Ukiwa kama mwanafamilia tunaomba Support yako kuchangia gharama za uendeshaji kwa chochote ulichojaliwa kupitia Tigo-Pesa +255 654 980 556 au Airtel Money +255 692 247 009 Jina ni Kelvin Shayo Gabriel au Western Union kwa jina la Kelvin Shayo Gabriel, Asanteni na Mungu awabariki.
Bonge moja la Baba limejaa hekma mpaka zinamwagika Baba mwenye kuamua kwa utulivu zaidi kabla cjaiangalia hii clip nilitegemea kusikia vitu vingine tofauti na livovisikia hongera Mzee wetu
Mzigo kama hujaubeba huwezi jua uzito wake pole sana Mwaya daa zuu kwa dharau ulionyeshwa na wawili hao ambao hawana shukran ilijitahidi kuwa malkia wa nguvu jasho lako halitapotea bure Amina na hawala yake mola atawalipa
Amina sio kosa lake woga na alitokewa na bosi. Haya mazingira alitengeneza zulu mwenyewe. Mume asingepata idea mbaya kama alikua okay home. Story zina both sides na zulu ana makosa yalio create ku lose mme.
Baba kumbuka zuu nimwanao hnajisikiaje kumuona anateseka hivi hujui mume anauma kiasi gani bora angeoa kwingine sio kwa kina amina jaman mume anauma sana sikia tu
baba nmekupenda sana♥️...mdada wa kazi ni jina tu...bado ni bint kama binti wengne na ana haki ya kupendwa na kuolewa kama wengne..bi zuu arudi akaangalie familia yake na maisha yake basi.
Angesubiri wa kwake SI kuharibu Kwa mwenzake,ni rahisi sana kuongea,Vaa kiatu Cha zuu.Mabint wa miaka hii hawana woga hata kidogo,asilimia Kubwa maharage ya iringa,hawajipendi wao binafsi wanahsi watakosa kuolewa,hvyo kurukia Kila akikonyezwa,Mungu tu asaidie uzao wa nyakati hizi!
Kwa WOOTEEE kwenye hili sakata NI huyu mzeee pekee ndio anajua usahihi wa hii kesi Mungu atakusinamia Baba na ondoshe kila uzito uliopo mbele , uko vizuri sana kuliko Sana Hili ndio muafuaka wa hii kesi hakuna mbadala wake ❤
Jamani maneno kuntu 👌Zulfa arudi kwa mumewe na baba Amir amuoe Amina sheria inaruhus wake wanne Dini yetu ni nzuri imetupangia kila Jambo ni jepes ukiwa na Iman thabiti
Mambo amesha tokea basi aolewe tu NA mke mkubwa arudi kwake si Ajabu mwanamme kuowa mfanya kazi wake baba Abduli hawezi kutupa mtoto alie zaliwa kwahiyo ina idi aowe zuu rudi kwako maisha aende na Amina atafutiwe nyumba ya peke yake❤🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Mungu akubariki baba Kwa busala zako zuu alikua ana zalau sana Kwa mumewe Binti wa Kaz Hadi kitsnda chako akutandikae jamani huyu Amina musimlaumu sana hii ni fuzo Kwa wasio jitambia kweye ndowa zao
Amina na mama yake ni wachafu sana..mama hana hata haya..jamani umasikini ni mubaya sana.tena huyo Amina mtoto wa dhinaa angekuwa anamaadili angedhini?
Inaonekana mama Amina ni malaya ndo maana aliachika kwa mumewe na inahashiria anachokiona kinachoendelea anakiona sawa mwanae kuachanisha hajui dhambi ya kuachanisha inakutafuta kidg kidg laana ya maisha inamhusu mama Amina na mwanae watajuta huko mbele kitawakuta jambo na tamaa zao
NAKU SUPPORT BABA ZUU. MKE NI KUPEWA HESHIMA NA KUTAARIFIWA. NA HAKI ZAKE ZOTEE ZITIMIZWE. TU BAAS. HAKUNA MKE ATAKAE KUBALI AU KUTOWA ABRI KWA MUMEWE AKAOWE HAKUNA ILA KWA WANAWAKE WACHAMUNGU TUU. NDIO WALIOJAALIWA NA NYOYO ZA IMAANI HIYO
Mashaa Allah mzee una hekma Allah akulipe kila la kheri upo sahihi unajuwa dini kwa kiyasi chake nyie wazazi wa kiume huyo mzee salumu na ww mmeongeya kwa hekma na busara na mmesoma dini ila hao wake zenu mama wa amina na mama wa zuu dini hawaijuw wanaongeya tu kwamba ulimi unacheza Allah awaongoze
Mashallah mm nimempenda sana huyu mzee yuajua kuzungumza mpaka amemshinda hata rais wa kwetu kenya wallahiladhiim mungu akuzidishie umri baba nakupenda kwaajili ya Allah
Kweli maji yameishamwaika hayawezi kuzolelka. zuu rudi tu kwa mumeo. kama bado una mpenda mumeo na yeye anakupenda. kikubwa omba subra tu. wacha amuowe tu Amin.
