Mungu atukuzwe kwa Kiongozi huyu mkubwa mstaafu katika Jeshi. 2017-2022. Pamoja na kwamba wengi watumishi wa TPDF huwa na kiburi na majivuno lakini Yeye Bado alibaki katika Imani yake na kastaafu katika imani ileile. God bless Venance Mabeyo
Duh!!! Mstaafu General Mabeyo kila nikikuangalia kwa utumishi wako uliotukuka sikumalizi maana uzuri wako umetamalaki kila Mahali, MAY THE ALMIGHTY GOD BLESS U DADY, AMEN!!!!!
Baba Mabeyo wewe ni mfano wa kuigwa asante Sana Kwa utume tunakukumbuka 2008 mwenyekiti Wa kamati ya ujenzi Parokia ya Roho Mtakatifu Segerea Mungu azidi kukulinda pamoja na familia yako. Asanteni Sana Mababa Kwa utume Mungu awabariki Sana.
Pole sana mh mkuu wetu wa majeshi mstaafu Mungu bado anavyokupenda sana na kazi yako ni nzuri sana hata kama wamekutoa huko Mungu alikuwa anasababu kukutoa huko wakati mwingine ungekwazwa huko mbeleni nafuu umetumika kwa Taifa lako. Hongera na Mungu akupatie umri mrefuu na afya njema sana.
Bab mabeo wewunafaa kuongozahii nchi yetu Tanzania. Ikifikaa 2025 kachukuee Form y kugombea urais . Naamini utapat kwa kishindokikubwa. Unahof y Mungu. Naamini kila kitu utakachokiongea utamtanguliz Mung kama k ipenzi cha wanyonge jpm
ASAASANTE MUNGU WETU ASANTE sana wanasingida. ASANTE SANA WAHASHAMU Maskofu WETU. MH.RAIS WA BARAZA NA NAIBU RAIS NA WAAMINI WOTE.MKUU WA MAJESHI MSTAAFU WALEI WA KIKE NA UGENI WOTE WA SERIKALI KARIBUNI SINGIDA.ASANTENI SANA KWA KUSHIRIKI MIAKA 50 JUBILEI YA DHAHABU:
Hajapitiwa ndugu. Ndivyo ilivyo Dini Katoliki yaani dini ya watu wote. Askofu hajakosea. Ukisikiliza kiapo cha Askofu kukiri imani kabla ya kusimikwa utaelewa.
Wana Singinda hoyeee. Jamani Kuna is nini hapo Singinda? Nakumbuka hata Mhesimiwa Makhufuli katika uhai wake akiwasifu sana Wana Singinda.Na someone invite me. Kishwahili safi --Wadugu Watanzania.
Unasema ukweli hata mimi nimeshindwa ila hawatupat .umegusa. Maadiili nimekupenda bure inatakiwa ukachukue form ya uraisi haraka iwezekanavyo.Hii nchi hakuna anayehamasisha maaadili.Ndio uharibifu umezidi Taxania nahakuna anayekemea kama kiongoz.
Hata marehemu baba Yangu huwa anasema kipindi hicho kamaliza form six mkwawa high school alijaza form kuwa mwalimu Lkn alipopelekwa jkt msange kwa mujibu wa sheria habari ya kwenda vitani ilimkuta huko kwahyo ndoto yakuwa mwalimu iksishia pale akawa mwanajeshi na alistaafu akiwa canal nimeidikiliza hi nikacheka tyu 😀😀
sasa mbona katika nafasi za ajira za jeshi la polisi wanataka shahada ya elimu ya kiisilam .sasa nchi yetu inataka kuwashitaki waisilam au kunanini pale serikali inaanza kuajiri kwa misingi ya dini je? Watanzania tunaelekea wapi.
