Mrembo Anusurika Kifo: Nimelazimishwa Kunyonyesha Kobe na Kuosha Maiti Baada ya Hapo Aka..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Mrembo Anusurika Kifo: Nimelazimishwa Kunyonyesha Kobe na Kuosha Maiti Baada ya Hapo Aka..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #najuta#dadapoaanusurikakifo #nimelazimishwakunyonyeshakobe #kuoshamaiti #mapenzi #tendolandoa kufikaakanipakobe #ninyonyeshe #TIKITVKIAKILIZAIDI

ความคิดเห็น • 199

  • @kokushubirakashuliza4811
    @kokushubirakashuliza4811 10 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana 😢ila jitahidi kufanya ibada Maana mungu kakupigania kwa shetani

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 11 หลายเดือนก่อน +12

    Sijawah kujiuza na stowah Bora nifanye Kaz za ndani

  • @HakizimanaAisha-o5u
    @HakizimanaAisha-o5u 10 หลายเดือนก่อน +2

    Polesana dada angu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hili ni somo kwa mabinti wote

  • @PAULINMASSAWE
    @PAULINMASSAWE 10 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana dada 45:17

  • @KeruboIrene1333
    @KeruboIrene1333 11 หลายเดือนก่อน +9

    Wa pili ,hebu nisikilize kwanza ndio nicomenti🤔

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 11 หลายเดือนก่อน +10

    Huo itakuwa ni utajiri wa kafara na huyo maiti itakuw ukimuosha ndiyo anazidi kupata pesa

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 10 หลายเดือนก่อน +14

    Mwanaume mwenye gari mm maisha yangu hapana na kujiuza mm hapana ni bora nikalime

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 10 หลายเดือนก่อน +15

    Hiyo maiti huwa Anafanya mapenzi nayo kupata Utajiri poleni sana madada zetu

    • @CYNTHIANTABO
      @CYNTHIANTABO 10 หลายเดือนก่อน

      Weeee🏃🏃🏃

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 8 หลายเดือนก่อน

      Halafu hizo nyumba nje ya mji ni za kuogopga sana 😢😢😢😢

    • @RahmaIddi-s2s
      @RahmaIddi-s2s 19 วันที่ผ่านมา

      Hawa matajiri wa Sasa hv hawa ni mitihan sana....ushetwan mtupu wallah...watu wamekosa Iman ya kumtegemea Mungu.. lnna lillah wainna illaih Rajiun 😭😭

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane 11 หลายเดือนก่อน +12

    Ndiyo maana mimi akinitongoza mwanaume mwenye gari nakataa katukatu.

    • @nassibu-hy5ny
      @nassibu-hy5ny 11 หลายเดือนก่อน

      Mm cna gar vip

    • @mariamissa4029
      @mariamissa4029 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @nahyahya7349
      @nahyahya7349 10 หลายเดือนก่อน

      wee ni mimi nawaogopa hao hpn

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 11 หลายเดือนก่อน +5

    kobe la kichawi mukome

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 11 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani daa Allah karimu pole sana

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 11 หลายเดือนก่อน +12

    kila mwanamke anatamaa ya mume tajiri ila utajiri wa siku hizi ni mitihani tu wanawake tunatolewa sana makafara

  • @mozuusuleiman4702
    @mozuusuleiman4702 10 หลายเดือนก่อน +5

    Washauri hao wanaokuja kukutoeni vijijini wakaja kuwafundisha biashara chafu na haramu. Yarabi stara

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaza mnafaya munaiaibisha kazi zadani ziko kibao unalala bure unakulaburi naafazali imepikw marifuku😏

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 11 หลายเดือนก่อน +6

    Na Mimi sija chelewa

    • @ROZALIABAYYO-fu8nb
      @ROZALIABAYYO-fu8nb 10 หลายเดือนก่อน

      Duuu! Unaroho ngumu! Mim ningesepa kurudi home Ile siku ya kwanza tu ya kuosha maiti.