Ila kuhusu kuishi nyumba moja mm sijaafiki aowe amrudie mkewe amina amtafutie makazi maisha yaendelee uzuri wote ni waislam ila mume ana tatizo kidogo la kibri
Huyu mzee ana busara na hekma sana, ila yule mama yake Amina hana busara hata kidogo, hata aibu hana yule mwanamke mama amina, badala amkanye na kumlaumu, yeye ndio sasaa anashangilia mwanae kuvunja ndoa za zuu, tena alaniwe na mwanae.
Yaan ingebidi atengwe na kitongoji kabisa kanisinyaa tena yu asema hata kwa ndumba ataolewa zuu kashindwa mwenyewe yaelekea alimpa darsa na dawa ili awaekee kwenye chakula ampate mume tuwe makini na wasichana wa kazi
Hawezi laaniwa maana zuu mzembe unaachejee Kila kitu mumewe afanyiwe na mfanyakazi alizani kazi ya kulala na mumewe itamshinda SI rahisi liwe funzo kwa wote mnao penda kufanyiwa majukumu yenu
Jaman Musimlaum Amin kumbuken hata mwanamme alipohojiwa alisema kuwa Amina alipomtaka hakitaka ila sema alitumia nguv kumlaghai😭😭😭Aliefanyamakosa ni Da zuu maskin alichukuwa hasira na kumuachia Amina Nyumba😭😭😭Yaan Huu ni mtihan wala hujui useme vipi😭😭Maan ukisema Zuu aairejee kwamume wake mtihan na ukisema arejee akakaye na Mke mwenza pia mtihan huo ni mtihan Wote jaman Pole Sana Da zuu Allah akupe subra inshaallah litamaliza salama Allah atakuonesha njia Dada yangu😭😭😭😭😭😭🤲kiatu chako sieez kukivaaa una mda mgum kwel Allah ndo anajua yote haya Pole Dada angu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲
Baba anaongea kweli maji yakimwagika ayazoleki ata iweje ndo imesha tokea apo busara inabidi itumike pole sana zuu maumivu unayo pitia ni makali ila ndo imesha tokea samehe kipenzi ludi Kwa mumeo kalee watoto wako
asatesana baba zuumamenoyakoyajekma yaniwewe na baba ake amina utadhanini ndugumnafanana tabiyaniwatu wastarabu allh.awazidishoye aniumojamshilamano upemdo
Safi sana baba dini inaruhusu kuoa aoe tu hakuna ubaya,naramani na mm ningekua mwislam ningeongeza mke mwingine mmoja hanitoshi basi tu tunajikaza wanaume nazani mnanielewa😅
Zuu pole sana mume anauma ila mm nakushauri usikubali kurudi kwa huyo mjinga kakudhalilisha tena kwa mfanyakazi loh huyo atakuuwa hata huyo Amina kesha kuwa adui yko usiamini hapana ndoa we bora kalee wanao ila usihisabu kuwa unamume hana maana kesha ichafuwa ndoa kesha anajisifu bila woga anaona alivyo fana nisawa ndoa gani hiyo ya wazinifu Amina aliweza kuzini na mumeo kwa tamaa hata kukuuwa atakuuwa malaya kijuso chake kinaonyesha
Wewe bado mdogo zuu kikubwa heshima yko utapata rizki nyengine mume kesha kuonyesha kila kitu iweje urudi atakuumiza wao washa zini kisha bado akamuowe ujinga gani siampe matumiza ya mtoto akatafute mzinifu mwenzake akaolewe kwanini avunje ndoa na hilo dume linaburuzwa unanini usha zini tubu urudi kwa mkeo huyo amina akatafute vingunguti wenzake huko hana haya yy na huyo mama yke wote malaya
We baba humpendi mwanao unataka mwanaoajipeleke mwenyewe akawe tambaza la deki? Mbona mume wa zuu hafanyi jitihada za kumtafuta mkewe badala yake anahangaikia ndoa mpya? Suluhisha kwanza gogolo ndoo ya ndoa yafuate
Tatizo watu mnatukana na kuhukumu huo ni ujinga toa ushauri iweje ili maisha yaendelee binafsi mzeee wetu baba zuuu yuko sawa sana tena sana nampa %zote cha msingi zuu rudi nyumbani kwako endelea na maisha yako nyumbani kwenu sio kwako kumbuka unawatoto wawili unawapeleka wapi au unataka kuitwa single mother! Naomba wasikilize wazazi na usifuate mambo ya majirani na watu wengine kwani hakuna anaye furahia maish yako na mafanikio yako tofauti na wazazi wako kama una bisha mpinge mzee wako badae utasema ninge jua pia angalia sana pale ulipo kua una feli jilekebishe acha kiburi kwa mmeo asanteni sana.
