Dada wa Kazi Aliyezaa na Baba Mwenye Nyumba Ajilipua, Sikutaka Kutoa Siri Hii Ila Imenibidi Z...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Dada wa Kazi Aliyezaa na Baba Mwenye Nyumba Ajilipua, Sikutaka Kutoa Siri Hii Ila Imenibidi Z..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #dadawakazi #aliyezaanababamwenyenyumba #ajilipua #sikutakakutoasirihiiilaimenibidi #dadawakaziafunguka #baadayakuzaana #babamwenyenyumba #mamamwenyenyumba #dadawakazi #zuu #tikitvkiakilizaidi #diamondplatnumz #alikiba #naywamitegoamkeni #marioo #zuchu #honey #zuchuhoney

ความคิดเห็น • 674

  • @juniorcosmas4701
    @juniorcosmas4701 ปีที่แล้ว +21

    Huu ni Vita ita enda kwa vizazi hadi vizazi
    Sasa hivi pengine ni faraja ila uzao Wako ndio utakavyo Vuna huu ulicho kipanda
    Ndoa haujengwi kwa hushirikina Bali ni Mungu Ndio nguzo

  • @HhRt-m5z
    @HhRt-m5z ปีที่แล้ว +4

    Jamani musimlaanj mtoto wawatu tatizo lilianzia kwawanandoa wenyewe nasio yeye imetokea ndoishatokea tena kueni makini nandoa zenu munapokua nawadada wakazi

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว +1

      Hawana akili wote wanaomlaumu kwann wacmlaumu ally ?

    • @hamisathadeo4870
      @hamisathadeo4870 ปีที่แล้ว

      Mbona nchi za kiarabu kazi zoooote ni kwa dada wakazi lkn mtu hawezi chukua mume wa madamu wake ???ni umaraya tu😢😢😢

    • @taturajabukhalfani7953
      @taturajabukhalfani7953 ปีที่แล้ว

      ​@@hamisathadeo4870mchukue kama hujarushwa kutoka juu ya gorofa ufe!!!! hawanaga discussion kama hizo!!!

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว

      @@hamisathadeo4870 usifananishe arabun na Africa amina kakutwa bikra huo umalaya kautoa wapi ?

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว

      ​@@hamisathadeo4870kumbuka kamuharibia us Chana wake huyu sio malaika ushawishi ulikua mkubwa na shaytwan Ana nguvu tumuombee kher tu madhali kamuharibu na kataka kumuoa zuu angekubali tu rzk mungu ndio anaetoa bint 20yrs soo wakumsimanga sote wazaz😢

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 ปีที่แล้ว +4

    Naombeni like kablasijashusha gazeti langu 😅

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 ปีที่แล้ว +4

    Muone midomo mikavu kama chura kwani utakaa nauyo mme bac

  • @عايشهالمعولي-خ8ر
    @عايشهالمعولي-خ8ر ปีที่แล้ว +6

    Ungekufa tu maana ww mama yako niwashezi

  • @stellah3844
    @stellah3844 ปีที่แล้ว +2

    Maumivu ya Zuu sijui yapoje kwa sasa masikin dah,,hii Dunia😢😢😢😢

    • @peteromary8764
      @peteromary8764 ปีที่แล้ว +1

      Dunia duara

    • @elizabethbiseko4882
      @elizabethbiseko4882 ปีที่แล้ว

      Amina umekumbuka watoto wa mwenzio je wataishi bila baba acha ubinafsi

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว +30

    Ushirikina unakuaga na mwisho na huwezi toboa kishirikina. Huyu anajiamini kwakua mama yake ashaa mwaminisha kuhusu uchawi. Mama atamaliza waganga.

    • @puritymaina467
      @puritymaina467 ปีที่แล้ว +3

      Sii huyu ndiye ,alifanyiwa ushirikina,unageuza kipindi nawe,tupumzishe

    • @JustaJohn-qt6iv
      @JustaJohn-qt6iv ปีที่แล้ว +1

      Akuna cha ushilikina apa amuwoe tu Waleed MTT Uyo bwana amjengee nyumba Ile Ni ya make wake mkubwa

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว +2

      Sasa yy na zuu nani mshirikina ? Wqlimroga bint wa watu kumpiga na fimbo za tumbo walitegemea atakufa ila mungu yupo na amina

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 ปีที่แล้ว +2

      @@ruqaiamohammed345 una uhakika ni Zuu alimroga?? Watu wanaposema Amina na mama yake washirikina ni kwa sababu wamethibitisha wao wenyewe kufanya ushirikisha. Amina kasema hata kwenda kujifungua kaenda kwanza kwa mtalaam kupata go ahead kwenda kujifungua. Mama Amina kasema mwanawe lazima ataolewa hata kwa kishirikina. Dhana mbaya sana unaweza kujiingiza kwenye dhambi bila kujijua.

