HOUSE GIRL EP 35 || love story💞💕

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • #bongomovie #housegirl

ความคิดเห็น • 1.6K

  • @FridaTarimo
    @FridaTarimo 3 หลายเดือนก่อน +373

    Wanao sema candy ameingia Cha kiume munipe like zangu😂❤

    • @VickyFrancis-eb2vp
      @VickyFrancis-eb2vp 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅

    • @JustinFuraha-gr2lk
      @JustinFuraha-gr2lk 3 หลายเดือนก่อน

    • @bintrashid5108
      @bintrashid5108 3 หลายเดือนก่อน

      Na lazima asimame😂😂

    • @EmJesho
      @EmJesho 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @EzekielGabriel-n3m
      @EzekielGabriel-n3m 2 หลายเดือนก่อน

      Iachiliwe Kwa siku vipande viwili

  • @maryamt594
    @maryamt594 3 หลายเดือนก่อน +39

    Leo nitalala vizul kuona kai ikosawa kwagupata hakiri mitangu nianze kuyifatiria sijapata like hata moja munipeye basi❤❤❤

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 หลายเดือนก่อน +338

    Kama unamkubali bib zuuh Ngonga like nyingi kwa bb zuuh kwa mpigania mjuu wake apone,,,,,,❤❤❤❤❤😂😂😂❤❤

  • @Franciscah-ks5zq
    @Franciscah-ks5zq 3 หลายเดือนก่อน +37

    Watu wa zuu mko wapi nipeni like zangu

  • @AffectionateDinosaur-pn6pw
    @AffectionateDinosaur-pn6pw 3 หลายเดือนก่อน +95

    wangap mmefurah zuu na Kai kupona dondosha like za kutosha

  • @khadijastambuli4540
    @khadijastambuli4540 3 หลายเดือนก่อน +20

    Kai kapona candy atakoma jamn nipen like zanu Toka naanza kuifatiliya sijawahi kukoment

  • @FatimahK-w1l
    @FatimahK-w1l 3 หลายเดือนก่อน +72

    Mashallah hii filamu yapendwa dakika Tano Iko n koment mia uwii ila yote tiss nipen like plz team zibala🤣😊

    • @Zenabeby
      @Zenabeby 3 หลายเดือนก่อน

      Team hamam tuko mamii 😂😂🎉🎉🎉

    • @IteritekakellyKelly
      @IteritekakellyKelly 3 หลายเดือนก่อน

      Team matbka😂😂😂

  • @ElizabettEmanuel
    @ElizabettEmanuel 3 หลายเดือนก่อน +27

    Jamani kwenyee hizi ndoa tuwe waaaminifuuu kwakweli natumtegeemee mungu napia wewe mwenye mdadaa wa kazi mpende Kama mwanao ukimnyanyapaa kumbuka unawatoto unamuachia nyumbni je yeye ata wafanya nini 🙏🙏🙏🙏 kumladh kwasababu Kila kitu duniani kinategemeana. Nipe nikupe 💕💕💕💕

  • @Jackymomanyi
    @Jackymomanyi 3 หลายเดือนก่อน +151

    Team Gen_z gonga like tukisonga..alafu kama unapenda vile shosh ameanza kuteza kendy gather here🎉😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Johar903
      @Johar903 3 หลายเดือนก่อน +2

      ❤❤❤❤safi sana Mungu kajibu 36 inatoka lini

    • @neemaSeif-l9t
      @neemaSeif-l9t 3 หลายเดือนก่อน +2

      naona sasa move imeanza kunoga jamani apo patamu

    • @Maftaha-k8m
      @Maftaha-k8m 3 หลายเดือนก่อน +1

      Leo nnafuraa kweli kuina mambo yamekua sawa

    • @عائشةال-ل6ص
      @عائشةال-ل6ص 3 หลายเดือนก่อน +1

      Asnte mungu

    • @MetrineNelima-i4w
      @MetrineNelima-i4w 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤝🤝🤝

  • @LinaLina-uu5pw
    @LinaLina-uu5pw 3 หลายเดือนก่อน +36

    Team zuu gonga likes hapa tukingojea kutetwa kwa cendy na bibi zuu

  • @OliverLeonard-dp8kz
    @OliverLeonard-dp8kz 3 หลายเดือนก่อน +35

    Jamn Kila nikiingia hum ndan naona wanaomba like na me naomba leo na me hata moja