  • @tumainikajigili1336
    @tumainikajigili1336 10 หลายเดือนก่อน +25

    Ushauri wangu ni huu mpokee Yesu maana amekusaidia sana mwisho wa maisha haya umekuisha

  • @Lilian20248
    @Lilian20248 10 หลายเดือนก่อน +11

    Mungu si Asumani😏. Mungu ni Mungu tu, na atabaki kuwa Mungu milele na milele 🙏.

  • @rachelwilly863
    @rachelwilly863 11 หลายเดือนก่อน +9

    Wakwanza leo maua yng🎉🎉

    • @suraiyahhussein3608
      @suraiyahhussein3608 11 หลายเดือนก่อน +1

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉 chukua shogaangu

    • @KeruboIrene1333
      @KeruboIrene1333 11 หลายเดือนก่อน +1

      🌹🌹🌹🌹🌹🌹

    • @SalamaNauthar
      @SalamaNauthar 10 หลายเดือนก่อน

      💐💐💐💐💐

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nahiyo maiti naisi itakuwa inafaida kwamali zake

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi hili jina wadada poa ni kupunguza uzito wa wa wanayo fanya au. sioni kama hilo jina linafaa kwa uovu unaofanyika kwenye hiyo kazi

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hawo wanaoingia vijijini kuwadanganya namna hiyo inabidi washitakiwe serikali iwachukulie hatua kali 🤭🤭🤭

  • @mariamuodila4132
    @mariamuodila4132 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu nisaidie unitoe kwenyehili giza jman 🙏🙏🙏🙏

  • @paulinajuvence-rn7rz
    @paulinajuvence-rn7rz 10 หลายเดือนก่อน +2

    Tusiona majumba makubwa na utajiri jaman eeh turidhike na hzi mia mia zetu uwiii hapana

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 11 หลายเดือนก่อน +6

    Pole dada

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 11 หลายเดือนก่อน +7

    Aiseee kwahiyo mnunuzi wa K akaotea bikra, so sad pole sana dada😢😢

    • @nassibu-hy5ny
      @nassibu-hy5ny 10 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha

    • @janedenisi7056
      @janedenisi7056 10 หลายเดือนก่อน

      Bikra yake imetolewa kwa mateso sana dah 😂😂😂😂😂

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 10 หลายเดือนก่อน +3

    Umepata laki kwa nin usiulize mtuy akupeleke stendi urud nyumban ujinga mtupu mtt wakisilam

    • @toomaaloufi6221
      @toomaaloufi6221 10 หลายเดือนก่อน

      Mtt wa kiislam anaona sifa kuelezea dhambi alizofanya

  • @dianadaudi3380
    @dianadaudi3380 11 หลายเดือนก่อน +6

    😢😢😢😢

  • @rerisamba
    @rerisamba 10 หลายเดือนก่อน +6

    Waa hii story iko kama ya jamaa mmoja aitwae Wamayo alikua na joka akilipelekea watu likiwala kila baada ya week

    • @valencianyiva4531
      @valencianyiva4531 3 หลายเดือนก่อน

      davistar mata hoyeee❤nikimskiza wamayo kisa yake

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 หลายเดือนก่อน +1

    Usikute mama yake 😢kamfany

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 11 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani pole sn kwa hilo lililokukuta kaaaaa
    Mtihani

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 11 หลายเดือนก่อน +5

    😢😢😢😢

  • @mozuusuleiman4702
    @mozuusuleiman4702 10 หลายเดือนก่อน +3

    Using Usingefanya hayo kama hujadanganywa kuja mjini kazinzur

  • @nassibu-hy5ny
    @nassibu-hy5ny 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kaka simuliz ya gaude mbna mlikatisha kaka njibu bs

    • @tikitvog
      @tikitvog  10 หลายเดือนก่อน +1

      Pole, Itaendelea kuanzia Kesho Jioni.

