Shikamo ghost mule💪💪 nani amefurhi kama mimi hapa kuona ghost🙏🙏 patanisho unoga mukiwa wote gidi nagost Aki Ya MUNGU Mule. Napenda sana ukiwa na gidi kwa shwo💪💪😁😁😁💙💙 Kucheka kuna ongeza miaka💙💙🇰🇪🇸🇦
🤣🤣🤣ati ndengu Gai Jose kuwa sure umewachana na huyu ex wako plzz aky Thanks Mr Ghost kurindi mambo ya harambe, wachana nao tunakipenda sana kwanza hiyo kijeko mashalaha 👌👌much love nikiwa Riyadh city 🤣🤣🤣
Hae Giddy na Ghost🤚...we love u guys...u r doing a great job.pliz I humbly request you to play my songs...am DAUREENAKINYI... especially iyo ya Enyi Mataifa Tumrudie Bwana..
Aky mnafanya job poa Sana...mm shabiki mkubwa xana... especially kwa patanisho...hata Kuna cku nlitka mu patanishe my siz....bt aliogopa...imgn Giddy Mungu amenibariki na songs naomba mzicheze yawa...ziko U tube channel DAUREENAKINYI...
Ati bei ya dengu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kenya c hami wallahii🤣🤣🤣🤣🤣,the current is wife is gud,the problem is with husband,.....hafai kuongea naye but nashuku hao wawili wanapatana chini ya maji
@@lionsdota1989 There is nothing which can make people to separate we have even long distance relationship.... from country to another country unless you are not serious with the person you are dating .
@@bohboh7692 very well stated but I remember this time I left home to work in another town na kila time nikikam home naabiwa he was there like 2days ago and this took us almost 10yrs to meet again
Huyu mwanaume ni fisi...if someone is ur ex...hana mtoi wako what are you looking for 😏😏😒 just my thoughts...this marriage will not a successful one .. cz the guy is not ready to move on and be straight forward to her current wife.. ex is chapter closed salamu ni hi mkipatana kwa barabara..🤐
Hahaha hahaha kkkkkkk c nimecheka yangu yote hapo kwa kihapo,pia ex wife asking bei ya dengu ashindwe..come to the point mimi mambo na ex hapana I won't tolerate that ex be ex n forgotten labda u meet accidentally u can say hi...
Kwa kweli ndoa za siku hizi hazidumu kwa sababu wanaume wengi ni wadanganyifu sio waaminifu kabisaaa, mtu kama jose mimi naona kuongea kwake bado moyo wake uko kwa ex wake. Lakini mimi najiuliza kama mtu alikuwaja akaoleka mbona waongea nae Tena? WELCOME BACK GHOST 👻 Joseph Hicho kiapo kiwe cha kweli ukiongea na huyo ex wako utapigwa na Radi nakwambia ukwelii. 😁😁😁😁😁
Honestly hii story ya exes maze ilinisumbua kwa marriage sana. Sio poa kabisa coz nilichoka kuomba msamaha nikawacha story za exes. Sai tuko poa sai 3 years.
Aky adi si mnipee likes to leo nimelike comments zote bila kubagua
Shikamo ghost mule💪💪 nani amefurhi kama mimi hapa kuona ghost🙏🙏 patanisho unoga mukiwa wote gidi nagost Aki Ya MUNGU Mule. Napenda sana ukiwa na gidi kwa shwo💪💪😁😁😁💙💙 Kucheka kuna ongeza miaka💙💙🇰🇪🇸🇦
Pam! Ni Quinn kutoka Dubai nikiwa ndani ya patanisho happy to see ghost back 😁
Ahhh iko hivi ....today is today mpo mashabiki wa radio jambo
I love this couple.wako mature😍😍
Patanisho is always on🔥🔥🔥,, Gidi and Ghost will kill me one day🤣🤣🤣,,, welcome back Coaches
Wanaweza aki kuapiaha mtu
@@sweetmumwake9729 Imagine
@@sweetmumwake9729 Imagine
@@corneliusapara4209 Wanaweza kazi yaho
@@sweetmumwake9729 Kabisaa
Hayo maneno matam ndo huwa nategea... et kula kiapo😂😂 team hammam gongeni likes tukienda🤸🤸🤸🤸
Mi nimetoka hammam naisha tu
🤸♂️🤸♂️🤸♂️Team hammam hoyee
Hiyo maneno matamu matamu sana..ndo hata imenileta huku
@@felixrobeni7784 heb tupatanishwe unipe maneno matam🤦
Hammam uko wapi😒😒😒
Welcome back Ghost. We missed your laughter.
Welcome back mulee 😛my mum missed you so much ♥️♥️♥️
Mmmmmmmmmmh
Welcome back Ghost
Am happy to hear you ❤ ghost ❤muleeee ......
Aki i had missed ghost, you guys are always on point
Am really happy to hear from you Ghost.. Welcome back... I miss u a lot 😍😍🤝
Wow,great to see mr.Mulei.Welcome I missed you.
