Hi Gidi kwa hii case unabidi umusaidie Mary aside busy awe na mdaa wa mume pia maana maisha siyeye mwenyewe anatafuta bali wote wawili asisahahu ndoa pia niyalazima arekebishe pia hatakama atafanya juhudi Asante mimi ni ceo wa winnipeg swahili tv hapa Canada 🇨🇦
U really have a wonderful wf..faithful and honest. Haki nimefeel. Men get to know how to appreciate a woman. Akishatoka ndio unajua umuhimu wake. Leboso watch out hutapata mke kama huyu akikuwacha. Shes so hardworking rekebisha.
@Mary take ur time... Iyo jamaa asi ku waist. Kama umekaa nae since akue shule na bado anakufanyia madharau... Aki wanaume nn uwasumbua 😭😭😭😭.... Kuleta dem kwa nyumba woooiye... Women may God strengthen us 💪
Let me say I was once day like Mary but Ile time nliamua wacha tu,Mary I pray for God to make a way for you so that you can be able to raise your kids without this man
I know men tuna shida lakini imenibidi basi niwe kwa shoe yako niseme hivi kutoka rohoni, Mary Mary Mary please never never go back, you deserve better than this useless Libese. Sorry I am so angry 🙆♀️🙆♀️😭
Oowh Mary pole I feel u my sister U’ve tasted my shoes so painful 😣 what that devil did for me while my second born was 3monthes old I slep with his woman on my bed yeye alilala katikati yetu so heart breaking 😣😣
Mpaka unatembea kwa bara bara na mpango wa kando aaaiii men shud know how to deal the way you do things, hiyo ndiyo inauma sana because anaibisha bibi.
Imagine this men always wants us ladies to worship them as damu yao inaweza kusafisha dhambi zetu. Alafu akikuona unamlilia saana yeye huona tu huwezi enda . Nililia mwingine for over 10yrs but siku ilipofika ya kutoka hajaamini hadi wa leo. Amekaa cjui nimuite aje yani mtu alikuwa anamjua Mungu for now ni mlevi hana bibi hata hm haonekani imekuwa tu big shame kwake. Mary think twice pls this man wants to waste you
Mwanamke mwenye anaeza kufanya kua millionaire ni bidii na hii ng'ombe ya mwanaume nikutombana huko nje ghasia sana mary move on huyu atakuletea kaswende
Aki Mary usirudi!! Such men never change!!
True
@@christinenthambi4028 NEVER CHANGE!!!!!!!! Wanaleta UGONJWA tuu kwa family
Go advise your kid with sun nonsense...the woman is free to make her decision than your filthy advice...
Mary Mary Mary, please I hope hukurudi kwa Libese. Hakudhamini na hakuheshimu. So so sad ati bado unampenda😢
Mary jipende Kwanza kabisa kabisa na your hardworking utaenda mbele. People take patanisho for granted like this man.
Wololo wololo
Hi Gidi kwa hii case unabidi umusaidie Mary aside busy awe na mdaa wa mume pia maana maisha siyeye mwenyewe anatafuta bali wote wawili asisahahu ndoa pia niyalazima arekebishe pia hatakama atafanya juhudi Asante mimi ni ceo wa winnipeg swahili tv hapa Canada 🇨🇦
I salute that amazing lady they are few in our society
Brave lady mary♥️♥️♥️♥️keep on hustling this guy will mess up with your life...taftia watoi wako better future
Good woman you are respectful especially on the matter of privacy.
She made me cry😭😭😭
U really have a wonderful wf..faithful and honest. Haki nimefeel. Men get to know how to appreciate a woman. Akishatoka ndio unajua umuhimu wake. Leboso watch out hutapata mke kama huyu akikuwacha. Shes so hardworking rekebisha.
Life is so funny. Mary will still go back to this Libesee...!
Waaa.. that lady the best.mwaume wacha ujinga Bana.
@Mary take ur time... Iyo jamaa asi ku waist. Kama umekaa nae since akue shule na bado anakufanyia madharau...
Aki wanaume nn uwasumbua 😭😭😭😭.... Kuleta dem kwa nyumba woooiye... Women may God strengthen us 💪
,we need an account for this lady,apate kitu plz,naomba patanisho mahali kuna hitaji kama hili tuwabariki wangwana.
Definitely
😊😊😊😊
Please can you look for me someone to help me I’m dying with stress
What makes me like this program is Ghost's laughter
Me too here
Me to napenda hio ghost sana juu ya kucheka
@@fidelisndutanjoroge5011 hvbbb🙂🤣👋
Dedxxxx
Leo nimekuwa number one wow wacha mungu aitwe mungu
😍👏👏👏👏
Mary Kudos🙌👏👏May God wipe off your tears
A
That lady is very mature
I like the way Mary is saying
Ako sawa ujezea wanawake 😊
Surely kuna watu na viatu. Mpago wa kando kwa nyumba wonders shall never end yawah
Gidi nafuatilia sana kipindi chako nikizuri sana nipo tanga tanzania ila namshauri sana huyu jamaa abadilike kwan ana mke mwenye maono
Mary is 1 in a million 👏👏
Tuko sio Mary pekeyake
Watching patanisho Today!!! But PLEASE men wacheni Tamaaaaaaaa ya Fisi!!!!!!!!!!kila patanisho nimesikiza ni wanaume wanawachwa!! Coz uzembeiolisis
Mary ukirudi ukimwi ndio itakupata. Be independent God will help you.