Huyu baba, amezungumza maneno sahihi kabisa kwa pande zote tatu, upande wa Zuu, Amina na mume. Na pia ameongelea upande wa dini ambacho ndio kitu muhimu sana ndio muongozo wetu waisilamu. Waislamu tuna uogozo kutatua mazito au kufurahia mazuri. Na kwa hakika tukifuata miongozo ya dini sio mila na hekaya za mitaa na watu basi hakuna litakalo haribuka. Na shetani atashindwa na vitimbi vyake. Hongera mzee wangu, umeongoza unavyo stahiki, haki umeisema kwa wote wahusika watatu na makosa umeyasema paruwanja kwa wote wahusika watatu. Cha muhimu. Turekebishe palipo haribuka. Tutafika salama. Tuacheni uchawu, urongi, maneno yasiyokuwa na natija haya yote ni mila ya shetani. Tujiepusheni nayo.
Wewe baba Zuu, uyo mkwe wk kakosea sana,. Kama angekuwaanataka kuoa make wa pili angefata Sheria za kuoa make wa pili, lkn uyo kamsaliti mke wa na msichana wa kazi, kweli, mwache Zuu akatae,Ata ningekuwa Mimi ningekataa, ilia uyo shemu ally Allah atakuhukumu na iyo tamaa Yako, mmbwa Koko wewe, Iko siku ubaya uliomfanyia Zuu utakuludia tu
Huyo Amina atakuja Lia mdomo juu wallah nawaapia Amina Malaya TU huyo maisha kwao magumu hebu angalieni asaivi mama Amina apendeza kwa pesa za huyo Malaya wake
Jamani twende mbele turudi nyuma hawa wasichana wameharibu nyumba nyingi mno boss wako anakutongoza unakubali humwambii mke wake hunaharibu nyumba watoto wanakosa huduma na malezi ya wazazi wote wawili
Baba yake na zuu unabusara saaaana pia una hekima na Tena wewe ni mtu mwenye ushauri mzuri saaaana ni kweli mwanaume akisha kuhamua kuoa na ataoa tuu namimi namshuri zuu arudi tu kwenye nyumba yake tuu
Hatukatai sheria 4 lkn mume anauma na zaidi akioa mtu wa karibu yako. Na ukewenza ulikua wa bibi zetu na mama zetu ss ivi mume akikuolea ni vita akiingia mke mdogo atataka akutoe by fire by force
Ukiwa kama mwanafamilia tunaomba Support yako kuchangia gharama za uendeshaji kwa chochote ulichojaliwa kupitia Tigo-Pesa +255 654 980 556 au Airtel Money +255 692 247 009 Jina ni Kelvin Shayo Gabriel au Western Union kwa jina la Kelvin Shayo Gabriel, Asanteni na Mungu awabariki.
Uendeshaji wa nn
kwani weye hujui kama hali ngumu sasa ,kama vipi funga chaneli 🙂🙂
@@asmarajabu5786 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Watu mnajibu kama hamjaelewa.