Ghost karibu . We surely missed your laughter
Am happy to hear you Gidi
Kama kawaida niko tuned pliz munipee likes Leo
Welcome back ghost
Next tm Bw. Mulee ukiondoka urecord kicheko ndo Gidi aichezange tu kwa patanisho 😂😂anway wecm back
Hii ya leo nimecheka sana asubuhi 🤣🤣🤣🤣 ex anauliza bei ya dengu, 🤣🤣🤣🤣 this made my day
😅😅😅😅
🤣😂😂😂pia mm nimecheka
😂😂😂
God bless you guys
🤣🤣🤣ati ndengu Gai Jose kuwa sure umewachana na huyu ex wako plzz aky Thanks Mr Ghost kurindi mambo ya harambe, wachana nao tunakipenda sana kwanza hiyo kijeko mashalaha 👌👌much love nikiwa Riyadh city 🤣🤣🤣
Welcome back Mlei
Hi send me your phone number
@@johnsonogendi2066 Number upeleke wapi
My own opinion ex will still remains ex no matter how strong our relationship was.
Wlcm back Ghost.tumemiss kicheko yako sana
Kutoka Saudia Arabia ndani ndani na gidi gidi mbaka mwisho 💕
Kula kiapo is very hilarious. Lo! This ended well.
Maneno ya mwisho...sweetheart, yes huny ...hii noma,nitaftiwe sista hapo...
Mulei wacha kuchoma picture jamani this woman has pain wolololo
Welcome back Ghost 😂😂
Hae Giddy na Ghost🤚...we love u guys...u r doing a great job.pliz I humbly request you to play my songs...am DAUREENAKINYI... especially iyo ya Enyi Mataifa Tumrudie Bwana..
Aky mnafanya job poa Sana...mm shabiki mkubwa xana... especially kwa patanisho...hata Kuna cku nlitka mu patanishe my siz....bt aliogopa...imgn Giddy Mungu amenibariki na songs naomba mzicheze yawa...ziko U tube channel DAUREENAKINYI...
very nice. Good work Gidi na Ghost
Ghost's laughter completes the show haha
Ghost karibu sana hiyo kicheko ndo ufanyaga patanishow iwe tamu 😂😂😂
Mambo
Present tu
Watu wature enough 💟💟💟
Ati bei ya dengu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kenya c hami wallahii🤣🤣🤣🤣🤣,the current is wife is gud,the problem is with husband,.....hafai kuongea naye but nashuku hao wawili wanapatana chini ya maji
Patanisho bila kicheko ya Ghost aki huwa haibambi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wanake wakenya mtaniua haaaaaaaaa mbavu sangu Hey lilian.gid na ghost nawapenda bure ongereni kazi nzuri.
Ghosta ume lost sanaa welcome back
Amen 🙏 amen
Nice work
Hahahahaha nimecheka yangu yote ati bei ya dengu... Gidi tumekumiss unganishow
😂😂😂aki Gidi unachoma baada ya kupatanisha poa...
Watarudi tena patanisho,aki Zuckerberg analeta tafash ati ppl you may know aaaaiiiihhh but ametusaidia ma spy
Welkam back ghost
Hadi nimemiss ex wangu.. Sijui nimuulize bei ya nduma
Hahhahaha
Muuliza pengine kuna kamwanya hapo!lol
😂😂😂
😂😂😂
The only reason that makes someone go for their X is only one thing"conjugal rights"simple pia Mimi naoba nikirudi Kwa my X
Kwanini mliachana kama ulikuwa mzuri or alikuwa mzuri kwa bed?
Unajua kuna watu huachana by parting ways without reason,maybe job ama relocation
Hiyo ni ufisi tamaa pekee, si ungemuoa kama ni kweli
@@lionsdota1989 There is nothing which can make people to separate we have even long distance relationship.... from country to another country unless you are not serious with the person you are dating .
@@bohboh7692 very well stated but I remember this time I left home to work in another town na kila time nikikam home naabiwa he was there like 2days ago and this took us almost 10yrs to meet again
Kali sana
Huyu mwanaume ni fisi...if someone is ur ex...hana mtoi wako what are you looking for 😏😏😒 just my thoughts...this marriage will not a successful one .. cz the guy is not ready to move on and be straight forward to her current wife.. ex is chapter closed salamu ni hi mkipatana kwa barabara..🤐
Hahaha hahaha kkkkkkk c nimecheka yangu yote hapo kwa kihapo,pia ex wife asking bei ya dengu ashindwe..come to the point mimi mambo na ex hapana I won't tolerate that ex be ex n forgotten labda u meet accidentally u can say hi...