Atoke uko ata kufa Mary n mwanamke wa maana Sana usirudi ata
Mary since he has apologized give him another chance
@@robertsure146 what an advice
What's the frequency ya radio jambo in Mombasa?
Welcome unganisho one day gidi wetu love u wololo more fire kwenyu guys 💥💥💥💥💥💥💥💖
Mary God bless you
Let me say I was once day like Mary but Ile time nliamua wacha tu,Mary I pray for God to make a way for you so that you can be able to raise your kids without this man
God bless your hustle mama......but be careful with these men
You're my hero Mary
Dis ladyyyyyy❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢
Gidi kuna zingine you shouldn't patanisha. Huyu Mary is too sweet, hardworking. Libese is a no.
U r ryt
Libese is a scam
Waaw Mary you're one of the few best ,honest women's in this world
Me too🤣🤣🤣🤣
Aman who don't provide and ako na nguvu za ku cheat, when one cheats shouldn't blame anyone for that,God has given us the power to control ourselves
No 2 leo team kujiamini mko wapi
😍👏👏👏👏
Tupo 🙋🙋
🔥🔥🔥
Ndani
Nko hapa philo nkiwa Riyadh city
Men Mungu anawaona! !!!!
A very good and educative ending kongole Gidi na Gost
Kwani wanawake wengine wako na roho aje .Mungu usinipe hiyo roho ya ujinga
😂😂😂kabisa
😂😂😂😂😂😂
Aky watu wako n mioyo nlale kitanda moja n mpago wa kado better I die that day.
It also happened to me but later nilitoka Kwa hiyo ndoa
@@faithloko3906 Gai uko n moyo aky mm cwxi walai better to die
I did my dear
@@faithloko3906 how in the world did it happen. Ai mm siezi imagine
@@Gatheri1 maybe I was blinded by love not knowing that he was a he-goat
❤❤❤❤❤
namba 3 tuned
Chineke😳😳😳,,,, ati alete mpango hadi kwa kitanda heee,,,, mm ata kwa mlango ndiyo awezi kanyaga 🤦♀️🤦♀️
Gidi ati wololo wololo😂😂😂😂, siku zote mwanamke mwenye bidii hupata mwanamme bogus
Halima Omari not true. Trust in the Lord God for right person in marriage.if you trust yourself that’s what you get.
Kweli
Surely ghost 🤣🤣unacheka Hadi jina ya mpango wa kando
Stellah kuja kwa patanisho unajelewa sana
Haya nimefika 🤣🤣🤣
Mary usirudi.. usirudiiiiiii
This things sometimes 😔😔😔😔
He will never stop it wont get any better huyo atamletea tu ugonjwa devil. Woman move on u dont deserve that
Pole sana
That's a dead beat Libese....Kuaibisha wanaume...BURE KABISA LIBESE!!!
Hii imeweza aty commety ya wa gwana 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
What do men want!🤦🏿♀️
This man should style up and know what he has
mmmmh eeeeh bro kitanda moja
Ndaani kabisa!
I know men tuna shida lakini imenibidi basi niwe kwa shoe yako niseme hivi kutoka rohoni,
Mary Mary Mary please never never go back, you deserve better than this useless Libese. Sorry I am so angry 🙆♀️🙆♀️😭
God bless u. This gal is stupid
I agree
Oowh Mary pole I feel u my sister
U’ve tasted my shoes so painful 😣 what that devil did for me while my second born was 3monthes old I slep with his woman on my bed yeye alilala katikati yetu so heart breaking 😣😣
What Ooooh no na pando sasa uko kwa hiyo Ndoa aky poleni sana my sister jeso aky wanaume
Waa so sad
I swear Acha nikae single..alaah bad luck makwapa...
Mary Fanya kazi... don't go back there😳😳😳
Mature women always encounter irresponsible and immature men..Why do men take things for granted?
Sijui nini husumbua wanaume for sure yenyewe mtu alisema unaeza pata good wife material but wrong tailor hakukosea
@@jacklinevike9039 Agreed.
😭
And vice versa
Wanavyosema wanaume hawatosheki na mwanamke mmoja
Na ndio maana nilisema sitaki hawa watu wa longi wacha nikae stress free
This man is just worried that he can't settle the bills he's not interested in his wife.
You've put it correctly.
Very true haezi jisimamia
Dio Hiyo.
