Da Zuu dadaangu we mpambanaji endelea kupambania maisha yako dada nyumba Sio kitu mungu atakupa nyingine badala yake Amin hilo dadaangu hapa hasara hakuna mume hapa Ila wanasema lililompata peku na ungo litampata hivyo naona unajisonesha bure dadaangu pigania maisha dada mungu anawezesha wallah weka imaan atakuwezesha,, wacha nyumba usijali wala gari mapito da Zuu ,,,nasikitika Sana na maongez ya huyu mumeo hata kama kuna makosa lakin yupobsahihi kukurekebisha halafu huu ushamba wa wanaume wetu kasumba ya kutaka mke akufanyie kila kitu achaneni nayo Mke pia anasaidiwa mtume wetu pia alikua akisaidia wake zake poleni Kwa gazeti Ila hapa hamna
Mi pia niliacha nyumba na cjajali wala nn na maisha inasonga kwa nafc yangu kitu mmetafta na mwanaume si chako usaliti upo tuu wachache sana wenye bahat zao kwa waume zao
Mwanamme mjinga saana wewe kama ulikuwa umempenda kwanini usinde kwao taamaa zako za kijinga utaumiaa na maisha yako na ngojea kifuatacho zina haikomi zuu ni mkeo na hukumpata ktk zinaaa mwanamke alobeba mimba yako na yeye pia mjinga.kashindwa kukuelekeza kwao yatamkuta mengi
Mi simwamini huyu . Kumbuka alimpa na mtaji. Kama hataki mkewe afanye biashara mbona amempa mtaji. Mana yake alitaka mkewe atoke ili atekeleze jambo lake
Kuna watu walinitukana mwanzo 😂😂😂 haya wengine walijua mie ndii kidume chenyew nikimtetea dada wakaz haya aibu sas kazi kwenu njooni tujuane upo upande gani bikra atoe yeye halafu amuache akaliwe na wengine we kuweza ❤❤😂😂😂
Huyu bwana utulivu ni ziro. B zuu rudi gengeni uendeleze kazi zako ulee watoto.mwache huyu akae na amina wake.wala wasikupe presha. Baada ya muda utayaona ya amina yatakuwa mazito kuliko yaliokupitia. Amina apakae maji kichwani asubiri kunyolewa.
Kila mwanaume anayechepuka lazima amseme mkewe kuwa hatimizi wajibu,hafanyi kazi,ananyima tendo la ndo,JE,wanawake wao wote Wana shida au matatizo sawa? JE,Huwa hawana sababu zingine Hawa wanaume
Ni namna tu ambavyo dunia imebadilika na nidhamu imetoweka lakn ningelikuwa Amina ningeangalia suala hili kwa jicho la pili maana zuu alimfanyia hisani na akampa Fulsa kama nduguye na akajiamini mai namhurumia sana kama mwanamke mwenzangu
Wewe kama unamuoa amina muoe tu kwa upendo mana cha kwanza hpo kashazaa ule urembo wake wa kwanza utapungua na kama atajiacha bc urembo wote utapotea cha pili usimsifie sana ukamaliza maneno ukajiona umepata wanawake wanatabia ya kubadilika,na ukumbuke izo uduma alizokuwa anakufanyia ni maagizo kutoka kwa boss wake na kwakua alikuwa kibalua chake ilikuwa aina budi
Kuwa na subra da zuu Nia safi hairogwi na pia mitihan ni kipimo Cha Iman ishinde mitihan utafanikiwa Anza upya haya ni yakupit tu malipo yapo shkuru kwa Allwah
Mwanaume atakiwa apewe tendo la ndoa wakat autakao zuu hilo akulifanya watu wengi humu walimlaumu amina matokeo yake mumewe kathibitisha kuwa zuu alikuwa busy na biashara zake kila kitu afanya amina sasa unadhn mwanaume rijari atakaa bila tendo ndan ya ck 3 nzima nae zuu kumbe alikuwa na mchepuko 😂😂😂bwana ally oa huyo bint ❤
Hiii ni mtihani yarabi mungu nisuru ishaalah na shida hizo ya mume kama huyo mimi nipo oman lakini boss wa kiume hana tama na mfanyakazi alhadulilah na mimi nipo na kazi zangu bass nipo ana mke wake na watoto 4😅hana shida alhadulilah mungu azidishiye
Dini inaruhusu kuowa wanne ukiweza.dini hairuhusu kuowa mwanamke ulie zini nae na bado umemzalisha.naomba ufatilie hukumu ya mtoto wa zinaa utapata jibu.acha kuichafua dini ya kiislam. Yote tisa nampa pole amina namwambia hivi fimbo iliompiga mwenzio irushe mbali usiirushe kwa jirani ipo siku na wewe itakupitia yena wewe itakurarua vibaya.jiulizeni hivi b zuu yuko kwao kitambo sasa.na amina alipotea muda mrefu na mimba yake je?kwa kipindi hiki chooote huyu bwana alikuwa anahudumiwa na nani?tuamini hapo alikuwa na mke wa 3.
