Mama Amina Alipuka Mume wa Zuu Kuoa Kimya Kimya Mimi Kama Mama Nime..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 397

  • @AminaMohammed-hb9kd
    @AminaMohammed-hb9kd 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amina aolewe asiolewe mwanao amina changudoa me nimependa hy

  • @fatumadjumbe2551
    @fatumadjumbe2551 ปีที่แล้ว +13

    🤣🤣🤣🤣 burudani kwenda mbele jamani naipenda histori mpaka bas ❤❤ Kevin shayo hongera kwaku tuletea Habari tamtam kama hizi

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว +35

    Mama Amina unakosea sana kusema nitahakikisha Amina anaolewa wewe sio Mungu. Sema lugha nzuri tu namuomba Mwenyezi Mungu ajalie Amina aolewe na Alli kama ipo kheri kama hakuna kheri basi wewe Mwenyezi Mungu ndio mpangaji ipanguwe ndoa hii mjalie Amina mume mwenye kheri na yeye. Dua ya mzazi ni bora.

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว +3

      Swadqta iman haipo vzr😢

    • @Zuuh4286
      @Zuuh4286 ปีที่แล้ว +4

      Kabsa anataka kuua mwanae kwa kulazimisha hii ndoa wanaume wako wengi tuu ataolewa hata kama amezaa 😢😢😢

    • @mohamedkuembelea7725
      @mohamedkuembelea7725 ปีที่แล้ว

      Sawa

    • @aminaomary5489
      @aminaomary5489 ปีที่แล้ว +3

      Shangaa na wewe yani uyu mama hapana jamani eti mke watatu au wa nne kwann usimfundishe mtoto wako kushukuru kwa kila jambo umekomalia waganga tu

    • @KeruboIrene1333
      @KeruboIrene1333 ปีที่แล้ว +1

      ​@@Zuuh4286AMkubali msikubali 😂😂😂Amina ataolewa kivyovyote vile hata kama ni mke wa nne😂😂😂😂

  • @mozuusuleiman4702
    @mozuusuleiman4702 ปีที่แล้ว +7

    Mama Amina kama Abdul anahudumiwa shukuru Mungu achana na ivo vita. Muanze maisha mengine Amina mrembo tu atapata riziki yake kwengine Pengine kuzuri kuliko apo kwenye kungangania m.me 1 kwa wanawake 3. Ushirikina kutwa kucha. Dah yaani ama kweli akili ni nywele kila1 ana zake

    • @Bikhafija
      @Bikhafija ปีที่แล้ว +2

      Mwezanagu kher inatoka kwa mungu ikiwa rzki bas itakuja lkn ukilaximisha atapata mitihan

  • @neeskpop
    @neeskpop ปีที่แล้ว +2

    Mama Amina, umtangulize mungu mbele ya yote , ondowa mambo ya kishirikina na mng, atatenda. Na ww, ukuwe mshauri mzuri kwa Amina, utamsaidiya sana.

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 ปีที่แล้ว +13

    Wewe mama amina unalaana acha kungangania hiyo sio rizki ya mtoto wako naona unengangania subir ukiona kesha poteza poteza maisha yke amina ndo utaacha kuenda kwa hao waganga ww sio muislam wa kweli mahirikina mkubwa Allah akushinde na huyo amina wako tamaa usinganganie hiyo sio rizki Allah analipa hapa hapa dunian ww unatafuta kupoteza maisha ya mtoto wako ndo ukome loh mama ww kuwadi huna haya haswa kumpigia ali kumuambia unangangania tu kha huna haya hujielewi inshaAllah ilo jini limvae mpaka kiama mshirikina mkubwa nyoo ali kesha owa inshaAllah ndoa haitosimama mpaka kufa utahangaika tu

    • @BushurJoel-t4f
      @BushurJoel-t4f 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂isee umemchana sana uko sawa kabisaa👍👍👍👍

  • @mrsmumewangu4907
    @mrsmumewangu4907 ปีที่แล้ว +5

    Nimefurahi Sana yule mbwa kuoa binaadamu angemuoa mbwa mwezie Amina roho ingeniuma yani kiufupi zuu Mungu kamlipia nawe Mama mwanga we mamae

