HATIMAYE MTOTO WA MFUNGWA WA MIAKA 30 JELA APATIKANA|YULE ALIYEMPA MWANAFUNZI MIMBA NA KUFUNGWA|

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 474

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 ปีที่แล้ว +33

    Asante timu Nzima ya maxmamu wallah mtoto na baba yake

  • @najmaahmed6533
    @najmaahmed6533 3 ปีที่แล้ว +4

    Why are people disliking this kind of videos like this guy is doing something good MashaAllah keep it up bro zahir may Allah bless you

  • @lucasmlowezi9214
    @lucasmlowezi9214 3 ปีที่แล้ว +11

    Kazi nzuri, hii ndio maana halisi ya vyombo vya habari

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +25

    Zahir kazi nzuri sana, hongereni sana, HADI RAHAA

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 ปีที่แล้ว +19

    Zahir pongezi 100% na team yako yote .

  • @zainakuzenza759
    @zainakuzenza759 3 ปีที่แล้ว +5

    Zahir namuomba Allah akupe umri mrefu kwa kazi yako unayoifanya ya kuwasaidia watu na shida zao

  • @lebaokinda6009
    @lebaokinda6009 3 ปีที่แล้ว +26

    Wow kipindi cha maximum tv nakipenda sana 🇰🇪

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 ปีที่แล้ว +3

      Kama unampenda Zahir piga kelele yake oyooooooo👍💪🔥

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 3 ปีที่แล้ว +27

    Zahir na team maximum barikiweni sana

  • @rosenaheka7100
    @rosenaheka7100 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki sana . Mungu amefanya wepesi amempata mwanae. Pia atamfanyia wepesi atapata mke na kazi pia

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว +16

    Mungu Ni mwema Alhamdulilah

  • @catherinekatuu423
    @catherinekatuu423 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu asifiwe kwake mambo yote kwake yawezekana.Asante sana team maximum Mungu awazidishie maisha marefu kwa mnacho fanya😍😘🌞🙏.

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwa Ushauri huyo baba amekaa jela muda mrefu moyo kichaka dhahir asije akakuuzia kess cha muhimu huyo mtoto akija kwanza mfikishie police muandikishe kisha waunganishwe na serkali yaani police huwezi juwa pwngine ametoka na ana mpango wa kulipa kisasi akaona liwalo na liwe niliemtumikia jela anapumuwa na kula ugali mm nimeteseka akawangaamiza kisha akarudi tena jela kwa hiyo uwe makini sana watu juzi tu umetoka kwenye tatizo la Hawa na Uthithubutu kufiwatana huko sonngea wakishajuwana achana nao songa mbele kazi iendelee narudia moyo wa mtu kichaka sababu mateso alioyasimulia ni makubwa sana moyo umeota sugu.

  • @nuryatmussa9966
    @nuryatmussa9966 3 ปีที่แล้ว +8

    Anaogopa maskin kutokana dunia yasasa😪pia kwakua mama hakuwah kumwambia ukweli ndomana anahisi kama mama ake alitelekezwa na mimba

  • @zaitunichibako1214
    @zaitunichibako1214 3 ปีที่แล้ว +10

    Jana nliota amekutana na mtoto wake kumbe ilkwa kwel mashallah itabidi nianze kuamini ndoto zangu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว +3

      Basi unakichwa kizuri endelea kumuomba Mungu zaidi

    • @merinarobin1894
      @merinarobin1894 3 ปีที่แล้ว

      @@Mpakauseme LlO9

    • @merinarobin1894
      @merinarobin1894 3 ปีที่แล้ว

      Oò0aq9

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 ปีที่แล้ว

      Kama ni mchamungu mzur bac shukuru mungu ila kama mwenzangu na mm mchanganyiko ni dalili ya kuwa na mashitwani na inabidi uikatae hiyo hali fanya ibada muombe mungu bora uwe hujui kitachotokea lakin uko na Allah kuliko kujua kitachotokea af kumbe unaendeshwa na sheitwan ambae ni adui wa dhahiri kwa binadam. Mwenywe jibu unalo kutokana na maisha unayoishi.