Yenyewe da zuu alishindwa na majukumu yake mie chumba cha boss siingii cz chumba cha wana ndoa kina heshima yake sio kila mtu aingie da zuu kubali ulikosea mume nae binadamu kubali tu ukewenza maana mumeo anampenda Amina
zuu na amina wote hawana mume. huyu bwana hajakua kiakili kama mume.bado hajatulia. atakuja kutulia baada yakuzaa zaa sana na wanawake tofauti. so Zuu ungeweza kipata mali zako ulizohangaika kuzipata .ungechukua chako ukaanza maisha yako. maana huyu jamaa atakusumbua sanaaaaa. hata ukiweza mwachie huyo amina hawatakaa
Umeonaee mume anangoma za matador huyu we mtu kamahuyu hatamwanae aweza mbaka maana anaonekana hofu yamungu pia hana bizuu umekosea padogo sana unge wanasisha dunia ikajua
Wabongo,,, wabongo eti Kila kitu afanye dada wa kazi,,, kama mkeo ana kazi na Tena kama hivyo anasafiri nani atafanya,,,, Mimi nafanya kazi kwa watu weupe hadi chupi na boxer nafua mbona hakuna Cha Mimi kubadilika kuwa mke,,,, sana sana mtu mweupe akikutaka mkewe akijua unafukuzwa kazi ili usiharibu familia iliyotengenezwa kwa gharama ya upendo wa miaka mingi
Shida ya wanawake wakisha olewa wanabadilika na wanakua na dharau na mapenzi yanakwisha yale ambayo kabla ya ndoa. Hili ni tatizo na tunao teseka sana ni sisi Wakristo yaani wanaume wengi wanateseka sana ila kukwepa fedhea huwa tunashindwa kuweka mambo hadharani ni watoto na watu unaoishi nao ndani ndio wanashuhudia huo mziki kisa ni ndoa ya kufa na kuzikana, ili upone kama ulijwnga nae we sepa kimya kimya kaanze maisha mengine hapo lazima mwanamke akili imrudi ukiwa na huruma mrudie ukishindwa ni bora kula kona mazima.
Nikuambie kitu wewe dada angu unafanya huku Kaz tambua amina hajamtongoza mume wa zuu yy alivyomletea nguo na kumwambia kajaribu ndo kamkuta chumbani hap kwa hapo igekuwa wewe ugefanyaje na huyuu mume kasema amemkuta amina bado hajaigiliwa na mtu yy agekuwa amin mayala agekuta ameshaigiliwa na wanaume ila hilo hamliagalii mnaogea tu je igekuwa mwanao mgesema simmesema na mnaogea kwa kuwa dada zuu akapeleka history ya maisha yake kwenye mtandao
Hukutakiwa kumtongoza Amina na kuzini nae . Kama ungekuwa na lilah na kumuogopa Mwenyezi Mungu ulitakiwa umuowe Amina kihalali kabisaa kabla kufanya zinaa. Embu tujitahidini kutokufanya Zinaa ndungu zangu.
Jaman musimlaumu Amina hili yyt linaweza kumtokezea musimalize maneno na huyu. Zuu kasahau majukumu yake kwa mumewe hivi mwanamme afanyeje na akaekewa kitoweo ndani
Wanaume wote ni nyoka ya vichwa viwili hamba kher mungu anawaona imekuwa sababu hakushuhulikii nyote ndio sababu zenu ivo dada zuu kubali matokeo ishi bila huyu chizi
Nam nashangaaa changamoto zipo kwa kila ndoa na zinapotokea ni kukaa chin kuelekezana kuchepuka sio kutatua tatizo huko kwa amina nako atazikuta za aina yake kama hatakua anakaa na kuzungumza ili kutatua bas atakua mtu wa kuchepuka
yaan sijui kwa Nini? mtu akikolewa na penzi jipya basi lile la mwanzo lazma alitie lawama,,,jamani mengine ni mapepo na manuksi yanakuja kuwaharibia maisha kwa utamu wa penzi bila nyie kujua....jifunzeni kazi za shetani mzijue
Tuache mazoea kwa waume zetu tuwaeshimu waume zetu na tufanye yanayo stahili kwa waume zetu haijalishi una pesa ama huna pesa mume ni mume tueke mipaka na mda na waume zetu wanawake wengi tuna kuwa na mazoea kwenye ndoa
Huyu mwanaume kakaa kama mvuta bagi amezuzuka kwa hicho kipesa kidogo huyu ni mvuta bagi da zuu pls usirudi kwanza mlevi sema usimuachee kuhusu nyumba hiyo ni Jason yako
Ohoo my goodness hadi ambao hatujaolewa tamaa zaisha maana ndoa za Sasa ivi mtihani Allah atufanyie wepes poleni Hu ni mkasa haswaa but mwanaume Ana makosa hata kama wife haeleweki usingemuaribia Amina kwanza kumtia mimba mtoto wa watu bora ungevumiria kama mwanaume after ukaja kumuowa kwa ndoa hata kama mke Ana makosa mungu atuswamehe wote hakuna mkamilifu isipokua mungu peke yake
Ila jamani mimi ninacho mshahuri hyu kaka nibora tu aachane na Amina wanawake wako wengi sana hata wakiowana atamweka mtoto wa watu kwenye matatizo makubwa sana nibora audumie tu mtoto basi wakose wote Coz zuu hawezi kukubali kushindwa jamanii nyie kuchukuliwa mume inauma bwana 😢na bado wamejanga wote😢 akii hyu kaka Amuhurumie tu Amina amwache aende na maisha yake
Wala ucjidai kaka,kuna laana ya Mungu! Choxi la mkeo nakuapia ipo cku utapiga goti.Bora ungexaa nje ya hapo kuliko dharau ulixofanya.Mbwaa.Misichana ya kaxi inakuwaga michawi inaendaga kuloga maboss.
