PATANISHO : NATAMANINGI USIKU NISKIEKO SAUTI YAKE_COLLINS ELKANA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #patanisho
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
I stand for boychild today,tafuta mke mwingine hapa hakuna ndoa😊
Huyo mwanamke asharudiana na ex wake,
Ulikuwa umechukua bibi ya mtu😢😢pole
Aki uyo nikama bado ako kwa ndoa yake😢
Nawapata vizuri sana nikiwa Switzerland, napenda sana patanisho .
hii unaona kuna ndoa kweli
Collo, kichwa Yako ni mzuri?
Huwa anaenda kwa baby Daddy🙂😙
Unapatikana huku pia😂😂😂, huwa tunapatana kwa Lynn ngugi
Elizer anarudi nyumbani kwa Baba watoto Baba watoto ameambiwa elizer ako job then anaenda kwa collo😊
Following from Qatar ❤the show
Gidi I really love this show I listen everyday from Canada
I really like men from Canada 🎉🎉
@@RabeccawaJuma-zn9vn all men from Canada🤣🤣🤣. Canada has 10 provinces and 3 Territories . Pick your location 🤣🤣🤣
U@RabeccawaJuma-zn9vn u mean u love him😅😅😅u can't love men from Canada
@@joanakinyi2256 hehehehehe wewe Wacha matusi.. I said the show. What's hard to understand.
Wanawake wa Busia is a no go zone,hawa ni washerati namba moja halafu wanapenda ushirikina madawa ndio zao,huwa wanacross boader kwenda kwa Wasoga uganda kutafuta ushirikina,Busia women hatari kwa usalama😢😢
Si amuache aoe mwingine mbona anafuatana na bibi ya mtu
@@lilian2660 Kama bubi anasema yeye sio bibi ya mtu sasa jamaa angejuaje ni bibi ya mtu? Kukuwa na watoto inamaanisha ni bibi ya mtu? Huyo mwanamke ndio haongei ukweli na ilhali ako kwa mzee na bado mguu infine iko nje
You are right,Mimi nimekaa huko from 2013wale wanawake hapana MTU anaoleka Kwa jirani yake na ana,wacha bwana hapo ,na bado atarudi huko so mostly wao utumia Sawa MTU anachizii hawezi wachika
@@user-cg3vf2bl6b Mm niliishi kwa my uncle Busia alioa huko,zile vituko niliona na huyo mwanamke ni za hali ya juu,yani uncle aliishi akikula madawa adi usiku anaweka makaa kwa sahani anatoa suruali then hiyo makaa inatiwa madawa,alikuwa anapepeta hiyo suruali na amechuchuma kwa hiyo moshi akionfea akiita my uncle ju uncle alikuwa anaenda seminars maeneo ya mombasa,alitoa uncle kwa boma uncle alinunua shamba kwao busia na akasomesha watoto wao wote na pesa ya uncle,mshahara mjomba alikuwa anabeba yote anampea yy ndio anamgawia na kupanga vile itatumika,mm nikiona mtoto wangu na mwanamke wa Busia nitaenda kwa magoti,hao ni wachawi
True 😂 na sio warembo , kitu wakonanyo ni bidi tu 😂 I've seen several kwetu wanafanya kazi kushinda tractor,but ni washerati hajab 😂 but kwa wote nimeona bwana hao watu Wanaka mbaya
boy child aki kenya bila kakamega man weeeh
Am in Panama and this is my best show
Ghost ako smarta sana bigup coaches.
Following from white house Washington DC
I promise you patanisho nitkuwa msomali wa kwanza kwani ni kesho😂😂😂
Wewe ongeza mke acha mambo mingi
@@royalkings254 😂😂😂
bahali yakheee haaaiyeeee
Mimi na Ghost we are employed to Laugh 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Sincerely speaking.... kolo hauna bibi
Gidi na Ghost you are the best I swear I love your show
BIG kweshen, Eliza akienda Busia anaishi wapi!?!? Is it kwa baba ya watoto or kwa wazazi wake...
My quiz too
Following from Germany ❤ I love this show
Plz nipee route nitoke hii kenya …nateseka tu na watoto maze
@@Mboki2
Kama hujui kujifanyia mambo yako, wafaa ukae Kenya. Zoea kufanyiwa, utakuja kujikuta umefungiwa kisanduku huezi kujitoa au kutolewa.