  • @besuramahenge6032
    @besuramahenge6032 3 หลายเดือนก่อน +17

    Nimefungia nimekuwa wa mwisho like hata moja tu

  • @Scolayusuph558
    @Scolayusuph558 3 หลายเดือนก่อน +70

    Jaman mtuongezee dakika ata 30 mnao taka tyuongezewe dakika tyujuane kwa like ❤

  • @AminaAli-w3s
    @AminaAli-w3s 3 หลายเดือนก่อน +11

    Jamn movie imeshutiwa kwamwalabu hadi nawaona majiran zang had job kwang napaona❤❤❤❤❤

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 หลายเดือนก่อน +69

    Tunaomin zuuh anakwenda kupona soon karibun tujuane kwa like zakutisha,,,,😂😂😂😂❤❤❤

  • @SophieAbel-vu6hv
    @SophieAbel-vu6hv 3 หลายเดือนก่อน +14

    Nilikuwa mnyonge kumuona kai anavyoendesha na kandri sasa nimekuwa na fraha kumuona kai anajitambua anachofanya👏👏

    • @SikudhaniSalimu
      @SikudhaniSalimu 3 หลายเดือนก่อน

      Wee mm apa miguu juu Kwa furah

    • @SophieAbel-vu6hv
      @SophieAbel-vu6hv 2 หลายเดือนก่อน

      😁😁😁😁😁😁👍💕

  • @johariabdalla3099
    @johariabdalla3099 3 หลายเดือนก่อน +74

    Wa 6 😢😢kazi ya bibi iendelee 😅nipeni basi like hata 3

  • @Edoublej4_tz
    @Edoublej4_tz 3 หลายเดือนก่อน +6

    Sania na mwenzako mliokuwepo maeneo ya mlimani me shabiki yenu nawaita mnajikuta mmesha jipata.., 👍

    • @BettyShabbyWey-to6cf
      @BettyShabbyWey-to6cf 2 หลายเดือนก่อน +1

      naomba utusamehe sana hatukusikia wito wako

  • @BahatiKadenge-n5r
    @BahatiKadenge-n5r 3 หลายเดือนก่อน +72

    Huyo ni zuu kama hatakua zuu mninyime like ikirushwa hewani part 36 sawa ila huyo zuu ndie kakamata mkono wa kai ❤❤❤❤❤❤saii wale wafuasi wa candy wanatamani kulia au vip ❤❤❤❤❤

    • @eliewahamsophe9972
      @eliewahamsophe9972 3 หลายเดือนก่อน +3

      Bodaboda wake

    • @BahatiKadenge-n5r
      @BahatiKadenge-n5r 3 หลายเดือนก่อน

      @@eliewahamsophe9972 huo mkono ni wakike nawe sie bodaboda huyo

    • @JenniferLunkombe
      @JenniferLunkombe 3 หลายเดือนก่อน +1

      Daaah yaan natamani Ata 36 watoe Sasa ivi

    • @HusnahMariam
      @HusnahMariam 2 หลายเดือนก่อน

      Watalia sana tena

    • @HusnahMariam
      @HusnahMariam 2 หลายเดือนก่อน

      Nakwambia ni yeye

  • @JulianaEmanuel-jn3yo
    @JulianaEmanuel-jn3yo 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wow ndy tulikuwa tunapatak hpa patamu team oyee🥰

  • @ministerlightnessrobert5342
    @ministerlightnessrobert5342 3 หลายเดือนก่อน +522

    Tunae omba iwe inaachiliwa vipande viwili kwa siku like apa

  • @ChristianRugenge-kd1xh
    @ChristianRugenge-kd1xh 3 หลายเดือนก่อน +13

    Busati Tv ina tuburudisha kabisa na tena ata niwe na stress muki posty iyi movie Na stress yote inafika na Isha like apa kama una mpenda kayi ❤❤❤

  • @JacklineMazonge
    @JacklineMazonge 3 หลายเดือนก่อน +32

    Waungwana tumuombee zuuh wetu 🎉like kwa zuuh wake

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 3 หลายเดือนก่อน

      Yaani nmefurahi kumuona Kai karudi kuwa sawa Candy kwisha ww

  • @BeatriceRobi-j5q
    @BeatriceRobi-j5q 3 หลายเดือนก่อน +3

    Waa nimefurahi San kwasabab zuu amepatikana na Kai amelundi kwenye hali yake

  • @Saada-ze1kl
    @Saada-ze1kl 3 หลายเดือนก่อน +27

    Kwa mpigo nshafika hapa❤ Bibi weldone. Atleast Kuna nuru sasa

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 3 หลายเดือนก่อน +1

      Leo mambo ni moto❤❤❤❤❤

  • @HadijaHamisi-yt3pn
    @HadijaHamisi-yt3pn 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalala you tube Kwan watu jman daah Aya nipeni like hata 2 jman❤❤❤❤