@@asmarajabu5786Khaaaas😅😅😅😅
Kiukweli kina baba pande zote mbili wako vizuri sana wanabusara nahekima pia
Baba mwenye Hekima zake Nimempenda sn Baba Zulfa 😍🔥🔥🔥
Safi sana baba Mungu akubariki ww unaangalia Mungu anasema nini au dini inasema nn safi sana
Bonge moja la Baba limejaa hekma mpaka zinamwagika Baba mwenye kuamua kwa utulivu zaidi kabla cjaiangalia hii clip nilitegemea kusikia vitu vingine tofauti na livovisikia hongera Mzee wetu
Kikulacho ki nguoni mwako jamani kwa hali hii tutaogopa kuwasaidia ndugu na jamaa
Mzigo kama hujaubeba huwezi jua uzito wake pole sana Mwaya daa zuu kwa dharau ulionyeshwa na wawili hao ambao hawana shukran ilijitahidi kuwa malkia wa nguvu jasho lako halitapotea bure Amina na hawala yake mola atawalipa
Kweli kabisa yaani haya mambo yaskie tu kwa mwenzio 😢
Ww mwandishi Kwan unachotaka ni.nini maswali mengine ni fedheha kuwa makini na ayo maswali
Amina Hana makosa kikubwa maisha
Jaman mwanaume wa zuu anachokitafuta atakipata kusumbua watu wazima kwa tamaa zake ,
Nikweli kabia sibili awe chizi au ajifalikishe
😂😂😂
Pigo la kwanza kapata ajali alikua anaenda kumuowa Amina😂😂
Baba uko vizur hongera mashaallah. Dazuu rudi kwako usiache nyumba yako kwa upuuzi wao .huyo amina atapata malipo tu .subra Allah akuzidishie
Huo ni uzembe wake ajifunze huyo zuu
Amina sio kosa lake woga na alitokewa na bosi. Haya mazingira alitengeneza zulu mwenyewe. Mume asingepata idea mbaya kama alikua okay home. Story zina both sides na zulu ana makosa yalio create ku lose mme.
Mzee una busara sana ALLAH AKUPE HIDAYA DUNIANI NA AKHERA
Ameen🎉❤
Aamin
Pole sana Baba unahikma kabisa 🥰 nimekupenda kwaajili ya Mungu Mungu atafanya wepesi 🤲
Baba mustarabu masha Allah lakini mamake zuu daah ni moto wakuotea mabli😂😂
Sinyaa wa kariakoo😂😂😂
@@husna34562😂😂😂😂😂 nmecheka kwa sauti
Inakuaga hivyo lazima mmoja awe ndimu
@@AkiliNdefu 🤣🤣
@@Mpakauseme😂😂😂😂😂😂
Baba natamani ungekuwa baba yangu
Baba kumbuka zuu nimwanao hnajisikiaje kumuona anateseka hivi hujui mume anauma kiasi gani bora angeoa kwingine sio kwa kina amina jaman mume anauma sana sikia tu
Una una upeo mdogo hauoni mbali , huyo mzee ana hekima na maarifa makubwa
Bora uyu babake zuu ana hekma ya kuongea
Nyie mm huyu baba nimemuelewa na nusu
Mashaallah huyu baba ameeleza vzr kama mzazi na kidini
Mtego huo shauriyako😂
Maneno ya baba Zulfa yame nituliza mojo wangu.
Ila tu baba yetu mwambiye Zulfa arudi kwa mme wake.❤❤
Wakwanza leooo nipeni likes 5 tu nipate bando
Huyu baba me naona ameamua kuongea hivi kwa makusudi kabisa asionekane mbaya wanasema mjinga mpe cheo mama amina na mwanao kuweni makini sana
Hiyo ni hatari sana
baba nmekupenda sana♥️...mdada wa kazi ni jina tu...bado ni bint kama binti wengne na ana haki ya kupendwa na kuolewa kama wengne..bi zuu arudi akaangalie familia yake na maisha yake basi.
