Mwingine asilimu atoka kwa giza na kuingia kwa nuru mchungaji leo alemewa kabisa kivumbi cha tokea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 345

  • @Adm9464
    @Adm9464 8 หลายเดือนก่อน +12

    The best muhadara sheikh Salim . MaashaAllah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน +2

      Alhamdulillah

    • @molee00
      @molee00 8 หลายเดือนก่อน +2

      Moto Kabisa 🔥.

  • @sadickkagoma5297
    @sadickkagoma5297 8 หลายเดือนก่อน +6

    Allah awajalie afya mashekh wetu

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ustadh Salim unawafunza vizur hakika Allah ndie huwaogoza awatakae na anawajua wanaogoka

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน

      Kabisa kazi yetu nikufikisha tu

  • @samxx411
    @samxx411 8 หลายเดือนก่อน +5

    Jatelo anafuatilia sana maandiko, Mungu amuoneshe haki inshallah

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 8 หลายเดือนก่อน +7

    Allah awape Afya muzidi kueneza qalima ya lailaha ila Allah Muhammad RasuluAllah

  • @KhamisAli-o9r
    @KhamisAli-o9r 8 หลายเดือนก่อน +5

    Asslam alaikum warahmatullah
    Nawapenda walimu wangu kwa ajili ya Allah,,,,Allah awajaalieni afya njema na azilinde sauti zenu AMEEN

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin

  • @ibrahimmohd6859
    @ibrahimmohd6859 8 หลายเดือนก่อน +6

    MashaAllah MashaAllah

  • @protusmuliro2796
    @protusmuliro2796 8 หลายเดือนก่อน +5

    Allah awajaliye Sana mm Ali ananifurahishanga Sana ako tu read kupiga makafiri mangumu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน

      Hahaaaaaaa 🤣😂🤣😂ila yataka subra

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @molee00
    @molee00 8 หลายเดือนก่อน +3

    MashaAllah.
    Leo Ma Sheikh wetu hawa taki Maneno za VICHWA, za hawa MaPASTOR!
    TOWA Andiko, Ustad Salim ame sema!
    Ongea na ANDIKO Mr Mu Engine listti!
    Hawa WaKristo uki wapa tuu nusu dakika na kusema: 'Fafanua', basi hapo FLOODGATES za UWONGO zita funguka, na POROJO ku tiririka kama Maji machafu!
    Raha kweli leo!
    TabarakAllah Team!

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 8 หลายเดือนก่อน +5

    Ma sha Allah tabaraka llah

  • @samxx411
    @samxx411 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah leo angalau mmerejea

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน +1

      Yeah alhamdulillah tuko sasa

  • @MohamedAhmed-ns5mi
    @MohamedAhmed-ns5mi 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallaha

  • @dibasora6481
    @dibasora6481 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ma sha Allah Allah awalinde sheikh zetu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน

      Aamiin amiin amiin sote

  • @sheemaryam
    @sheemaryam 8 หลายเดือนก่อน +4

    Right on time ❤❤❤
    Asalam aleikum warahma

    • @HisMajesty64
      @HisMajesty64 8 หลายเดือนก่อน +2

      Waaleykum salaam warahmatullahi wabarakatu.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @estherwamaitha1006
    @estherwamaitha1006 8 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah tabaraka Allah

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah sheikh Allah awalipe kila kheri

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน

      Aamiin amiin amiin sote

  • @TobaShaban
    @TobaShaban 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hua nafurahi sana nikiwasikiliza mafundisho yenu nikiwa Tanzanian

  • @adrisshagi1255
    @adrisshagi1255 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashalaah. Nime cheka istaqfurulaah. Wale wakisto vile wane Ione ukweli kuamba Ana wa poteza. Asante Salim

  • @josemu870
    @josemu870 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiweni

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 8 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah.

  • @SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm
    @SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jazaka llah kheri

  • @ambbabu4122
    @ambbabu4122 8 หลายเดือนก่อน +1

    Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh, wallahy naomba mwenyezi Mungu In Shaa Allah siku moja ufike kwetu wallahy ndugu waislam kuna watu hawamjui ALLAH na pia hawamjui Mtume Mohammad S.A.W kabisaaa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Allah atujalie tufike huko

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mchungaji katiwa corner😂😂

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 8 หลายเดือนก่อน +2

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh

  • @SabraAbdilnasir
    @SabraAbdilnasir 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah ❤

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awaogoze waone haki wakaifuata kwan akuna apase kuabudiwa ila Allah n Mohammad n mtume wa Allah

  • @isahbarasa
    @isahbarasa 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asalam Aleikum waramtulah wabarakatu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @sadamhirbo8246
    @sadamhirbo8246 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ustad Salim say sikiliza habari 😂😂❤❤