  • @AgreyAgustino-nf9yv
    @AgreyAgustino-nf9yv 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mbezi makabe si ndo kwetujani? Mbona kutishana haya majumba

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 10 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo mtu mama ake amefariki lakini anataka awenae asimzike kwa hivyo anamtumila madawa ili asioze tuu hawo ni makufar ambawo wanakataa amri ya . Mungu😭😭😭

    • @yustakipenya6231
      @yustakipenya6231 9 หลายเดือนก่อน

      Kumbe hivi vitu vipo hawataki kuzika Kwa sababu gani

  • @nassibu-hy5ny
    @nassibu-hy5ny 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hii dunia hii ukistaajab ya mussa ishi kwingi uone meng

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 11 หลายเดือนก่อน +13

    Khah! Shukuru Mungu umepona maana wengi hawaponagi, kuna ndugu yetu mmoja alifariki hivyo hivyo, sisi tulijua mjini ana kazi kumbe alikuwa anajiuza, tulimuuduza siku tatu haongei, siku ya nne alipoongea tukajua amepona kumbe ndo alikuwa anatuaga na kutuambia ukweli alikuwa anajiuza, tulilia sanaaa, hadi leo nikisisika au hata kuona habari za madada poa nasikia huruma sana

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 11 หลายเดือนก่อน +3

    Yule alikuwa jini..ilaa pole dda angu kwa mkasa uliokukumba ilàaa hawa wadd wa jijini maskin polen

  • @rerisamba
    @rerisamba 10 หลายเดือนก่อน +3

    🤣🤣🤣🤣nimecheka kweli hapo kwa kobe ati wachawi nyinyi mna ngundu

  • @aminajuma717
    @aminajuma717 11 หลายเดือนก่อน +16

    Jamaaaani dahh Kelvin Shayo unakutana na watu wana makubwa jamani, Allah akusimamie

    • @husna34562
      @husna34562 10 หลายเดือนก่อน +2

      Leo hutk ndoa😂😂😂

    • @getrudermassawe5499
      @getrudermassawe5499 10 หลายเดือนก่อน

      Mh! hatariii

  • @AnnaMgala-n6g
    @AnnaMgala-n6g 10 หลายเดือนก่อน +1

    We nae dishi lako bovu kumbe Sasa io laki Moja ulinvopata siungerudi kwenu ujielewi kumbe Ile Ile siku yaliotukuta ya mala ya kwanza ungerudi kwenu

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
    @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hata hivyo unamoyo mala ya lwanza uliosha maiti tena unarudia mambo hayo tena

  • @talented569
    @talented569 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi si mbongo . Lakini kwanini kunamambo ya ajabu huko kweli TZ!???? Napenda sana Tanzania ingawa sija wai kufika huko. Napenda na Kiswahili sana

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 2 หลายเดือนก่อน

      Huu niujiga wamabiti wasio sikia wazazi weng wange wanakuwana tamaa nabesa weye znz😂 eti sijawai fika huko huko kwnu sindo munatebea paka namajini

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 2 หลายเดือนก่อน

      Alafu amekwbia ni asili ya mwarabu wenge warabu wahindi wanamabu ya uchawi saaaaan

  • @AminaBakar-r6f
    @AminaBakar-r6f 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mtiani jamani

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane 11 หลายเดือนก่อน +20

    Hawa watu wanaotoka mjini kuja kuchukua madada vijijina na kuwadanganya mjini kuna kazi Mungu anawaona wanaharibu sana maisha ya watoto wengi

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 11 หลายเดือนก่อน +9

    Watu wanasili kubwa hii dunia pole sana

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 19 วันที่ผ่านมา

    Namuomba M/Mungu anilinde na fitna za duniya...nikinai na kile ulicho nipangiya Mungu wangu... amiin 🤲

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane 11 หลายเดือนก่อน +20

    Tangu huu mwezi uanze huu ndiyo mkasa mkubwa zaidi kuutazama, huu ni namba moja, Dunia Ina mengi

  • @sweetberthawilliam6587
    @sweetberthawilliam6587 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi kwa kitendo cha kwanza ulichofanyiwa na ukapewa laki moja kwa nini ujarudi nyumbani, kwa hali ya kawaida unaujasili gani kurudia tena hiyo kazi sielewi kma ni story ya kweli hata kna ni tamaa imezidi

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 10 หลายเดือนก่อน

      Nami nilijiuliza kwa nini hiyo laki asiuze hata mboga mboga

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 8 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi nimejiuliza kwa shida gani hadi ukubali kuvumilia hii jehanam,au ndio wanafanyiwa kitu wasijitambue