  • @GraceJulius-kv3rz
    @GraceJulius-kv3rz 3 หลายเดือนก่อน +36

    Leo nimewahi naomba like 10 tuu

  • @Jenniffer-m9k
    @Jenniffer-m9k 3 หลายเดือนก่อน +5

    sahii candy atapatikana kwel aibu inamfata .🎉🎉munipee like bx

  • @kalamapendo2701
    @kalamapendo2701 3 หลายเดือนก่อน +20

    Leo patamu hapa 😂😂😂😂💃💃💃 baada yakuomboleza our fall gen z tunafuta machozi na house girl ❤

    • @clarasada9941
      @clarasada9941 3 หลายเดือนก่อน

      tuko pamoja 7/7 watanzania mtusaidie

  • @QudrahFelix-qf9my
    @QudrahFelix-qf9my 3 หลายเดือนก่อน +5

    Saizi kunanoga ila plz mungekua munaweka hata mb ili❤❤❤

  • @Zainabu-xn3vd
    @Zainabu-xn3vd 3 หลายเดือนก่อน +24

    Wenye tunaminii zuu atapona na kai gonga like hapa,alafu watuekee vipande viwili kwa siku please ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LovenessNgonela
    @LovenessNgonela 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wanaoanini kai ndie atakae Fanya zuu apone like tafadhali ❤❤

  • @ZainabuAlly-lm1lg
    @ZainabuAlly-lm1lg 3 หลายเดือนก่อน +28

    Wakwanza leo naomben laik zang

  • @VgmukomboziOficiel
    @VgmukomboziOficiel 2 หลายเดือนก่อน +4

    CANDY amepata homa kinamwanzo kinamwisho team zuuuu muko apa tuna tobowa Kai kapona nilingojeya sana

  • @MamoDhaMacho
    @MamoDhaMacho 3 หลายเดือนก่อน +21

    Nipen like zangu nimekuwa wa kwanza leo

  • @Asha-xc1nc
    @Asha-xc1nc 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wapi likes za bibi zuu jaman 🎉🎉❤❤

  • @haythammohd5599
    @haythammohd5599 3 หลายเดือนก่อน +17

    Amkeeni jamaniii busati washafanya mambo hukuuuu

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 3 หลายเดือนก่อน +4

    Waaaah huu ni moto kweli nani amerudi raudi 2 kama Mimi,hongereni nyote kwa kazi nzuri,am from 🇰🇪🥰 kenya 🇰🇪🇰🇪❤❤❤

  • @Manasiti-k1p
    @Manasiti-k1p 3 หลายเดือนก่อน +14

    Tupo ama tuko buys muniachi likes wapenzi tujuwane

    • @GRACEGWEMERA
      @GRACEGWEMERA 3 หลายเดือนก่อน

      Nimeipenda sana iyoooo ❤❤❤

    • @GRACEGWEMERA
      @GRACEGWEMERA 3 หลายเดือนก่อน

      Jamani tupo pamoja sana aiseeeeh 😊😊😊❤

  • @ElizabettEmanuel
    @ElizabettEmanuel 3 หลายเดือนก่อน +18

    Niwambie kitu msiwe mnacomment mpaka mwisho maan mnaomba like tuuu alafu mwisho amsemi mmejifunza Nini ili upate like nyingi toa maoni yako uoone. Kama hamtapata like kwasababu Kila Mtu ananamna anajifunza kupitia wewe

  • @NduwimanaRehema-qi4hc
    @NduwimanaRehema-qi4hc 3 หลายเดือนก่อน +16

    Nawapenda sana❤🇧🇮🇴🇲

  • @mareiaMerry
    @mareiaMerry 3 หลายเดือนก่อน

    Yaaan hapo batamu xaxa twende naloo wana family ❤❤🎉🎉oyeee oyeee hongera ziende kwa bib zuuh umeupiga mwigi 🥰🥰💗 bora kai kapona Alhamdulillah Allah awazindixhie kipaji inshaAllah 🤲

