah kuangalia interview za baba levo bila kucheka, 😃😃😃😃😃usinifokeee

  • @emmanuelllimo9878
    @emmanuelllimo9878 3 ปีที่แล้ว +2

    Uhanangwa !!! 🔥🔥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥(UHANANGWA)😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @geofreymwanika9549
    @geofreymwanika9549 3 ปีที่แล้ว +7

    This is what presenter needs to be and not those interviewing that person from Tunduma, bravo sister

  • @hammyg5714
    @hammyg5714 3 ปีที่แล้ว +2

    Yani babaLevo so talented

  • @immanuelmwaipopo4565
    @immanuelmwaipopo4565 3 ปีที่แล้ว +3

    Napenda sana interview za baba levo

  • @liyoyofakhee5242
    @liyoyofakhee5242 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali

  • @mrgardendesignerluta4667
    @mrgardendesignerluta4667 3 ปีที่แล้ว +4

    Big up baba Levo ufahamu wako umekomaa..

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba nimeku elewa sana

  • @frankmtewele2427
    @frankmtewele2427 3 ปีที่แล้ว +18

    Baba levo nimekuelewa tid amevurugwa

  • @rashidsaad7948
    @rashidsaad7948 2 ปีที่แล้ว

    T.l.D mwehuuuuu uyo bange nyingi sana

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 3 ปีที่แล้ว +4

    Km umesikiaaa colana ingeendelea mwezi mzima wasanii wangekuwa na madevuu na ungewasalimia za sahizi ingekuwa ugomvi like hapa

  • @dsstanzania
    @dsstanzania 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana dada

  • @kijanaWaMamaBhajia
    @kijanaWaMamaBhajia 3 ปีที่แล้ว

    Mr all in all....tunakupenda sana baba levo

  • @marymallya9018
    @marymallya9018 3 ปีที่แล้ว +1

    Babalevo nakukubali wapeee

  • @GadiEdiomwakanyamale
    @GadiEdiomwakanyamale 3 ปีที่แล้ว +6

    Baba levo acha ujinga 😂😂😂 eti NAONA KAMA AMEVULUGWA 😂😂😂 Jamaa yangu unanifurahisha sana kaka 🙏

    • @subiradalabu6616
      @subiradalabu6616 3 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀😀😀kavurugwa tid kavurugika...

    • @GadiEdiomwakanyamale
      @GadiEdiomwakanyamale 3 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/awL4vT7pSTc/w-d-xo.html

  • @munnawwaryaqub8524
    @munnawwaryaqub8524 3 ปีที่แล้ว +9

    Njaa Maskini Tundu lisu mpe hata t-shirt ya ulaya😂😂

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 ปีที่แล้ว

    Sw nmbaba lov
    Usinifokee

  • @bahatimachinda8079
    @bahatimachinda8079 3 ปีที่แล้ว +12

    T.I.D niyeye na astufokee ajilipe mwenyewe

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 3 ปีที่แล้ว +1

    Jaamaa amenichekesha Sana

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 3 ปีที่แล้ว +1

    #Usemi_Mwengine_huu
    Using'ake Kaka ,
    Maana yake....
    Mshkaji ana ng'aka Sana ,
    Yaani ana ongea Sana ,

  • @ezekielchengula2228
    @ezekielchengula2228 3 ปีที่แล้ว +8

    Msemo mpya "za niiini" by Baba Levo

  • @winfredyngailo429
    @winfredyngailo429 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo's IQ IS undoubtablely

  • @sadickrajabu297
    @sadickrajabu297 3 ปีที่แล้ว

    Uyu baba revo akiojiwa raha sana

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 3 ปีที่แล้ว +5

    Tuachie sisi mpuuzi wew ulibahatika kupata pesa ukachezea saizi eti ni yeye ndo nini utakula kasuku Saizi unakunywa mipombe unalialia tu

  • @revdrseni
    @revdrseni 3 ปีที่แล้ว +2

    Yesu NI YEYE YULE

  • @samsonsaimon7351
    @samsonsaimon7351 3 ปีที่แล้ว

    Acha ktuigizia bahna

  • @engineertarimo7345
    @engineertarimo7345 3 ปีที่แล้ว +1

    Tid amekaa kiree Sana. Baba Levo nakukubali kinouma bro.