Hata sijui nikuambie nini zaidi.
Acha unyoko.
NB. Na mtu hata akikupeleka, utamrengelea na malawama as if ana deni yako.
Weka maisha yako kwa mikono yako. Au utakuja tolewa kafara na hiyo omba omba.
@@Mboki2DATING APPS MY DEAR!!!! BADOO, TINDER E.T.C
Watching from USA nawapenda sana gidi na ghost🎉❤
Tuned from Washington
Gidi ni hakimu mzuri. Anahoji mshukiwa na mlalamishi vilivyo.
Huyu mama ni mkora ako na baba ya hao watoi but hataki kusema 😅😅😅Don't waste time ya huyo mwanaume, anatuharibia jina sisi single mothers
😂😂😂kabisa hata si Rika yake
Ukweli kabisa,mama anapotezea huyo jamaa mda wake.Ako na tamaa ya fisi
Collo nyavu zinazushwa kile kuchao period.
Oa Bibi tofauti. Wachana huyu sugar mammy 😂
Nakubaliana n maoni y gidi🤝
Watching from London
Tuned in from pluto
Tunned from Norway ❤❤❤
Plz teach me how to leave kenya, I’m really suffering 😢
@@Mboki2
KM una suffer kwenu, nnje ugenini utaweza? Hata kujipeleka huwezi na hujui. Unaona vile msichana wa Kenya aliteseka mpaka akafariki? Yet alikua amefika kule alikotaka kwenda? Ambapo ni 🇨🇦 Canada. Chunga maisha yako. Usijiekelee mambo ambayo si kiwango chako.
Ni heri utesekee kwenu, imagine utesekee kwa watu hata hawakujui wala kukutambua.
Watashughulika kujikimu kimaisha au watakusaidia wewe?
Wotching from Kenya nairobi😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂
Boy child under siege but wait 🤚🤚kijana anauma ugali kubwa kuliko mdomo
Akili yako rudisha CBC😅😅😅😅😅
Collo move on achana na hii nyang'au
😅😅 aah ati kutoka busia Hadi kakamega ni 800 really 😅😅😅
Kumbe sijastuka pekeangu 😂😂😂😂 ama tuliongeza Bei and I'm not aware 😂
Hii story aty baby daddy/ mama, wanaongea juu ya watoto ni risky saana,you might think you're gaining but you're losing ad vice versa😢
I wish mngejua maana ya hiyo ringtone
I kumaanisha Ni muislamu ama😂
You don't wish, au ungetuambia. Watu wengine husali na lugha za *kikoloni mpaka wa leo.
WaKatoliki wa Kenya 🇰🇪 walikata Sala za ki-Latini kwa vile walikua wanaropokwa tu, na hawaelewi nini kinasemwa except "Amen". Hata hiyo still sijui inamaanisha nini.
truth be told;;;;hisia ya collo iko right.....that woman is married to that man
Waluhya hoyee! Hoyeeee. Hawapangangwi
😢😢😢😂😂😂 boychild. Wachanenii na mabibi za watuu, wachanenii na ma single mothers, wachanenii na WANAWAKE wazee kuwalikoo.
😂😂 i agree with you Gidi...jamaa ajipange.
Boychild tafuta bibi mwingine hapo sijaona bibi huyo anaeda kwa baba watoi dio hachukuangi phone usiku giddy naye instead atetee boychild anamfinyilia akimulixa kama ako na kichwa mzuri which is so bad giddy style up usiwahi uliza mwanaume hivo mbele ya bibi yake
Really talk,add volume plz
Boy child,leave that relationship asap.#ifikieKibe..
kweli kabisa
Exactly! Total disrespect to his fellow man.
I second this
Eliza has a ringtone in Somali.😂
😂😂😂😂😂😂
Nathani Busia kuna Waislamu wengi. Influence kutoka Uganda, enzi za...
@@VeronicaDunbaryou know nothing...
😅😅😅 Elizer kaa na baba watoto wacha kutangatanga huon watu uku inje vle wahduru watoto wenye sio wao..kama uwez lea mwili wko mwenyewe wchana na mabwana wanaune sio restaurant
Huyu ni.malaya
@@lilian2660
Wewe mzuri tuone pale wako atakufikisha.