Sasa hapo ninani mchawi huyo anayemtoa mwenzake nje kimazingaombe kishanakutaka kumtia mwenzake uwandawazimu au huyo aliyetiwamimba ? wewe akili hauna utaseamaje hapa kuwa madada wakazi wanakuwaga wachawi je watakakutuambia wewe uwaunawajuaga wachawi au lah na wewe pia ni mchawi katikati yao na ndio unayafahamu hayo yote ebu acha dharau wewe
Kama ungemtupa Amina na kakuzalia ungekuwa mwanaume wa ajabu sana, hongera sanaaa nakuelewa
Ila Kaka ongera penda familia zako jali wanao
Ila Kaka ongera penda familia zako jali wanao
Yani hapa nacheka tuu😂😂😂😂 kumbe zuu alituficha mengi eeh🙆🙆🙆🙆🙆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 comment za leo za kuvunja mbavu
Da Zuu dadaangu we mpambanaji endelea kupambania maisha yako dada nyumba Sio kitu mungu atakupa nyingine badala yake Amin hilo dadaangu hapa hasara hakuna mume hapa Ila wanasema lililompata peku na ungo litampata hivyo naona unajisonesha bure dadaangu pigania maisha dada mungu anawezesha wallah weka imaan atakuwezesha,, wacha nyumba usijali wala gari mapito da Zuu ,,,nasikitika Sana na maongez ya huyu mumeo hata kama kuna makosa lakin yupobsahihi kukurekebisha halafu huu ushamba wa wanaume wetu kasumba ya kutaka mke akufanyie kila kitu achaneni nayo Mke pia anasaidiwa mtume wetu pia alikua akisaidia wake zake poleni Kwa gazeti Ila hapa hamna
Mi pia niliacha nyumba na cjajali wala nn na maisha inasonga kwa nafc yangu kitu mmetafta na mwanaume si chako usaliti upo tuu wachache sana wenye bahat zao kwa waume zao
Mwanamme mjinga sana anataka kujitetea
Mwanamme mjinga saana wewe kama ulikuwa umempenda kwanini usinde kwao taamaa zako za kijinga utaumiaa na maisha yako na ngojea kifuatacho zina haikomi zuu ni mkeo na hukumpata ktk zinaaa mwanamke alobeba mimba yako na yeye pia mjinga.kashindwa kukuelekeza kwao yatamkuta mengi
Nilikasirika sana kaka ila leo naanza kukuelewa, pole sanaa
😂😂😂😂halafu ulinichamba sana nitake radhi 😂😂😂 mamaee
😂😂😂😂😂
Mi simwamini huyu . Kumbuka alimpa na mtaji. Kama hataki mkewe afanye biashara mbona amempa mtaji. Mana yake alitaka mkewe atoke ili atekeleze jambo lake
@@martinamarugu44Alimpa kw mapenzi t lakin da zuu alivuka mipaka ndipo akamgeuka huyu jamaa namuelewa
Kuna watu walinitukana mwanzo 😂😂😂 haya wengine walijua mie ndii kidume chenyew nikimtetea dada wakaz haya aibu sas kazi kwenu njooni tujuane upo upande gani bikra atoe yeye halafu amuache akaliwe na wengine we kuweza ❤❤😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Umejua kunivunja mbavu walahi
Hata mimi ningekuwa mwanaume nisingekubali🫣🫣🫣🫣
😅😅😅
😀😀😀😀
😂😂Huyu mume 🤭 kha wew Rudi kwa mola wako 🤣 mrudie da Zu please
😂😂😂imeisha hiooo akafie kwa mganga😂😂
😂😂😂
Wewe na amina wote wamalaya wawili mumekutana
Rahaa ya ngoma lazima uwicheze Zuu ndiyio aliye zogowa,Kiufupi mwanaume ana shida ❤👌
Nampenda huyu mume ameongea points yaniii wanawake sisi twajiponzaa wenyewe
Hakika sie ndo wenye shida
Huyu bwana utulivu ni ziro. B zuu rudi gengeni uendeleze kazi zako ulee watoto.mwache huyu akae na amina wake.wala wasikupe presha. Baada ya muda utayaona ya amina yatakuwa mazito kuliko yaliokupitia. Amina apakae maji kichwani asubiri kunyolewa.
Hakika huyu ni tamaa tu
Ni kweli..huwa wanaaibika mwishoni.