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 ปีที่แล้ว +23

    Alhamdulillah' shukra sana kaka Zahir kwa juhudi zako Nakupenda kwa ajili ya ALLAH

  • @habibaselemaniasantesana9774
    @habibaselemaniasantesana9774 3 ปีที่แล้ว +11

    Mungu mkubwa hongera Zahir kwa kazi nzuri

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 3 ปีที่แล้ว +9

    Uyu mtoto nae jamani nend mdogo wangu kamuone baba ako hana makosa nimambo ya ujana tu

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +13

    Weweeeeeeeeeeee👏👏👏❤❤Mungu ni mwema. MASHAALLAH

  • @fettyharoun1333
    @fettyharoun1333 3 ปีที่แล้ว +13

    Mashallah I'm so happy wallah alhamdulillah br kapata mtoto wake

  • @galary8688
    @galary8688 3 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah tabarallah ♥️💖nasubiria mrejesho mie,,, hongereni team maximum.

  • @stephanierona6592
    @stephanierona6592 3 ปีที่แล้ว +3

    Wakati wangu ni wakati sahihi kweli mungu mwema, kazi nzuri sana maximum Tv

  • @user-to1xr1uq4j
    @user-to1xr1uq4j 3 ปีที่แล้ว +18

    Mungu nimwema

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 3 ปีที่แล้ว +3

    I blame the education officer imagine she has contributed maisha magumu kwa hii family sana sai Baba hana hili wa lile Mtoto anafanya kazi kama house maid yani it's painful. Kama huyo education officer ako hai anafaa kuomba hawa watu msamaha coz ameharibu maisha yao Sana huyu Mtoto angekua amesomeshwa na babake. 🥲🥲

  • @halimaleila2323
    @halimaleila2323 3 ปีที่แล้ว +12

    Mashaallah. Mungu. Yumwema

  • @veronicapaulo2233
    @veronicapaulo2233 3 ปีที่แล้ว +18

    Mimi niko Arusha, kama anaweza nielekeza nikamfuata hapo alipo

  • @semkiwamganga4405
    @semkiwamganga4405 3 ปีที่แล้ว +14

    So sad... Wamepoteza mda wa selemani... Eti afisa Elimu, mjukuu kashindwa ku endelea na Elimu/stupid family

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว

      Uonevu na madhumuni mabaya ya cheo yalitumika. Maana hata huyo afisa elimu hakufaa kuandika maid mtoto ambae alikuwa under age..sad

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 2 ปีที่แล้ว +1

    Broo angalia maisha yako tu, mtoto alisha lishwa sumu, we pambana na hali yako kwa sasa.

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 2 ปีที่แล้ว

      Daaaa.Aisee imeniumiza sana.Mtoto anakili Baba ake alifungwa kwaajili yake leo anasema siwezi kuja labda aje yeye.Daaa!!! nimeuma sana.Mtoto amepewa sumu yakutokumthamini Baba yake.Kiukweli Kaka huyu aanze maisha yake tu? Mungu atamlipia tu na huyu mtoto ipo siku atamtafuta Baba yake.Hasa pale atakaposikia Baba yako ni mbunge au mtu mwenye mafanikio.

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri kwa maximum TV crews. Nawaombea miaka Mia duniani

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 3 ปีที่แล้ว +4

    Mngemfata huyo mtoto huko aliko. Halafu huyu baba kabla hafanya kitu chochote mkapime DNA. Pengine huyu mama anamtu mwengine keshampa mtoto. Mtakuja niambia nendeni kuna kesi nyengine mtoto kesha pewa mtu.

  • @ramadhanigoha7166
    @ramadhanigoha7166 3 ปีที่แล้ว +1

    Awe na subra pia atapata mke anayemuhitaji yeye na so wakwenye mtandao maana wengi wao tunaangalia amepata msaada basi kinachowapeleka ni ule msaada wa maisha baadaye unakuta mwanamke anamkimbiya tena anaweza bebe vitu vyote ndani tena aje ajute atulize akili tu kwa sasa aweke mambo yake sawa inshallah atapata mke mwema na mwenye hofu yamungu tatizo niko mbali daahh ningekubali bahati hiyo ningejipatia mume nje nje 🙈🙈