Angesubiri wa kwake SI kuharibu Kwa mwenzake,ni rahisi sana kuongea,Vaa kiatu Cha zuu.Mabint wa miaka hii hawana woga hata kidogo,asilimia Kubwa maharage ya iringa,hawajipendi wao binafsi wanahsi watakosa kuolewa,hvyo kurukia Kila akikonyezwa,Mungu tu asaidie uzao wa nyakati hizi!
hakuna mwanaume wa mwanamk mmjo rehema😂
Kwa WOOTEEE kwenye hili sakata NI huyu mzeee pekee ndio anajua usahihi wa hii kesi
Mungu atakusinamia Baba na ondoshe kila uzito uliopo mbele , uko vizuri sana kuliko Sana
Hili ndio muafuaka wa hii kesi hakuna mbadala wake ❤
Sawasawa baba Umeongea Vizuri sana
Hongereni nyie wababa wawili baba wazuu na baba amin walah mnahikma sana Allah akulipeni jaza yenu inshallah jamani tujifunze ni kitu hapa jamani
Jamani maneno kuntu 👌Zulfa arudi kwa mumewe na baba Amir amuoe Amina sheria inaruhus wake wanne Dini yetu ni nzuri imetupangia kila Jambo ni jepes ukiwa na Iman thabiti
Mambo amesha tokea basi aolewe tu NA mke mkubwa arudi kwake si Ajabu mwanamme kuowa mfanya kazi wake baba Abduli hawezi kutupa mtoto alie zaliwa kwahiyo ina idi aowe zuu rudi kwako maisha aende na Amina atafutiwe nyumba ya peke yake❤🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
wanawivu hao hawana lolote nyambavu ,hakuna cha peke yako sasa hivi
@@asmarajabu5786 🤣🤣🤣🤣❤️
Aliowa kwa utaratibu na siyo kwa mauzinzi
Hyo Amina Dunia itamfundisha site yetu macho ombeni mungu hyo jiran yetu ningekuwa mm mmmmh
Mungu akubariki baba Kwa busala zako zuu alikua ana zalau sana Kwa mumewe Binti wa Kaz Hadi kitsnda chako akutandikae jamani huyu Amina musimlaumu sana hii ni fuzo Kwa wasio jitambia kweye ndowa zao
Ma sha allah bb yake zulfa
Mungu akubariki una busara sana
Amina na mama yake ni wachafu sana..mama hana hata haya..jamani umasikini ni mubaya sana.tena huyo Amina mtoto wa dhinaa angekuwa anamaadili angedhini?
❤❤❤❤❤
Ww ndo msafi
Sana Tena hawaoqopi
Malaika wa zamu unakusanya dhambi za watu
Inaonekana mama Amina ni malaya ndo maana aliachika kwa mumewe na inahashiria anachokiona kinachoendelea anakiona sawa mwanae kuachanisha hajui dhambi ya kuachanisha inakutafuta kidg kidg laana ya maisha inamhusu mama Amina na mwanae watajuta huko mbele kitawakuta jambo na tamaa zao
NAKU SUPPORT BABA ZUU. MKE NI KUPEWA HESHIMA NA KUTAARIFIWA. NA HAKI ZAKE ZOTEE ZITIMIZWE. TU BAAS. HAKUNA MKE ATAKAE KUBALI AU KUTOWA ABRI KWA MUMEWE AKAOWE HAKUNA ILA KWA WANAWAKE WACHAMUNGU TUU. NDIO WALIOJAALIWA NA NYOYO ZA IMAANI HIYO
Kaishapigwa kimbola huyooo chezea kipapai wewe nafasi ya daa zuu inaonekana wanaimezea mate familia ya amina
Mtihani
Asante baba timu Amina tunakuandalia maua yako babamkwe asante 😂😂❤❤❤
❤ ahaaha😂
Mashaa Allah mzee una hekma Allah akulipe kila la kheri upo sahihi unajuwa dini kwa kiyasi chake nyie wazazi wa kiume huyo mzee salumu na ww mmeongeya kwa hekma na busara na mmesoma dini ila hao wake zenu mama wa amina na mama wa zuu dini hawaijuw wanaongeya tu kwamba ulimi unacheza Allah awaongoze
Baba yuko sahiii kabisa zuu narudi kwake na Amina aolewe pia maisha yaendelee
Huyu Mzee anaielewa sana dini apewe maua yake⚘⚘⚘⚘ . Na anajua udhaifu wa wanaume.
Baba hongera sana unahekima Mungu akujalie afya njema
Mzee hataki dhambi Ametumia BUSARA ya hali ya juuu Mashaalah
Ndoo kwa njia hii sasa? Ni aibu na uchafu huo acheni kumrubuni daa zuu ataonekana je kwa Amina ambaye kamtangulizia ubaya?