  • @JenifaAnthony
    @JenifaAnthony 3 หลายเดือนก่อน +55

    Jaman naombe hata like moja wapendwa ,sijawahi hata kupona jaman

  • @zulekha-jv9rn
    @zulekha-jv9rn 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani Leo Niko nafuraha Kai kapona waaaah🎉🎉🎉😂❤❤big up inanonga sana

  • @sifamaureen2792
    @sifamaureen2792 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hongera kwako shoshi zuuu,penda wewe saana,candy must gooooooh

    • @glorykadzo
      @glorykadzo 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂amekua ruto

    • @sifamaureen2792
      @sifamaureen2792 3 หลายเดือนก่อน

      @@glorykadzo AK nimependa hii ,shoshi zuu amecheza kama genz Wa Kenya candy must gooooooh rever and forever 🤣🤣🤣🤣

  • @lydiahnyongesa69
    @lydiahnyongesa69 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tuliofurahi kai kurejesha fahamu 😅😅👍

  • @AishaIsmail-m8h
    @AishaIsmail-m8h 3 หลายเดือนก่อน +11

    Mko fasta sana hongereni

    • @GRACEGWEMERA
      @GRACEGWEMERA 3 หลายเดือนก่อน

      Nice 👍👍👍

  • @Shinyg3l
    @Shinyg3l 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna chanel inayonipa rahaa kama busati tv,,stress zotee kwishaaaaa 🤣🤣

  • @ornellaniyongabire4487
    @ornellaniyongabire4487 3 หลายเดือนก่อน +51

    Muko wp sasa njo munip like zangu😂😂❤

    • @BenditaAguia-md4qp
      @BenditaAguia-md4qp 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @RehemaKenga-e3k
      @RehemaKenga-e3k 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tuko hapa 😂😂😂

    • @SbsBts-g3v
      @SbsBts-g3v 3 หลายเดือนก่อน

      Mko viziri sana next plz

    • @JudyDee-dt2fe
      @JudyDee-dt2fe 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😊

  • @YusraAbdallah-h6j
    @YusraAbdallah-h6j 2 หลายเดือนก่อน +1

    hapa Sasa movie ndo inaenda kuwa tamu ndo movie inaanza team Kai gonga like hapa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน

      Noma sana

  • @HappyMtawali
    @HappyMtawali 3 หลายเดือนก่อน +21

    Mbio karibu nianguke aya mkuje vizur msinikanyage😂😂😂

    • @JoyceMwita-e3w
      @JoyceMwita-e3w 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kila dakika naangalia kama imetoka duh 😂😂😂

    • @marthanassari3524
      @marthanassari3524 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @GhUy-u7s
    @GhUy-u7s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaz nzuri sana yan hamna shoo mbovu mungu awazidishie❤❤❤❤❤❤

  • @Lovekidoti32
    @Lovekidoti32 3 หลายเดือนก่อน +13

    Kai amepona sasa movie ichangamke😊

  • @NeliaDaniel-h9s
    @NeliaDaniel-h9s 3 หลายเดือนก่อน +1

    oyooooooo hatima saruti sana kiongozi mwisho ubaya huko💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kai kai unastahili tuzo asante sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @NaterciaSilvestreNachomb-pc6ic
    @NaterciaSilvestreNachomb-pc6ic 3 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana house girl naomba like mimi nipo 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @RatifaSekamba
    @RatifaSekamba 3 หลายเดือนก่อน +23

    Naombeni likes zangu wakwanza leo

  • @HawaChake
    @HawaChake 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inaerimisha kiukweri nawapenda wote mmebeba uwalicya ww kweri kongore watanzania wenzangu mpo vizuri

  • @MaliaRoman
    @MaliaRoman 3 หลายเดือนก่อน +5

    Jamanii nyie nawapenda Bure mnawahisha vipande❤🎉🎉🎉

  • @hlimaa5182
    @hlimaa5182 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani yaani furaha nilionayo acha Allah awe shahidi wa hilo zuu kaingia mikoni mwa bb kai nae kazinduka nyinyi kina masozi endeeni kupanga mipango feck ila nime cheka BB 😂😂😂eti kanda au kande😂😂😂😂 Busati tv kila ninapo angalia tanfilia hii hujikuta nafuraha sana mbarikiwe hadi mshangae❤❤❤❤❤❤❤

  • @momkhan-hc7zh
    @momkhan-hc7zh 3 หลายเดือนก่อน +13

    tupo hapa

  • @HillarySendeu-ht3lj
    @HillarySendeu-ht3lj 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hatimaye zuu kapatikana like kwa bi zuu kapambana kwa ajili ya kai na mjukuu wake