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว

      @@aminasittusaid3830 kwa mtu ambae hn akili km ww basi huwez jua kuwa vile fimbo / kulala ndn uck asubh ukajikuta yuko nje na alikuwa anamuota bibi yake zuu huwez jua km ni kina zuu ndio waliokuwa wanamchezea kwa kuwa huna akili na lzm aende kuangaliwa kwanza kabla hajaenda hospital maana km una akili utajua kwann alienda kwa mganga ila huna akili ndio mana hujui hilo

  • @RehemaIbrahimu-t3b
    @RehemaIbrahimu-t3b ปีที่แล้ว +13

    Angekua wewe ungecmama? Huwenda na huyo mamako ni malaya ndo maana alikimbiwa na babako

    • @zaunamoody7311
      @zaunamoody7311 ปีที่แล้ว

      Baba Ndio aliruhusu ndoa lakini mama aligoma ndoa

  • @glorymziray1915
    @glorymziray1915 ปีที่แล้ว +19

    Usikimbilie heshima ya muda Mana huwa inaleta furaha ya muda pia jali Sana zuu anachokipitia Sasa ili wewe usikipitie badae kwa staili nyingine

    • @khadijaabdulrahmani1446
      @khadijaabdulrahmani1446 ปีที่แล้ว +3

      WA kulaumiwa ni mwanaume si huyu binti wala da zuu

    • @ZubidaAlmasoudi
      @ZubidaAlmasoudi 11 วันที่ผ่านมา

      Mung atamlinda watazikana na mumewe Allahuma Amin🤲🏼

  • @nillap767
    @nillap767 ปีที่แล้ว +20

    🇰🇪 Leo kwa mwenzako kesho kwako,dunia ni mzunguko😮

  • @AminaChoaji
    @AminaChoaji ปีที่แล้ว +12

    Nashindwa cha kucomment nimemchukia hiyu bint na mamaake mungu atanisamehe😂😂

    • @DeboraEliud
      @DeboraEliud ปีที่แล้ว

      Huw sipend kukoment lkn ww dada umenifanya niandke ulicho kifanya mungu atakulipa tena tunakuombe kwenye hyo ndoa yke usidum kbs ten ww utaachwa kam mkimbiz kbs ht nguo utashindwa kuchukuw mume mwenyew yule anaropok nishda njaa yko na mam yko itawapelek pabay

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 ปีที่แล้ว +12

    We mpumbavu unabahati uko mbali kelvin kama inawezekana naomba nipeleke anapoishi huyu kiumbe nimfunze adabu kidogo maana akiachwa atawapa kichwa na wengine wafanye ushenzi kama wake haki namchukia huyu Binti mm puuuh huna haya ww kahaba mdogo wote na mama yako Malaya wakubwa nyie mmbwa kabisa 😬😬😬😬

  • @AishaMwarabu-y6m
    @AishaMwarabu-y6m ปีที่แล้ว +16

    Nina amini zuu mungu atamlipa kama huyo kaka angefata taratibu za ndoa ingekua Haina shida lakn namuapia kwa Allah alie simamisha mbingu bila nguzo ataijua dunia muache ajinadi TU laana ya mungu ndio inayo mfanya aropokwe Alisha msikia zuu akiongea kitu laana itakutafuna kwanza jiangalie ushaanza kuzeeka

    • @MatildaMkombachepa-bv7sw
      @MatildaMkombachepa-bv7sw ปีที่แล้ว +4

      Kweli uzuri wote umekwisha

    • @umsulaiman7468
      @umsulaiman7468 ปีที่แล้ว +3

      HasbiaAllah waneemal wakil Amina Allah akushinde wewe na ushirikina wako ww na mama yko kuvunja ndoa ya zuu kumbuka kama ulivo ivunja ndoa ya mwenzako na ww pia utavunjiwa malaya mkubwa ww na mama yko mahasidi wakubwa uchungu gani mlikuwa na furaha ya kuvunja ndo ila kumbuka malipo dunian akhera hisab ipo siku utalia kuliko alio lia zuu roho ya myama khofu gani we mshirikina mkubwa loh

    • @umsulaiman7468
      @umsulaiman7468 ปีที่แล้ว +2

      Ungelikufa tu wee unajuwa vp mume anavo uma ila huyo alie kuparamia mpaka kukutia mimba huyo huyo ndie atakae kukukomowa ujutie

    • @umsulaiman7468
      @umsulaiman7468 ปีที่แล้ว +2

      Namchukia mtu kuvunja ndoa malaya we kama ulivo vunja ndoa ya mwenzio na ww subiri ipo siku yko hayawani usha muumiza mwenzie bado unataka kumwambia nn shenz we

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 ปีที่แล้ว

      Daa Zuu 😮😮

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 ปีที่แล้ว +19

    Huyu kuna kitu anajivunia siyo bure.

