My dear Ladies know your worthy don't show a man that you're desperate,no one will beat you for being single not unless you get a man who loves you & respects you, plz believe in yourselves.
Pambaneni na kazi, wale mnaezana na hao. Na tafathali mjipe nguvu ya kujizuia kutumatuma pesa yenu kwa wanaume wenu. Ni wao wa kuwapatia nyinyi, as the head of the house. Mkituma na kukuta mambo yameenda mrama, msirudi hapa kulialia. Protect your own future, mambo sikuhizi yamekua mbaya.
Aki wa mama tujipende Mimi Na jileleya watoto wangu wa nneana ata sitakangi kujuwa kama baba Yao ako ama alikufa sitakangi ata kujuwa Bora watoto wangu wasome , wakule wavaye Na wajuwe wazima Mimi Upendo ya mwanaume nilikata 2017 Madina streets ju namimi Mungu peke
Gidi,hongera Kwa KAZI nzuri ya kupatanisha watu.Hua unanichanganya tu sometimes,na ni pale mtu analeta hoja ufanye patanisho lakini kama vile we unakua na mawazo kwamba makosa ni makubwa sana kiasi kwamba watu hawapaswi kurudiana,Kauli Yako inakua ya kuvunja zaidi na sio ya kujenga,Kama hapo huyo mdada anataka kitu chake na wewe unaona hafai kumufuatilia mume wake!!!Wewe hayo hayakuhusu hata kama makosa ni makubwa kiasi Gani,we patanisha tu bila ktoa judgement.
Ngoja kwanza,umemuita ati wafula,😂😂😂😂😂si semi kitu lakini Kwa sisi wenye tumeonja maisha ya ndoa na awa watu tunawaelewa ,na wakisema ukweli pia tunawaelewa ju wao kukuwekea lawama si kazi pia,ao tunawaachianga Mungu
Hizi ni gani sasa.Wafula ana mchezo mwingi sana.sidhani anampenda Ruth.Ruth arudi tuu kwake ajenge familia yake lakini akae rada na huyu mjamaa na hao mashemeji wake.
Ruth ajijengee. Sio ajenge kwa bwana. Kwa bwana si kwa bibi atakapo fukuzwa. Hata si kwa bibi 3 or 4... Anaeza fukuza wote akitaka. Acha siasa nyingi kina dada, jijengeni. Fullstop. Angalieni kina Waiguru, Martha na wengineo. Hawa gari zao haziendi reverse. Unless ni kibahati mbaya beyond their control. Hao wamejimudu km. MATINGATINGA. Wamejijengea Shock absorbers TIMAMU. MATHUBUTI.
Eyy its not funny , she should never go back to that man jamani and if ni must adudi ,it should have been the mans efforts to get her back jeeezzz ladies ,when will we ever learn ?? This made sick arrrrrrgh
Nlijua tu ghost atacheka ndio approve ni gidy 😂😂😂😂
My dear Ladies know your worthy don't show a man that you're desperate,no one will beat you for being single not unless you get a man who loves you & respects you, plz believe in yourselves.
We! Ati bado unampenda😂😂😂 kichwa haiko sawa, but I understand you,
Aki huyu gidy na ghost hunitoa stress 😄 🤣 😂 ghost aki hunibaba. 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 mch love from saud Arabia
Hey
Magaidi tuko ndani😅😅
Anakubambia wapi haswa
Muko aje naona patanisho inawapeleka na rieng
Pambaneni na kazi, wale mnaezana na hao. Na tafathali mjipe nguvu ya kujizuia kutumatuma pesa yenu kwa wanaume wenu.
Ni wao wa kuwapatia nyinyi, as the head of the house.
Mkituma na kukuta mambo yameenda mrama, msirudi hapa kulialia. Protect your own future, mambo sikuhizi yamekua mbaya.
Am sorry kwani hii kipindi ni ya waluhya??? I have been following for many years,this tribe make this show lit.....much love my luyha people...
😂😂😂😂😂😂aki waluhya na wakisiii😂
😂😂😂😂 waaah hii Kali 🔥🔥🔥
ww Ni mjinga sana, nenda akate kinchwa😢😢
Tachoni in the house,,,Ruth ww ni mwanamke wa nguvu💪💪
😂😂😂Wafula ulioa 😂😂Sasa Ruth awe second wife aje 😂😂😂. Mambo ni Matatu ukae single, ue second wife, au ukaolewe kwingine. 😂😂
Na sasa nguvu ya kurudi unatoa wapi surely anyway all the best 😮😮😮😮
Waaaa😮😮
Alaah, tena matusi kwa mamaa
Tuko pamoja na radio jambo show Iko juu💪
Ruth ukiwachwa achika,anaee kuwacha wachana naye move on, mbona masingle tuko wengi sana na tunachipenda
Women love yourselves.....
