PATANISHO : MAMA NJERI - NENE ULINITESA SANA MPAKA SINA HAMU YA WANAUMME TENA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 468

  • @cerinnyabuke8718
    @cerinnyabuke8718 3 ปีที่แล้ว +19

    Better late than never nipewe like ata kama ni mbili naomba

  • @Lina_carol
    @Lina_carol 2 ปีที่แล้ว +22

    I have never commented . But I feel for this lady. Lea mtoto mama. Wakenya wanasimama na wewe ❤️

  • @ericndungu3216
    @ericndungu3216 3 ปีที่แล้ว +6

    This is best patanisho ever.Women need respect.

  • @SalmaSalma-sd5we
    @SalmaSalma-sd5we 3 ปีที่แล้ว +27

    Mama njeri pole sana .move on na maisha yako mwanaume wa vita si mzuri

  • @rankzkate
    @rankzkate 3 ปีที่แล้ว +67

    I lost it when she said "Mamangu mzazi ulimwita mwendawazimu".This lady deserves a break

    • @simiyuboj
      @simiyuboj 3 ปีที่แล้ว +7

      not just a break manze she just dont deserve this man ....sombody cant just call your mum ivo ata kama ako ivo

    • @lyamasisasa1035
      @lyamasisasa1035 3 ปีที่แล้ว

      sorry this is the worst radio jambo patanisho.

    • @simiyuboj
      @simiyuboj 3 ปีที่แล้ว

      @@lyamasisasa1035/////??????? really

    • @Britnez
      @Britnez 2 ปีที่แล้ว

      Mimi unitukanie my mom. Forget it. Madharau sitaki

  • @stephenmuguro9573
    @stephenmuguro9573 3 ปีที่แล้ว +16

    Truly that lady deserves better. I support her

  • @faithnjoroge4635
    @faithnjoroge4635 3 ปีที่แล้ว +9

    Nimekuona GDI nikakimbia kwa comments kuona Kama wengine wanaona Kama Mimi,,unakaa pesa tuu!.👏👏

  • @alexwahu1842
    @alexwahu1842 3 ปีที่แล้ว +28

    When a woman is fed up. All the best Njeri. Glad you stood your ground 💪🏾.

  • @Jmwamuchemi
    @Jmwamuchemi 3 ปีที่แล้ว +51

    Aki ghost hio kicheko yako inakuanga tamu sana, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌👌

  • @tiktokheroes4256
    @tiktokheroes4256 3 ปีที่แล้ว +88

    When the lady says it's over it's means amepitia I feel you siz 😥😥achana Naye move on

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 3 ปีที่แล้ว +3

      Heeeeiiiih ata mimi nimemfeel nakibwana hakiko serious mbele da mtoto unayonga mamake that trauma da mtoi aki!

    • @janejanny672
      @janejanny672 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa asirudi hapo a kanyage kubwa kubwa

    • @PatrickPatrickmwenda001
      @PatrickPatrickmwenda001 2 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢🎉

  • @thinkingkenyan9002
    @thinkingkenyan9002 3 ปีที่แล้ว +59

    Gidi looking like a million dollars 👍🏾👍🏾👍🏾

  • @thinkingkenyan9002
    @thinkingkenyan9002 3 ปีที่แล้ว +41

    Congrats for standing for yourself Lady,well done👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾

  • @trinaatiliu1667
    @trinaatiliu1667 3 ปีที่แล้ว +12

    I’m So proud of mama Njeri 🤣🤣

  • @sheekyle.839
    @sheekyle.839 3 ปีที่แล้ว +18

    When a woman says it's over,,, amekata kauli,, pole imekula kwako bro...
    Gidi, looking sharp👌

  • @janewanjiru7633
    @janewanjiru7633 3 ปีที่แล้ว +22

    She is so tired 😭😭😭I feel her so much khai 😭😭😭😢

  • @antonymuthoka1158
    @antonymuthoka1158 3 ปีที่แล้ว +8

    Mr Gidy today u look like a patanisho leader this is wat we call leader ur cladding is best today

  • @celestine9225
    @celestine9225 3 ปีที่แล้ว +24

    No 9 wapi likes zangu jameni

    • @abigaelkingoo8831
      @abigaelkingoo8831 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/hEh9w8eIF4A/w-d-xo.html