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +1

      Umeona ee

    • @rosembwambo6079
      @rosembwambo6079 ปีที่แล้ว +3

      Jamani acheni kabisa kutoa hii habari ni aibu kwenye jamii...house girl inabidi apate fundisho alitembea na boss akijua kabisa anakose alijipanga kuharibu ndoa na alitumwa na mama yake...huu ni uchafu jamii haiko tayari kusikiliza upuuzi huu...tafuteni stori zingine mnaudhi sasa

    • @habibaraphael6583
      @habibaraphael6583 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli kabisa

    • @stellah3844
      @stellah3844 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 ปีที่แล้ว +1

      ​@@rosembwambo6079sasa hivi wa mama wanawatuma binti zao😢 kwamba wakipata mwanya wasiuache nani anataka maisha ya shida, ila na sisi wamama ukiona msichana anaanza kubadirika muondoe mapema😢😢

  • @aeshijumanne6301
    @aeshijumanne6301 ปีที่แล้ว +2

    Wewe dada punguza ukaii wa maneno amka usiku muonbe Mungu na usithubutu kufanya ushirikina ili uolewe na kama utafanya ushirikina alivyoondoka Zuu wewe itakuwa mara mbili yake pesa ,nyumba na hilo gari lake ni vya kupita na ni mapambo ya Dunia

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane ปีที่แล้ว +19

    Zuu wawatu jmn hili toto ulilisaidia lanini😭😭😭

    • @khadijaabdulrahmani1446
      @khadijaabdulrahmani1446 ปีที่แล้ว

      WA kulaumiwa ni mwanaume si huyu binti wala da zuu

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 ปีที่แล้ว +1

      Jamani beatrice😂😂😂😂

    • @ameenaameena422
      @ameenaameena422 ปีที่แล้ว +2

      Cheki midomo zake yanakibri haya

    • @mariamfritsi4943
      @mariamfritsi4943 ปีที่แล้ว +3

      Huyu house girl alikuwa akimtega huyu bwana ndio maana yakatokea, inawezekana kafundishwa na mama yake mzazi amtegeshee, zuu hata sijui aliochukua la nini hili.wema waponza.

    • @MadoTate
      @MadoTate ปีที่แล้ว

      @@mariamfritsi4943nikweli mama yake hanajangiya 😮😮

  • @swahiliqueen9920
    @swahiliqueen9920 ปีที่แล้ว +16

    Natamani nikuzabe makofi shenzi mmoja wewe. Msheeeww..

    • @levinamwanakulya9379
      @levinamwanakulya9379 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว +2

      Na ndo huwez na huta weza 😂

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 ปีที่แล้ว +1

      Atapigwa na mungu, Na karma za Zulfa, Zulfa hajachelewa na mungu atamuhifadhi na watoto wake inshaallah. Amin

    • @StumainMgaya
      @StumainMgaya ปีที่แล้ว

      Atalipwa tu wakati ukifika

    • @umbopaday
      @umbopaday 9 หลายเดือนก่อน

      Abdul sio jina la halali jina ni Abdullahi

  • @RachelBriervanity1
    @RachelBriervanity1 ปีที่แล้ว +4

    MiMi naona endeleza Familia mpate watotot wengi na maendeleo don't worry too much usifanye makosa kama aliyofanya Zuu hongereni

  • @laylame8121
    @laylame8121 ปีที่แล้ว +12

    Kama Mungu kakusimamia umejifungua salama naamini kila kitu kitakuwa sawa kukosea kwa binadamu kupo Mwombe Mungu atakusimamia tu kwa yote .inshaallah.

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 6 หลายเดือนก่อน +1

    wewe Amina akili huna unakuwa na confidence kwa ajili ya uchawi bila kumtegemea Mungu. Haya yapo api sasa???? uchawi hoyeeee

  • @jjeattssolos7677
    @jjeattssolos7677 ปีที่แล้ว +8

    Huna hata kimeme umesahau kama ulienda pale kwa shida zako, but think twice Karma is a bitch.

    • @betitympeleta9697
      @betitympeleta9697 ปีที่แล้ว +1

      ningemfukuza tangu mimba ina wiki moja akakae kwao azae kwao
      kwangu ni kama kituo cha polis asingerudi huyu mbwa kwelii

  • @EvaIsack-c9r
    @EvaIsack-c9r ปีที่แล้ว +7

    Dada hujawajua wanaume ipo sikuutajuta huyo mmeo atakugeuka

  • @Muslim-gs6rn
    @Muslim-gs6rn ปีที่แล้ว +12

    😢😢😢😢😢😢😢nyie dunia duara 😮😢 naamini leo zuuuh sijui yuko wapi anasikia hii 😢

  • @swabrisoud7307
    @swabrisoud7307 ปีที่แล้ว +12

    kama ulikua hutaki mtoto apitie hayo kwa nini usisubiri kuolewa kwa halali ukazini zuzu

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 ปีที่แล้ว +4

    Aiseee navaaa viatu vya zuu havinitoshiiiiiiiiiiii uwiii Hakuna undugu kwa mume

    • @OpMagu
      @OpMagu ปีที่แล้ว

      Vikubwa sanaa

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 ปีที่แล้ว +4

    SAWA UMEZAA NAYE KWANINI MUSIMUACHE DA ZUU ARUDI KWENYE NYUMBA YAKE,HUYU MWANAUME AKAPANGIE NYUMBA NYINGINE.