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Mpaka kieleweke inn shaa Allah

  • @IshimaelMajani
    @IshimaelMajani 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asalam alaikum maiki mumezima hatuwasikii

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh jaribu tena iko sawa

  • @IbrahimOmar-kf2cv
    @IbrahimOmar-kf2cv 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah Salim

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 8 หลายเดือนก่อน +3

    ALLAHU AKBAR

  • @AlhajiSaidi-uo8zl
    @AlhajiSaidi-uo8zl 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ishaallhu

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 8 หลายเดือนก่อน +16

    mji wa Barmingham Uingereza wazungu wamefuata njia iliyonyooka , asilimia 40 wameshasilimu😅😅😅😅 waswahili wanapambana kubishana tu, hawataki kujiuliza why waislam hawataki kuelewa yesu ? Wanaona nini ambacho tunakosea

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 8 หลายเดือนก่อน

      @@inamxmdsheekh1978 Je huyu Muingereza muongo ? th-cam.com/video/qvBNViZG0Mk/w-d-xo.htmlsi=hfBBxIl036_s7_O8

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน +5

      Wanasilimu kila wakati hata wanaweza kua zaidi ya 40%

    • @salimmashjary8028
      @salimmashjary8028 8 หลายเดือนก่อน +3

      Wewe unachanganya dini ma waswahili waswahili ni nani hamwkuwa kama watu wa kenya wakrusto mtu akisilimu huwa mswahili ujinga wa kukukateea kuelewa.pili waislamu ndio wamtambuwa ISSA KULIKO MKIRISTO.SOMA VITABU uelewe usilamu.wacha kuongeya mambo hujui

    • @Noorein-ws8wk
      @Noorein-ws8wk 8 หลายเดือนก่อน +4

      Nafikiri ndugu Loner kakusudia waswahili ni WA Africa na kweli hao wazungu wenyewe walioleta ukristo kwa wa Africa huko ulaya wanaslimu wanaachana na ukristo bali wa Africa wamengangania ukristo hawataki kutafuta ukweli na time hii dunia nzima inasoma na wanajua ukweli wanaslimu.

    • @HNs-px8mz
      @HNs-px8mz 8 หลายเดือนก่อน

      Kakusudia waswahili ni wafrika

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asalam alaikum ustadhi acha babu zetu sasa hivi hapo Tanzania kuna bwana moja ameoa wanawake kume na sita sasa hivi uliza ili kuhakikisha huo bwana ana watoto Mia moja zaidi wajukuu sijui wangampi nemesahau woyote wako pamoja kila moja ana chumba chake

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  8 หลายเดือนก่อน

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh hii kali

  • @HamzaAkilimali
    @HamzaAkilimali 8 หลายเดือนก่อน

    Vitabu vya Dini, Usipovisoma wewe mwenyewe kwa makini, huwezi kuelewa chochote maishani mwako. (UKIJISOMEA BIBLIA KWA MAKINI, NA TAFASILI YA QURANI KWA MAKINI, UTAUPENDA SANA WISLAMU. "NA USIPOPENDA KUJISOMEA QURANI, HATA KAMA NI MWISLAMU WA KUZALIWA, UTAKUWA KAMA WANAO JIITA MAKAFIRI au WANAO JIITA WAKRISTO, HIVYO, UTABAKIA KTK. KHASARA. HATA SIKU YA KIAMA".

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sawa

  • @nahimanajuma908
    @nahimanajuma908 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah allah awazidishie kherry

  • @SalimHumud
    @SalimHumud 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wengine wamepigwa muhuri

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 8 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi wa waislam ni mohamed...hii ni kumaanisha waislam hawana kiongozi.Niko na ushahidi

    • @HisMajesty64
      @HisMajesty64 8 หลายเดือนก่อน

      😅😂🎉

    • @Nora-v1m3p
      @Nora-v1m3p 8 หลายเดือนก่อน

      Unamaana ngani?

    • @sheemaryam
      @sheemaryam 8 หลายเดือนก่อน +2

      Nyie kiongonzi wenu ni nani na yesu hawajui 😂😂😂

    • @kennedymanyonge6170
      @kennedymanyonge6170 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@Nora-v1m3ptoa hiyo ushahidi🤔🤔

    • @carmp3
      @carmp3 8 หลายเดือนก่อน +2

      Toa ushahidi ebo!! Sis sio kama nyie watu wa ndio kila kitu,,mfano yesu ni nabii ndio, yesu ni mtoto wa mungu ndio,,yesu ndie mungu mwenyewe ndio,,hata akili hamtumii😂😂toa ushahid wa maneno yako mxiuuuu