Wakwanzaaaaa nipo hapa Tiki Tv kiakili zaidi 🥀🌺🌹💓🌺🥀🌹💓🌺🥀🌹💓🌸🌸
🎁🥗🥪🍴🍹
Kumbe kijana mdogo
Mmmh ,,,mimi namshuku @zuu anaeza weka maisha ya @amina yawe mafupi .....
Yaani Mungu amlinde tu maana no hatari hii
Hata kama 😂😂😂ila imeisha hioooo nae atakufa tu kama sio kwa presha au kakosa chuma hicho cheusi 😂😂😂 🔥 wallah sijui nitauliza ile
@@Muslim-gs6rn 😂😂😂Mimi naonelea kwamba,,@zuu akubali kulea mtoi,,@aminaatafute mumue wake😊🤔🤗
Ni kweli atamuuw tuu yn zuu Atokubali
@@Saripa234-u7gyeye ndie hatokufa?
Da zuu ukubali makosa ukubali uke wenza sina zaid na Amina mpe uhuru usimtese mana yote kayataka Mumewe amina kilomsababisha asiseme ni maisha
Kiukweli usijudge upande mmoja napoona hapa uyu jamaa anampenda sana Amina,,,,,,,,, Da zuuuu kubali uke wenza
Kamtoa kizinda yeye😂😂😂
Dazuu akubali uke weza arud kwake maisha yende Tena asimroge mwenziwe amroge mumewe atulie
Anampelemba tu nafikiri hakumpenda mkewe hapo yote asemayo ni danganya toto
Kila mwanaume anayechepuka lazima amseme mkewe kuwa hatimizi wajibu,hafanyi kazi,ananyima tendo la ndo,JE,wanawake wao wote Wana shida au matatizo sawa?
JE,Huwa hawana sababu zingine Hawa wanaume
Umeona kazaa ndiyo unajitokeza eehhh
Jamaa linajua kujieleza hadi raha walahi
Sana halafu hachoshi sasa
Tena anaongea point
Mama zuuuuu alishaaza kutoka jeee ya doa yako
Ni namna tu ambavyo dunia imebadilika na nidhamu imetoweka lakn ningelikuwa Amina ningeangalia suala hili kwa jicho la pili maana zuu alimfanyia hisani na akampa Fulsa kama nduguye na akajiamini mai namhurumia sana kama mwanamke mwenzangu
Hta hiyo ni fursa pia
Khanis huyu
Bwana mbona hukusema ukweli toka mwanzo mnafiki msenge ww sio hoja kushika ukuta hovyo
Wewe kama unamuoa amina muoe tu kwa upendo mana cha kwanza hpo kashazaa ule urembo wake wa kwanza utapungua na kama atajiacha bc urembo wote utapotea cha pili usimsifie sana ukamaliza maneno ukajiona umepata wanawake wanatabia ya kubadilika,na ukumbuke izo uduma alizokuwa anakufanyia ni maagizo kutoka kwa boss wake na kwakua alikuwa kibalua chake ilikuwa aina budi
Maelezo yako nayaelewa kaka, pamaoja na kwamba umekosea ila huruma na hofu ya Mungu.
Nomaaaa
Kuwa na subra da zuu Nia safi hairogwi na pia mitihan ni kipimo Cha Iman ishinde mitihan utafanikiwa Anza upya haya ni yakupit tu malipo yapo shkuru kwa Allwah
NJOOON JAMAN LILE LIJAMAA HULI HAPA 😅😅😅😅😅
Tumefika my jopo tume chelewa
Nmekujaaaaa
😂😂😂😂😂
Mwanaume atakiwa apewe tendo la ndoa wakat autakao zuu hilo akulifanya watu wengi humu walimlaumu amina matokeo yake mumewe kathibitisha kuwa zuu alikuwa busy na biashara zake kila kitu afanya amina sasa unadhn mwanaume rijari atakaa bila tendo ndan ya ck 3 nzima nae zuu kumbe alikuwa na mchepuko 😂😂😂bwana ally oa huyo bint ❤
Dah kumbe mwanamme mwenyew ndo huyu wakwanza leo 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Shemela wetu wakawaida tu😅😅😅😅😅😅
😂😂😂somo yangu nimecheka mpk basi wallah khaa 🙌🙌
Kibunda kipoo na kazi itakuwa kazi kazi 😂😂😂😂
Wanawake ss mbina tunaguga mabangi majumbani😂
Hiii ni mtihani yarabi mungu nisuru ishaalah na shida hizo ya mume kama huyo mimi nipo oman lakini boss wa kiume hana tama na mfanyakazi alhadulilah na mimi nipo na kazi zangu bass nipo ana mke wake na watoto 4😅hana shida alhadulilah mungu azidishiye
Huyu mume naanza kumuelewa ngoja niendelee kumsikiliza
Nifsnyie mpango na mm
Dini inaruhusu wanawake wa 4.lakini dini hairuhisu
@@azzaalhabsi1505 hhhhh mume anauma
Dini inaruhusu kuowa wanne ukiweza.dini hairuhusu kuowa mwanamke ulie zini nae na bado umemzalisha.naomba ufatilie hukumu ya mtoto wa zinaa utapata jibu.acha kuichafua dini ya kiislam. Yote tisa nampa pole amina namwambia hivi fimbo iliompiga mwenzio irushe mbali usiirushe kwa jirani ipo siku na wewe itakupitia yena wewe itakurarua vibaya.jiulizeni hivi b zuu yuko kwao kitambo sasa.na amina alipotea muda mrefu na mimba yake je?kwa kipindi hiki chooote huyu bwana alikuwa anahudumiwa na nani?tuamini hapo alikuwa na mke wa 3.
