Mama akutana na mwanaye baada ya kupotezana miaka 30/ DADAZ LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 มิ.ย. 2019
  • Leo tutakuwa na binti aliyepotezana na mama yake kwa zaidi ya miaka 30, unataka kujua ilikuwaje!? Usikose #DADAZ leo saa 5:00 asubuhi.

ความคิดเห็น • 24

  • @angelolukwembe1865
    @angelolukwembe1865 2 ปีที่แล้ว +2

    safi sana Baba Namara akika wewe ni baba bora Mungu akubariki sana.pia Namara upendo wako kwa wazazi uendelee zaidi na zaidi.Mama Namara Mungu akubariki uzidi kuiombea familia yako .Mungu amekutendea na atazidi kukutendea zaidi

  • @luizabahati5198
    @luizabahati5198 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Namara...kweli Una BABA BORA SANA Mungu aendelee kuwapa uzee wenye mema na upate nafasi ya kuwafurahia maisha yao....Mungu awatunze

  • @tricemakau980
    @tricemakau980 5 ปีที่แล้ว +8

    ulipata baba mzuri sana ongera baba ila wababa muige bas kuwa bora iv

  • @wangwemseti7592
    @wangwemseti7592 3 ปีที่แล้ว +2

    Dada namala pole sana mdogo wangu ni vigumu kwa mama mwenye ufahamu kukubali kumwaacha mtoto mwenye miezi mitatu mama alikua na umli wa miaka kumi na nane umli mkubwa SEMA mama yako alikutosa itabidi mama umuombe msamaha mwanao ulimkosea sana

    • @omarymwazela3525
      @omarymwazela3525 2 ปีที่แล้ว

      Nimejifuza baba Namala anasitaili kupewa Tuzu ya mlezi bola

  • @tricemakau980
    @tricemakau980 5 ปีที่แล้ว +2

    na wamama wa kambo jmn kuwen na roho nzur kma hawa wenzenu wanaosifiwa na namara na mwanne tuache kuwa roho mbays asante sama wamama wa kambo wenye roho nzur kwa watoto wasio wenu mungu awabariki sana na wale pia wenye roho mbaya mungu wa mbingun akawabadilishe muweze kuwa wema maana sifa ya mama bora ni kuwa na upendo na hekima kwa jamii ongeren sana wamama wenye roho nzur

  • @najma3268
    @najma3268 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera baba kwakweli, kama ni tunzo angepewa anajua kulea tena kamlea mwanae kwenye maadili anaonekana tu

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 หลายเดือนก่อน +2

    Baba muelewa sana

  • @shizayassin4341
    @shizayassin4341 3 ปีที่แล้ว +2

    Aise mpende Sana babako Sasa Kama mama alikubali kumtoa mtoto akiwa na miezi mi3 uyo cyo mtu wakawaida mwanamke unakufa namtotowako athaway angemlea Hadi miaka 7 ndiyoampe

    • @mariamsuku7021
      @mariamsuku7021 10 หลายเดือนก่อน

      Sana uyu mama ana roho ngumu sana

  • @lidyakahwa3613
    @lidyakahwa3613 3 ปีที่แล้ว +2

    Miez 3 unamuachia mwanaume mtoto???? Bora kufa na masimango na mwanao mkononi

  • @jacquelinelinja5079
    @jacquelinelinja5079 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nimejifunza kitu kwamba kila kitu n MUNGU na nimefurah kusikia mama alikua kwnyw maombi binti pia alikua kwenyw maombi jibu limetoka kwa Bwana wala sio kwa akili za kibinadamu hakika Yesu upo na unajibu kila hitaj la mtu

  • @miriamimani4986
    @miriamimani4986 4 หลายเดือนก่อน +1

    Heeee Namala wa TAFES eti leo ndo nakuona

  • @atugilva9971
    @atugilva9971 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mama nae alimpa mtoto mdogo sana jamani miezi 3

  • @ashamganga6636
    @ashamganga6636 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amuweke babio

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyu baba ni mimi

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 5 ปีที่แล้ว +1

    Wawoooo 😢

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo baba ni mimi

  • @jacquelinelinja5079
    @jacquelinelinja5079 5 ปีที่แล้ว +2

    Kubwa kuliko yote huyu baba amenifanya nimoumbuke baba yangu alie nilea yan km vile binti anavyoeleza ndivyo baba yangu alivyokua akinifanyia hasa hapo kwenyw usichana ( kuvunja ungo) najiona km mm maana niliumwa natumbo baba anaangaika na mm sijui kitu ilibid aombe mwanamke jiran ili anisaidie kuniuliza ili ajue cha kufanya na hapo mama yangu alikuja kugundua n binti nikiwa form3 nakuelewa kila kitu cku zote alikua akikwambia mama yangu huyu mtt n mzur sana Ila n baba wachache sana wenyw kujielewa wengi huzalisha na kulimbia watt hata hajali baba umetangulia mbele ya haki Ila nashindwa hata kukusahau wakat mwingine siwez kumueleza mama vitu vyangu nataman ungekuwepo nikwambie najua upendo wako kwangu nakushukuru sana kaz yako kwangu uliopewa na Mungu uliitendea haki nalia kwa malezi yako mazur kwangu ntazid kukupenda na kuyafata mahusia yako

  • @user-fz1ph3cn4s
    @user-fz1ph3cn4s 28 วันที่ผ่านมา

    Mtafuteni baba mumpe tuzo.

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 27 วันที่ผ่านมา

    Unahukumu wewe ulihusika

  • @jessymalembeka6181
    @jessymalembeka6181 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani hadi rahaaaaa

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyu baba ni mimi