PATANISHO : DORIS - VINCENT ALIANZA KUWEKWA NA MUMAMA...SIRUDI KWA HIYO NDOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.พ. 2024
  • Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
    #RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #patanisho #ongeausikike
    Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
    Mitandao ya Kijamii
    Instagram - rb.gy/e154d1
    Facebook - rb.gy/09d1b9
    Twitter - rb.gy/e23220
  • วิทยาศาสตร์และเทคโนโลยี

ความคิดเห็น • 78

  • @sheilaaddah
    @sheilaaddah 4 หลายเดือนก่อน +4

    I love this lady move on girl mapenzi itajileta

  • @JosephineAkinyi-cl6ql
    @JosephineAkinyi-cl6ql 4 หลายเดือนก่อน +6

    Good girl wise woman tell him the trueth

  • @mcmoyi27
    @mcmoyi27 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amewekwa na mumama wa chums...I love that..

  • @MamaRozy-nl6wk
    @MamaRozy-nl6wk 4 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu dem haezi rudi ju ali ingia Kwa ndoa akiwa mdogo na sai ndio amekomaa haezi jaribu ata kidogo

    • @maximillahmakokha3783
      @maximillahmakokha3783 4 หลายเดือนก่อน

      Walai 2009 ni mbali alikuwa 12yrs😢😢

    • @moreh462
      @moreh462 4 หลายเดือนก่อน

      True. Wanaume wamemwonesha mapenzi hapa nje

  • @loraineosuto9355
    @loraineosuto9355 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jeuri masikini 😅

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wanaume wa hapa na pale, wasiwasi kama kuku mgeni.

  • @kiokophoeth8619
    @kiokophoeth8619 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanamme mvumbavu sana

  • @user-qc1ng6nj3m
    @user-qc1ng6nj3m 4 หลายเดือนก่อน +6

    Nachukia hii ujinga ya "babangu ako na mabibi wawili...mara oòoooh...mara eeeeeh 😏😏😏😏...

    • @barygarcia3128
      @barygarcia3128 4 หลายเดือนก่อน

      Wacha watu waoe peleka ujinga kwenu

    • @user-qc1ng6nj3m
      @user-qc1ng6nj3m 4 หลายเดือนก่อน

      @@barygarcia3128 ata jina lako linakusaliti tu...kwani Kuoa,owa ni werevu 😏...?...uoe, uoleke it's you business 😏😏😏

  • @agnesmueni655
    @agnesmueni655 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bro yamekuzindi.. Wife ako mature kuliko bwana..

  • @sekanicanory9915
    @sekanicanory9915 4 หลายเดือนก่อน

    💖💗🌺🌹🌺🌻 mama🤚

  • @benedictmuendo8769
    @benedictmuendo8769 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa amewekwa 😂😂

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nkt what if azae muschana Tena?huyu jamaa hauyuko sawa

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 หลายเดือนก่อน +4

    A good woman amesha kutoka so Vincent wachana na huyu mrembo ,juu wewe ni mhanyaji ata unaweza pakanisha watu magonjwa nkt

  • @westheguitarist8546
    @westheguitarist8546 4 หลายเดือนก่อน

    Si watoto ni wako ata ukiwanunulia vitabu😂I like this woman. People don't want to take responsibility for their kids. Watoto ni wako shughulika mzee

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo jamaa akae na huyo side🦃awachane na Doris .huyu jamaa ni mkora mto anaoa bibi anarusha ocha anakuja tao anaoa bb mwengine nkt kula jeuri yako

    • @lilian2660
      @lilian2660 4 หลายเดือนก่อน +2

      Alo 39 na akili hakuna

  • @DanielMutua-im4ib
    @DanielMutua-im4ib 4 หลายเดือนก่อน

    Ni Daniel Mutua radio ukona shida pande za kitui town

  • @selectoramoh9344
    @selectoramoh9344 4 หลายเดือนก่อน

    Ako kwa jimama 😂😂😂eeeish gidi 💔💔💔huyo jamaa Hadi -serve huyo Dem hataa

  • @annabelmulinge4617
    @annabelmulinge4617 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza ujumbe unatumwa vipi radio jambo 😢

    • @lilian2660
      @lilian2660 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu mwanaume ako confused

  • @dorcasmunywoki3730
    @dorcasmunywoki3730 4 หลายเดือนก่อน

    Hii nayo utacheka😂😂😂😂😂 uku inje ni kubaya jamani😂😂😂😂

  • @emilywangui
    @emilywangui 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂mmama,

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mumama 😂😂

  • @joycesavai7402
    @joycesavai7402 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa ni wale men wanataka mabibi wengi na hawajiwezi.anataka doris atambulike as first wife amuwache home na shida huku akulishwa na mmmama

  • @vincentmurota3961
    @vincentmurota3961 27 วันที่ผ่านมา

    Vincent aibu kubwa mno 😂😂😂

  • @paulinekanyanjua6127
    @paulinekanyanjua6127 4 หลายเดือนก่อน

    sema kimeumana😂😂😂

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hizi ni zile ndoa za ngono na taabu

    • @b.3940
      @b.3940 3 หลายเดือนก่อน

      Hao ni akina nani Ngono na Tabu ama ni title ya TV show?