  • @ashakufakunoga4904
    @ashakufakunoga4904 3 ปีที่แล้ว +9

    Zahri bwana eti unafanana nae kweli... Mwenyezi Mungu akupe moyo huo huo

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 ปีที่แล้ว +7

    IF GOD SAY YES NOBODY CAN SAY NO ILOVE YOUR WORK KEEP IT UP ZAHRI

  • @neemaoman1519
    @neemaoman1519 3 ปีที่แล้ว +8

    Jamni nimejikuta machoz ya fulaha yananikita mashaadha 😭😭🙏🙏

  • @theresempanga9009
    @theresempanga9009 3 ปีที่แล้ว +3

    Yoram jana nimetuma pesa ameopata ila tuu hanijibu kitu. Mimi ni Mme Therese kutoka Canada ila niko mkongomani anayeishi Canada na niliishi kwenye camp ya wakimbizi Luhufu II miaka miwili nika toka 2006 nikaenda Ouganda mimi na jamaa yangu mume wangu na watoto 6. Njoo tumebahatika 2014 kuja huku Canada. Nimeona interview ya kijana yoram gisi anavyo teseka njoo nikamtumiya hiyo pesa kidogo 120$ Canadian juu imsaidiye kwa matumizi madogo madogo. Nimetuma jana ku majina yangu ya Nzigire Mpanga ila na nimemuandikiya bado hajibu. Tena World Remit imenitumiya texto pesa zimemfikiya kijana sijuwi haniandikiye kwa nini.

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 2 ปีที่แล้ว

    Baba pole sana fans subra utakutana ti na mwanao kala major allah stakulipa kheri

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 3 ปีที่แล้ว +1

    Zahir mara nyingi watoto wanao zaliwa baba zao hawawajui huwa wanatumia ubini wa mama simshangai huyu mtoto kalishwa sumu hawezi sema siwezi kuja dar salam!hapo mtoto ana mapenzi na babaake mungu awapatanishe kwakweli!!

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 3 ปีที่แล้ว +3

    mungu mkubwa hakuna lisilo wezekana kwa mungu babaa usijali mwanao utampata tuu zahir na team maximam hongereni

  • @aminaismail4221
    @aminaismail4221 3 ปีที่แล้ว +13

    MashaAllah furaha ilioje

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 ปีที่แล้ว +3

    Pongezi zahir kwa harakati zako upo vizur sana....nimefurahi sana

  • @kadigatanzaniya4792
    @kadigatanzaniya4792 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah mungu ni mwema i nshaallah

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 3 ปีที่แล้ว +1

    Awwww mungu atafungua njia zote I’m so happy for my bro tuendelee kule Dana na kusaidia na watanzania asante Kaka Zahir

  • @ladymuna4945
    @ladymuna4945 3 ปีที่แล้ว +7

    Ma Sha Allah mm pia nimefurahi sana

  • @sanyajuutv2679
    @sanyajuutv2679 3 ปีที่แล้ว +6

    Uyo broo anafanana na uchebe yule fudi magari wakina diamond

    • @yasodishonest9792
      @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว

      Ww bana usimfanye shishi akimuona akimbie😀😀acha bana usifananishe.

    • @aamaasm2141
      @aamaasm2141 3 ปีที่แล้ว

      Hawafanani hata kidongo

    • @ayshameme4856
      @ayshameme4856 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😷😷😷😷

  • @baharainbh5468
    @baharainbh5468 3 ปีที่แล้ว +2

    Wau zahir this was soo gud, i wish this man all the best and the blessings of God.kazi ipatikane afurahie pamoja na mwanawe

  • @faridaabdallah2213
    @faridaabdallah2213 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU NIMWEMA SANA,
    KAKUPA AFYA NJEMA MIAKA YOTE HIYO,
    ASANTE MUNGU🤲🤲🤲🤲

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 3 ปีที่แล้ว +2

    Zahiri ubarikiwe sana. Pamoja hiyo ni kazi, lakini unaifanya kazi yako ya kusaidia watu kwa MOYO na upendo.