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂🎉

    • @azzaalhabsi1505
      @azzaalhabsi1505 ปีที่แล้ว +1

      Mwanzo ulisema ataolewa kivyovyote sasa mbona limekushuka b abduli kishaowa mwanao kawekwa pembeni.mwenye kilanga hapewi pole endelea kulazimisha hiyo ndoa utakoma.mmeshaambiwa na b abduli kuwa mnasikitika ugali umeondoka bado tu mnamfatafata kwani dunia hii yye ndio mvaaji suruali peke yake? Acha amina asubiri riziki yake nyingine.usilazimeshe

  • @lindanyakile2345
    @lindanyakile2345 ปีที่แล้ว +1

    Nakushauri bi Amina usilazimishe riziki isito Yako,tafuta amani ya ROHO Yako,muombe Mungu umsahau kabisa baba Abdul na uanze maisha mapya ila kuing'ang'ania hiyo ndoa ni kujichimbia kaburi Kwa I makosa uliyofanya ni makubwa fanya Toba UISHI

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 9 หลายเดือนก่อน +2

    Zuu aca ALLAH afanye kazi yake

  • @safianamani1375
    @safianamani1375 ปีที่แล้ว +6

    Wongo...Zuu...mdada mwislamu Sana. Mungu anamlipiya.

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo ปีที่แล้ว +4

      Afadhali nawe umeona, maana hii habari imeenea sana kwa sasa kwahiyo kila wakienda kwa matapeli wao wanawambia wamerogwa na Zuu

  • @BushurJoel-t4f
    @BushurJoel-t4f 10 หลายเดือนก่อน +1

    Acha tamaa mama amina hyo syo riziki ya amina acha kuweka mbele ugum wamaisha tamaa mbaya

  • @JudithJoseph-zp4jt
    @JudithJoseph-zp4jt ปีที่แล้ว +9

    Mama Amina acha tamaa punguza njaaa utampoteza Mtoto wako kwaupumbavu wako..hicho kigari Cha huyo bwana kinawafanya mumuone anahela 🤣🤣🤣🤣Pole weeee

    • @SadaKigwangala
      @SadaKigwangala 4 หลายเดือนก่อน

      Yaan ni bola amuache tuu aolewe na mwingine jaman wazazi wetu nawo mh

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 ปีที่แล้ว +11

    Mungu hanalipa hapa hapa dunian mama njaa itakuwa tafuta biashara ufanye zuu kwani ametolewa nyongo 😂😂

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂Mama Amina poleee , watu washaeka mzigo ndani we mdomo wako unakuponza bora unyamaze utaabika kila siku unajiona ww mzuri kwa upande wa pili lkn kuna wenzio wamekuzidi na hawajitangazi😂😂😂 Zuu ameweza ameweza ameweza tena

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 ปีที่แล้ว +3

      Ameweza tena amew3za tena😂😂😂😂😂ameweza ameweza zuuuuuuuuuuu

  • @JescaMaheneko
    @JescaMaheneko หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo huyu mama mshitikina sana alafu anatoa siri za kwawagangawao mama anapenda waganga kuliko mungu jamani ngoja uone

  • @ameenaameena422
    @ameenaameena422 ปีที่แล้ว +11

    Uliyataka wenyewe kuvamia wanaume wa watu na ww mama usivyo huna hakili...ngoja nomalize kusikiliza😂😊

    • @martinamarugu44
      @martinamarugu44 ปีที่แล้ว

      Alijisahau sana ooooh Zuu hamjali mume wao waliomjali wako wapi Sasa?

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 ปีที่แล้ว +4

    Yani mama Amina usilazimishe ndoa ya mwanao kama mungu hakupnga muombee mwanao apate mume bora aishi kwa raha❤kuliko kwenda kwenye matatizo na dadaake Zuu

  • @christinajisena2634
    @christinajisena2634 ปีที่แล้ว +8

    Tamaa zako mama zimekuponza na mwanao, umefoc ndoa isiyokua riski. Ukome na ujifunze uache ujinga.