  • @aishawapalila8622
    @aishawapalila8622 10 หลายเดือนก่อน +2

    utakuta uyo mait ni mke wake ndiomaana anasema usimgeuze geuze hovyo duuu

  • @Ayshernasolo
    @Ayshernasolo 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona KAZI nyingi jamani kujiuza nilaan nandyomana unakutan namikasa mikubwa Mungu atupe mwisho mwema

  • @GraceMathew-ky3by
    @GraceMathew-ky3by 11 หลายเดือนก่อน +4

    Ee dada unamugu waka

  • @MustaqimMuhsin
    @MustaqimMuhsin 10 หลายเดือนก่อน +3

    Pole Dada usiamin hata Rafik yako

  • @zainabndete8713
    @zainabndete8713 9 หลายเดือนก่อน

    Yalipokufika mara ya kwanza ingekuwa ni fundisho kwako na ungerejea kwenu,lakini Kwa sababu ya tamaa.

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 หลายเดือนก่อน

    Hatamie niliisi itakuwa firimasoni ulikuwa wanyosh nyoka🐍kanini nitabiri nimekuwanafatilia sitori yenge

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 19 วันที่ผ่านมา

    Yaan sie wanawake jaman.. tunapata shida..ya kutafuta maisha tunakutana na mitihan sanaaaaaaaaa....lkn km Mimi ningekiimbia weee dada akuuuuu 👌...baada ya kushuka pkpk tu mm ningekimbiyaaaaa

  • @KelvinAnzwere
    @KelvinAnzwere 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ushauri wangu tafuta Yesu akuondolee majaribu MUNGU anakupenda

  • @MariamNecmi-cy2jl
    @MariamNecmi-cy2jl 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani pole sana mpendwa halafu kama nakufahamu jamani duh hatari aisee pole sana

  • @MagdalenaMhanga
    @MagdalenaMhanga 10 หลายเดือนก่อน +2

    Dada!! Yesu anakuhitaji okoka ,bila hivyo utakufa ,jamani maisha bila Yesu ni shida

  • @THERESEOMOYI-bf6zn
    @THERESEOMOYI-bf6zn 9 หลายเดือนก่อน

    Dada na wewe ulikuwa
    Unapenda iyo kazi
    Kwa nini ulishindwa
    Kuiacha mapema?
    Ahaaa

  • @Mc_Chabala
    @Mc_Chabala 10 หลายเดือนก่อน

    Afu we tiki tv hivi unatuonaje tutakuwamba makofi acha kutuletea story za sungura na fisi

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 10 หลายเดือนก่อน

      wewe nae pambana na ki channel chako tiki tv kashajipata unaona wivu eeeh😂😂😂 jitafute na wewe utajipata

  • @RehemaBakari-u7x
    @RehemaBakari-u7x 10 หลายเดือนก่อน +2

    Alimpa.pesa.ndogo sana

  • @Ayshernasolo
    @Ayshernasolo 3 หลายเดือนก่อน

    Korelo SEM gani dada maan ndyo kwetu pole Sana

  • @valencianyiva4531
    @valencianyiva4531 3 หลายเดือนก่อน

    hivi mbona wa tzwana sarakasi iviii..mi mkenyaaa hatuko ivoo

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane 11 หลายเดือนก่อน +8

    Kisa chako kimeniliza dada Mungu akufanyie wepesi

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 10 หลายเดือนก่อน +3

    Maskini pole dah 🤲🤲

  • @ssam3385
    @ssam3385 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huu utajili si wahalali

  • @pamj9v
    @pamj9v 10 หลายเดือนก่อน +2

    Heri nikalime nakama n kazi nitolewe kwa office y serikali😢😢😢😢

  • @AminaBakar-r6f
    @AminaBakar-r6f 10 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana

  • @aminajuma717
    @aminajuma717 11 หลายเดือนก่อน +7

    Subhana Allah

  • @SharifuHamisi-wc4iy
    @SharifuHamisi-wc4iy 10 หลายเดือนก่อน +1

    Umepatq some zuri.mtumikie mungu atakuonyesha mengi.pole mwanangu

  • @sabrinaraphael3474
    @sabrinaraphael3474 10 หลายเดือนก่อน +3

    Duh inatisha jamani maisha haya😢

  • @MwajumaNanyanje
    @MwajumaNanyanje 10 หลายเดือนก่อน +1

    Na nyie mnazidi kukimbilia siku izi ajira kuololewa sasa hp ndo nini

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน +4

    Umalaya ni balaa😢😢

  • @KelvinDeniswilliam
    @KelvinDeniswilliam 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kelvinwiliam

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo baba aliishiwa risasi vinginevyo angaliwaua.

