Aggrey mwanri nakuelewa vzr sana unatenda haki kwa wananchi urais unakufaa ikiwezekana 2025 chukua fomu ya kugombea urais kabsa nakukubali naiman utashinda tena kwa sana
magufuli hembu muangalie huyu jamaa kwa makini umpe uwaziri mana ndio mkuu wa koa mwenye mamuzi ya fasta hataki ujinga nakazi zinaenda mkoani kwake sio wakina makonda maneno mengi tuu
Jamani wanatabora wenzangu tumuombe RAIS wetu mtukufu mama Samia Hasan suruhu amteue Tena Agrei mwamli kuwa mkuu wamkoa watabora mkoa huu akirejeshwa hiyo au raures gamap
Mzee wetu wa sukuma ndani tumekumiss sana jaman🎉
😂😂😂 Mzee wa sukuma ndani tumekumiss sana
Ngumu kumuelewa lkn ni kiongozi mzuri sana anaehakikisha hachezewi kiholela. Bing up Mkuu wa Mkoa Mungu akulinde miaka yote.
Kkpklp0limii..llilil
asantee baba kamata wote sukuma ndani ....
laza kitongoji ndani ...
.............watasomeka tu
Safi Sana mkuu wetu wa mkoa tabora, hakika tumekumic sana
😂
Aggrey mwanri nakuelewa vzr sana unatenda haki kwa wananchi urais unakufaa ikiwezekana 2025 chukua fomu ya kugombea urais kabsa nakukubali naiman utashinda tena kwa sana
Aaaaaaa jamani hawa watu wa dizaini hii Tanzania inawahitaji sana
Huyu jamaa kazi kazi
no way nisijie nikasukumwa ndani bure😂😂😂😂😂
Gud
Haha jmn sukuma wote kitongoji kizima gonga like kam umeckia hiyo
Sunday Mjeda
Saaafi sn! Haiwezekan kusumbua watoto afu wengne wanaharibu
Huyu mkuu wa mkoa ni 🔥🔥🔥🔥
Aggrey mwanri
penda sana mwanri unamaamuzi ya haraka na busara kweli wanafunzi wanateseka sana afu watu wazma wanaharibu weka ndani atapatika alie choma
Hongeraaa kwa kuona ukweli wa mzee.
Dahaa huyu Mzee noma kawanunisha watu wotee
Kakombeeeee kitongoji chote 😂😂😂😂
Aggrey Mwanri akiwa raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania- wote tutakuwa Torontoooo ila Vipra paraaaaaa
Nakukubali sana mweshimiwa
😂😂😂😂😂😂 taboraa wanakumic Sana baba yaaan nimetoka uko juz wamekumc baba
Kama umeckia kiparapara gonga like
iloo... wa2 hawalyk
The next TANZANIA president.
Akiwa raisi uyu tutajinyea lazima
Komba kitongoji chote sukuma ndan ahahaha baba ulifaa kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Ukikaa kwenye mkoa wa huyu jamaa kamilisha adi mambo yte ya uhamiaji uyuu jamaa noomaa😀😀
Hahahaaaa wacha izoo utasikia
God bless you father siku moja urithi alichofanya magu
NOAH KIPALAPALA KIPALAPALA
Kitongoji chote sukuma ndani
😂😂😂😂 kidogo kidogo wale mbuzi na kondoo wanaokula ubwabwa wameanza kurudi
We ndo father wa uongozi big up sana.msema kweli
Nice opinion
Daaaaa kwa nn ukastaafu kwa nn Serkali isiendelee kukutumia
Semeni No way,nyie ambo ham like ndio nyie au 😂😂
Dah natamani hata uje kuwa mkuu wa mkoa wa morogoro aseee... SUKUMA NDANIIII
Kwel anafaa sana
komba kitongoji chote sukuma ndani😁😁
Wengine kina kitimoto kipalapalaaa😁😀😀😀😀😀
Mama
Sukumaaa ndaniiiii??