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane ปีที่แล้ว +9

    Jamani eeee kweli huu ni Moto

  • @skenakhuwaylid545
    @skenakhuwaylid545 ปีที่แล้ว +15

    Huyu mama Amina mshirikina sana

  • @dorahmavazi111
    @dorahmavazi111 ปีที่แล้ว +17

    Na Fatuma ajipange,,manake yule baba kutoka moyoni anampenda Zuu wake,basi tu Amina aliingilia kati kwa tamaa zake,Ally anatapatapa masikini

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @teedullah5708
      @teedullah5708 ปีที่แล้ว +1

      A jipanqe kidoqo

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli na hata akiulizwa kuhusu zuu Bado ni mkewe halali 👌

    • @teedullah5708
      @teedullah5708 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa mna km hampendi anqekuwa ashampa talaka lkn BDO yuwamuhitaji

  • @OpMagu
    @OpMagu ปีที่แล้ว +7

    Moto Ume waka, Moooto Umewakaaa, Ni yule yule Mama Amini mwenye msimamo mkali akitoa siri za ndani, kwa sauti ya
    "TANGAZO LA MWAMPOSA"

    • @OpMagu
      @OpMagu ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @halimahbwelele694
      @halimahbwelele694 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 kumekucha

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 9 หลายเดือนก่อน +1

    Familliya zote izi muogopeni ALLAH ndiye muomunzi jaman

  • @marthalazaro9739
    @marthalazaro9739 ปีที่แล้ว +1

    Wee Mama Una NJAA Mbaya Sana, Unalazimisha ndoa ili Uondoe Umaskini Ulio nao Loooo Pole Sana Maymaya,. Tafuta Hela Acha kutegemea Mwili wa Mwanao

  • @omangalaxy1657
    @omangalaxy1657 ปีที่แล้ว +3

    Subuhana llahu hapakunamtuhani mkumbwa sana Acha kumzalilisha mwanao

  • @fauzeia976
    @fauzeia976 ปีที่แล้ว +7

    Mama Amina hajielewi

    • @Zuuh4286
      @Zuuh4286 ปีที่แล้ว +1

      Cheza na mali wew😂😂😂😂 huyu angekuwa mama angu tungekosana ila baadae tutaelewana tuu mzazi hanuniwi 😂😂😂

  • @NusraMohammed-c1w
    @NusraMohammed-c1w 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mwanamume ni kicheche hakuweza kusubiri magonjwa ya amina apoe akaenda kuoa x wake wa chuo ,.na bifatma nae akae tayari mwingine yuwaja😂😂

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 ปีที่แล้ว +1

    Mama Amina wacha kusisitiza mwanao aolewe na baba Abduli. Msichana ashaona hakuna maisha mazuri ya ndoa baina yao maana niyeye Amina yuaumia. Mama si lazima msichana aolewe na baba mtoto...wacha maisha yaendelee na Amina atapata mume mzuri wa kumfaa. KENYA

  • @Zainabu-z1e
    @Zainabu-z1e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakushaur amna mume wamtusumu tafuta wakwako uishi nae heeeeeeeeee Pole sana

  • @joyceharris2093
    @joyceharris2093 ปีที่แล้ว +8

    Mama Amina utampoteza mtoto wako kwa ajili ya kurazimisha kaolewa. Ndoa inapangwa na Mungu.hao wagaga unakoshinda hayo madawa uwa yanaisha unamweka mtoto wako kwenye matatizo makubwa bila wewe kujua. Nakushauri muombe Mungu akupe macho ya kuona ili mwanao awe sehemu salama

  • @AishaMwarabu-y6m
    @AishaMwarabu-y6m ปีที่แล้ว +6

    Ivi ww mama unampenda mwanao kweli jamani kweli huna akili chizi kama huyo mwanao amina

  • @dorahmavazi111
    @dorahmavazi111 ปีที่แล้ว +13

    Huyu mama angemsikiliza babake Amina haya yote yasingetokea,,baba aliona mbali jamani, baba ana hekima yule aliona mbaliiii,,mama kichwa ngumu kama mwanae

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว +1

      😢😢😢

    • @AminaKibuga
      @AminaKibuga ปีที่แล้ว +1

      Kama huna la kusema Bora ukae kimya ni Bora punguza kusema mzazi

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt ปีที่แล้ว +7

    Hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣😂😂😂 uyu mama hana ata nguvu MAsikini we mkorogo umempenda usikute niizo pesa za baba abudur😂😂 mshenzi

  • @ummunusayba
    @ummunusayba ปีที่แล้ว +6

    Mama yg hiyo sio ridhiki yake Allah atampa mume Bora kuliko huyo binti bd mdogo unamzidishia matatizo

  • @sophiamiondoko7098
    @sophiamiondoko7098 ปีที่แล้ว +8

    Kimenuka uku.Mama amina kawaka kama🎉

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +3

      Jamani mama Amina,maisha yenu yanaendeshwa na ushirikina.