Hakuna kitu inauma kama mume kukuolea mtu wakaribu yako...bora mke mwenza usie mjuaa😢
Vanga vs Mdundiko nmecheka kwa sauti hadi abiria wote hapa kwenye gari wamenigeukia😂😂😂😂😂😂😂
Ndo shida ya kupanda daladala 😂😂🤣🤣🤣🤣
Yenyewe da zuu alishindwa na majukumu yake mie chumba cha boss siingii cz chumba cha wana ndoa kina heshima yake sio kila mtu aingie da zuu kubali ulikosea mume nae binadamu kubali tu ukewenza maana mumeo anampenda Amina
Tena anampenda aukubali t uke wenza mana dini inaruhusu
@@husnab2765 🥰🥰
👏👏👏👏
zuu na amina wote hawana mume. huyu bwana hajakua kiakili kama mume.bado hajatulia. atakuja kutulia baada yakuzaa zaa sana na wanawake tofauti. so Zuu ungeweza kipata mali zako ulizohangaika kuzipata .ungechukua chako ukaanza maisha yako. maana huyu jamaa atakusumbua sanaaaaa. hata ukiweza mwachie huyo amina hawatakaa
Akuna mume apo da zuu chukua chako Anza maisha yako , mungu si athuman Amin atakipata Cha mto
Umeonaee mume anangoma za matador huyu we mtu kamahuyu hatamwanae aweza mbaka maana anaonekana hofu yamungu pia hana bizuu umekosea padogo sana unge wanasisha dunia ikajua
😂😂😂 hapana mume hapo dazuu wala asiwe na peesha sie tunasubiri mrejesho tu
Nikisema Mimi jamani
Jamaa kichwa ngumu huyo anaonekana
Hata anavyo ongea ni kama mlevi tu
Sanamlevi bangibangi 😂
Wabongo,,, wabongo eti Kila kitu afanye dada wa kazi,,, kama mkeo ana kazi na Tena kama hivyo anasafiri nani atafanya,,,, Mimi nafanya kazi kwa watu weupe hadi chupi na boxer nafua mbona hakuna Cha Mimi kubadilika kuwa mke,,,, sana sana mtu mweupe akikutaka mkewe akijua unafukuzwa kazi ili usiharibu familia iliyotengenezwa kwa gharama ya upendo wa miaka mingi
Wafrika wengi wanaongoza kufanya hivyo kisingizio kila kazi anafanya mfanyakazi kwa tabia hii hata akileta mfanyakazi mwingine atamlamba
Shida ya wanawake wakisha olewa wanabadilika na wanakua na dharau na mapenzi yanakwisha yale ambayo kabla ya ndoa. Hili ni tatizo na tunao teseka sana ni sisi Wakristo yaani wanaume wengi wanateseka sana ila kukwepa fedhea huwa tunashindwa kuweka mambo hadharani ni watoto na watu unaoishi nao ndani ndio wanashuhudia huo mziki kisa ni ndoa ya kufa na kuzikana, ili upone kama ulijwnga nae we sepa kimya kimya kaanze maisha mengine hapo lazima mwanamke akili imrudi ukiwa na huruma mrudie ukishindwa ni bora kula kona mazima.
Wanaume wa tz awajuwi nini maana ya mfanyakazi wa ndani
Nikuambie kitu wewe dada angu unafanya huku Kaz tambua amina hajamtongoza mume wa zuu yy alivyomletea nguo na kumwambia kajaribu ndo kamkuta chumbani hap kwa hapo igekuwa wewe ugefanyaje na huyuu mume kasema amemkuta amina bado hajaigiliwa na mtu yy agekuwa amin mayala agekuta ameshaigiliwa na wanaume ila hilo hamliagalii mnaogea tu je igekuwa mwanao mgesema simmesema na mnaogea kwa kuwa dada zuu akapeleka history ya maisha yake kwenye mtandao
@@charlesmapunda5905 kama umeogea kweli
Hukutakiwa kumtongoza Amina na kuzini nae . Kama ungekuwa na lilah na kumuogopa Mwenyezi Mungu ulitakiwa umuowe Amina kihalali kabisaa kabla kufanya zinaa. Embu tujitahidini kutokufanya Zinaa ndungu zangu.
Huyo ni binadamu nasi malaika
@@Mpakauseme wacha maneno ya kujifarji.
Iyogopeni dhambi ya Zinaa .
@nakundwamkubwe7823 Acha unafiki na wewe ,kwani wewe umegeuka kuwa nabii pahala hapa naukaji shudia utukufu , sasa ni nani kati yetu yu mkamilifu hapa ? . acha unafiki
Allah atufanyie wepes kwa rehma zake
@@ummuhkhalfan5542 Amiin Rabbil Alaamin 🤲.