  • @saidiasdd5043
    @saidiasdd5043 3 ปีที่แล้ว +3

    Niatari kbs Kaka zahiri Mungu atakulipa kweli unasaidia wengi sana ❤️❤️❤️

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah mungu nimwema sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @julianajacksoni4275
    @julianajacksoni4275 3 ปีที่แล้ว +16

    Jaman😘😘😘😘

  • @jumaselemani2720
    @jumaselemani2720 3 ปีที่แล้ว +2

    Daah bro mungu akubariki Sana unazidi kumpambania sana jamaa bless 🙏

  • @abigaelmabuga1315
    @abigaelmabuga1315 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Zahiri na team yako mko vizuri,kazi nzuri sana

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 3 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri Zahir Mungu akubariki sana

  • @ashuramuhinde3849
    @ashuramuhinde3849 3 ปีที่แล้ว +3

    Ingekuwa vizuri mgemtafuta mama wa mtoto ndiyo akamkutanisha na baba wa mtoto

  • @jenymtafya3430
    @jenymtafya3430 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema jamani hajawahi kushindwa, sifa na utukufu ni kwake 🙏 Amen

  • @lailajeremia1259
    @lailajeremia1259 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awajalie wepesi Rakuten na babaake.

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 ปีที่แล้ว +1

    Bass ni kweli huyo baba kafanya kweli hayo maovu heee mtihani mungu atuepushiye ishauwalah

  • @sophiakasana2937
    @sophiakasana2937 3 ปีที่แล้ว +2

    Zahiri simba mungu akutunze
    Kwa kazi nzr

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kaka zahir mungu mkumbwa kwakweli tuendelee kumchangia huyu brother.

  • @wamugimohammed3848
    @wamugimohammed3848 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Tabaraka Allah Amin Amin! Huyu kaka Allah ampe subra maisha yatakuwa sawa Amin Amin, Ashukuru Allah mtoto yuko hai Amin Amin

  • @ramadhanideu6444
    @ramadhanideu6444 3 ปีที่แล้ว +4

    Umemfunga babaake na mtoto Hujamsomesha,ikiwa na ww uliwah kuzini na upo uraian mungu anakuona

  • @benedictmhina6741
    @benedictmhina6741 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimefuatilia online TV nyingi ila hii ya wako nimeikubali

  • @nuryatmussa9966
    @nuryatmussa9966 3 ปีที่แล้ว +10

    MASHAALAH 🥰

  • @munamohd963
    @munamohd963 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashaalwah.

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 3 ปีที่แล้ว +1

    Maskini anafanya kazi za ndani jamani Mungu awazidishie Baraka mimi ntatuma nauli ya wao kukutana Yani nimesikia kulia dunia hii mh mtafute baba it’s going to be ok Mungu ataleta kheri eti si mtoto ndio mimi nimefurahi sana amempata mwanae

  • @lovvy854
    @lovvy854 3 ปีที่แล้ว +4

    Yaani inabambaa ajabbb halafu mtoto mwenyew ni wakike na mababa wanavo penda watotowao wakike duhhh Raha🤣🤣

    • @aishaaisha1495
      @aishaaisha1495 3 ปีที่แล้ว

      Hv kwann wanaume wanapenda sana watt wa kike

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 ปีที่แล้ว

      @@aishaaisha1495 kawaid hio kwani hujui daa Aisha wamama hupenda watoto wa kiume na ndio maana yake haimaanishi humpendi wa kiume but ndiohaliilvyo Sana utampenda wakike na mama wakiume 🤣

    • @aishaaisha1495
      @aishaaisha1495 3 ปีที่แล้ว +2

      @@lovvy854 Ok apo nimekuelewa ndo maana naona wababa wengi wanapenda watt wa kike hasa mzaz mwenzangu

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 ปีที่แล้ว

      @@aishaaisha1495 mashallah Sisi hatukujaaliwa wakike ilawakiume tunaye natamani San nipate mwali namimi nijidai lakin wife sjui alipo mzahuyu wakiume akawa nitasa hazaitena Yani jibu sielewi

    • @amour5535
      @amour5535 3 ปีที่แล้ว

      @@lovvy854 mm hapa wife wako

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah hatimae kampata mwanaye

  • @khadijabakari2932
    @khadijabakari2932 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtoto hana hata hamu na baba ake duuuh ni hatar mnoooo... Sie wengine tulifiwa na baba lakin twawakumbuka wazazi wetu kwa dua