  • @kavyashortsleon
    @kavyashortsleon ปีที่แล้ว +12

    Huyu Mama nilijua kwa akili zake haya yatatokea.

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr ปีที่แล้ว +3

    Huyu mama anazidi kufeli badala amuombe Mungu bado anaamini shirki

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว +5

    We mama kweli kiboko hivi huoqopi hi mikwara yote jmn BDO ushikililiya tu

  • @fatumacrochet
    @fatumacrochet ปีที่แล้ว +7

    Woow

  • @Officialney
    @Officialney ปีที่แล้ว +1

    Uyu kaka akioa iyo family ajijue Ata maisha yake ayapo salama

  • @kavyashortsleon
    @kavyashortsleon ปีที่แล้ว +8

    Ila mama Amina mbona unatoa sana siri za ndani jamani?😮

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @mwajumamwajuma55
      @mwajumamwajuma55 ปีที่แล้ว +3

      Friji lake aligandishi

    • @Shuu.A
      @Shuu.A ปีที่แล้ว +1

      ​@@mwajumamwajuma55kwa hali hii atafute jengine friji mambo yote njee 😅😅😅

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 ปีที่แล้ว +8

    Huyu mama kingangazi kwa mtoto wake kuolewa unapeleka mtoto kwa moto kwani mwanaume ako pekeeake hii dunia kuzaa naye mtoto isiwe shidaa ama n vile mali za mwanaume 😢😂 huyo aloolewa naye bd kitamramba muda si mwingi

  • @samiajabu2256
    @samiajabu2256 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hajawahi shindwa na jambo.acha da zuu Mungu akulipie.

  • @ReyKatuni
    @ReyKatuni ปีที่แล้ว +4

    Ningekuwa mm Amina natafuta passport nasafiri zangu Oman au saudia Ila hii ndoa ya misukosuko itaku cost mamaangu. Achaneni nayo tuu😢😢😢😢

  • @Muslim-gs6rn
    @Muslim-gs6rn ปีที่แล้ว +8

    Huyu mama mshari sana subir akose mtot wake 😢

  • @kavyashortsleon
    @kavyashortsleon ปีที่แล้ว +4

    Mhhh hi sasa kali, kweli moto umewaka.

  • @mercymwimi1188
    @mercymwimi1188 ปีที่แล้ว +1

    Mama amina usinganganie mwanao kuolewa na baba abdul,we muombe Mungu akae sawa Mungu atampa mme

  • @KeruboIrene1333
    @KeruboIrene1333 ปีที่แล้ว +15

    Wadau mko wapi? Kujeni tusikilize mama @amina na msimamo wake mkali😂😂@amina laxima aolewe kwa vyovyote vile😂😂😂😂😂

  • @liliankemuma9475
    @liliankemuma9475 ปีที่แล้ว +4

    Mama Amina hao watalamu ulioaminia ndio wamemchanganya mwanao amina.

  • @SadiNassib
    @SadiNassib ปีที่แล้ว +1

    Mtu kataka kupewa strok kataka kufanywa chizi bado mnamlazimisha nini mnataka auliwe ?