  • @mariethaaloice4449
    @mariethaaloice4449 3 ปีที่แล้ว

    Baba levo unajua man

  • @jamesbisege839
    @jamesbisege839 3 ปีที่แล้ว +10

    Tunabixhana na serikali sembuse tid

    • @jacobmbogella9027
      @jacobmbogella9027 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka mpaka basi

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 ปีที่แล้ว

    Baba levo Baba laooo

  • @rachelemmanuel3407
    @rachelemmanuel3407 3 ปีที่แล้ว

    Njaa mbaya sana

  • @hashimshaban4675
    @hashimshaban4675 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo kama baba levo jamaa yuko real sana

  • @kimzanyeshuhuda2313
    @kimzanyeshuhuda2313 3 ปีที่แล้ว

    Hongeraa Sana baba levo

  • @akidamakida6092
    @akidamakida6092 3 ปีที่แล้ว

    Basi kwa wahenga wanatudai sana kwa misemo yao tunayoitumia

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 3 ปีที่แล้ว

    Mzee Mohamed Yusuf ndio huyo huyo ameenda na maji 😅😅😅huyu baba Levo sio mzima

  • @ezekielevarest9215
    @ezekielevarest9215 3 ปีที่แล้ว

    Baba levo kaongea point kabsa wasanij Wana mawazo mengi sana

  • @hassanrwitita2503
    @hassanrwitita2503 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kavurugwa huyu ni top in dar

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 3 ปีที่แล้ว

    Unga kweli nomaaa

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 3 ปีที่แล้ว +3

    Baba levo haukwepesh maneno 😂😂😂 💪💪

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 3 ปีที่แล้ว +9

    Mbona dkt Shika alikuwa na msemo wake ITAPENDEZA SANA na tukautumia nao ukapita hakuna alipopita kalalamika

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 3 ปีที่แล้ว

      madawa yanamsumbua huyo

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 3 ปีที่แล้ว

      madawa yanamsumbua huyo

    • @snapkingtv6793
      @snapkingtv6793 3 ปีที่แล้ว

      @@witneskilinda5034 umasikini unamsumbua tu huyu jamaa mbona yeye alichukua msemo wangu wa kinyama na sijasema chochote

    • @snapkingtv6793
      @snapkingtv6793 3 ปีที่แล้ว

      @@witneskilinda5034 eti Hadi sasa hivi anajiita mnyama

    • @sanimoclassic1917
      @sanimoclassic1917 3 ปีที่แล้ว

      Umepatia aseh Tid njaa inamsumbua mpuuzi huyo

  • @allyjohns2397
    @allyjohns2397 3 ปีที่แล้ว

    Aaaaliyah pendezaaaaa😍

  • @andrewtamba6671
    @andrewtamba6671 3 ปีที่แล้ว +16

    😂😂😂kuna wanasheria elfu 6 na 500 ...elfu 7... Watamshinda asbh mapema😂😂 #Tusifokeane.

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 3 ปีที่แล้ว +10

    Aaliyah mbona kama umeanza kutufokea sikuhizi😳😢

  • @trophinidamac
    @trophinidamac 3 ปีที่แล้ว

    Babalev nakukubaki

  • @pastorstevenmdoe5143
    @pastorstevenmdoe5143 3 ปีที่แล้ว

    Hahaaaa umetisha sana mzee baba

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 3 ปีที่แล้ว

    Ahaaa

  • @aishamussa2563
    @aishamussa2563 3 ปีที่แล้ว

    Bangi mbaya sana

  • @hassanhezron6506
    @hassanhezron6506 3 ปีที่แล้ว

    Daaah maisha haya adi walia bro

  • @yohanasimon5190
    @yohanasimon5190 3 ปีที่แล้ว +20

    Baba levo ni mwehuu et chadema wanabishana na serikali uso kwa uso ije kuwa Tid 😂😂😂