    • @safiyasafiya5014
      @safiyasafiya5014 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu yangu mtoto halaumiki hawezi kua na mapenzi na baba hamjui sie tuliofiwa wazazi wetu tunawapenda tunawakumbuka kwasababu walitupenda walitulea mamii

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 3 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations kwako bro Zahir na Tim yako yote Allah awazidishie kila hatua mnayo piga

  • @husnamwaikaro1291
    @husnamwaikaro1291 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashalla huyu mtoto anamuogopa mama ake jamani

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 ปีที่แล้ว +1

    Adi raha mungu apokee duwaa zetu kwa wingi wana maxmamu wote hongera baba mzazi

  • @qwqw1665
    @qwqw1665 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani kaka pole sana jamani mungu mukumbwa sana zahiri mungu akubariki🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ramadhanigoha7166
    @ramadhanigoha7166 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka yangu kwa juhudi unazofanya Allah akupe kila hitaji lamoyo wako daahhh nimejikuta natokwa na machozi ya furaha tu baada yakusikia mtto amepatikana

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 3 ปีที่แล้ว +4

    MTOTO JAMANI MJUE BABA YAKO, BABA YAKO ANAKUPENDA SANA.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +10

    Huyo mzazi alijua anamakosa ndo akipatia mtoto jina la babu

  • @bennytyrant9805
    @bennytyrant9805 3 ปีที่แล้ว +3

    NATAMANI DNA IPITE HAPA HAKI TENA NAHISI KUNA MTU AMEDHURUMIWA HAPA😢😢😢

  • @aliamirbakar5580
    @aliamirbakar5580 3 ปีที่แล้ว

    Kaka Zahir mungu akuzidishie umri kwa kazi ngumu unayo ifanya

  • @aishatanzania597
    @aishatanzania597 3 ปีที่แล้ว +2

    Wawoooo mashaallh jamn had raha

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 ปีที่แล้ว +4

    Familia ilikua kwenye mikono ya Mfanyakazi ya Wizara ya Elimu ikoje mbona huyu mtoto ameishia Darasa la saba na anafanya kazi kama Housegirl? Walezi kuna mahala mlikosea

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaan 🤔🤔🤔 walimfanyia kusudi tuu kumfunga baba wa watu

    • @hadijashabani890
      @hadijashabani890 3 ปีที่แล้ว +1

      Nasikia mama ake alikuwa anafany kazi tu kwa uyo mama

    • @upendolema9809
      @upendolema9809 3 ปีที่แล้ว

      Mama nae alikua h.girl?

    • @safiyasafiya5014
      @safiyasafiya5014 3 ปีที่แล้ว +1

      Si makosa ya walezi ila ni majaaliwa ya muumba ukiandikiwa no ndio hiyo hiyo haipo mikononi kwa mtu hata ujitahidi vipi

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว

      Huyo afisa elimu alitumia cheo vibaya,maana hata yeye hakufaa kuandika maid under age

  • @minakhamiskhamisi6193
    @minakhamiskhamisi6193 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmn rah kweli kak Zahir n mim nitakutfut n mim takia nizaliwe sijawah kuon bab yg :ila alimtelkz mam yg akiwa n mim mdog

  • @robinakamwine8405
    @robinakamwine8405 3 ปีที่แล้ว +10

    Mashaallaah

  • @rahmamungu2nusulunatamaaza404
    @rahmamungu2nusulunatamaaza404 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah kikubwa tu huyo mtoto aje kuonana na baba ake,

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 3 ปีที่แล้ว +9

    Safi sana

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUBARIK KAZ NZUR UNAFANYA ILA UO MKASA ULINIPATAGA MINDO NILIKUA STAKI ATA KUMUONA ILA WOKOVU UMENIBADILI MOYO WAUCHUNGU SAIVI NAMPIGIA NASTORY NAPIGA NAYE

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 3 ปีที่แล้ว +5

    Haleluyah.DNA asap.