Waaah kwani uku Kila mtu Ako majuu😮😂😅
😂😂😂😂😂😂
TH-cam ni ya watu wa majuu kama hujui 😂😂😂
Eliza ako kwa babydaddy, ndiyo hashiki simu usiku
Huyo mwanamke ako na makosa,aamue aishi na mume mumoja.
Koro umeskia watoto wako kwa baba yao na bado hunapoteza wakati
Mmmh
Na ndo niliwakataza kuoa wanawake wako na (mtoto) watoto. Akienda huko lazima wapige mechi na Collo anajua 100% Kila siku anaskia vibaya hapo kwake.
Wachana na hilo bibi xee.
Gidi is silly ...he want to side with the woman..na hapa anajua hakuna ndoa..dame amerudi kwake
But amuambie tu ukweli watoi wawili plus anampita na 2yrs chaiiiiiii na wahala be this😅
Bona unamuita silly...😊
Avoid abusive words online. Hii unaweza fungwa with clean evidence
@@andrewomondi9544mfunge.
@@andrewomondi9544mfunge basi.
❤❤❤❤❤
In who's hand are we safe😂😂mayoo
Ukweli kabisaa Gidy atafute Rika yake
Ndani
Kijana tafuta Binti uoe huyu mama anamsimamo
Hawa wanaume wa western wako hivo hawezi lea watoto wenye sio wao ila huyu ako afathali
Collo ako na trust issues from the word go😅😅😅wasi wasi tu
Kabisa
Kolo ni sugarboy ben10. Lazima atii mamaa.
Kwani fea ilipanda 800 to busia from kakamega 😢maisha aki
Scw❤❤❤❤❤❤❤❤❤
gidi always taking sides with women. ghost you are on top
Hayo ni maoni yako.
Ghost ni mgonjwa😂😂😂😂
Huyo mwanamke hakuna mtu
Wa nne😮
Wakwanza hapa😂
😂😂😂😂elkanah anataka kutuma salamu
Ma huyu dada alirudi kwa mzee
Priority ni watoto wake, wasome, food na shelter. A u any different.
Walai hii ni kali😂😂😂😂
Hapo hakuna ndoa
Eliza ni jadoho
Huyu anaenda kwa baby daddy.
Collo tafuta bibi uoe hapo hakuna bibi
Inagulwa😂😂😂😂😂😂😂😂
Wacha2 😂😂 collo anakula mabaki
Yagulwa jeri kamare...
😂😂😂😂😂😂 acha asikieko sauti yake
Huyu boys nifala ex wake Bado anakula hizi vitu bado
Gidi Huyo jamaa asijisumbue,Huyo huenda kwa Baba watoto wake😅😅😅
Wanawake NI shetani
Èeee😮😮
pole collo kwa kulea bibi mwenye bado anatafuta future husband😂😂
Hapa Collo inafaa aone red flag mapema ajitoe
Gidi ,kapsaa, zimu ya nini ,na nimelala dio niamuke mapema nienda job, hakii some "Men "or Boys?
Nawapata vinzuli kabisaa nikiwa ichini Jordan
Hai
Au vous salut de puis Congo votre emission et magnifique il faut nous envoyer votre numéro de téléphone
Kollo ukituma fare hiyu eliza anakula na huyu baba watoto wake
Leo natetea boy child aky si poa,huyu atafute tu dem mwingine awachane na huyo kabsaa
Kakamega to busia eti 800😂😂😂
Wee Gidi Mimi hapo Naina mke wa mabwana wawili. Colo tafuta bibi😂
Akili ya uyu mwanaume mimi tawe😅
Macho imefunguka
😂😂😂hapa hakuna ndoa
Boy child😢😢😢
I know this lady very well.
Tell us about her,anakaa kucheza boychild?🤣🤣🤣🤣🤣
Busia ,my city my town
Collo jipange ...Demu jeuri na amerudiana na Ex wake😂😂😂
Huyu jamaa nikama amechanganyikiwa
Kazi ya ghost nkucheka tu ndo ameachiwa!!, Anafaa tuzo coz hiyo nayo anajuwa kucheka!!
Hili limama liko kwa bwanake😮😮😮😮😮
Huyu bro ni mzimu. Tafuta bibi
Huyu Ghost anachekanga Nini?
Kicheko
Mwanaume hauna kazi unaoa mama ako na watoto ya nini? Ata yeye kichwa yake haifanyi kazi