Aki wa mama tujipende Mimi Na jileleya watoto wangu wa nneana ata sitakangi kujuwa kama baba Yao ako ama alikufa sitakangi ata kujuwa Bora watoto wangu wasome , wakule wavaye Na wajuwe wazima Mimi Upendo ya mwanaume nilikata 2017 Madina streets ju namimi Mungu peke
Waluhya hupatana wapi mimi nipitie opposite direction, juu Wueeh 😊 nguvu ya kupanda pikipiki nitatoa wapi 😢
Mambo n moto moto ,yapikwe yaive sawasawa,ndoa n ngumu watu wangu,kuna kupanda kushuka,madam jipange kama saa bado,hapa hakuna nyota ya ndoa,😢
Gidi,hongera Kwa KAZI nzuri ya kupatanisha watu.Hua unanichanganya tu sometimes,na ni pale mtu analeta hoja ufanye patanisho lakini kama vile we unakua na mawazo kwamba makosa ni makubwa sana kiasi kwamba watu hawapaswi kurudiana,Kauli Yako inakua ya kuvunja zaidi na sio ya kujenga,Kama hapo huyo mdada anataka kitu chake na wewe unaona hafai kumufuatilia mume wake!!!Wewe hayo hayakuhusu hata kama makosa ni makubwa kiasi Gani,we patanisha tu bila ktoa judgement.
Hata km makosa ni ya kukata shingo? Wewe zaa wako uwaoze kichinjioni na kwa maafa yote duniani wakufe.
Don't advise watu wengine wafanye hivyo.
swali zuri gidy
Good question Gidi. Poor girl has no idea what love is. 😢
Wanawake hupenda bad boys.... It's nature.
Very true nikiwa mmoja wao 😂😂
Wale akili kombo. Yes of course.
Imeandikwa wapi? Au ni kwa bibilia ya Mackenzi Shaka-Horror. Au
Labda wale wanaugonjwa wa akili.
True
😂😂😂😂gidi na coaches love you guys aende
Coaches ni akina nani?
Witching life from south arebia I always get company from this side
Hahaha huyu mwanaume siwezi rudiana na yy ako na wife
Wafula man up bro ....na uko n kiburi miingi
😂😂😂 weuh if u are having stress,listen to this show and the stress will be relieved
Noma
No boby has died of being single/ not having sex but many have died in wrong marriages ...ladies please know ur worth its very important
😂😂😂😂😂😂bado naomba mrefushe kiasi tusikie maoni ya wananchi jameni tuko gulf tunamiss alot
You can live stream for free
Ama atume fair be4 patanisho iishe good job gidi na ghost u really make my day always ❤❤❤
Gidi mimi naitwa Joel na kama huyo mwanaume hatataki Ruth mimi naeza mchukua
Ngoja kwanza,umemuita ati wafula,😂😂😂😂😂si semi kitu lakini Kwa sisi wenye tumeonja maisha ya ndoa na awa watu tunawaelewa ,na wakisema ukweli pia tunawaelewa ju wao kukuwekea lawama si kazi pia,ao tunawaachianga Mungu
Ruth ulipikiwa dawa Rudi huko Kwa kina Wafula ndio uone mateso sawasawa ata huyo Wafula hajakomaa akili vile namsikia 😅
Mapenzi ya kujilazimisha,huishia na kifo
Gidi hiyo upendo anaongelea huwezi elewa😂😂
Move on mama achana na huyu mzèe
😂😂😂😂😂😂😂😂pikipiki was chilling then booom
Jipange mamii hakuna upendo kabsaaa
The laughter of ghost is on another level 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Niko area ya mtito andei nikitaka kufugua redio jambo nitapataje
Msimamo ndio Ruth anataka 😂😂
Mbna mnajiforce kwa mtu jamani😮😮
Wafula....owngoal.
Wanawake tafuteni pesa muuache ujinga wa kuforce things banaa...weeeh mi xhaiz mwanaume aezi nisumbua😂😂
Me too
Ruth plzzzzzzz tafuta passport mapenzi achana nayo kuja tupambane na warabu
@@PeninaOnyango-hl8sb
Hayo ndio mapambano afathali. Km mapambano ni lazima.
Acha kupambania *bholo.
@@PeninaOnyango-hl8sb ndo hvo sasa mwarabu tano tena😂😂😂
@@mutheumsafi7518kapisaaa
Move on mama
Desperation is real
We should redefine love, whats wrong with people loving themselves,yawa
So you want peolle to marry themselves? Can they have children?
@@muzina618
Yes they can have children. Kwani 'huko' kuna kufuli?
