Barikiwa sana baba Askofu.Mungu azidi kukutetea.Mimi sio Mkatoliki ila naipenda sana dini ya Katoliki na naikubali sana.Hawana unafiki kabisa.Naomba nitumiwe akaunti ili niweze kuchangia huo ujenzi.
Mimi sio mkatoliki lkn Askofu Mkuu Ruwaichi nimekuwa nikimuombea mara kwa mara ktk sala za jioni. Na sijuu kwa nn yeye... Na nilianza kumsikia zaidi alipokuwa Mwanza na ninapokuwa Mwanza mara nyingi naenda kulala pale Nyakahoja. Bwana YESU KRISTO asifiwe.
🎉🎉🎉 Asante sana Mh. Baba Askofu Mkuu Jimbo Kuu, Dar Es Salaam kwa taarifa hii nzuri na yenye Ushindi; Mungu Baba wa Mbinguni aendelee kukupatia Maono zaidi ktk Kufanikisha Jukumu hili kubwa chini ya Usimamizi Wako🎉🎉🎉 Amina 🙏🙏🙏.
Hongera sana Baba Askofu Mkuu kwa kufanikisha ujenzi huu jina lako litaandikwa katika vitabu vya historia ya Kanisa nchini Tanzania kwa wino mweusi. Kanisa hili linategemea kudumu kwa miaka zaidi ya 200 ijayo.
Baba askofu mpendwa wetu napenda kukutahadharisha ujenzi utakapoanza uwe makini sana siku hizi kumekuwa na wimbo la mafisadi majizi makubwa uta kuwa ukiendelea na ujenzi huku waporaji wanakamilisha majengo binafisi angalizo chaguwa watu waimani na hofu ya Mungu la sivyo waumini watachoka na michango.. Asante sana baba kwa utumishi wako wa roho na mwili kwa tendo la milioni 30000000..mimi nimo humu kigoma.
Barikiwa sana baba Askofu.Mungu azidi kukutetea.Mimi sio Mkatoliki ila naipenda sana dini ya Katoliki na naikubali sana.Hawana unafiki kabisa.Naomba nitumiwe akaunti ili niweze kuchangia huo ujenzi.
Tunakushuru Sana Dada Mungu aKubariki Kwa kuwa una imani
Ushatumiwa au bado
Mwenyez Mungu niwezeshe nami niwe kati ya watakaochangia ujenzi wa kanisa nyumba ya Mungu 🙏
Mimi si mkatoliki, lakini kwa kuweka alama ya Mwili wa Yesu Kristo, niko tayari kushiriki katika hili
Amina
Mungu akubariki baba Kwa maono mazuri
Amina
Hongereni Sana Kwa Kanisa nzuri la kisasa
Mungu akubariki kwa kuifanya kazi ya Mungu kiuaminifu tuko pamoja na mimi nitataka kupata baraka ya kuchangia
Mimi sio mkatoliki lkn Askofu Mkuu Ruwaichi nimekuwa nikimuombea mara kwa mara ktk sala za jioni. Na sijuu kwa nn yeye... Na nilianza kumsikia zaidi alipokuwa Mwanza na ninapokuwa Mwanza mara nyingi naenda kulala pale Nyakahoja. Bwana YESU KRISTO asifiwe.
Amina
Mungu tuwezeshe tushiriki baraka izo
🎉🎉🎉 Asante sana Mh. Baba Askofu Mkuu Jimbo Kuu, Dar Es Salaam kwa taarifa hii nzuri na yenye Ushindi; Mungu Baba wa Mbinguni aendelee kukupatia Maono zaidi ktk Kufanikisha Jukumu hili kubwa chini ya Usimamizi Wako🎉🎉🎉 Amina 🙏🙏🙏.
Hongera sana Baba Askofu Mkuu kwa kufanikisha ujenzi huu jina lako litaandikwa katika vitabu vya historia ya Kanisa nchini Tanzania kwa wino mweusi. Kanisa hili linategemea kudumu kwa miaka zaidi ya 200 ijayo.
Ee Mungu nipe Neema na mm niweze kuchangia Amina
Hongera Baba Askofu
Wakristo ilimradi kanisa linajengwq na thehebu Fulani wote tunaweza kuchanga bila kujali tofauti zetu.
Kwa uwezo wa mungu litakamilika Amina
Congratulations baba askofu.
Karibuni saaaana huku ukatoriki ni rahaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hapo kwenye kilabatizwa naomba namba nilipie kabisa 2000 yangu
Fuguwa Account wenye mapenzi mema tutachangia..tuu. kutoka parokia ya mpemba mkowa wa songwe tunduma
Asante sana! Arch Bishop
Amina
Great plan
Duu kweli wewe umetumwa na mungu kwa maneno Yako tu umenishawishi
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Tunaomba account namba tuanze kuchangiza, Tumsifu YESU KRISTU
Wew ni askofu haswa Mungu akulinde
Baba askofu mpendwa wetu napenda kukutahadharisha ujenzi utakapoanza uwe makini sana siku hizi kumekuwa na wimbo la mafisadi majizi makubwa uta kuwa ukiendelea na ujenzi huku waporaji wanakamilisha majengo binafisi angalizo chaguwa watu waimani na hofu ya Mungu la sivyo waumini watachoka na michango.. Asante sana baba kwa utumishi wako wa roho na mwili kwa tendo la milioni 30000000..mimi nimo humu kigoma.
Mafisadi yapo tu hakuna imani kwenye pesa watu wamebadilika saaana siku hizi kikubwa nikuomba mungu jambo likamilike
Huyu askofu ana kipaji cha kazi yake,popote atakapoishi ataweka msingi mzuri wa maendeleo kwa kuwa amejaliwa na Mungu kuwa hivyo.
Rahisi kulipia kwenye jumuiya yako kam u mkatoliki!
I am very proud to be RC , I am very proud of Baba Askofu Ruwa'ichi, tunda la kanisa!! Mungu aendelee kukutuunza kwa ajili ya taifa lake 🙏🏼🙏🏼
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hii nitachanga kwa moyo
Niko Arusha baba naomba nisikose hiyo baraka weka lipa no. Tutabarikiwa
Kwani Tanzania hatuna Basilika?
Ndio St. Joseph sio basilica
Inajengwa Dodoma parokia ya Kizota
Mmh@@franciscamalembeka5656