Sijawahi acha kukupendaaa Kwa kumbukumbu tu ili nisikusahau tamwita MWANANGU jina mabeyo yan ulifana sana kuitwa mkuu wa majeshi MUNGU amuongoze na aliye kurithi
Mungu atukuzwe kwa Kiongozi huyu mkubwa mstaafu katika Jeshi. 2017-2022. Pamoja na kwamba wengi watumishi wa TPDF huwa na kiburi na majivuno lakini Yeye Bado alibaki katika Imani yake na kastaafu katika imani ileile. God bless Venance Mabeyo
Ahsante sana CDF Mstaafu, speech yako nzuri sana. Hongera
Hongela sana Bado Mungu anakutumia bado Kumtukuza na. Kuitangaza Neno la Mungu .❤
Yaani Hekima ya Mungu imejaa hapa ... Retired General Mabeyo. Mungu aendelee kukupa utumishi mwema wa kiroho na wa kidunia
Duh!!! Mstaafu General Mabeyo kila nikikuangalia kwa utumishi wako uliotukuka sikumalizi maana uzuri wako umetamalaki kila Mahali,
MAY THE ALMIGHTY GOD BLESS U DADY, AMEN!!!!!
Nimara chache kupata watu kaliba ya Mabeo mungu ampe uhai mrefu
Baba Mabeyo wewe ni mfano wa kuigwa asante Sana Kwa utume tunakukumbuka 2008 mwenyekiti Wa kamati ya ujenzi Parokia ya Roho Mtakatifu Segerea Mungu azidi kukulinda pamoja na familia yako. Asanteni Sana Mababa Kwa utume Mungu awabariki Sana.
Pole sana mh mkuu wetu wa majeshi mstaafu
Mungu bado anavyokupenda sana na kazi yako ni nzuri sana hata kama wamekutoa huko Mungu alikuwa anasababu kukutoa huko wakati mwingine ungekwazwa huko mbeleni nafuu umetumika kwa Taifa lako.
Hongera na Mungu akupatie umri mrefuu na afya njema sana.
Ubarikiwe baba, mabeyo, mkuu wa majeshi msitaafu, una busara na hekima kubwa
Mabeyo as a team sana Kwa uliyoyafanya Kwa nchi yako
Hongera saana kwa kupata tuzo hiyo Mungu akubariki sana na akuongezee maisha yenye baraka
Ndugu mabeo alijua Kuna maisha menginee baada ya kazi yake God blease too
Kweli nampenda uyu baba. Mungu akulinde na akujalie.
I love u mabeyo kama yule baba,
🎉mungu azid kukuweka uenderee kuinjilisha popote utakapo kuwa asante sanaa🎉
Baba V. Mabeyo Mungu azidi kukubariki sana. Wewe kweli umekuwa mwanga na chumvi kwa watu wote.
Yaan huyu mstaafu sichoki kumwangalia na kumsikiliza. Mungu amtunze
Hongera sana baba V. Mabeyo kwa maneno yaliyojaa hekima ya kimungu
Oooooh my dad God bless you ❤
Yani nampenda Sana uyu baba???🙏🙏🙏🙏 Mwenyezi mungu ampe maisha marefu tena yenye fraha🙏🙏
Mungu azidi kumpa moyo huwo huwo mabeyo wetu
Mungu akupe maisha marefu baba mabeyo
Nimekupenda mabeyo
Kumbe hekima hizi na busara,ulizonazo ni roho mtakatifu juu Yako mabeyo,MUNGU akulinde sana.
Mungu aendelee kukutunza.
Ubarikiwe sana na upendo wa Mungu
Hata sisi tumekuelewa mzee mabeyo amani imekujaa moyoni mwako na amani imekutawala wewe ni mzalendo wa kweli hutopenda kanisa lako katoliki kutugawa
Mungu wabariki wanasibginda wote popote mlilipo
Amina Sana na mungu awabariki
Bab mabeo wewunafaa kuongozahii nchi yetu Tanzania. Ikifikaa 2025 kachukuee Form y kugombea urais . Naamini utapat kwa kishindokikubwa. Unahof y Mungu. Naamini kila kitu utakachokiongea utamtanguliz Mung kama k ipenzi cha wanyonge jpm
Hongera sana Baba kwa Utume wako kwenye Utume wa Walei. Mungu wetu aendelee kukubariki 🙏🙏🙏
General mtu makini sana
Hongera mgeni rasmi
Hongera na pongezi sana mkuu. Unatuheshimisha sana wastaafu pia unaendelea kuliheshimisha Taifa na JWTZ. Mungu akubariki sana.