Huyu mwanaume anavyo ongea kwa sifa , kwanza anaonyesha bado ajamariza umalaya kabisaaaa. Pole sana da zuu. Huyu mme kichomi khaaa
Si umemtoa bikra ndiomana anaringa
Umeonaee
😂😂😂😂 hajatulia kabisaaa
@@ameenaameena422 mmmh
Pesa anazo lazima aringe
Huyu mwanaume kwa uongeaji wake tu anaonekana akili Bado haijakakamaa kutulia..Yani Amina nae ajiandae tu kuletewa mwenzake!
Ata mm naona
Kaka owa wote wawili kila mmoja muweke mji wake mana amina umeshamuharibia maisha yake , yatengeze mambo waoe wote hao
Kwaushauri wangu Asimuowe Amina kwamana itakuwa matatizo cn kwa Amina yn dada zuu Atokubali atafanya kitu kibaya cn
Napia akifanya ushirikina adhabu ya Allah inamungoja
Kweli mzee damu nzito kuliko maji
Dahh sipati picha Zuu akitizama hii interview atalia na kusaga meno jamani maana umejua kumuanika maana duhh
Atajitoa roho tumuombee tyuu😂😂😂😢 inauma japo ❤❤❤😂
Wahuni si watu wazuri nilijuwa mtu mzm jmn we kaka hta ukimuwa Amina umalaya hta uwacha pole zuu
Jaman musimlaumu Amina hili yyt linaweza kumtokezea musimalize maneno na huyu. Zuu kasahau majukumu yake kwa mumewe hivi mwanamme afanyeje na akaekewa kitoweo ndani
Uchawi utatembea kwenye hz familia 2 mpk basi
Mmi pia ninahisi hivyo,mma amina anaujua na daa zuu anaujua,hatari
@@nurumwinyi796 kbs
Ni kweli uchawi upo
Nimekipia jamani uwiiiiih
Ongera Sana Mkaka Na Maamuzi Uliyo Yafanya Chukuwa Amina Mfunge Ndo C Sheria Ni Wa 4 ❤❤❤
Bado kijana kuishi na bint km amina sio kweli lazima hili lingetokea hata angekua home muda wote wangegongana hata chooni
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😅😅😅
Sio kula 😅😅😅 asante tutajirekebisha Wanawake sie dah😅😂
We mwanaume kibur jeuri malayaaa huna utu polee yako laana ya mkeo itakutesa maishaa na huwez jua saiv saa itafika....jeuri yako itakufurahisha
Jamani hili jamaa hili kumbe hili khaaa
Daaa nikashapata picha uyu jamaa anaonekana anatama Sana na ata Amina mwenyee ataletewatu mwingine,Apo akuna mtu.
Kwa kweli muonekano wake tu unasadif uliyoyasema
Huyu kaka anaongea mno, pih ht hyo amina akimuow bdo tu antamsalit mwanaume kutoa sir za mkeo kipengeleee hpo hakuna mwanaume
Bwana huyu macho juujuu hajatulia endelea na mishe zako hata uyo Amina ataachwa nawapa miaka miwili nimekaa pale kwa mangi nakunywa peps
Amina kaeleweka halaf mtu anamsifia yy ndio alomtoa bikra duh.
Amina akikubali kuolewa na wewe basi ame kikaribisha kifo mapema zuu hawezi kukubali😢
babaaaaaaaaaaaaaa nakuelewa sana uyo mkeo shauri yake alijisau sasa kamka lakini ashapata mwenza na akubali matokeo yeye saai bimkubwa.
mimi sioni tatizo si wote watakua wake zake?au
Hata ningekuwa mm ningefanya ivyo . kaka yupo sawa
Wanaume wote ni nyoka ya vichwa viwili hamba kher mungu anawaona imekuwa sababu hakushuhulikii nyote ndio sababu zenu ivo dada zuu kubali matokeo ishi bila huyu chizi
Uyo mume mwenyewe sasa apo muhuni muhuni tu maana bado ujana ajamaliza bado yupo na mambo mengi sana😂😂😂😂😂😂naata uyo amina asione amepata
Nyie ndo mnataka muolewe na vibabu mkibeba tu mimba vinakufa hata havijaona watoto.
@@akilimalindevu520 bola vife eee kijana mwenyewe uyo Bado Ako na mambo mengi ona macho ayo😂😂😂😂😂😂
Km mkeo alikuwa anakoseaaa kwann usimkanyee ...semaa unamamb meng wwh
Nam nashangaaa changamoto zipo kwa kila ndoa na zinapotokea ni kukaa chin kuelekezana kuchepuka sio kutatua tatizo huko kwa amina nako atazikuta za aina yake kama hatakua anakaa na kuzungumza ili kutatua bas atakua mtu wa kuchepuka
Pole sana mkaka Zuu Mungu anakuona kumnyima mumeo unyumba
Huyo mbona kijana
Hafai kuachwa na housemaid pekee,,,eti make Yuko busy na biashara wiki Moja,mbili,,,damu Bado ni moto..😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Kwanini😂😂😂
Kwakweli eti hata hivo alijitahid kumsitir
Huyu mzaramo bi zuuu ungemuweza??