Ata hiyo accidentally sitaki mtaongea muanze kufuatana
@@puritykariuki5539 hahaha ukweli juu wazee wa kale ukumbukwa🤣🤣🤣
caption ndiyo imenileta hapa, ex anauliza bei ya ndengu, 😂🤣🤣nikama hii bei ya ndegu iko kwa bbi
Iyo ndengu is something behind the carteens😹😹😂😹😹if u know u know
Nawapenda sana gidi na gost
Like to listen patanisho
Kukula kiapo😹still funny up to today
Wapi likes ya ghost, manze
Joseph loves his ex, Joseph is wasting your time. Ex anaitwa ex coz ni past tense.
😅😅😅radaaaaa listening from Kenyatta university 😅
Ghost you better work here, you are better laughing than giving us ulcers at Harambee stars
hapo kwa ulcers mimi siko ,soka kenya si mchezo wetu.
😂😂😂😂😂
😂😂 Ghost I missed your loughter
While you were away Our Patanisho went missing with Comoros
U are prophecin 4 ulcers for soccer kwani iko nini
🤣🤣🤣🤣🤣 Waaaah!!!
Kwa kweli ndoa za siku hizi hazidumu kwa sababu wanaume wengi ni wadanganyifu sio waaminifu kabisaaa, mtu kama jose mimi naona kuongea kwake bado moyo wake uko kwa ex wake. Lakini mimi najiuliza kama mtu alikuwaja akaoleka mbona waongea nae Tena? WELCOME BACK GHOST 👻 Joseph Hicho kiapo kiwe cha kweli ukiongea na huyo ex wako utapigwa na Radi nakwambia ukwelii. 😁😁😁😁😁
Ndoa ckuizi n mungu 2 aky
@@sharondavis9379 kabisaaa a Mwenyezi atusaidie kwa kweli
@@sharondavis9379
....
@@sharondavis9379 ..........
..
@@sharondavis9379 ..........
Surely tume miss kicheko very much ghost yawah
Hiyo ndengu nayo joh... Waaaa
Am glad ghost ako area
Honestly hii story ya exes maze ilinisumbua kwa marriage sana. Sio poa kabisa coz nilichoka kuomba msamaha nikawacha story za exes. Sai tuko poa sai 3 years.
Sasa bei ya ndengu tusiulize?
Welcome ghost we missed your laugh.
Kufuta number ya x siwezi futa haki this people can save a life🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣.... Bei ya ndengu....
Uhuuhuuuuuuuuuuuu
Bei ya ndegu....this one has killed me 🤣🤣🤣🤣🤣..mwanaume hajui kujitetea
Ghost iyo kijeko inauwa watu roho😂😂ati ndengu
Patanisho bila kicheko cha Ghost ni kama maandamano bila teargas
Huyu Joseph wacha mchezo kua serious na ndoa yako
kicheko chaniua jaman
Kwangu ex ataishi kua ex hata akinipigia akilia
Bei ya ndengu imepada sana😳👀👀👀😂😂
Yaaani nashikia patanisho kwa aiji ya kicheko cha gosht
Bibi yako ni wa kwanza hizi zingine ni miscellaneous no wonder the guy is always checking up on her.....wisdom for free
Eeeh nisawa wacha wako atafte ex wewe ukue miscellaneous ufurahi pia
Exactly,people say things to others without putting themselves in their shoes!
What's if it u wife wako aende kwa x...utter something which won't hurt u latter
@@monienjeri3042 na kama hana X?
@@josephwangaa4039 😏😏
Bei ya Ndengu hehe. Alafu jamaa amepasha Ghost.. ati waliwaste fare ya ndege kwenda Comoros kichapo 😂😂😂
😹😹😹😹😹😹😹😹ilinipita
Hapo kuna kitu.!Ati bei ya dengu, uku dengu zimepanda!
Jamaa imebidi aingilie ghost ati alikula fare ya ndege😂😂
Hio ndengu iko na BBI ndani.
😀😀😀
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Mwanaume sisemi kitu.
This guy gidi is hot.Nampenda tu sana.Wish a find a man that looks like him
No 5Leo
Akule kiapo😂😂😂😂alice utakula kiapo wewe cheza na mm
,😂😂😂🤣wanaume. Bei ya ndengu tena surely
na hii kicheko ya Ghost 😂😂😂😂😂
Akiangai patanisho ya leo niandulama
Hahaha ati bei ya dengu wah
Imagine the ex's husband is listening, next patanisho!
Hehehe nimekufa lol 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ghost njoo tucheka 😄😄😄😄🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Tunataka patanisho ya leo
Mi hua naingia TH-cam kuskilza too kicheko ya ghost 🤣🤣
insecurity is normal kwa mapenzi...hawa wanapendana tu
one thing najua, ukiona mume anamrudia x wake then hapo kuna vile unampeleka hadi anaona waa heri X wake
Gai ghost kariba sanaa🇹🇿🇹🇿
GHOSTY BIENVENUE 🤣😹😆😂😅🤭
Ghost is only paid to laugh
Toka kwa ndoa ya wenyewe dada....
Hiyo kicheko bana inabamba sana