  • @rukiasalumu8942
    @rukiasalumu8942 ปีที่แล้ว

    Mjinga huna akili unajiona.umefanikiwa.kumharibia.mwenzio.subili.fimnbo.ya.mungu.utakuja.juta😂😂

  • @mamakekhubeiby4206
    @mamakekhubeiby4206 ปีที่แล้ว +12

    HOUSE GIRL WANGU LEO NAMLIPA MSHAHARA WAKE SITAKI TENA HOUSE GIRL 😂😂😂😂😂😂😂

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤😅

    • @husnab2765
      @husnab2765 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 Siyo wote wali Ivo

    • @wemakalama6458
      @wemakalama6458 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 ปีที่แล้ว

      Amna sio wote mama

    • @OmanOman-vb4uj
      @OmanOman-vb4uj ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @AnaraelMpungu
    @AnaraelMpungu ปีที่แล้ว

    Wewe.binti.bila.kulogwa.acha.mume.wamwenxio.Mungu.atakulani.sana.huwezi.kuwa.naamani.namuse.wamwrnzio.babandoned.mzazi.anaakili.sana

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk ปีที่แล้ว +5

    Jmn mwambie zuu akusameh jmn ww duh mmh zuu wangu wema wako umekoponza

    • @dariamushi9356
      @dariamushi9356 ปีที่แล้ว +2

      Majitu kama haya ndo yanayosababisha hata watu wengine wasisaidiwe

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk ปีที่แล้ว +1

      Mmmh Wala Amina aibu hana

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk ปีที่แล้ว

      @@dariamushi9356 mmmh

  • @IbraSalim-z9p
    @IbraSalim-z9p 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dada wacha nikuambiye usione dada zu ameondoka malipo ni hapa hapa duniani,

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش
    @عبداللهالعازمي-ع3ش ปีที่แล้ว +3

    Wewe nawe mambo mengine ficha

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 ปีที่แล้ว +1

    Uweke hakiba ya maneno. Ulichomfanyia mwenzako na ww utakuja kufanyiwa. Na pia waeza ukaachika ukaachwa kweupe .Wanaume ni vinyonga wanabadirika badirika . Ht uolewe kwa ndoa waeza ukaachwa na talaka 3 double .usijishauwe bure chunga maneno yako. Eti nitakaa kwenye nyumba ya da.zuu . Akija mimi ndo mke mwenye nyumba .Hee chunga kauli zako .

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo ปีที่แล้ว +1

    Chapekeako kaburi hata mm natafuta mme wa mtu

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu ปีที่แล้ว +6

    Wewe dada unaroho ngumu kama jiwe na ulikuaudia kumuaribia nguo

  • @christsndushondi51
    @christsndushondi51 ปีที่แล้ว +6

    Kama umezaa nahuyo Kaka sibasi kwani lazima ukaolewe nae jamani

    • @joasitz9559
      @joasitz9559 ปีที่แล้ว +1

      Nahisi alipanga mapema

    • @mariamjohn2457
      @mariamjohn2457 ปีที่แล้ว

      Mpuuzi mkubwa ww unajimaliza tu umezamilia Ila malipo hapa hapa dunian yatakukuta tu uwezi kupata amani shetani ww

    • @mariamjohn2457
      @mariamjohn2457 ปีที่แล้ว

      Na ndoa unaitana unaisi utakuwa na amani ila watoto wa dada zuu ndio wakae mbali na baba yao ww dada ww mwana kulitaka ww jimalize tu

  • @glorymziray1915
    @glorymziray1915 ปีที่แล้ว +5

    Ushauri wangu usirudi kwenye ile nyumba anzisha misingi yako

  • @RahmaAlly-b6r
    @RahmaAlly-b6r 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hana hata aibu

  • @hemedyawadhi2935
    @hemedyawadhi2935 ปีที่แล้ว +1

    Alichokifanya kwa zuuh atakufanyia na ww tu tupo dunia hiii mtandao huuuu mtatujuza tumekaa palee

  • @tausiferuzi9098
    @tausiferuzi9098 ปีที่แล้ว +2

    Mpumbavu tamaa zako sio mipango ya mungu ww nashetani ni njia moja laana ya zuu itakutesa sana

  • @RehemaIbrahimu-t3b
    @RehemaIbrahimu-t3b ปีที่แล้ว +3

    Mbona unamsemasema sana daa zuu? Hujatosha ulivomchukulia mume? We kaolewe lakn kaa ukijua kipya hakinyemi

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 ปีที่แล้ว +2

    Eti da zuu akileta watoto wake ntawalea kwani da zuu ndio anataka watoto wake wasilelewe na baba na mama.kama unajua hayo basi na wakwako muachie da zuu akulelee uwachane na mume wake uwendelee kuwa housgarl wa nyumba za watu.mjinga mmoja shetan fedhuli mshirikina usiekuwa na haya.natamani nikushike koo niichomoe malaya wahedi.