Wewe ni baba mwenye busara sana una ona mbali Mungu akurinde
Mashallah mm nimempenda sana huyu mzee yuajua kuzungumza mpaka amemshinda hata rais wa kwetu kenya wallahiladhiim mungu akuzidishie umri baba nakupenda kwaajili ya Allah
Mhhm🙄
Maashallah baba umeongea babaangu ❤❤❤❤
Wewe Baba yake ZUU hakika unabusara mno.Hongera sana.Mungu akubariki sana. Yesu anakupenda
Kweli maji yameishamwaika hayawezi kuzolelka. zuu rudi tu kwa mumeo. kama bado una mpenda mumeo na yeye anakupenda. kikubwa omba subra tu. wacha amuowe tu Amin.
Mie nilimwacha mume nikasepa mpaka leo nipo na maisha yangu
bravo
Shukrani baba mzazi wazurufa wewe unabusalasana baba allah akubalikisana unadinisana mashaallah ❤️
Ila kuhusu kuishi nyumba moja mm sijaafiki aowe amrudie mkewe amina amtafutie makazi maisha yaendelee uzuri wote ni waislam ila mume ana tatizo kidogo la kibri
Huyu mzee ana busara na hekma sana, ila yule mama yake Amina hana busara hata kidogo, hata aibu hana yule mwanamke mama amina, badala amkanye na kumlaumu, yeye ndio sasaa anashangilia mwanae kuvunja ndoa za zuu, tena alaniwe na mwanae.
We tu mungu Hajalibiwi atasiku moja mama kichwa chenga kabisa Yani amekosa uso wa Haya kabisa
Mama amina ndio mana hana ndoa coz hana busara in sha Allah amina afate busara za baba ila akifata za mama pia ndoa itamshinda
Yaan ingebidi atengwe na kitongoji kabisa kanisinyaa tena yu asema hata kwa ndumba ataolewa zuu kashindwa mwenyewe yaelekea alimpa darsa na dawa ili awaekee kwenye chakula ampate mume tuwe makini na wasichana wa kazi
True muslims ni kawaida
Hawezi laaniwa maana zuu mzembe unaachejee Kila kitu mumewe afanyiwe na mfanyakazi alizani kazi ya kulala na mumewe itamshinda SI rahisi liwe funzo kwa wote mnao penda kufanyiwa majukumu yenu
Mzee ana busara sana,
Mashaa Allah baby Allah akuzaidishie hekima na busara
Jaman Musimlaum Amin kumbuken hata mwanamme alipohojiwa alisema kuwa Amina alipomtaka hakitaka ila sema alitumia nguv kumlaghai😭😭😭Aliefanyamakosa ni Da zuu maskin alichukuwa hasira na kumuachia Amina Nyumba😭😭😭Yaan Huu ni mtihan wala hujui useme vipi😭😭Maan ukisema Zuu aairejee kwamume wake mtihan na ukisema arejee akakaye na Mke mwenza pia mtihan huo ni mtihan Wote jaman Pole Sana Da zuu Allah akupe subra inshaallah litamaliza salama Allah atakuonesha njia Dada yangu😭😭😭😭😭😭🤲kiatu chako sieez kukivaaa una mda mgum kwel Allah ndo anajua yote haya Pole Dada angu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲
Dah❤, baba ana busara sana huyu. Ni muelewa sana na anaona pande zote, na hutoa maoni yasiyo umiza kokote❤❤❤❤
Safi sana babaangu
Baba anaongea kweli maji yakimwagika ayazoleki ata iweje ndo imesha tokea apo busara inabidi itumike pole sana zuu maumivu unayo pitia ni makali ila ndo imesha tokea samehe kipenzi ludi Kwa mumeo kalee watoto wako
Baba maelezo yako nimeyapenda kila point unayoongea inamaana na inanijenga
Aswaaa
Masha Allah wababa wapo vizuri wana hakima sana
asatesana baba zuumamenoyakoyajekma yaniwewe na baba ake amina utadhanini ndugumnafanana tabiyaniwatu wastarabu allh.awazidishoye aniumojamshilamano upemdo
Mashaallah baba umeongeya vizur sana ❤
Mama hamina anaangalia pesa asiweke maisha ya mtoto wake hatarini.