  • @floranahashon4180
    @floranahashon4180 ปีที่แล้ว +6

    Amina kwisha habari yake hakuna cha ndoa wala ndoano 😅😅😅

  • @maryamshija566
    @maryamshija566 ปีที่แล้ว +1

    TULIOFURAHI KUACHWA KWA AMINA

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 ปีที่แล้ว +6

    Hii ni kasheshe kubwa sasa

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂 jaman kitaeleweka tu

  • @AishaMwarabu-y6m
    @AishaMwarabu-y6m ปีที่แล้ว +8

    Huyu mama ni mshirikina sana

  • @FENNYMOCHAMA-im5rw
    @FENNYMOCHAMA-im5rw ปีที่แล้ว +3

    Amina mrembo jamani muache huyoo mme wa watu utampata mwingine

  • @OpMagu
    @OpMagu ปีที่แล้ว +4

    Ogopa sana mtu ambaye haongei, Naona tunguli za Zuu zinaongea😂😂

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 ปีที่แล้ว +3

    Kwani lazima mtu akikuzalisha akuoe mama punguza maji utie mchele mwanao bado mdogo Kwanini usimuombee mwanao apate mume bora kuliko kung'ang'ania kumdubikiza mwanao kwenye kabuli kilazima

  • @khadijasaid7308
    @khadijasaid7308 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mum gani wa kugombaniwa sura ngumu kulik maish yng😂

  • @husna34562
    @husna34562 ปีที่แล้ว +8

    Kwa hii hali ilipofikia mama Amina achana tu na huyo mume wa zuu hapo ushirikina unausika tulien kama kuolewa ataolewa tu hali ngumu hiyo 😢😢

    • @lorraineatieno6544
      @lorraineatieno6544 ปีที่แล้ว

      Mwanamke kin'gan'ganizi...wachana na mwanao Amina akastiriwe na mume mwengine sio baba Abdul. Amina ashafanya umaamuzi ya kweli na haki.. Ndoa ya mtu haraka na mtesa ameamua hataki tena.. ishamtuliza mama

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk ปีที่แล้ว +8

    Huyumama mtu mzima akili za kuazima kwanihujui ndoa anaipanga mungu usilazimishe mambo

    • @martinamarugu44
      @martinamarugu44 ปีที่แล้ว

      Mama njaa Kali. Alijua ameukata.Riziki mafungu saba

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk ปีที่แล้ว

      @@martinamarugu44 mimi ninaohaowaķike simlazimishi mtu kumuoa mwanangu maana hizi zama zama tukio awezamfanyia jambo mpaka mwenyewe ukajuta nahao wanao kusikilizahutokujakuwaona maana mchuma janga hula nawakwao

  • @neeskpop
    @neeskpop ปีที่แล้ว +22

    Ugonjwa wa Amina, siyo ushirikina bali ni mawazo yamepitiliza mno. Mawazo, yanaleta mtu anapooza, kichwa kinauma maumivu makali sana, na mengine, inafikiya hata kuchanganikiwa. Na mimi, yamenifikya hayo yote kupitiya mawazo, madaktari wamepima vipimo vya kila haina lakini hawaoni lolote. Ushauli wangu kwa Amina, aache kuwaza yote anayo pitiya, kwa kweli, atapata mafanyikiyo ya tatizo lake. Naomba mufikishieni ushauri huu. Atapona bila tiba yoyote.

    • @neeskpop
      @neeskpop ปีที่แล้ว +1

      Naongeya tena mara nyingine kuusu mawazo,mimi hapa sikiyo langu, la kushoto, limefeli kbs kupitiya maumivu ya kichwa, kizunguzungu makali

    • @KeruboIrene1333
      @KeruboIrene1333 ปีที่แล้ว

      @@neeskpop naona sasa Amina arithie apeane mtoi kwa yule mke wa pili juu yeye Hana shida na mtu yeyote

    • @dorahmavazi111
      @dorahmavazi111 ปีที่แล้ว

      Pole mpenzi Mungu akupe nguvu

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 ปีที่แล้ว

      Pole dear

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 ปีที่แล้ว +1

      Nakuunga mkono tena kufikiria ndio maradhi makubwa waweza kufanya wazimu mana huna amani yani waona dunia imekugeukia billah uyu akurogwa wala kuchawiwa ni stress tu chezea ww mm yalinikuta mpaka nlitamani neither kisimani yani kula huli kulala hulali ela mungu ameninusuru alhamdulilah

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 ปีที่แล้ว +5

    Kwani alivyoiba mume wa mtu mtoto wako hukuona vibaya sasa meanao kakataliwa unaona uchungu kumbe rahisi kwani hakuna mwanaume mwingine huyu mama mwanga mchawi huyo aliyemuoa hana matatizo kwa sababu amina alimpindua ndo maana aokomeshwe huyu mama mchaei atamuumiza mtoto wake tumefura amina hakuolewe na baba abdul kwa sababu alipindua nyumba ya watu