Aki hio nmadharau sana et ulete mpango wa kando kwa nyumba ata mm crudi kabsaa acha akae
Kama kijana hajurikani kwenu forget mtu wangu think twice
haki Ghost wewe!!!...am only here to hear your Laughter
Ata mm nilipitia ayo na siwezi rudi nilitoka uko kabisa na move on na watoto wangu wah kila siku msamaha ai mery move on mungu atakuacha
😊
Hatareee libese hhhhuuuhuuuuu
Mary nakupenda bure,mwanamke shujaa mimi penda wewe sana,ajana na huyu malaya ,
Mpaka unatembea kwa bara bara na mpango wa kando aaaiii men shud know how to deal the way you do things, hiyo ndiyo inauma sana because anaibisha bibi.
Huyo mwanaume hayuko serious.
Marry yuko na rohoo bhana aki mi siezi😂😂😂😂
Don't go back Mary. Libese big no
Libese doesn't deserve Mary.....Mary take care of your kids
Libese tabia zake zinanuka
Pole marry
Most of woman of know days wanapenda maisha Kama hayo waache wajisimamie tu hivyo
Kama alikozea
Huyu ni malaya tu Mary fanya vitu biashara ya zako wachana na hiyo ng'ombe ya museveni
gidi huyo mwanamke hawezi kuwa na hisia na huyo mwanaume daaaah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ng'ombe ya Nani😂😂😂😂
Team hammam mko wapi,kama Hawa ndio mabwana, acheni niendelee kukaa kwa waiguru
Ndani single forever 10yrs now nasipiduki ngoooo proud of 2kids 13/14 girls wangu alieda akiedanga nugu yeye single forever
@@feycute that's the spirit gal 💪
😂😂😂😂Kabisa
Team kubwa hii🇰🇪🇰🇪
Waiguru tu kilala 3h ni kali
Reason I will never feed a man huyu anataka tuu Mary arudi aedelee kumlisha can never be me.
Dunia ina mambo🤔🤔🤔
this girl is a real Diamond to keep
Kweli
Imagine this men always wants us ladies to worship them as damu yao inaweza kusafisha dhambi zetu. Alafu akikuona unamlilia saana yeye huona tu huwezi enda . Nililia mwingine for over 10yrs but siku ilipofika ya kutoka hajaamini hadi wa leo. Amekaa cjui nimuite aje yani mtu alikuwa anamjua Mungu for now ni mlevi hana bibi hata hm haonekani imekuwa tu big shame kwake. Mary think twice pls this man wants to waste you
Thanks for that
Number 4 na bwana libisi...
Congrats Mary brave woman
Straight kwa comments 😂😂
Wah! Huyo si mwanaume bure
Mwanamke mwenye anaeza kufanya kua millionaire ni bidii na hii ng'ombe ya mwanaume nikutombana huko nje ghasia sana mary move on huyu atakuletea kaswende
Mmmmmmmmh mmmmmmmmh.....
@@alicekmusic3925 🤪🤪umeamua siku hizi kupatikana ni shinda
Mary stay away, THE NERVE !!!!
Hehe mimi as long as umenioa hiyo nyumba hata awe rafiki yako siezikubali aingie waa si mimi ,mary unaroho bt msamehe tu
Huyu mjama hsyuko serious na maisha yake analeta mwanamuke mwingine na hanamueka kwa kitanda na ako na mke wake that can not be serious with her life
Wah !👁️👁️👁️👁️👁️
Anajua amefanya vitu mbaya mbaya aki mungu wanaume Dada usirudi ata unatafuta kifoo toka toka hapo choka kabisa usirudi ata
Mm ningewachinja wote siwezi kulala kitanda kimoja na mwanamke mwengene ningeuwa tu mshenzi sana
Let God intervene.....men are running to mipango ya kando thinking that they will get peace, but loh, they get
wanawake jipendeni mwanaume anakuletea bibi kwa nyumba??? this is real shakahola😊
It’s the Ghost’s laughter for me, ama yuaitwa nani?
Ghost Mulee
Hehehe Gai mi naeza uwana kitanda yangu weeee!!!!!
Shida ya kuoana young. Watu wakule raha kwanza. Libese married from form3? I can't blame either
Wui Mary so sorry for you
Mary woooi usirudi nyuma wachana na huyo awezi badilika
Hakuna mtu hawezi badilika you never know
Hio kicheko ya ghost itumike kama rington
😁😁😁
Walai
😂😂😂😂
Mary Achana na hii Maembe kabisa😏😏
That woman is a gold and diamond.
Wololowololo, awuoro libesi ata mimi nimwanaume lakini siwezi leta mpango wa kando kwa kitanda nalalia na mama wa watoto wangu.
Unaenda name wapi 🤔
Huyu ubwa aache kusumbua msichana wa wenyewe. Mtu wa jua kali instead of helping his family anakuja kutesa msichana ana tabia ya malaika