  • @salma5187
    @salma5187 ปีที่แล้ว +4

    Hovyoo linataka Mtoto wake apate malezi ya baba na mama lakini limemharibia mwenzake na watt wake. Roho mbaya tu na mwisho wake mbaya

  • @tausiferuzi9098
    @tausiferuzi9098 ปีที่แล้ว +4

    Yaani ww dada ulichokifanya kwa mwenzako laana ya mungu ikuangukie mmbwa ww hufai kabisa nalazima mungu akudhalilishe mpumbavu ww kiuhalisia siwezi kukucoment ww hata chembe ujinga

  • @sophiajohn8707
    @sophiajohn8707 ปีที่แล้ว +4

    Huyuuu amina mjinga ajeeee jamani, duuuu achunge Sana maana dinia hiiii 🤔malipoa hapa hapa

    • @husnab2765
      @husnab2765 ปีที่แล้ว

      Malipo duniani hatukatai Lakin atakuwa si mwar mjane atapambana na Maisha yake atakuwa kashajielewa

  • @ndavadumayai4250
    @ndavadumayai4250 ปีที่แล้ว +4

    Mpeni mda wakuenjoy tuu, lakini kilio na maumivu vinakuja,huyu binti & mama yake watavuna walichopanda

  • @MercyGeorge-d3z
    @MercyGeorge-d3z 9 หลายเดือนก่อน

    Kufanya kosa si kosa Ila kosa ni kurudia kosa,,USIOLEWE WANAUME HAWATABIRIKI DADA,leo mtoto,omba rehema kwa boss na kwa Mungu,,anza upya Ila si kuolewa pale ulipokosea

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 ปีที่แล้ว +3

    Yani uko tayar kulea watto wa zuu lakin wako apate malez bora kwan hao wa zuu hawatak malez bora ama hawakuzaliwa na baba na mama,...amina, Amina ,Amina narudia tena Amina what goes around comes around, dunia itakufunza be careful My friend alaf mbna umechakaa tayar na mambo bado mwanzo 🙆

  • @emmymwakakango6266
    @emmymwakakango6266 ปีที่แล้ว +3

    Asa unaomba msamha na unazidi kumuumiza mwenzio

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 ปีที่แล้ว +2

    Hivi unajua uchungu wa mume mbwa kijibwa koko wewe?

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว

      Anaujua mamake mzazi😅😅😅

  • @ElizabethMunaranara
    @ElizabethMunaranara ปีที่แล้ว +1

    Utakufaaaaa

  • @MwajeiAthuman
    @MwajeiAthuman ปีที่แล้ว +1

    We nimalaya ulifatakaz au kuliw mshez ww

  • @AnaraelMpungu
    @AnaraelMpungu ปีที่แล้ว

    Kwendaaa.usimuumize.mwenzio.upangiwe.nyumba.acha.nyumba.yamwenzio

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +1

    Nmesoma comments karibia zote, ila watu wanajua kuandika, lkn hy mdada anajiamini eeeh ila mwanamke unatakiwa ujiamini bhn, eti zuu akiamua kurudia na arudi ila yy ndo mke kwn na zuu na yy c mke mkubwa atakuwa au vp

  • @SesiliaMakome
    @SesiliaMakome 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani watu tunapo saidiwa na watu tuwe na heshima na mabosi zetu Kama Mimi nimefanya kazi za NDANI zaidi ya miaka kumi Ila bosi wangu wakike nilimchukulia Kama mama yangu mzazi na baba nilimuheshimu Kama baba yangu mzazi,nilithamini Sana upendo wao kwangu na mpaka,Sasa ninafamiliya yangu naishi kwa amani uaminifu ni kitu kizuri Sana mbele za muuba wetu

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 ปีที่แล้ว +23

    Nimewahi jaman naombeni like zangu

  • @victoriamkumbo5866
    @victoriamkumbo5866 ปีที่แล้ว +2

    Amajweli we mnyama tenambea mwitu kafili shaetani nikubwa nyangau muaji lol sherwani mola atinusutu nauumbwa wa duniahii sutaki hata kukuona polezuu tends wema uende zako

  • @RehemaIbrahimu-t3b
    @RehemaIbrahimu-t3b ปีที่แล้ว +4

    Kaolewe dada weeeee!!! Utaula wa chuya kwa uvivu wa kuchambua yaani naitamani hiyo ndoa na huo uchawi wenu c umeona huyo mchawi mwenzenu alisema kila kitu kiko sawa? Daa zuu anasubria malipo kwa mola

  • @angolina1768
    @angolina1768 ปีที่แล้ว +10

    Kila lakheri Amina hakuna mkamilifu nawaambia nyie lopokwenu mwisho wa siku Mungu ndo anaejua huyu msichana kajinyenyekeza sana kwa Zuu ila hakutaka kumsehe Mungu yupo pamoja na ww mdogo wangu ❤❤❤

    • @LeilaShah-ib4td
      @LeilaShah-ib4td 8 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo mpka kitandani ulikua watandika wewe cha zuu