Huyu baba anapepo yake mbinguni mungu akubariki babayetu unahekima sana tena sana
Baba mstaarabu sana huyu mwy Mungu amjalie
Safi sana baba dini inaruhusu kuoa aoe tu hakuna ubaya,naramani na mm ningekua mwislam ningeongeza mke mwingine mmoja hanitoshi basi tu tunajikaza wanaume nazani mnanielewa😅
Haki natamani mke wako aone hii comment yako😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Apn wala Amtetei Mkwewe ila anaongea pwenti nzuri cn yn anaongea kwa aki bin aki apendelei wala nn yuko kote kote safi sana
Umeongea vizuli baba mungu ajujalie mungu akulipe make migogoro isio na mahana
Baba zuu shikamoo
Allah akujaze kheri babake zuu unabusara sana
Mmhh Zuu Achana na uyo Mwanaume mungu yupo atakuletea mume bora zaidi ya uyoo Mwanaume amekuzalilisha utazani ujamzalia
Zuu pole sana mume anauma ila mm nakushauri usikubali kurudi kwa huyo mjinga kakudhalilisha tena kwa mfanyakazi loh huyo atakuuwa hata huyo Amina kesha kuwa adui yko usiamini hapana ndoa we bora kalee wanao ila usihisabu kuwa unamume hana maana kesha ichafuwa ndoa kesha anajisifu bila woga anaona alivyo fana nisawa ndoa gani hiyo ya wazinifu Amina aliweza kuzini na mumeo kwa tamaa hata kukuuwa atakuuwa malaya kijuso chake kinaonyesha
Wewe bado mdogo zuu kikubwa heshima yko utapata rizki nyengine mume kesha kuonyesha kila kitu iweje urudi atakuumiza wao washa zini kisha bado akamuowe ujinga gani siampe matumiza ya mtoto akatafute mzinifu mwenzake akaolewe kwanini avunje ndoa na hilo dume linaburuzwa unanini usha zini tubu urudi kwa mkeo huyo amina akatafute vingunguti wenzake huko hana haya yy na huyo mama yke wote malaya
Achana nae huyo si mwema
Tunaomba ndugu wa mume pia tuwasikie wao wanalichukuliaje hili swala
Awo Cyo Lazima Kwa Sana ,San Ni Wazazi Ndio Kila Kitu Wengine Nikupewa Taarifa 2 Na Umbeya Mwigi Kma Ssi😂😂😂😂
Ni mwanamme mwenzake lazima amtetee kwanza huyo mwanamme wa zuu ni mlevi atakuja lala na mama Amina ipo siku subirini tupo hapa mtandaoni
Mbona kama kimbola cha mamaamina kimeanza kazi 😢😢
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂❤❤
Yan ume nifurahisha
Wanawake mapovu yanawatoka sana muache uchoyo kizuri kula na mwenzio wanaume wenhewe tuko wachache wenzenu mnataka waende wapi😅
Si kihivyo, ukewenza upo ila kwa utaratibu😢
Uadilifu ndo mpango mzima na haki sawa kwa wote
We baba humpendi mwanao unataka mwanaoajipeleke mwenyewe akawe tambaza la deki? Mbona mume wa zuu hafanyi jitihada za kumtafuta mkewe badala yake anahangaikia ndoa mpya? Suluhisha kwanza gogolo ndoo ya ndoa yafuate
Bado una upeo mdogo
Mashaa Allah
Kikubwa ndoa ipite tu
Wasiwachanganye kwa mawazo
Alihamdulilah piga vigelegele
Kwa Amina 😅
Baba una busara sana Allah akuhifadhwi
Baba Zuu atasema nini? Yeye mwenyewe Ana wake 3!
😂😂kwer
MashaAllah,uko vzr babake zuu
Tatizo watu mnatukana na kuhukumu huo ni ujinga toa ushauri iweje ili maisha yaendelee binafsi mzeee wetu baba zuuu yuko sawa sana tena sana nampa %zote cha msingi zuu rudi nyumbani kwako endelea na maisha yako nyumbani kwenu sio kwako kumbuka unawatoto wawili unawapeleka wapi au unataka kuitwa single mother! Naomba wasikilize wazazi na usifuate mambo ya majirani na watu wengine kwani hakuna anaye furahia maish yako na mafanikio yako tofauti na wazazi wako kama una bisha mpinge mzee wako badae utasema ninge jua pia angalia sana pale ulipo kua una feli jilekebishe acha kiburi kwa mmeo asanteni sana.