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mama amina hauna akili hata kidgo nahisi wewe mchawi unataka kumlanyama mwanawo mwenywe kwa tamaa zako

  • @rachelsamwel5359
    @rachelsamwel5359 ปีที่แล้ว +7

    Kua na Mama kama huyu ni shida

  • @skenakhuwaylid545
    @skenakhuwaylid545 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mama Amina chizi anajiamini km yeye ndo mmngu hajuwi km mmngu kamlipia zuu wamelipwa yeye na mwanawe

  • @ManaseMoleli
    @ManaseMoleli ปีที่แล้ว +1

    Amina alee tu mtoto inaumiza xana msichana wa kaz aje kua mke mwenzako bora mume atembee na mtu baki

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 ปีที่แล้ว +5

    HILI NDIO LIWE FUNZO KWA MICHEPUKO !!! ACHANENI NA WAUME WA WENYEWE JAMANI!!!!!

  • @swahiliqueen9920
    @swahiliqueen9920 ปีที่แล้ว +6

    Nàni amesikia kwa staili yoyote?😂😂😂

  • @swahiliqueen9920
    @swahiliqueen9920 ปีที่แล้ว +4

    Afadhali nmefurahi mama amina una msimamo, jana niliumia sana kusikia Amina hajaolewa, kimeolewa kile kitumbua macho, pambana mama amina tuone ndoa ya staili yoyote inakuwaje😅

    • @OpMagu
      @OpMagu ปีที่แล้ว +1

      Bado hamjasema!😂

  • @nasramohamedi4095
    @nasramohamedi4095 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂 mume wa mtu tututu tu sumuu😂😂😂zuuh Kama umeroga ongeza mama rogaaaa mbwa hiyo alijitia ushupavu hata ningekuwa Mimi ningeroga famasiala nini! Vya bure vina gharama nyoooh 😏😏

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 ปีที่แล้ว +3

    Huyo baba asipoangalia vizuri ataishia pabaya , ni bora angeeudiana na Zuu na wagange yajayo ,maana Zuu alitumia kwenda kwa waganga baada ya kuona nwanaume ni kama amemtelekeza na hattaki kusikia , Lakini hapo ndipo palipo na anguko la huyo mwamaume . Maana sasa kila upande wataanza kutumia uchawi ,sasa apigwe kila upande atakuwa mtu kweli., Amina apambane tu maana ana umri mdogo ataolewa tu. Aaachane na huyo baba kabisa.

  • @nuryatmussa9966
    @nuryatmussa9966 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu😅 ndoa niridhiki lakin usilazimishe ivo mama amina 😢 hap sijui kama kutakua namapenzi😅 unaweza ukafosi amina akaenda kuteseka

  • @hadijasharifu1463
    @hadijasharifu1463 ปีที่แล้ว +1

    Duuuu unalazimisha ndoa

  • @jokhaseif893
    @jokhaseif893 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo gari ndo imekubabaisha mjinga wewe utapoteza mwanao ajili ya tama

  • @rosemarygeofrey7014
    @rosemarygeofrey7014 ปีที่แล้ว +3

    Mwanao alikosea Sana kuvunja ndoa ya mwenzie, machozi ya yule mama yatawatesa Sana

  • @nasramohamedi4095
    @nasramohamedi4095 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂huyu mama mavi Nini khaaah Kama mwehu😂😂😂kimewalamba malipo ni hapa hapa dunian hamna fadhila wehu nyie

  • @skenakhuwaylid545
    @skenakhuwaylid545 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mama Amina hana akili analazimisha ndoa ndoa inapangwa na mmngu huwezi kusema ataolewa tuu yaani hujuwi ata kumtaja mmngu looooooh hatari

    • @lorraineatieno6544
      @lorraineatieno6544 ปีที่แล้ว

      Mwanamke kin'gan'ganizi na mwanao Amina ashasema hataki kuolewa tena na baba Abduli. Abduli ameoa wachana na mwanao atapata mke mwengine.