  • @NaomiThomas-t9q
    @NaomiThomas-t9q 3 หลายเดือนก่อน +8

    Duuh iki kipande kimenikosha kinyama congrats to BUSATI TV

  • @Babygirl-s3h
    @Babygirl-s3h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbn tamu jamn msikawie bs episode 36❤❤❤❤

  • @TatuDimka
    @TatuDimka 3 หลายเดือนก่อน +28

    Naombeni like zenu TM zuu jaman

  • @TrinityMyula
    @TrinityMyula 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamn nomben na mimi na like kila nikiingia nakut watu wanaomb like

  • @saraphinaJohn-k2m
    @saraphinaJohn-k2m 3 หลายเดือนก่อน +17

    Timu zuuu oyeee

  • @AnnaAmanda-v4q
    @AnnaAmanda-v4q 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kama unaamini house girl na jua kali ndio tamthilia kali Tanzania gonga like tuwe pamoja ❤❤❤❤❤❤😂😂

    • @mwajumsleman9070
      @mwajumsleman9070 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂hiiiii kali sna aiseee kuliko ata jua kali

    • @AnnaAmanda-v4q
      @AnnaAmanda-v4q 3 หลายเดือนก่อน

      @@mwajumsleman9070 🤣🤣🤣🤣😂😂😂 lita kukuta jambo

    • @deborampinga8185
      @deborampinga8185 3 หลายเดือนก่อน +1

      ebu acha kufananisha house girl na vitu vya ajabu😂😂😂😂😂 lamata cz anazngua sana

    • @liliy-u3n
      @liliy-u3n 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@deborampinga8185 😢 better ata huba

    • @AnnaAmanda-v4q
      @AnnaAmanda-v4q 3 หลายเดือนก่อน

      @@deborampinga8185 😂😂😂😂😂😂🙌

  • @GeoffreyNyachae-gj1eg
    @GeoffreyNyachae-gj1eg 3 หลายเดือนก่อน +10

    kazi nzuri tuko hadi mwisho .

  • @zaharahamadi3784
    @zaharahamadi3784 3 หลายเดือนก่อน +1

    Leo acha niwape ma love love mmenifurahisha sana kazi zuri sana mbarikiwe❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @busatitv
      @busatitv  3 หลายเดือนก่อน

      Asante sana🙏🙏

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 3 หลายเดือนก่อน +6

    Safi sana kai dawa zimetoka 😂😂😂😂

  • @NipherRubia
    @NipherRubia 3 หลายเดือนก่อน +2

    wuuuwi nimejifunza uongo hahudumi na cha uchawi huponywa na uchawi na cha maombi na maombi kazi nzuri sana hongera

    • @busatitv
      @busatitv  3 หลายเดือนก่อน

      Asante sana🙏

  • @DinahNish-bm9sr
    @DinahNish-bm9sr 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mnatuzungusha sana tunataka zuuh apone bwana 😂😂😂😂

    • @LovenessJames-j9o
      @LovenessJames-j9o 2 หลายเดือนก่อน

      Nimecheka jmn nikajuw niko mwenyewe😂

  • @dinah9303
    @dinah9303 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yaah nikama mm ndio nilirokwa sinaka amani sasa sai nko n amani wee Asante mungu 🙏🙏🙏❤❤

  • @AsNew-w6i
    @AsNew-w6i 3 หลายเดือนก่อน +15

    Naomba like zangu jmni😅

    • @John-pv1xr
      @John-pv1xr 2 หลายเดือนก่อน

      Nenda zanzibari watakupa zipi za kutosha

  • @neemakoi6635
    @neemakoi6635 3 หลายเดือนก่อน

    Waaah yaleo m9tom9to hongereni sana ama kweli hakuna useful usio na icha alihamdulilah hatimae imani inaenda kurudi kwa family ya ko kai 🎉🎉🎉❤❤❤pongezi zimfikie bb yake zuu next please 🙏 😘

  • @MupaMumbo-fi4gu
    @MupaMumbo-fi4gu 3 หลายเดือนก่อน +20

    Namna hio BB zuuh

  • @Vincent0piyo-dc1qw
    @Vincent0piyo-dc1qw 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ninawatangaza KAI na ZUU ka bibi na bwana......Mtu aseme amina 🙏