  • @mmilly8952
    @mmilly8952 3 ปีที่แล้ว +14

    @Mama Njeri pole sana... Ni heri u Pambane na hali yako. Wachana na uyo mwanaume ones... 😔

  • @dominicmakokha2432
    @dominicmakokha2432 3 ปีที่แล้ว +6

    Napenda sana patanisho, INA mafunzo na inaelimisha

  • @marienjuguna-kimani6800
    @marienjuguna-kimani6800 3 ปีที่แล้ว +21

    I have never cried on patanisho but today I felt her pain as she talked. This guy is disrespectful and arrogant tembea dada. One kid hatakushida. It is time to look after your mum and get those blessings

    • @annyterry3204
      @annyterry3204 3 ปีที่แล้ว

      This patanisho has made cry because I remembered my abusive marriege it was just exactly like this ,,, someone calling you Malaya then you end up kupigwa ,,,

  • @edinasar
    @edinasar 3 ปีที่แล้ว +8

    Hands up ladies keep it up enda mama Njeri zako don't let men kill you

  • @juliahkamau8792
    @juliahkamau8792 3 ปีที่แล้ว +22

    That woman has passed alot I feel her,hug mams

  • @estherkimani9974
    @estherkimani9974 3 ปีที่แล้ว +8

    Oa mwingine utusi wazazi wake ,umchape,atulie tuone, Mama njeri move on,God bless the word of hands.

  • @annrose4574
    @annrose4574 3 ปีที่แล้ว +7

    I love vile Gidi tells the very true. I love this genuineness. Ati ng,o ghost🤣🤣🤣🤣🤣

  • @lizamuisyo3813
    @lizamuisyo3813 3 ปีที่แล้ว +4

    Mama Njeri run for your life...

  • @trizahwambui5808
    @trizahwambui5808 3 ปีที่แล้ว +3

    Kamau jaribu leo ,unatusi mama yangu you are very lucky you are still alive

    • @tamarikimani5701
      @tamarikimani5701 2 ปีที่แล้ว

      Kamau ni gutee🤣🤣🤣💃🇮🇱

  • @carolinenjoroge9092
    @carolinenjoroge9092 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi ya kucheka ninaweza. Nilisomea kitambo. Ebu mnijaribuuu! 😂😂😀😀😀😀😀😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂

  • @christineogolla8519
    @christineogolla8519 ปีที่แล้ว +1

    I'm happy that you gave yourself space,nothing dissappointing like a violent man,it's good you go. Life is too short mama Njeri to leave a regrettable life,

  • @valarysiema6433
    @valarysiema6433 3 ปีที่แล้ว +10

    Ghost you always make my day 😂😂😂😂😂

  • @meshn8699
    @meshn8699 3 ปีที่แล้ว +8

    So nice this woman didn't get so many kids. You gonna make it miss lady

  • @corneliusapara4209
    @corneliusapara4209 3 ปีที่แล้ว +10

    Wow,, Gidi looks smart today yawah,, real lawyer of Patanisho in session kila mtu anyamaze except Ghost🤣🤣🤣🔥🔥🔥

    • @shikowarui6390
      @shikowarui6390 3 ปีที่แล้ว

      Ati except Ghost 🤣🤣

    • @corneliusapara4209
      @corneliusapara4209 3 ปีที่แล้ว

      @@shikowarui6390 🤣🤣🤣🤣ndo hiyo sasa,, Ghost ako na ruhusa ya Judge His Honor Mr Gidi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @shikowarui6390
      @shikowarui6390 3 ปีที่แล้ว

      @@corneliusapara4209 I concur😁😁

  • @gamingwithryan6548
    @gamingwithryan6548 3 ปีที่แล้ว +9

    Gidi uko smart waaah.

  • @Jmwamuchemi
    @Jmwamuchemi 3 ปีที่แล้ว +36

    Even the good and patience people get tired of being good!