    • @jacobmbogella9027
      @jacobmbogella9027 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 3 ปีที่แล้ว

      Et ni watata wanabishana na serikali

    • @jocelyneinarukundo3655
      @jocelyneinarukundo3655 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 3 ปีที่แล้ว

      Yaan baba levo usipochek bandama zinashida

    • @georgedaniel4962
      @georgedaniel4962 3 ปีที่แล้ว

      @@neemamayco3238 exactly yani ni zaidi ya comedy

  • @michaelmrema5233
    @michaelmrema5233 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo nishidaaaaaaaaaaa

  • @kibemassao442
    @kibemassao442 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo unanivunjaga mbavu kinoma..., unanimaliziaga mb koz kila ukiongea mm ni kucheka tu...

  • @georgeluoga9969
    @georgeluoga9969 3 ปีที่แล้ว +2

    😀😁😁😁😁jamaa kanichekesha sana

  • @sawiahthomas5975
    @sawiahthomas5975 3 ปีที่แล้ว +4

    kumbe baba levo nae huwa anaongeaa point daah

  • @greatman296
    @greatman296 3 ปีที่แล้ว +20

    TID asitufokeee
    Ni yeye

  • @frankforeheads7240
    @frankforeheads7240 3 ปีที่แล้ว +6

    Sometimes tujifunze sana huyu TID sasa hivi kachoka huyu

  • @lawiwambua2006
    @lawiwambua2006 3 ปีที่แล้ว +2

    TID are you learned Kweli-You should already know copyright and protect yourself.

  • @sadamramadhan2754
    @sadamramadhan2754 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu baba levo ni balaaaa,
    Mhamed yusuph ameenda na maji badala ya amefariki !!!!!

  • @sakaraboy8951
    @sakaraboy8951 3 ปีที่แล้ว +6

    NJAA + BANGE= TID

    • @said306nyatu9
      @said306nyatu9 3 ปีที่แล้ว

      Sakara boy umenichekesha. Njaa + njaaa jibu lake TD

    • @rashidsaad7948
      @rashidsaad7948 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @irenesluiter4496
    @irenesluiter4496 3 ปีที่แล้ว

    Uyu mshikaj ni actor

  • @elivisprofas1790
    @elivisprofas1790 3 ปีที่แล้ว

    Baba levo kazidisha utani sanaaaa😁😁😁😁

  • @youngsimbawcb1814
    @youngsimbawcb1814 3 ปีที่แล้ว

    BABA LEVO BUANA

  • @geoffreysiwakwi9737
    @geoffreysiwakwi9737 3 ปีที่แล้ว

    Nikitumia msemo wako Basi jua mm Ni shabiki wako. BABA LEVO BABA usinifokee.

  • @wachapakazimedia4353
    @wachapakazimedia4353 3 ปีที่แล้ว

    Mi napendaga sana interview za baba levo naenjoe saaaaaana

  • @shariphkasweha870
    @shariphkasweha870 3 ปีที่แล้ว

    Njaa mbaya

  • @mwambarock3696
    @mwambarock3696 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣😂😂 #TlD amevulungwa Inge kua CCM ungelala Mika ✌️✌️✌️

  • @maznaz3591
    @maznaz3591 3 ปีที่แล้ว

    W

  • @AmCool_
    @AmCool_ 3 ปีที่แล้ว +1

    Njaa mbaya 😁😁😅😂🤣

  • @adamj9723
    @adamj9723 3 ปีที่แล้ว

    Jinga sana babalevo😂😂😂🤩

  • @bonabonala42
    @bonabonala42 3 ปีที่แล้ว

    Baba Levo uriponipo

  • @said306nyatu9
    @said306nyatu9 3 ปีที่แล้ว

    Wallah. TD unachekeshaaa

  • @thomasmwaruka8247
    @thomasmwaruka8247 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe Baba Levo ni baba lao kihivyo..?
    Good...