    • @ScovierKefa
      @ScovierKefa 4 หลายเดือนก่อน

      Mwambie

    • @GraceKamene-bw3ds
      @GraceKamene-bw3ds 21 วันที่ผ่านมา

      Ukweli,naelewa kile huyu dada anasema ​@@ScovierKefa

  • @celestinmotokya6151
    @celestinmotokya6151 หลายเดือนก่อน

    Dunia ni mambo, île fimbo ulimuchapa ule dada, naweye utachapiwa île île fimbo😢

  • @susans4490
    @susans4490 ปีที่แล้ว +1

    Mama tamaa mtt tamaa ,mie ndo nitakuwa ndo mmiliki wa pale ovyooo

  • @Muslim-gs6rn
    @Muslim-gs6rn ปีที่แล้ว +5

    Hawa niwashirikina live bika chenga 😮 lnnalilih lillah wainnaillayhi rajiuun subhanallah 😢

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

      Kwn ww c team yk hy mbn unawasema hvy leo

  • @nailaty
    @nailaty ปีที่แล้ว +2

    Jimalize tu lakin utambue huyo muhuni mwenzio alimpenda zuu akiwa na biashara zake na usitegemee aman kwenye hiyo ndoa eti utalea watt wa zuu huna akili wewe nyumba ajenge wenzio wewe ukakae subiri jua litakuwakia sana tu na huyo muhuni ipo ck atarudi kwa zuu analia kama mtt

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk ปีที่แล้ว +3

    Zuu huyu Amina ata akiolewa hatakuhesh

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk ปีที่แล้ว +1

      Yani Amina anasema zuu apeleke watt akawalee inamana hatak zuu arud kwake duh Amina ww mmmh yamungu nimengi ya kuku mayai

    • @AshaMakame-zg9xi
      @AshaMakame-zg9xi ปีที่แล้ว +1

      Kweli yuko kshari huyu msichana haya tuone yaendelee

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk ปีที่แล้ว

      @@AshaMakame-zg9xi adabu hana

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

      Hivi mmemsikia amina alivojibu kuhusu zuu kurudi kasema yeye ndo atakuwa mke

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk ปีที่แล้ว

      @@maryamtanzania9743 mmmh jmn Yani hajui zuu anaumia

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara ปีที่แล้ว +6

    Eti Shemeji eti Baba wa watoto wangu usiongee ukamaliza wa na huyo mema yako mtajua karma ni real

  • @habibaraphael6583
    @habibaraphael6583 ปีที่แล้ว +8

    Mdg wangu zuuh nakuomba huyo mwanaume achana nayo ata asikuumize kichwa ,, mshukulu mungu tengeneza maisha yako yaende,, Mimi nimepitia mengi sana juu ya wanaume

    • @jeannettehabonimana5256
      @jeannettehabonimana5256 ปีที่แล้ว +4

      Huna akili ukitenda mabaya utalipwa mabaya nenda kwenye Ndoa utajuta kam huja fundwa na Mama utafundwa na ulimwengu.

  • @asiaibrahimasiaibrahim5418
    @asiaibrahimasiaibrahim5418 ปีที่แล้ว +4

    haha 🤣🤣🤣njaa mbaya jamani eti ntakua mmiliki

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 ปีที่แล้ว +3

    Jamani hili liwe somo kwetu tuziombee sana ndoa zetu tuombee familia zetu Dua iwe chakula chetu duniani uchafu ni mwingi

  • @safianamani1375
    @safianamani1375 ปีที่แล้ว +6

    Mola atakulipa apa duniya..
    Zuu. Atafunguliwa kheri... Apa duniya yeye ana akili ya. Kazi. Wewe mhuni kwa akili.

  • @NusraJarha
    @NusraJarha วันที่ผ่านมา

    Ata naomba data zuu uspeleke watoto wako kama alfaulu kumuchukua mume wako je watoto atwafnyaje

  • @saidabwanakheri7432
    @saidabwanakheri7432 ปีที่แล้ว +8

    Kwa hiyo watoto wa mwenzio ndo walelewe bila baba. Utalipa gharama za maumivu ya mwenzio.kwanza wewe na mama yako pesa ulizokua unatuma zilikua zinaenda kwa mganga kuweza kumvuta huyo baba. Siku hizo mnakuja na mission kamili.

    • @jeannettehabonimana5256
      @jeannettehabonimana5256 ปีที่แล้ว +1

      Mwizi wa wa bwana za watu alfu ngunakimbilia Ndoa nenda ukaolew utaona.

    • @aishamrisho6860
      @aishamrisho6860 ปีที่แล้ว

      Yaani hapo umeongea kitu

    • @susans4490
      @susans4490 ปีที่แล้ว

      Ulitaka watu wakupongeze sh...yako nikaandaliwa supu😂

    • @mbwilojenipha8741
      @mbwilojenipha8741 ปีที่แล้ว

      Kwakwel mm uy dada nimemchukia tok myon kachaw ak

  • @VioletNamz-tq4tg
    @VioletNamz-tq4tg ปีที่แล้ว

    Atahitikiaje wa kati umemwibia mme wake? Kwani ulichokifanya nikivuri.ungetafuta wa kwako dada yangu.