  • @mmilly8952
    @mmilly8952 3 ปีที่แล้ว +8

    🥰🥰🥰🥰 Gidi una pendeza leo 🤗

  • @pamelamudogo5551
    @pamelamudogo5551 3 ปีที่แล้ว +30

    Gidy uko smart nawapata live from 966

    • @ibba8082
      @ibba8082 3 ปีที่แล้ว +1

      GIDY amelamba Suti leo😁😁😁👏

    • @evanskipkoech6261
      @evanskipkoech6261 3 ปีที่แล้ว +1

      Uko na Jordan ama

    • @martositah7383
      @martositah7383 3 ปีที่แล้ว +1

      Gidi leo bill ni yako🍺🍺🍺

  • @lemoolitiraso5049
    @lemoolitiraso5049 3 ปีที่แล้ว +2

    Heeee!!!Gidi leo amepiga looks akii,, great looks guys. , Breakfast show kubwa nchini,radio jambo ongea usike

  • @paulinekamau9633
    @paulinekamau9633 3 ปีที่แล้ว +6

    Good for you lady I pray to God where you are you are happy, safe, at peace and blessed

  • @maryannmwauravlogs9970
    @maryannmwauravlogs9970 3 ปีที่แล้ว +25

    When a woman says no trust me she's tired of the dramas 💪💪hugs mum

  • @khadijahassan9430
    @khadijahassan9430 3 ปีที่แล้ว +10

    So the lady aliambia jamaa aende radio jambo ndo amwanike vizuri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JaredMangoi
    @JaredMangoi 5 หลายเดือนก่อน

    Respect is best...mke c mpira wa rushwa na teke na ngumi bali kuheshimiwa na kuishi

  • @annitabobo5438
    @annitabobo5438 3 ปีที่แล้ว +2

    I feel for this lady unaweza pata ndiye first born ako na stress za mum and than anapatana na kichwa ngumu

  • @edwinlagat1084
    @edwinlagat1084 3 ปีที่แล้ว +4

    you smart Gidii congratulations

  • @maggierattz8552
    @maggierattz8552 3 ปีที่แล้ว +5

    Gidi wooow, too smart Gidi. 👌

  • @godblesskitila6763
    @godblesskitila6763 ปีที่แล้ว

    Good job Radio Jambo I'm from Tanzania

  • @saryhguusfv1025
    @saryhguusfv1025 3 ปีที่แล้ว +1

    Caro kemunto watching from saudia Gidi leo uko smart sana,Huyu mwaume hawesi badilika vile aonaongea,dada ucirudi tafuta kazi ufanye

  • @piarants3958
    @piarants3958 3 ปีที่แล้ว +12

    Gidi leo uko sharp sana..hiyo suit😉

    • @mmilly8952
      @mmilly8952 3 ปีที่แล้ว

      🥰🥰👊Ako very smart

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 3 ปีที่แล้ว

      Leo ni Leo gidi ako apointment asituache!

    • @mmilly8952
      @mmilly8952 3 ปีที่แล้ว

      @@mwendapoleee leo tumeona 😅😅

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah gidi uko smart Leo hongera

  • @nansyas264
    @nansyas264 3 ปีที่แล้ว +5

    Watching live from Saudia ukweli Gidi unamuuliza exactly the points

  • @eleenaswift8412
    @eleenaswift8412 3 ปีที่แล้ว +17

    But Gidi, how do you manage to keep that straight face

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama 3 ปีที่แล้ว +18

    Gidi umefanya hii kazi adi ikakuingia kwa akili kabisa, unasomanga akili za mtu mwanzo.
    Na leo amendunga 👌

  • @saryhguusfv1025
    @saryhguusfv1025 3 ปีที่แล้ว +5

    Caro kemunto watching from saudia Gidi mnasoma comments?

  • @jacintahwanjiru8222
    @jacintahwanjiru8222 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuna mtu ako na suit Leo.veeeeeeeery smart Gidi

  • @estheralbrechtsen8999
    @estheralbrechtsen8999 3 ปีที่แล้ว

    Da songs Kamau 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️enda ukikauka na uoe mara hiyo😏😉

  • @minsharley3926
    @minsharley3926 3 ปีที่แล้ว +15

    That's why I always say siezi teseka kwa nyumba ya mtu aty ndoa ni kuvumiliana.Kama ni mbaya tembeza alaa

  • @faithnyaboke499
    @faithnyaboke499 3 ปีที่แล้ว +1

    Number 224 nipe like nami

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 ปีที่แล้ว +1

    huyo mama njeri ako available?