Jembe sana huyu jamaa namkubali mno kama mwendazake Yan
Nilikumisi sana
Na awe Rais Wa Nchi yetu huyu
Thank you General for the word of Wisdom 🙏🙏
0⁰QQWA¹A1A1¹
ASAASANTE MUNGU WETU ASANTE sana wanasingida.
ASANTE SANA WAHASHAMU
Maskofu WETU. MH.RAIS WA BARAZA NA NAIBU RAIS NA WAAMINI WOTE.MKUU WA MAJESHI MSTAAFU WALEI WA KIKE NA UGENI WOTE WA SERIKALI KARIBUNI SINGIDA.ASANTENI SANA KWA KUSHIRIKI MIAKA 50 JUBILEI YA DHAHABU:
#👏👏👏
🎉🎉
Wito wako ilikuwa ndoa
Safi Sana. Ila Askofu kapitiwa kidogo hakuna dini ya Katokiki.
Katokiki ni dhehebu ndani ya dini ya Kikristu
Hajapitiwa ndugu. Ndivyo ilivyo Dini Katoliki yaani dini ya watu wote. Askofu hajakosea. Ukisikiliza kiapo cha Askofu kukiri imani kabla ya kusimikwa utaelewa.
Siyo katokiki ni katoliki. Maana yake ya wote.hii ndio dini ya wakristo wote. Wale wengine wamejitenga tu hao ndio madhehebu
Wana Singinda hoyeee. Jamani Kuna is nini hapo Singinda? Nakumbuka hata Mhesimiwa Makhufuli katika uhai wake akiwasifu sana Wana Singinda.Na someone invite me. Kishwahili safi --Wadugu Watanzania.
Dah! CDF mnyenyekevu sana.
👏👏
Huu ni utume uliotukuka
Unasema ukweli hata mimi nimeshindwa ila hawatupat .umegusa. Maadiili nimekupenda bure inatakiwa ukachukue form ya uraisi haraka iwezekanavyo.Hii nchi hakuna anayehamasisha maaadili.Ndio uharibifu umezidi Taxania nahakuna anayekemea kama kiongoz.
The next commander in chief 2030? I don't know.
Hata marehemu baba Yangu huwa anasema kipindi hicho kamaliza form six mkwawa high school alijaza form kuwa mwalimu Lkn alipopelekwa jkt msange kwa mujibu wa sheria habari ya kwenda vitani ilimkuta huko kwahyo ndoto yakuwa mwalimu iksishia pale akawa mwanajeshi na alistaafu akiwa canal nimeidikiliza hi nikacheka tyu 😀😀
Kwann jamani watu kama hawa wasipewe kuwa rais wa nchi yetu?
Natamani ungekuwepo mh Rais ajae
Hapa Kuna mtu
Kuiba au kutekwa kwa watoto wetu ndiyo muundo mazuri? Serikali pia inatakiwa kusaidia watoto wetu.
2025
sasa mbona katika nafasi za ajira za jeshi la polisi wanataka shahada ya elimu ya kiisilam .sasa nchi yetu inataka kuwashitaki waisilam au kunanini pale serikali inaanza kuajiri kwa misingi ya dini je? Watanzania tunaelekea wapi.
Anaongea kama mwendazake
teh teh teh
Mh Mabeo Mungu akubariki kwa maneno ya baraka,,,,, kweli umetoka mbal mkuu
Mungu akuongezee miaka mingi Na Mungu ikikupendeza tunaomba awe Rais wa nchi yetu Mungu tusaidie tunamuombea kwa unynyekevu.
Lijenje jamani alikosa nini na yuko wapi?
Sijawahi acha kukupendaaa Kwa kumbukumbu tu ili nisikusahau tamwita MWANANGU jina mabeyo yan ulifana sana kuitwa mkuu wa majeshi MUNGU amuongoze na aliye kurithi
Baba askofu hao viongozi wa Chama ni kina nani na ni chama gani? Hizi dini na siasa zinakwaza waumini kwa kweli