Yn mtihani cn
Daaa zuuh rudi kwako mwachee hyo amina aolewe akapangiwe huko apambn na yeye apate hyo nyumba ambayo anaitaka
Huyu baba, amezungumza maneno sahihi kabisa kwa pande zote tatu, upande wa Zuu, Amina na mume. Na pia ameongelea upande wa dini ambacho ndio kitu muhimu sana ndio muongozo wetu waisilamu. Waislamu tuna uogozo kutatua mazito au kufurahia mazuri. Na kwa hakika tukifuata miongozo ya dini sio mila na hekaya za mitaa na watu basi hakuna litakalo haribuka. Na shetani atashindwa na vitimbi vyake. Hongera mzee wangu, umeongoza unavyo stahiki, haki umeisema kwa wote wahusika watatu na makosa umeyasema paruwanja kwa wote wahusika watatu. Cha muhimu. Turekebishe palipo haribuka. Tutafika salama. Tuacheni uchawu, urongi, maneno yasiyokuwa na natija haya yote ni mila ya shetani. Tujiepusheni nayo.
Wewe baba Zuu, uyo mkwe wk kakosea sana,. Kama angekuwaanataka kuoa make wa pili angefata Sheria za kuoa make wa pili, lkn uyo kamsaliti mke wa na msichana wa kazi, kweli, mwache Zuu akatae,Ata ningekuwa Mimi ningekataa, ilia uyo shemu ally Allah atakuhukumu na iyo tamaa Yako, mmbwa Koko wewe, Iko siku ubaya uliomfanyia Zuu utakuludia tu
Upo sahiihii Sheria ya mungu unaitekeleza usimfurahishe mwanadam ukamkasirisha mwenyezi mungu anaikataa hili ninani ajue kesho yake
Jmn huyu Amina ni tamaa tuu
Maskin ni kwel Changamoto zinawafika waja na waja ndio sisi 😭😭🤲Polen nyote Amina na Dazuu na Wazaz wote mliohusika na mtihan huu🤲🤲😭
Huyo Amina atakuja Lia mdomo juu wallah nawaapia Amina Malaya TU huyo maisha kwao magumu hebu angalieni asaivi mama Amina apendeza kwa pesa za huyo Malaya wake
Jamani twende mbele turudi nyuma hawa wasichana wameharibu nyumba nyingi mno boss wako anakutongoza unakubali humwambii mke wake hunaharibu nyumba watoto wanakosa huduma na malezi ya wazazi wote wawili
Mma amina azidi kiburi yeye na hawara wa mwanae wamdharau zuu
Wewe baba ni mzazi mwema 🙏
Baba zuu uko vzr nimekuelewa sana babaangu
Shikamoo baba zuu
Nachopenda bangi za yule kaka mume wa zulfa zinasema kweli 😂😂 hazimvurugi sana 😂❤❤
Baba yake na zuu unabusara saaaana pia una hekima na Tena wewe ni mtu mwenye ushauri mzuri saaaana ni kweli mwanaume akisha kuhamua kuoa na ataoa tuu namimi namshuri zuu arudi tu kwenye nyumba yake tuu
Yule jamaa nimume mzuri
Hatukatai sheria 4 lkn mume anauma na zaidi akioa mtu wa karibu yako. Na ukewenza ulikua wa bibi zetu na mama zetu ss ivi mume akikuolea ni vita akiingia mke mdogo atataka akutoe by fire by force
😢😢😢😢😢😢daaa mungu wangu
Asante tiki kwa bidii zako
Jamani kumbe bara wapo watu wazuri mnoo hongereni inapaswa kuigwa jamani hekma busara heshima nivitu muhim sana
Baba ana busara sana na nilijua tu mama zuu hajui dini 😂😂
Bb mwenyewe una wake watatu no wonder umekubali
Mzee Cjui Watumia Kiywaji Gani Ongera Sana Bba Zuu Unaongea Vizur Sana C Kma Yule Bake Amini Ajui Anacho Kiongea Kisha Anajifanya Mcha Mungu