  • @mjuba
    @mjuba 3 ปีที่แล้ว

    Baba levo we kila kitu unaagiza😂😂😂😂😂 mbona kama ushaanza kutufokea😀😀

  • @jovianusdeokles7274
    @jovianusdeokles7274 3 ปีที่แล้ว +2

    Anatufokea

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 3 ปีที่แล้ว +1

    Njaa hizi.....

  • @aminamwengwa3315
    @aminamwengwa3315 3 ปีที่แล้ว

    Baba levo

  • @asinasharifu8022
    @asinasharifu8022 3 ปีที่แล้ว +4

    Tid boya tu kwani niyy kaazisha yeye ilo neno

  • @khamisabeid3365
    @khamisabeid3365 3 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyu jaamaa nifani sana 😀😀😀😀😀

  • @penielkilongola4098
    @penielkilongola4098 3 ปีที่แล้ว

    Mzee ndo uyo uyo,Mohamed alioenda na maji😔😔😂wa foo Sana babalevo

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 3 ปีที่แล้ว +3

    Chadema wanabishana na serikali ndo iwe TID

  • @chocolatekalex1631
    @chocolatekalex1631 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂 jamaa ananiuwa sana bro usinifokee

  • @fatumamfaumeilawatafulia834
    @fatumamfaumeilawatafulia834 3 ปีที่แล้ว +9

    MM NIKOMORO BABA REVO NJOO UNIOEE BUREE 😂😂✌

  • @mkubwacax6853
    @mkubwacax6853 3 ปีที่แล้ว +1

    babalvo mbona kama UNA2FOKEAAA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 usitufokeeeee

  • @idrisismael7984
    @idrisismael7984 3 ปีที่แล้ว

    😂 😂 😂 Jamani Njaa ni mbaya Sanaa itammaliza

  • @saidsinani8765
    @saidsinani8765 3 ปีที่แล้ว

    Mm

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 3 ปีที่แล้ว +3

    TID njaa imemramba mwache ahangaike wakale wamesema asiefunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu TID aende kwa wajumbe wanajuwa jinsi ya kumlipa karambwa TID akatafute gugu anye.

  • @eliasjillanga3158
    @eliasjillanga3158 3 ปีที่แล้ว

    Hahahhaaaaa
    Baba levo hujawahi nifelisha

  • @ahz6907
    @ahz6907 3 ปีที่แล้ว +1

    Dkt shika aka Mzee wa 900itapendeza angekuwa wa kwanza kulalamika kuhusu misemo.umetumika hadi kibiashara.TID Kavurugwa huyo😂

  • @jeremiahmasunzu3437
    @jeremiahmasunzu3437 3 ปีที่แล้ว +2

    Chadema wabishi😃😃😃

  • @kessynamilembo2864
    @kessynamilembo2864 3 ปีที่แล้ว

    Braza njoo ulime mpunga mjini pagumu tayr

  • @deogratiasassey6872
    @deogratiasassey6872 3 ปีที่แล้ว

    Baba levo usinifokee

  • @ezekielmhamed4031
    @ezekielmhamed4031 3 ปีที่แล้ว

    Njaaa kubwa

  • @zuberimgawilo2639
    @zuberimgawilo2639 3 ปีที่แล้ว

    Tundu lissu Katia air port mashabiki wake wakawa wanamshangjlia mini yeyee ni yeyee t.id umevurugwa

  • @adii__01_online99
    @adii__01_online99 3 ปีที่แล้ว

    Baba level uyu atali interview zak bn atale #USINIFOKEE

  • @bonifacemeela5247
    @bonifacemeela5247 3 ปีที่แล้ว

    Wan wanasheria 6500,7000 watamshinda asubuhi Huyu levo bhana daah!