  • @lydiajackson8081
    @lydiajackson8081 2 ปีที่แล้ว +1

    I wish all ladies wangekua kama huyu.Kudos

  • @ramycell9381
    @ramycell9381 3 ปีที่แล้ว +3

    Niko free mode sijaona dressing code ya giddi 🤗🤗🤗🤗🤗

  • @jamesnjihia959
    @jamesnjihia959 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwenye hataki kusoma comments Hadi hii patanisho iishe gonga like

  • @susanmuthoni1167
    @susanmuthoni1167 3 ปีที่แล้ว +5

    Gidi leo uko Smart🔥🔥🔥

  • @georgekamau3541
    @georgekamau3541 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wakikuyu nani amewafunza hii tabia ya patanisho na kiswahili sio chenu

  • @trizawambui5284
    @trizawambui5284 3 ปีที่แล้ว +5

    Gidi kwani unasimama kabuchai? Ama ni mululu? You are very smart.

  • @alicekmusic3925
    @alicekmusic3925 3 ปีที่แล้ว +3

    Gidi today you are looking great kama senator fulani.. Big up

  • @aliciahope492
    @aliciahope492 3 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna kitu baya kama kuchapa mtu mtoi akiona..mm nakubuka kuna day nlichapwa na baba ya mtoi wangu mpaka mtoi akalia hampendi 😭😭😭inauma sana mtoi kukwambia tusiwairudi kwa uyo baba

    • @marykimani8375
      @marykimani8375 2 ปีที่แล้ว

      Too bad....na huwa inafanya watoto wa kike wasiolewe na watoto wa kiume wanajua mabibi n wakupigwa........too bad na hio trauma haiwaachangi

  • @darlingfavoured3361
    @darlingfavoured3361 3 ปีที่แล้ว +7

    I feel that lady.

  • @ritanofear4634
    @ritanofear4634 3 ปีที่แล้ว +3

    I feel for u mmy, that man does not deserve u at all. Just move on, God will open ways for u n ur dota

  • @joycejoyce9589
    @joycejoyce9589 3 ปีที่แล้ว +4

    Sis jipange na maisha yako achana na burukenge.

  • @annaauyo1958
    @annaauyo1958 3 ปีที่แล้ว +14

    Heeeee!! Leo haitwi Gidi.Leo anitwa Sir Gidi .hiyo msuit is more fire 🔥 🔥🔥🔥 very Complicated..na usiwahi vaaa Ti-shirt ya Arsenal 😂😂😂😂. anyway young lady move on mummy

  • @Obeyia
    @Obeyia หลายเดือนก่อน

    Mapenzi iko juu

  • @joiceanne8195
    @joiceanne8195 3 ปีที่แล้ว +3

    Out fit ya gidi imeweza..the Lady is bitter hugs girl

  • @marynderu9846
    @marynderu9846 3 ปีที่แล้ว +2

    Gidi leo umevaa👌

  • @phylkaranja5083
    @phylkaranja5083 2 ปีที่แล้ว +11

    Mama njeri is really traumatized 😢. She needs counseling

  • @lydialigare9994
    @lydialigare9994 3 ปีที่แล้ว +31

    Gidi, where violence is involved, make it a no go zone for you....wacha kupatanisha ndoa Kaa hizi.......death might occur and you might regret kuwapatanisha.

  • @khourtneykerush6176
    @khourtneykerush6176 3 ปีที่แล้ว

    My dear sister stay ur life sijui nin mbaya na wanaume siku izi

  • @anaksa4412
    @anaksa4412 3 ปีที่แล้ว +8

    I was left with 2weeks bby boy now its 9yrs down the line, can you please take care of your gal woman, ogopa this gender 🤧🤧🤧

    • @solomonoduor
      @solomonoduor 7 หลายเดือนก่อน

      which gender

  • @alisaalis9218
    @alisaalis9218 3 ปีที่แล้ว +8

    Waah leo moto umewaka huku radio jambo, ,eeh sindio si ndio acha nikimbie team single tunajipanga ramadhani inakuja

    • @shikowarui6390
      @shikowarui6390 3 ปีที่แล้ว +1

      I second this Alisa

    • @tonymbani6667
      @tonymbani6667 3 ปีที่แล้ว

      Hehe Alisa ,,ata ikuwe niaje, you must have a partner in life ,,,ata waze wakona feelings lakini mapenzi maze ina maneno

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 3 ปีที่แล้ว

      Nakuambia ramadhan inanitia wasiwasi aki

    • @alisaalis9218
      @alisaalis9218 3 ปีที่แล้ว +1

      @@RoroRoserororo hahaa usiogope dadangu. Hiyo ndo ilituleta kutafutia watoto fee

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 3 ปีที่แล้ว

      @@alisaalis9218 nisha zoea wa kwetu

  • @dejaevevents
    @dejaevevents 3 ปีที่แล้ว +1

    GOOD WORK GIDIE

  • @leeldavid3712
    @leeldavid3712 3 ปีที่แล้ว +19

    This man is not serious he better leave that lady alone,let him cater for a child only period!.

