Wakimbizi Warundi mbioni kufutiwa hadhi ya ukimbizi wakigoma kurejea makwao

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Mkurugenzi wa idara ya wakimbizi nchini, Sudi Mwakibasy amesema ujumbe wa serikali ya Burundi kutembelea wakimbizi wa Burundi katika kambi za Nyarugusu na Nduta mkoani Kigoma ni wa pili, ukiwa na lengo la kuhamasisha na kutoa ufafanuzi wa hofu ya kurejea kwao kabla ya hatua ya tatu na ya mwisho ya kufuta hadhi ya ukimbizi ambapo watarejeshwa nchini kwao bila kungoja hiari.
    #AzamTVUpdates #WakimbiziWaBurundi

ความคิดเห็น • 3

  • @sunduma-official8069
    @sunduma-official8069 ปีที่แล้ว +1

    Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮♥️♥️♥️

  • @ntaconayigizenestor7737
    @ntaconayigizenestor7737 ปีที่แล้ว +1

    TUNAWAPONGEZA SANA AZAM TV KWA KUHOJI BILA WOGA WOWOTE JUU YA SHERIA KANDAMIZI ZA KUJIBUNIA PAPO KWA PAPO NA HIVYO KUWANYANYASA WAKIMBIZI BILA KUZINGATIA SHERIA ZA KIMATAIFA ZINAZOWALINDA, AZAM TV HONGERENI SANA KWA KUWATETEA BINADAMU WENZENU!!!

  • @alexikagoma5135
    @alexikagoma5135 ปีที่แล้ว

    Warundi nyumbani tutawapokea hawo ndungutezu warundi