Sasa unarudi kufanya nini surely 😢 mimi siwezi
Akikufa utarudi kama ground inakupenda
Gidi nawapenda sana na ghost but mnasaidia watu Sana ata mm mnisaidie
Hyo ni mapenzi gani yawa😂😂😂
Huyu mtu ako na bibi, uongo anamtangana, Ruth wewe wachana na huyu mtu
Woii jesus Ruth una nguvu
Wafula ni mjinga Sana..utoto na pride ya ushamba..Wafula ako na mke.😂😂😂
Contract ju ya contract team Saudi halloo
😂😂😂😂😂😂😂hii ndoa inakaa tu vituko
Mimi sina uwezo mimi sina nguvu ya wanaume Kuni stress.....life ni fupi utakufa stress uwache watoto wako wakiteseka mimi NO
Hakuna kitu mbaya kaa kupenda mtu hakupendi wooiyeee😢
We! Mambo imechemka kweli
Hii wangeweka to be continued .....
nakumbuka nikiwa holiday ya ushagoo tunaskia patanisho na time ya kuenda shamba imefika mum could chase us😂😂
But sometimes hatupari daily show mbona mwaruka ruka
True
Ana akiri huyu msichana 😂😂😂😂
That guy is a liar he thought she'll come begging. I pray she makes it big in life and leave this joker
Kabisa👏🏾👏🏾 huyu wafula anajiskia anadhania yeye ni oxygen🙄
Keep praying kabisaa,utangoja saana Kama HUYO madam atakuwa na mdomo ivo😅😅😅
@@susanmuthoni5482
Oxygen? Huyo ni Carbon monoxide. Au hata Sulfuric acid. Na arudi achomwe mpaka mifupa.
Eeh kwenda uko ulikuwa wafikiria Ruth atakupembeleza...pia Ruth ugemwambia aoe do asiwai kudharau tena...
Ruth hapo Sasa....enda😂😂😂
kilazimishi mapenzi wueeh
Women know your worth .Hii desperation ni mbaya
panda pilipili teketeka were atajua hajui 😂😂😂
dada wewe jipee shuguli na uombee mungu
Hizi ni gani sasa.Wafula ana mchezo mwingi sana.sidhani anampenda Ruth.Ruth arudi tuu kwake ajenge familia yake lakini akae rada na huyu mjamaa na hao mashemeji wake.
Ruth ajijengee. Sio ajenge kwa bwana. Kwa bwana si kwa bibi atakapo fukuzwa. Hata si kwa bibi 3 or 4...
Anaeza fukuza wote akitaka.
Acha siasa nyingi kina dada, jijengeni. Fullstop. Angalieni kina Waiguru, Martha na wengineo. Hawa gari zao haziendi reverse.
Unless ni kibahati mbaya beyond their control. Hao wamejimudu km. MATINGATINGA. Wamejijengea Shock absorbers TIMAMU.
MATHUBUTI.
@@VeronicaDunbar okay sawa.tumekupata vizuri dada 💯
😂😂😂 Ruth mapenzi aachie diamond na zuchu aanze kujipenda 😅😅😅
Nimependa hii comment ya 🔹 na Zuchu.
Eyy its not funny , she should never go back to that man jamani and if ni must adudi ,it should have been the mans efforts to get her back jeeezzz ladies ,when will we ever learn ?? This made sick arrrrrrgh
😂Akufukuzae hakwambii toka...lakini huyu anaambiwa toka na hatoki😂...atakuja kulazimishwa kutoka..😅😅😅
I was looking 4 this methali. Further more, hata hakumwambia rudi. Ni yeye ataka kujirudisha.
@@VeronicaDunbar 🤣🤣😅
Hii patanisho nikali buy forced 😅
Huyu demu ako deparate sanaaa😂😂😂😂😂😂😂😂wafula leo anakulaa kumaaaa
Kicheko ndiyo inanimaliza
Good job
Mapenzi 😢
hii ni njaa tu inamsubua
Trauma bound
Waoh she is a gd woman though lakini wafula cheeii
Mambo ni matatu wafula naona kimekuramba😊😅😅😅😅😅
Nisiwahi fika hii level ya desperation mungu wangu 😢
Na ukifika na uanguke, jiokote na uanze tena from 0⃣.
Nimecheka Hadi machozi ikatoka🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi atamimi nigenda kama ni vita hiyo nyumba ichomeke.
Ruth ako na ujinga, after hizo madharau zote?? 🚮 huna akili unapenda nini hapo 🧟🧟
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu jamaa ako confused sana!.
Hawa wafura ni magaidi miezi tatu na umeowa Ruth tembea huyu wafura ni gaidii😅😅
A woman in love cannever be advised
Huyu Ruth ajifunze kujipenda!!
Akufukuzae hakwambie toka.
❤
Yuwajua hapendwi, ni basi tu. Acha akanyo...
Shauri yake. Awache watoto wakilia for the rest of their life.
Ruth we tafuta job ule mtoi wako here we uko na mmoja
Angoja azalishwe 3 ndio ashike akili.
Huyu mtu ni ghaidi, ukweli
The power of doshi 😢😂
@juneakech4987. ww Sasa ndio umekula uzito WA chuma
😂😂😂 otek nyamin
Mapenzi aki Ruth hujuwi kumove on
Ogidi don't enable abusers
Ruth we itakubidi ubadilike shida NI wewe😂😂😂
Cheei jehovah lord never allow me to be this desparate
😂😂😂😂😂😂oh lord hadi umeambiwa ukufe
Aki 😂😂 this guys 😅😅😅