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 3 ปีที่แล้ว

    andu a nyumba karibuni kwa patanisho

  • @tate5915
    @tate5915 3 ปีที่แล้ว

    Gidi looking sharp !!!!

  • @michaelkimaru8293
    @michaelkimaru8293 3 ปีที่แล้ว +5

    Wakati mwanamke ameamua kwenda,amesoga mbele.Kupiga mwanamke 2021 imepitwo na wakati.Huyu mjamaa ataua huyu dada akirudi.Mjamaa kuringana na dada hana hata heshima kwa mzazi wake.Dada tembea mbali kabisa.

  • @franktoneskorosov.4217
    @franktoneskorosov.4217 7 หลายเดือนก่อน

    Waaah...

  • @ToxicAfricanKing
    @ToxicAfricanKing 3 ปีที่แล้ว +15

    That was a tough listen. Damn! That lady has had it all. Kamau seem arrogant and abusive in every sense of the word. Mke sio wakupigwapigwa. Achana naye kama umekata tama naye.

  • @ivyboyani83
    @ivyboyani83 3 ปีที่แล้ว +39

    Yaani Leo gidi ako ndani ya suti....heheee watu waliomoka

  • @reubennjoroge6886
    @reubennjoroge6886 3 ปีที่แล้ว

    Waaa..run gal

  • @emilymurithi2153
    @emilymurithi2153 3 ปีที่แล้ว +2

    I cried 😭😭😭😭😭😭

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 3 ปีที่แล้ว +9

    Waaah Gidi umedunga hadi nikakuwa confused😂uko smart vaanga hivo ndio tukuzoeee

  • @monienjeri3042
    @monienjeri3042 3 ปีที่แล้ว +10

    I feels u mamie I can relate...

  • @elizabethoigoro1937
    @elizabethoigoro1937 3 ปีที่แล้ว +3

    Aki I feel it

  • @kimberlytv7895
    @kimberlytv7895 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwili haiekagwi kiraka,siezi ruhusu mwanaume aniguze mwili wangu,kitambo huinue mkono tutakua tumemalizana,sichezangi na mwili wangu

  • @Zaza-bt1hx
    @Zaza-bt1hx 2 ปีที่แล้ว +2

    Violence is a no go zone 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🚮🤮

  • @ginnimoreno6239
    @ginnimoreno6239 3 ปีที่แล้ว

    Daah iyo mipasho alopewa mshkaj mm sirudi tena

  • @kellywamuyu9186
    @kellywamuyu9186 3 ปีที่แล้ว +3

    Funny how men think watoto huanga hawashikanishi anything 😞😞😞😞Leo atakupiga kesho atakukata panga😏girl walk away for good you strong

  • @Amira1977-y
    @Amira1977-y ปีที่แล้ว +1

    FAMILY VIOLENCE MWISHO NI KIFOOOOOO!!!!!!!

  • @baldie1495
    @baldie1495 3 ปีที่แล้ว +3

    Gidi::Ng'oo 😂😂😂😂🙌

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 3 ปีที่แล้ว +12

    Hii maneno ya kupiga bibi ilipitwa na wakati jamani !!! Nene is not ready to be a husband for real. But the wonder is how kiuks population is growing exponentially while most can't keep a relationship !!! what a mystery!

  • @StephenWanga-h9o
    @StephenWanga-h9o หลายเดือนก่อน

    Mm ni stephene napongeza sana

  • @sweetthirty7671
    @sweetthirty7671 3 ปีที่แล้ว +3

    Alafu hii kasia dio tena itaeda kwa mtandaoo na kusema single mum these....single mums that...mama nNjeri lea mtoi

  • @lilliannyarinda6057
    @lilliannyarinda6057 4 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke akichoka amechoka so mchezo mama u deserve better

  • @alicekmusic3925
    @alicekmusic3925 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo ng'ouuuuuuuuuuu... Imenimaliza Gidi 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