PATANISHO : NAMPENDA MKE WANGU LAKINI MPANGO WANGU WA KANDO BADO AKO LAKINI SINA NAMBA YAKE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ค. 2023
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghost #patanisho
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Siku nitasikia eti "Hello nakupigia kutoka Radio jambo" nitazima simu hadi iishe
😂😂😂
😂😂😂😂
Atarudia tena na tena a cheat is always a cheat ukimsamehea ones jitayalishe kumsamehee ten times
Msamaha NI mala sabini per day😂😂😂
@@dicksonkiraithe6369 time ya kumgoja mala Saba ndio MTU achange ndio hakuna
😂😂😂wayab😂
Waluhya na patanisho aaih mumezidi
Kienyeji Barida...
Always think before you act
Haiii shalon msamehe tu atajinyonga huyu😂😂😂Rudi tu
😂😂😂😂
Nimefikiria nimerauka kumbe watu ulala studio😅😅
Waaa niko sawa sana patanisho 1st tena 😅😅 nawakilisha watu wa NLD
Namesake heheheeeee
Sameheaneni mkaanze maisha upya! kukosea ni sehemu katika maisha ya viumbe binadamu, wengi tuna mspungufu sana.
Mpango wakando alafu sa zingine ako na nyash size 44 kuwacha ningumu thooo
😂😂😂 omera
Ati ting, ting, ting mpesa😂
Albert ni kama anamtegemea Sharon kimaisha yaani parasite 🦠
Waluya na patanisho😂😂😂
wewe usituingilie hivo bana😂😂
Hawa watu hunyenyekea hivi they revenge
Hiii siwezi taka hata kua karibu na wao
Mpesa 😅😅😅😅
😂😂😂😂Tunned
😂😂😂😂 uyo manaume aji chocha .
Sitakufanyia Tena matarau 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
ooh namesake, umeniuzaaa
😂😂
Mpee tuu time but apo kwa roho utulie 😂 😂
Watu hutoa nguvu wapi na hii uchumi kuwa na mpango wa kando 😂😂😂😂
MISAMAHA YAZIDISHI UKIMWIIIIII!!!!! NEVER
Naskia jina Albert na Sharon nashtuka kama ni mimi naitwa hehe, my ex ni sharon, ama hii ni future?
I hope my husband amesikia hii patanisho 😅😅
Nime skiya
Alaaaa
@@StephenOdhiambo-kn4md wacha mipango ya kado yawa 😂😂😂
Sasa anataka number ya mupango wa kando ama😂😂
Maybe itatulia in the next election 😂😂😂😂
Is this thing normally staged? Jamaa ako boring sana huyu 😂😂😂😂
Mimi tuu niskie tuu sauti ya gidi na gosti ni kuwekaa block Mara that,,,
😅😅😅
simp of all simps
Creme DE creme😂
Mwanaume nayo ku simp ni kitu ya kawaidaaa Sanaaaaa
Mwanamke ni maringo Wacha kuomba. kaa mwanaume kamili na uache kulia kaa mtoto.tell her to hell with her.