  • @MargaretKemunto-t6w
    @MargaretKemunto-t6w 9 หลายเดือนก่อน

    Kulikwani wapi Kenya ama

  • @valencianyiva4531
    @valencianyiva4531 3 หลายเดือนก่อน

    sauti ya davistar media

  • @eliethmwanguya7118
    @eliethmwanguya7118 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu anakupenda, mpe Yesu maisha yako

  • @BintyZizy-ow3jd
    @BintyZizy-ow3jd 10 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah polen sn ..waaah mng tu wallah..mm sjawah skia kisa hki Wala story hz n

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 10 หลายเดือนก่อน

      Hata Kenya iliwahi kutokea walionyonyesha alikufa mmoja mmoja wa mwisho kufa ndiyo alitoa stor baada ya stor Km sijasahu akafa

  • @MawazoMwamba-fz5hr
    @MawazoMwamba-fz5hr 11 หลายเดือนก่อน +3

    😢😢😢🤔🤔

  • @PeterNzinza
    @PeterNzinza 9 หลายเดือนก่อน

    Bila kosa hujui kosa

  • @MariaKipagile
    @MariaKipagile 10 หลายเดือนก่อน +2

    Pole saaana

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kila Baya la mwarabu

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
    @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv 10 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana dadate

  • @HajiKazungu-mv3ff
    @HajiKazungu-mv3ff 10 หลายเดือนก่อน +2

    Pole dada

  • @janedenisi7056
    @janedenisi7056 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani Mungu anaweza kumfanyia mtu jambo ambalo hata ukiwaza haupati jibu jamani😢😢😢😢 pole dada Mungu ni mwema sana

    • @sylviaecke1772
      @sylviaecke1772 10 หลายเดือนก่อน

      mungu tena ,huyo si mungu ni shetani

  • @Happy-rm7gs
    @Happy-rm7gs 9 หลายเดือนก่อน

    Duuuu inauma

  • @SirielMbuji
    @SirielMbuji 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 10 หลายเดือนก่อน +1

    HIzi story zipo mingi sana watu wengi sikuhizi wameingia kwa luminati wanafanya mambo ya ushetani mtupu Mungu atusaidie sana

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 10 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani story hizo tunazisikia sana dada zetu wadogo zetu munapoteza maisha buree tu kua masikini si maradhi hamutosheki na maisha . Mungu anayowapatia lakini munataka makubwa ambayo hamkujaaliwa jamani wacheni mambo ya kishetani kaeni mufanye kazi kwa akili zenu 'na nguvu zenu muache hizo tabia . Mungu awapeni subira na imani ishaallah Amine 🤲🤲😭🙏😭🙏😭

  • @marymassawe8655
    @marymassawe8655 10 หลายเดือนก่อน +2

    Dunia ina mambo makubwa mungu atuhurumie.

  • @fatmabakar6618
    @fatmabakar6618 10 หลายเดือนก่อน +1

    ni dawa hizo

  • @MaryamkhamisMarymaali-yl1ty
    @MaryamkhamisMarymaali-yl1ty 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dada nimelia mm

  • @ashurafarhan8335
    @ashurafarhan8335 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @aminayafat6706
    @aminayafat6706 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn uyo mtu sifatna muongo

  • @NmbCrdbclarence
    @NmbCrdbclarence 10 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh

  • @sweetberthawilliam6587
    @sweetberthawilliam6587 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tamaa siyo nzuri

  • @sylviaecke1772
    @sylviaecke1772 10 หลายเดือนก่อน

    those people are devol worship mkibiliye yesu ndio jibu dadangu