Kaka wewe ina bidi uje umarekani, upate elimu, uta fanya hata wiki nzima uja mohana mkewe ,pole sana kaka.
Hili jamaa linaonekana linajua sana mapenzi kwa ninavyo msikiliza ana anaakili sana
Hahahahahha linyamwezi flan iv
😅😅😅😅😅😅😂😂napua yake kama Bandama Astaqfirullah😢
@@ashazuber6548 😂😂kha nlikuwa natafuta comment kma hyo
@@DeboraNgura hahahahaha Allah atunusuru waja wake maana hatuja kamilika
yaan sijui kwa Nini? mtu akikolewa na penzi jipya basi lile la mwanzo lazma alitie lawama,,,jamani mengine ni mapepo na manuksi yanakuja kuwaharibia maisha kwa utamu wa penzi bila nyie kujua....jifunzeni kazi za shetani mzijue
Zuu atakuwa haelewi ndiyo maana😢
Kipya kitamu,Cha zamani ukikizoea kinakua Cha kawaida😅😅
Kwahyo Amini naye akizoeleka atakuwa wa kawaida
¹
Tuache mazoea kwa waume zetu tuwaeshimu waume zetu na tufanye yanayo stahili kwa waume zetu haijalishi una pesa ama huna pesa mume ni mume tueke mipaka na mda na waume zetu wanawake wengi tuna kuwa na mazoea kwenye ndoa
Upo sahihi kabisa Kaka wanawake tunajisau Sana atujali Wana ume
Aminaulichomfanyia. Zuu. Lazima. Mungu. Akulipie
Wewe noma sana aise
Tiki tv mnajua kunifurahisha nyie yani nilikua nasubiri nimuone huyu baba daaah yani ngoja nijaze bando kwanza lakutosha nirudi hapa
Nime wahi kidogo
Bwana kaka ujakosea oa tu na amina na ukitaka mke wa tatu nipo hapa
Uyu mwanaume anaoneka moto wa kuwotea mbali
Sana alafu anaonekana ni mkali
Kumbe msela mnyamwezi😂😂
Wanaume wa hivi Mimi ndiyo nawapendaga
😂😂😂❤❤ nimempenda bure 😂😂
Ana swagger za hatari
@@Muslim-gs6rnukiambiwa ukawe mke wa tatu utakubali?
@@Muslim-gs6rnanafanana na mimi, haya nipende Mimi basi
Kelvin huyu kaka akifanikiwa Kumuoa Amina bhas na Amina mimi naomba unioe plz.
Huyu mwanaume kakaa kama mvuta bagi amezuzuka kwa hicho kipesa kidogo huyu ni mvuta bagi da zuu pls usirudi kwanza mlevi sema usimuachee kuhusu nyumba hiyo ni Jason yako
Yes mm ninacho tamani arudi kwenye nyumba yake amjengee huyo amina yake
Sasa hapo bange na ulevi viimefanya nini mbona viongozi wengi serikali wanavuta hizo bange nakulevuka na wanao waongoza
Jasoni wawapi
@@Mpakauseme😂😂😂😂viongoz tena
Nyumba sio sababu ya kurudi kwa chizi kama huyu mie niliacha nyumba sasa hivi na nyumba ambayo yeye hanifukii hata robo zuu mpambanaji
Hongera kwakumkubali amina
Mwenzangu nimekuelewa ulikuwa upo sawa kwatabia zamkeo
Ohoo my goodness hadi ambao hatujaolewa tamaa zaisha maana ndoa za Sasa ivi mtihani Allah atufanyie wepes poleni Hu ni mkasa haswaa but mwanaume Ana makosa hata kama wife haeleweki usingemuaribia Amina kwanza kumtia mimba mtoto wa watu bora ungevumiria kama mwanaume after ukaja kumuowa kwa ndoa hata kama mke Ana makosa mungu atuswamehe wote hakuna mkamilifu isipokua mungu peke yake
Mchkue zoo arundi nyumbani utakuja PATA nukasi hiyo barka itaondoka utajuta nahuyo mke mdogo mpangi😮kwake
HUYU MWANAMME KAMA AMEMUENDEA KINYUME MKEWE NA HUYO AMINA ATAMFANYIA HIVYO HIVYO
Nakubaliana na wewe
Kabisa huyo Amina niajipanqe
Malipo dunian ahera mahesabu amina jipange
😂 na alivyo na misitir ya kutongoza mwanamke yeyote hachomoki
Mmmmh kuongea yake tu unajua mchakachuaji
Ila jamani mimi ninacho mshahuri hyu kaka nibora tu aachane na Amina wanawake wako wengi sana hata wakiowana atamweka mtoto wa watu kwenye matatizo makubwa sana nibora audumie tu mtoto basi wakose wote Coz zuu hawezi kukubali kushindwa jamanii nyie kuchukuliwa mume inauma bwana 😢na bado wamejanga wote😢 akii hyu kaka Amuhurumie tu Amina amwache aende na maisha yake
Mawazo yako finyu amuowe tu
Angekua mwanao ungekubali asiolewe au vile ni wamwenzio amina
Amuoe tuu kwani Huyo zuu na amina wamezaliwa tumbo moja..mume anauma kivip yaan mtu mwenyewee kijana hatar hta mimi ningetembea naye😅
Atamuoa damu nzito
Wee salma wewe
Hapa mume kazi ipo si kwa Zuu tu hata kwa huyo Amina kitamkuta tu kilichomkuta Zuu kwani wanaume wameumbwa na tamaa hiyo sii sababu ni tabia ya mtu
Kweli kabisa na kita mkuta kikubwa sanaaa
Ila ana mwili wa pesa.