  • @Sophiassti
    @Sophiassti ปีที่แล้ว +4

    Huyu mama hayupo sawa wallah lione sura Kama uchi wa mzee

  • @sisifaty9183
    @sisifaty9183 ปีที่แล้ว +1

    Lile jumba alilojenga na Zuu ndo limewatowa fahamu

    • @sisifaty9183
      @sisifaty9183 ปีที่แล้ว

      Hakuna atakae kuoneya huruma ulijifanya mungu mtuu eti lazima wewe nani mjinga wewe

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว +1

    Mm na wataaalamu, upande wa pili. Duuuuu!!!!saluti.

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane ปีที่แล้ว +5

    Kumekuchaaa

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 ปีที่แล้ว

    Mama ujue mwanao Amina alivuruga ndoa ya watu wawili akiwa mjakazi tu.Amina wachana ma ndoa ya mwenziwe bila hivyo utakufa.
    .

  • @aminajuma717
    @aminajuma717 ปีที่แล้ว +7

    Huyu mama angekuwa mama yangu Kelvin angeshakuwaga Mume wangu jamani😢

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش
    @عبداللهالعازمي-ع3ش ปีที่แล้ว +3

    Omba mungu mwanao aolewe na mtu mwenginé

  • @AishaMwarabu-y6m
    @AishaMwarabu-y6m ปีที่แล้ว +3

    Chizi karogwa tena ulishawai kuongea hayo maneno leo kiko wapi

  • @maryamshija566
    @maryamshija566 ปีที่แล้ว +1

    ACHA ZUU AFANYE MATATIZO NYINYI NDIO MMEHARIBU NDOA YAKE

  • @Binthashpatooh-sz5zu
    @Binthashpatooh-sz5zu 11 หลายเดือนก่อน

    Et mzazi mwenziee huskii vibaya wee mama Amina,,, zùu watumie majini iwe funzo kwa wengine

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว +3

    Yani wee mama uko radhi mwana yo akateseke kisa ndowa we mama kopo kweli

  • @Snuky54
    @Snuky54 ปีที่แล้ว +2

    Kawa mpole alilolitaka amelipata amina mtoto mdogo ilibidi mama awe na muongozo mzur ndoa ya migogoro sio mzur ndio umefanyia mitihan mwanao

  • @gradnesmaiko
    @gradnesmaiko 11 หลายเดือนก่อน

    We mama Amina ambavyo huamini ndo mama ake na zuu arikuwa arikuwa aamini km Amina anaolewa

  • @RamlaMburi
    @RamlaMburi ปีที่แล้ว +3

    Alafu mume wa zuu siku ile alisema eti zuu saivi anatembea na tunguli kichwani😂😂😂

    • @OpMagu
      @OpMagu ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @OpMagu
      @OpMagu ปีที่แล้ว +1

      Nmecheka kwa sauti

    • @halimahbwelele694
      @halimahbwelele694 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 ปีที่แล้ว +1

    HILI CHIZI KWELI. CHANGAMOTO HATA AMINA ATAPAMBANA NAZO.

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mama busara zake ni ndogo sana Hana hata aibu

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct ปีที่แล้ว +5

    Huyu mama niliwaambia ni chizi

  • @dorahmavazi111
    @dorahmavazi111 ปีที่แล้ว +5

    Inashangaza sana

  • @Shuu.A
    @Shuu.A ปีที่แล้ว +3

    Wee mama unapenda waganga mpaka wanakutoa akili huna akili timamu acha ujinga ushavunja ndoa ya zuu sasa unataka kufunja ndoa nyengine pumbavu 😠😠

  • @dorahmavazi111
    @dorahmavazi111 ปีที่แล้ว +5

    Kweli mume wa mtu sumu,,aisee pamoja na yote hayo bado hamjiongezi,,bado mnataka ndoa, au ni maisha magumu?au nini jamani??

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 ปีที่แล้ว +3

      Ni hayo hayo ya maisha magumu,lkni wanakoseambona walazimishe,likenda kumfika mwanae kubwa zaidi ya hilo watamlaumu nani?

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 9 หลายเดือนก่อน

    Mama sema inshaaALLAH muombe ALLAH

  • @KautharMohamed-kj5zc
    @KautharMohamed-kj5zc ปีที่แล้ว +2

    Mama Amina anapenda upande wapili😂