  • @fadhilajuma372
    @fadhilajuma372 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimempenda huyo kak

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah..raha kabsa..mungu ametenda

  • @princeasdekeenly9576
    @princeasdekeenly9576 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭dah na mm baba angu si anitafute jamani i wish ndo ngekuwa na mm niifurah

    • @reymaabintabdillah3727
      @reymaabintabdillah3727 3 ปีที่แล้ว

      Pole sana

    • @princeasdekeenly9576
      @princeasdekeenly9576 3 ปีที่แล้ว

      @@reymaabintabdillah3727 asante

    • @zaynabmohamed3641
      @zaynabmohamed3641 3 ปีที่แล้ว

      Utampata mungu ni mwen mpwendwa

    • @aminaally863
      @aminaally863 3 ปีที่แล้ว

      Pole jaribu wewe kumtafuta fanya kama huy jamaa huwenda ukapata tetesi zozote

    • @princeasdekeenly9576
      @princeasdekeenly9576 3 ปีที่แล้ว

      @@aminaally863 me siwez sabab simjui sura hata picha amna na jua jina lke na lababa ake na kabilla nimeambiwa tuu lakin sina uhakika kama ndilo au hapna

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah mtoto anajielewa saan

  • @robertmalima3111
    @robertmalima3111 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Kaka zahir mungu akupe umri mrefu

  • @zainabohus4903
    @zainabohus4903 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah jamani huyu kaka ni mkweli tujifuze kuwa wakweli kwa kupitia huyu kaka

  • @apichitseso3073
    @apichitseso3073 3 ปีที่แล้ว +4

    Wapili 🥰🥰🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪

  • @Amidangirente
    @Amidangirente 3 ปีที่แล้ว +3

    Good news 👍👍 nimefulahi saana

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 3 ปีที่แล้ว +2

    Maskini baba yake nadhani alifungwa mdogo bado kijana si mchezo miaka 20 jela uh

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallaah mungu azidi kuleta wepesi kwakila jambo inshaallah

  • @ashaa497
    @ashaa497 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah alhamdulillah jambola kushukulu kwakweli

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama la saba Mtoto la saba mtihani uhu jamani 🤦‍♀️😪roho ina umwa sana!!imimi najitahidi sana watoto wangu waje kusoma jmani dah wamama tujidahidini kufanya kazi ili watoto wetu waweze kusoma 'tusiwaache mitaani

    • @frankmusukuma3814
      @frankmusukuma3814 3 ปีที่แล้ว

      Hukiwa hujapata matatizo unaweza kupambana lakini yakikukuta kama yaliyo mkuta huyu nadhani pia huwezi

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว

      @@frankmusukuma3814 🙄🙄. Matatizo gani aya ndo miaka Yote 🤦‍♀️🤦‍♀️Asante MUNGU kwa kila kitu. Matatizo Yapo ila unapotezea na maisha Yana endelea ana sasa mama la saba Mtoto la saba Ujinga wa nani hapo

    • @sylviermuhonjah8411
      @sylviermuhonjah8411 3 ปีที่แล้ว

      @@faudhiasalum7279 pesa sio kila kitu kuna watu wana uwezo ila watoto watukutu au jeuri...hapo utalaumu nani

    • @frankmusukuma3814
      @frankmusukuma3814 3 ปีที่แล้ว

      @@faudhiasalum7279 Dada najua hujui shida ndomana unasema mama lasaba na mtoto lasaba Ila ungeweza kufikilia mama alikua anafanya kazi zandani afu kapata ujauzito inawezeka alifukuzwa hata kwa boss wake unadhani angefanya nini ili mwanae asome? Tena mtoto kasema amelelewa na bibi

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah Zahir maneno yako mazuri na ushauri wako kwa huyo Binti maana umeongea nae vizuri mpaka akakubali hongera kaka🙏🙏

  • @michaelsaimonmotto5858
    @michaelsaimonmotto5858 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo akili hana au chizi mtoto gani ambae hataki kuonana na baba yake alifungwa kwaajili yake

  • @zuwena1zuwena114
    @zuwena1zuwena114 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah mungu mkubwa hongera kaka kwa hatua ya awali

  • @aminahassanali1190
    @aminahassanali1190 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaaallh mashaaallh alhamdulh