  • @aminamaulidi1788
    @aminamaulidi1788 ปีที่แล้ว +11

    Huna baba wajina mung yupo pamoja na wewe kwa uwezo wa Allah atasimama na wewe na malaika wako .pia baba abdl awe na maisha marefu kwa msimamo mzuri inshallah

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว +1

      Amina thumma amina km majina yenu 🤲🤲🤲inshallah

    • @asmarajabu5786
      @asmarajabu5786 ปีที่แล้ว +1

      umeona my ,nilichogundua humu wengine wanawivu ,sijui wagumba mwenzao kapata mtoto wanachonga sana ,sas kama ushirikina na wao si wakafanye labla hawa wanaokomenti ushirikina ndiyo wao wanawafanyia mabwana zao hallo 👌👌

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว

      Hasadi zawasumbua na roho mbaya 😃

    • @asmarajabu5786
      @asmarajabu5786 ปีที่แล้ว

      @@ruqaiamohammed345 kbisa my wanaboa kweli sasa hivi kuchukuliana mabwana ndiyo kawaida hakuna wa peke yako, uwe haugeli au mtu wakaida

  • @mamakekhubeiby4206
    @mamakekhubeiby4206 ปีที่แล้ว

    MSHENZIIIII KABISA BADO UNAMUITA SHEMEGI NA MUSHAZIMA TAA 💡💡💡🕯️🕯️🕯️

  • @jokhaseif893
    @jokhaseif893 27 วันที่ผ่านมา

    Mimi niko dd zuusiwezi hata kukusameh wala kukus3mesha sababu ulimficha nando alikuwa dd yako kakutowa kwenye shida zakwenu vp umkatae baba yako mjinga wewe

  • @MarthaKidirya
    @MarthaKidirya 10 หลายเดือนก่อน

    Aibu uliyoifanya kwan ulishindwa kumkatalia shemeji yako wacha uteseke sasa

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    Kwanini yote hayo wewe Usingeyafanya nyuma wakati Unalètewa zawadi Unapokea Ulikua Umepanga yote kupindua nyumba kwa sababu ya Umasikini na kutoka kijijini mwisho sio mzuri hii story ✊🇹🇿🇬🇷⛴⚓

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt ปีที่แล้ว +5

    Mdogo wangu usimalize maneno 😢😢😢😢😢

    • @pendomkumbo8262
      @pendomkumbo8262 ปีที่แล้ว

      Yaaan aweke akina kichwa embe huyu

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 ปีที่แล้ว +2

    Uzazi umekupenda umekua mweupe

    • @peteromary8764
      @peteromary8764 ปีที่แล้ว

      Hela za bos had mama ake kang'aa

  • @VeronicaSalvertory
    @VeronicaSalvertory ปีที่แล้ว +1

    Huyo mganga wenu atawadanganya bule lakini mungu hayuko rikizo

  • @harusi6391
    @harusi6391 5 วันที่ผ่านมา

    Pole Sana my hakika story yako imenitoa machozi pole Sana

  • @Abuuhdizzo
    @Abuuhdizzo ปีที่แล้ว +2

    Malipo hapa hapa Dunian

  • @mwajumamwajuma55
    @mwajumamwajuma55 ปีที่แล้ว +1

    We dada kulia kupokezana aya mwanaume kiumbe zaifu yatakufika tu nauje utuambie

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว

    Shauku gani? Kwani hakuwa na watoto?.Subiri uje yakurudi.Wachawi wakubwa nyie,misichana ya kaxi inakuwaga & uchawi.Hilo mume likipata ajali hawexi,Mwulixe dada aliyeachwa,mumewe alipata ajali na hilo hawara,hawara likafa.Ukalale kitanda kipi?njaa uko wapi??wapi tamaa??

  • @rehemamnyiamba6815
    @rehemamnyiamba6815 ปีที่แล้ว

    Ulizaliwa nje ya ndoa,hyo ndyo shida, hvyo hiyo roho itakufuatili mp kizazi Cha nne,usipoamua kufanya maamuzi sahihi.Jiandae tu

  • @aminajuma717
    @aminajuma717 ปีที่แล้ว +7

    Huyu dada ana roho ngumu sana jamani ananizidi hadi mimi

    • @rahiyayousaf3093
      @rahiyayousaf3093 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂pole😂😂😂

    • @matridamwalyoyo1735
      @matridamwalyoyo1735 ปีที่แล้ว

      Na ni wajina wako sasa ni mgumuu kinomaa

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @OpMagu
      @OpMagu ปีที่แล้ว

      Roho ya paka kabisa

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk ปีที่แล้ว

      @@OpMagu duh baba Abdul 😂

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmh nyie wakwanza mie leo 😂🎉nipen maua yangu

    • @kavyashortsleon
      @kavyashortsleon ปีที่แล้ว

      Kweli umekuw wakwanza hongera zake nshakupa like yako best

    • @kavyashortsleon
      @kavyashortsleon ปีที่แล้ว

      Kweli umekuw wakwanza hongera zake nshakupa like yako best

    • @funnycomedyvines1467
      @funnycomedyvines1467 ปีที่แล้ว

      Hongera Rukia

  • @stelamwakatulile2455
    @stelamwakatulile2455 ปีที่แล้ว +2

    Amina mwanangu mbona leo uko juu kuishi kwenye nyumba ya zuu usijalibu ata kidogo nenda kapange tu

  • @victoriamkumbo5866
    @victoriamkumbo5866 ปีที่แล้ว

    Acha udaku nanwebziiiio anajua machungu yanmume wakembaya we haku hub nafadhilambayaaaasitaki nnikkuonelooo

  • @Abuuhdizzo
    @Abuuhdizzo ปีที่แล้ว +4

    Malipo nihapa hapa Dunian.