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 3 หลายเดือนก่อน +20

    Nimekimbia kuomba like kumbe nimechelewa aise😢

  • @AminaPtg
    @AminaPtg 3 หลายเดือนก่อน

    Bad nakumwagia maua direct wet Mashallh kaz nzur ndug mungu akuweke🥰🥰🥰🥰💓🙏

  • @jumannerajabu5288
    @jumannerajabu5288 3 หลายเดือนก่อน +15

    Kaz nzur

  • @catherinemnyani78
    @catherinemnyani78 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie cjawai kukoment ila Leo daah ni moto 🎉🎉🎉 umewaka shel candy kula chuma icho 36 ischelewee

  • @PriscillahOchalu
    @PriscillahOchalu 3 หลายเดือนก่อน +12

    𝑀𝑖𝑚𝑖 𝑙𝑒𝑜 𝑤𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑛𝑎𝑜𝑚𝑏𝑎 𝑚𝑠𝑖𝑛𝑖𝑛𝑦𝑖𝑚𝑒 𝑙𝑖𝑘𝑒𝑠

  • @doreenNeema-u3i
    @doreenNeema-u3i 3 หลายเดือนก่อน +1

    Daah, mnanifurahisha sana mjitaidi basi kwa siku mtutoleee angalao mbili,

    • @busatitv
      @busatitv  3 หลายเดือนก่อน

      Kwani tokea jana tunatoa ngapi Mpenzi?

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 3 หลายเดือนก่อน +19

    Kai anabadilikaga kama shetan,

    • @JoyceMwita-e3w
      @JoyceMwita-e3w 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @Amena-z5r
    @Amena-z5r 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 leo nacheka coz kaka kai amerudi sawa na zuu atapona kilicho baki ni candy bomu litamlipukia mwenyewe wp like za bibi jaman mwenye anamkubali bibi like hapa plz 🙏🏼 ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ErastoMsemwa
    @ErastoMsemwa 3 หลายเดือนก่อน +8

    Like kwa kai❤❤ waoooo uchawi umesha toka

  • @eunice1808
    @eunice1808 2 หลายเดือนก่อน

    Movie woow hadi raha❤

  • @SaadaHaroun
    @SaadaHaroun 3 หลายเดือนก่อน +15

    Watu hata hamjaangalia mnaomba like t mxieeeew

    • @HappyJohn-zw5lu
      @HappyJohn-zw5lu 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wananikera xana badala waangalie had mwisho watoe maoni wako kuomba like

    • @AnnaKinyana
      @AnnaKinyana 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@HappyJohn-zw5lumi ndo wananiuzi Sana

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز 3 หลายเดือนก่อน

    Leo nmewahi jmn naomba like. Team bibi zuu tujuane plz

  • @Phanny-Nyonge
    @Phanny-Nyonge 3 หลายเดือนก่อน +8

    Nipo hapa❤ Team Zuu twende nalo jamani

  • @tinahminja2452
    @tinahminja2452 2 หลายเดือนก่อน +1

    Candy kishakuramba polee😂😂

  • @Ummyrahy6666
    @Ummyrahy6666 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kamkondeee kabananishwa😂😂😂

  • @Omaryshabani-fl9fm
    @Omaryshabani-fl9fm 25 วันที่ผ่านมา +1

    Candy kaingia cha kiume
    Msisaau like

  • @BukuluFelix
    @BukuluFelix 3 หลายเดือนก่อน +9

    Kai baba umefunguliwa ooh. Asnte MUNGU

  • @nadzuwazidi
    @nadzuwazidi 3 หลายเดือนก่อน

    Video imefika patanu wanaoamini candy kishamuramba gonga like 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂

  • @sifamaureen2792
    @sifamaureen2792 3 หลายเดือนก่อน +8

    Zuuu ,kai,baba kai,uzima mumeupata kupitia shoshi zuuu,zuuu lazima aoleke na kai

  • @YasintaErasmo
    @YasintaErasmo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaofurah kuona Kai kapona tujuane jaman❤

  • @estherezzy136
    @estherezzy136 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wow❤❤❤kaka kai sasa karud zake uzimani 😂😂sasa candy ameingia chakike😅😅😂😅😂

    • @glorykadzo
      @glorykadzo 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂cha kike kimemuingia tena vizuri

  • @nadzuamwanamisi
    @nadzuamwanamisi 3 หลายเดือนก่อน

    Massive
    Massive
    Massive
    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉team zuu. Nmepeni like zangu jaman🎉🎉🎉🎉🎉🎉