  • @fashionKalmahouse
    @fashionKalmahouse 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kwani Gidi ako Pregnant.waa aanze clinic mapema 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @MohammedMohammed-uz4jn
      @MohammedMohammed-uz4jn 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @ALl-py3zp
      @ALl-py3zp 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @irineadisa7289
      @irineadisa7289 4 หลายเดือนก่อน

      Moshene atawachia nani😂😂😂😂😂😂😂

  • @dennismurithi6418
    @dennismurithi6418 2 หลายเดือนก่อน

    2024 Doris ako 26 yrs old. Walioana 2009🤔... alikuwa 11 yrs old!!! 😂😂 hii ni kipindi tu

  • @jerodinendanu5029
    @jerodinendanu5029 4 หลายเดือนก่อน +11

    Kama dem ako 26 yrs na wameoana 2009 alioleka akiwa teenager?

    • @RMM2222
      @RMM2222 4 หลายเดือนก่อน

      Nashindwa

    • @macgregory100
      @macgregory100 4 หลายเดือนก่อน

      It's like she was married at 11yrs!!!

    • @emilysawayi5787
      @emilysawayi5787 4 หลายเดือนก่อน +2

      Guess ni 2019

    • @lilian2660
      @lilian2660 4 หลายเดือนก่อน +1

      Aliolewa akiwa mdogo yawa😮

    • @lilian2660
      @lilian2660 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@emilysawayi5787nikama ameandika vibaya

  • @lilianawah1946
    @lilianawah1946 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa Sasa jamaa anastay eldi kwa Mumama jinake philis

  • @linetgwazi4333
    @linetgwazi4333 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo mwanaume anajifanya mjuaji hile haiko ujinga ya kujiwekalea ni ng'ombe

  • @GladysKiplagat-dv7vu
    @GladysKiplagat-dv7vu หลายเดือนก่อน

    Vinnie Vincent nickname ni tupatupa

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naombea huyo jimama apate baby girl 😅😅😅

    • @martinirungu6989
      @martinirungu6989 4 หลายเดือนก่อน

      Life is not a Nigerian movie

  • @user-np2mn6sw4o
    @user-np2mn6sw4o 4 หลายเดือนก่อน

    Vinny kula ujeuri wako nabhakolwe asha move on😂😂😂😂😂😂

  • @nimcybae7460
    @nimcybae7460 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wakaniaru has graduated.. kudos Doris
    Tafta pesa Doris

  • @BeatriceAnabaka-wl1si
    @BeatriceAnabaka-wl1si 4 หลายเดือนก่อน

    Nikupitia tu comments sina la kuongezea

  • @Marionkitchenette
    @Marionkitchenette 4 หลายเดือนก่อน

    Vincent hataki kuchoka

  • @KINARA374
    @KINARA374 4 หลายเดือนก่อน

    Wapi mumama

  • @shirumuhura561
    @shirumuhura561 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo mwanamke haezi rudi mzee mjinga sana kile alikosa kw a1st wife si apate kwa uyo mmama jinga sana

    • @barygarcia3128
      @barygarcia3128 4 หลายเดือนก่อน

      U speak as if polygamy ni allien thing

  • @kevinotieno65
    @kevinotieno65 4 หลายเดือนก่อน

    Vincent ni mluhya😅😅😅😅

  • @MelanatedQueen254
    @MelanatedQueen254 4 หลายเดือนก่อน

    26!!! 2009!!!! How old were they when they got married?! Especially the girl?!!!

    • @MagiiMghoi
      @MagiiMghoi 4 หลายเดือนก่อน

      😢 she was ten years old

    • @ag-tm7je
      @ag-tm7je 4 หลายเดือนก่อน

      2014-2009 ni 15years

    • @kaninamargaret8025
      @kaninamargaret8025 4 หลายเดือนก่อน

      👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

    • @martinirungu6989
      @martinirungu6989 4 หลายเดือนก่อน +2

      She was very young, Kuna kastage ka usichana hakupitia Na this is her time

  • @rosewanjiru-bt4vm
    @rosewanjiru-bt4vm 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwanamme hakuingia biology class

    • @domesticbliss_ke
      @domesticbliss_ke 2 หลายเดือนก่อน

      True.
      The gender of the child is determined by the father, upon conception. Atashinda akioa na kuzalisha mabibi ati anatafuta a male child.

  • @b.3940
    @b.3940 3 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke akichoka hapo habanduki. Vincent kaa na limama lako wacha ujinga wewe.

  • @user-kp9ll1qu5n
    @user-kp9ll1qu5n 4 หลายเดือนก่อน

    Ridhikà na mumama achana na binti wa watu

  • @ag-tm7je
    @ag-tm7je 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa alisoma bio kweli kati yake na bibi nani anapeana mimba

  • @leilaarnoldarnold
    @leilaarnoldarnold 4 หลายเดือนก่อน

    He is just useless guy

  • @kevinmuhindi42
    @kevinmuhindi42 4 หลายเดือนก่อน

    mko na whasapp number

  • @rachelmuch5788
    @rachelmuch5788 4 หลายเดือนก่อน +1

    Vincent ako na Madharau sana na tena sio Romantic😣

  • @moreh462
    @moreh462 4 หลายเดือนก่อน

    Mumama😂😂😂