  • @JoelKakolanya
    @JoelKakolanya ปีที่แล้ว +3

    Mmmmm hata niwe na mtoto mchanga bosi nisamehe ntakuja nae ofisini dada wakaz sitaki ujivunie kuitwa mama kwamme wangu!!😢😢😢

    • @LeilaShah-ib4td
      @LeilaShah-ib4td 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe ukapangiwe nyumbani moja vita naumevuruga ndoa yawatu

  • @LukusaFrank-dg1ib
    @LukusaFrank-dg1ib 4 หลายเดือนก่อน

    Nakulaumu Mange kimambe kwanini mpaka Sasa ujaleta suluisho?

  • @bijo916
    @bijo916 28 วันที่ผ่านมา

    Mtaalam hana utaalam wowote. Mungu pekee ndio mtaalaam wa kila kitu. Hawa wote waache kufanyiana uchawi wa wache kumshirikisha mungu kama wanajiita waslam basi wamtegemee mwenyezi mungu pekee yeye ndio mtatuaji wa matatizo yote. Kumshirikisha mungu ni dhambi kubwa sana lakini watu wengi wanachukulia kama kitu kidogo. Warudi kwa mola wamuombe msamaha na wamuabudu yeye pekee sio kufata waganga na ushirikina

  • @jennifermdabi3716
    @jennifermdabi3716 ปีที่แล้ว

    Zuu rudi nyumbani kwako deesr. Ili uweke stop

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 ปีที่แล้ว +8

    Wewe ongea tuu kwa kujiamini ,kuvunja ndoa ya mtu,chozi la zuu halitakuweka salama,dunia nzima inakulaumu ,kumbuka wewe ni mwanamke ukimuosha mwenzio na wewe pia utaoshwa pia, Mungu halali .

    • @nurusaid4698
      @nurusaid4698 ปีที่แล้ว

      Ana Makosa Ckuzote Unaambiwa Abiria Chungu Mzigo Wako Ukikosa Kuuchungu Utachungiwa 2 Zuu Akae Kwa Kutulia Alisusa Mwenzie Anakula Ongera Sana Daa Amina Na Mungu Akutanguli Kwa Mema Insha Allah

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว

      Dunia nzima inamlaumu labda dunia yako ww na ndg zako usiunganishe wote tuliza komwe bi shosti tuliza komwe hilo 👌👌👌

    • @mariamfritsi4943
      @mariamfritsi4943 ปีที่แล้ว

      @@ruqaiamohammed345 wewe ndio wale watu wasiojitambua wa ulimwengu uko nyuma yao, house girl kavunja ndoa ya mtu mwenye familia, alafu unamshabikia, 😟 hapo mambo yatakapobadilika ndio mtakapo cheza mdumange. Zuu sijui ila ni mwanamke aliekamilika wala hana shida, walioshindwa maisha ndio hao wezi wa mabwana za watu 😂😂

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว

      @@mariamfritsi4943 hatutacheza mdumange wale kimbungu mbungu hakuna ndoa iliyo vunjika zuu hajaachwa na hp dunia amina ndio wa kwanza kutembea na boss wake ?

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว

      @@mariamfritsi4943 na bwana haibiwi bali anakuja mwenyewe mpumbavu ww huna akili

  • @MaseleKatambi
    @MaseleKatambi 24 วันที่ผ่านมา

    Kumbuka haki ya mtu haipotei ,katafute wa kwako unajuaje hiyo nyumba wameijengaje ? Make umedandia feli katikati ya ziwa angalia utazama

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj ปีที่แล้ว +2

    Hahahah 😂😂ety mm ndo ntakuwa mmilikiii 😅😅 Nip plaee nimekaaa kipo unakitakaa Calvin uletee mrejesh mpkaa mwish Aiseh mbn patamu

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 ปีที่แล้ว +1

    We dada mbwa Sana msenge ww inaonekana unaziki kwenu mbwa ww eti mi ndonitakua mke kumamako ungelakana na mume wangu naapa tungegawana majengo msenge ww

  • @MariamseremaniKuzuro-yj4vk
    @MariamseremaniKuzuro-yj4vk ปีที่แล้ว

    We mjinga kweri make mwenzio anaweza kukuachiya nyumba nenda ujipanga

  • @salamamohamed843
    @salamamohamed843 ปีที่แล้ว

    Hv unahudumiwa kwel,mbona huoendez