Hili fala sana
Bwana mwenyewe kumbe ndo uyu
Hahaaa msela sana
Bado ata akili zake zipo sana kwenye mapenzi so kwenye maisha ndo mana alivhokuwa anafanya mke wake kupambana na umaskini aliona ni ujinga
@@sophiamiondoko7098mjinga ni mwanamke mume ana baya
😅😅😅😅😅
Amenishangaza kwa sura zake pia😂😂😂
Kwakweli wewe ni mume unamsimamo mzuri kwa damu yako hongera sana baba abdulli
Mmhh wanaume Uwa hawaliziki hata umpe nini kuchepuka lazimaaaa wanaume poooooo 🙌🙌🙌🙌🙌
Kaka usiongee mengi rudisha mke wako dada zu ❤❤
Wambeya Tunao Fatiliya Mpo Sikuzote Unaambiwa Abiria Chungu Mzigo Wako Ukikosa Kuuchunga Utachungiwa Kma Daa Zuu ,Na Aminaa Ongera Sana Bi Amina Biarusi Mtawajiwa😂😂😂😂😂
Wala ucjidai kaka,kuna laana ya Mungu! Choxi la mkeo nakuapia ipo cku utapiga goti.Bora ungexaa nje ya hapo kuliko dharau ulixofanya.Mbwaa.Misichana ya kaxi inakuwaga michawi inaendaga kuloga maboss.
Dini yake inamruhusu kwaiyo awaoe wote siyo machozi yote tu yanayo toa Lana inategemea na chozi wenyewe
Sasa hapo ninani mchawi huyo anayemtoa mwenzake nje kimazingaombe kishanakutaka kumtia mwenzake uwandawazimu au huyo aliyetiwamimba ? wewe akili hauna utaseamaje hapa kuwa madada wakazi wanakuwaga wachawi je watakakutuambia wewe uwaunawajuaga wachawi au lah na wewe pia ni mchawi katikati yao na ndio unayafahamu hayo yote ebu acha dharau wewe
Unajichekesha ovyo tu ila tabia yako unaijua. Unampa pesa ila mke asijue, ulikua na lako jambo.
Hapo sasa
Hii story inanikumbusha mbali sana yakumletea mumewe mkemwenzie pazuli hapo kaoetu
Waliomtukana mamake.amina waombe radhi hapo 😂😂 😊😂😂kabla sijafanya maamuzi magumu😂❤❤❤❤
😂😂
Nilikuchukia,ila nimekuelewa
Wanawake msikie hii, Wanaumeeee Ehhh tumeshakubaliana mke akiacha majukumu ya mke kwa dada wa kazi, tunapindua meza haina haja yakumlipa mshahara na unaweza kumuoa akawa mke kabisa😅😅 dadadeeeki.
😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
😅😅😅😅😅
Sijui hata nataka niongee nini😂😂😂😂😂 au bas hayanihusu
Jamani huyu baba zomeshachenga kiasi furani.Hajui mauwaji km yanaweza kutokea.
Arijisahau mama mwenyenyumba wala amina hakuadanga lkibidi muhararishe mambo yaushirikina yanini muacheni mtoto wa watu mtotokigori
Mwanaume jeuri umepita wima kwao na daa zuu duh Amina akuna mme apo na ww kesho ni ivo ivo achana nae asapoti mwanae tu utapata mume bora
Ila wanaume awawezi kukaa na mwanamke mmoja mimi nashauli amuowe amina na amrudie Zulfa wawe wawili baden atulie nao
Huyu kaka yuko vizuri kweli hawezi kumuacha na mwanamke ushampa mimba lazima umuwowe
Amina utalaaniwa na Mungu
Mungu halani mtu kwma unavo zani na ukimuomba msamaha anakusamehe
Zuu ndo aliyepewa laan kwa kutomsikiliza mumewe upo
Muoe mke wa pili na maisha yaendelee
Mzaramo huo mswahilii sanaa
nanyie wakk wengine mkowapi kwann hamumtetei mwenzenu ananyimwa hakiyandoa
Nilitaka nishangae yani mama amini aroge mtoto arudi, ashindwe kukuroga umuoe na umeshamzalisha😂😂😂😂 nawaza tu jamani.
😂😂😂😂😂😂
❤😂😂❤❤❤❤yaaan isiishe😊
😂😂😂
Name nawaza