mzee wa soma hiyooooo
Hapa kazi tu....sukuma ndani
pamoja sana mkuu wa mkoa
Good job baba
Kuzaa watoto wazuriii
Yuko vizuri
njia rahisi ya kuniamisha TZ ni kumpa nchi huyu jamaa aiongoze,,, mmmh
Ahaaa mkoa umepata mkuu kamata wote sukuma ndani
Mbuzi wanakula ubwabwa. 2021
Sio sawa kusukuma ndani Kijiji chote kibinadamu ata kwa mungu
Kitongoji kizma sukumia ndan
Hi nomaaa
Kipala pala 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kitongoji chote sukuma ndan
Hahahaa utasikia weweeee wachaa izoooo wacha izooo 🙂
We mzee ninoma ntutengenezee tabora yetu wazawa tulio totoka
yaaani mwandri mambo ya sukuma ndani upangiwe na moshi
Nakukubali Sana mkuu
😂😂😂😂😂daaaaah nmecheka sana semeni no way ambao hamsemi ndo nyinyi nn
sukuma ndani dadeq
Wanakula ubwabwa😁😁😁😁
Nakuba riananawewe mkku
hahaaahaaa mh very guuud
magufuli hembu muangalie huyu jamaa kwa makini umpe uwaziri mana ndio mkuu wa koa mwenye mamuzi ya fasta hataki ujinga nakazi zinaenda mkoani kwake sio wakina makonda maneno mengi tuu
Sukuma ndani wote.
Kiparaaaaa paraaa
kipalapalaaa 😁😁😁😂😂😂
Tia ndani mkoa mzima kitongoji ni kidogo
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀❣❣ sukuma ndani
sukuma ndani
mi nakukubali ,kuu ila kuna watu hawana hatia wanaishi tu hapo mkuu wata lala ndani kubaya kule
Sukuma wote ndani 😃😃😃😃
Mama samia akuone jaman
RC huyu namkunali
huyu jamaaa! namkubalisana
Bangi mbaya sana
know way..mbona hamsemi ndio nyny mnaotufanyizia.😂😂😂😂
Magufuli amefundisha chuo kikuu waliofuzu niwengi sio kuchezea chezea simamia tukuone
❤🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu mkuu ni nomaaaaaaaaa!!
ningefurahi sana kama angekiwa na kwetu kama huyu
Kavuta bangi uyuuuu
Mhuuu
daah sukuma ndan umetxha
Hyu mzee anafaa uwaziri
Laki 4 Mara ya kwanza laki 4 Mara ya pili hahahaaaaa
Ipo siku mkoa mzima utachotwa na kusukumwa ndani
yaani huyu mzee nikiwa na huzuni Namuangalia
Kakombe kitongoji chote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani wanatabora wenzangu tumuombe RAIS wetu mtukufu mama Samia Hasan suruhu amteue Tena Agrei mwamli kuwa mkuu wamkoa watabora mkoa huu akirejeshwa hiyo au raures gamap
Mama tunaomba umrejeshe Agrei mwamli mkoa watabora upone. Kumbukeni hata mabinti waribadirika Sana hata uchumi ulipanda. ( Sokola , sokola waisongwa usoke wraya yaurambo tabora )
Kipala pala!!!!, hahahahaha
Jamani mnachokozeanini huyumzeee muhurumiyeeni
2
Bushoke ft juliana
Jamani morogoro tunaomba mkuu wa mkoa kama huyo
Dah nyie watu watabora hamna bandamann😁😁😁😁😁
Huyomzeee mbona mnapeda kumlizaliza muhurumieeeni
Kipalaa palaaaaaaaaaa
VUTENI BANGI MUWE WAKALI.
SERIKALI ITAANZISHA ZAO LA BANGI NCHINI KUWAPATIA MAWAZIRI .WAKUU WA MIKOA NA RC NA WAKUU WA POLISI
Ndo inapo elekea kitu ya jamaica itauzwa hadharan
Jamani
Sukuma ndani wote
Semeni no way
Hafidh Humoud .
Ahaaaaaaaaàaaaaaaaaa
Kipalapala!!!!!
Utaniuwaaaaaaaaaaa😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Safisha JJ mweshimiwa
Kipala pala kkkkkkk nakufa na kicheko
Sukuma ndani hao
Kipalapalaaaaaa