Fred mstaarabu sna god bless you ❤
I like Fredo Vunja Bei he is focused, he is intelligent, according to all his interviews he knows how to tackle all questions asked by the radio presenter in short he is Sharp
I like the way he answers any question
Kaka anajibi vizuri sana alafu unaakili nyingi sana Mungu akulinde na akupe mke mwema Amen
Ningetamani Umuoe Jokate 🥰💕
Muoe hamisa Fred vunja bei
Utakayemuoa ana bahati sana unajielewa na akili nyingi sana kaka respect kwako..
Wa kwanza Kama kawa weka like zangu wadau
Hapo tumekuelewa anae semwa sn ni Hamissa 😍💥
Maskin mpaka fred anaumia . Ajikaze kampenda mtiwa mdomon na watu ajikaze tu
Muoe hamisa tuu jmn😍Tutafrah sanaaaaaaa
Amuoe Hamisa na Diamond atamuachia nani na yy yupo kwa ajili ya Diamond watu wanaona kabisa kumuoa Hamisa ni kupoteza hela maana mapenzi yake yamelala kwa Diamond sasa nani atataka achitiwe
@@Official83640 waja mna maneno, kwani huyo hamisa alishawahi kuolewa akamchit mumewe na kurud kwa mond? Usiishi kwa kukalili
@@husnayayha3377 huoni km anampenda mond au kipofu ww atazunguruka lkn mond kamkaa moyoni ndy hiko kinachowafanya wanaume washindwe kumuoa wanajua watachitiwa tu
Kila la kheriii,,,, ila ungemuoa Hamisa Daaaaa kwangu ingekuwa rahaaaa sanaaa 🍾🍾🍾
Muoe baba hamisa mrembo na azeeki mke kuchakarika cio kusubir mume hamisa ni super woman banaa🇰🇪🇰🇪
Kwakweli sina team wala undugu na Hamisa but sijui ni kwann Maombi yangu Mengi ni kwake.... Mungu namuomba sana Fred amuoe Hamisa
Bro vunja bei nakufatilia sana mitandaon nimekubali si mtu wa kujikweza kama wangineo unaongea point sana hutaki kuchonganishwa kaka hongera
Kwel ukimuowa Amisa nitafurahi saana mungu awajalia njema inshaallah Amen🙏
Yaan ww kaka ukimuoa hamisa tunachangia mahari,send-off itakuwa juu yetu na harusi tutaichangia sisi🤗🤗Plz fred muoe hamisa tunawapenda sanaa❤️❤️❤️ kama fred ana acc humu yutubu mtagin aone maombi yetu🤣 me had kwenye maombi yang nawaombeag kila siku🙏
Yaani namimi nachangia nguo zote za bibi Harusi yena kutoka London jinsi nnavyowapenda hawa watu heee Fredy baba hebu muowe Hamisa tutalipaaa😍😍😍😘
@@juxjemc5768 kafiri niwewe achaubaguzi hizo ni dini tu Ila Mungu anaetukuzwa ni mmoja hakuna Mungu was makafiri Wala wa Muslim futa mdomo wako.
Well collected, wishing you all the best, bibi ni yako so atakaye kuridhia tutampenda.... 🙏
Wajina unajibu vizuri sana
Ulizeni maswali ya biashara jamani loo
Hongera vunja Bei huna neno mwenyewe na mtu mkubwa Sana
Muna pendezana na hamisa
Muoe HamisaMobetto nyie wawili luk good together mnaendana Sana jamani
Akili kubwa vunja bei, muoe tu hamisa
@@saidahj2543 kikubwa imani tu jomon dini si chochote ila kikubwa zaidi ni kuwa na imani ndani ya moyo wako.
Fredy wewe nimtu mwema sana, halafu unahofu yamungu, mungu akutie nguvu
Muoe hamisa kanyanyasika sana atatulia kwanza mtafutaji.mno mnapendeza mnooo
Huyu mwandishi jamani maswali yake mengine ni ya uchonganishi hivi.vunja bei thanks kuwa na hekima unajibu maswali vizuri sana.
The way unavyoongea Kama hutaki kaka👏👏👏🥰🥰🥰
Amissa anaolewa
Njoo kenya pia kaka ufungue duka uuze nguo pia mimi ni tanunuwa kwako huwa napenda sana nguo zako bat uko mbali @ vunja bei
Bongo Bana yani mwandishi unaongea na mfanya biashara mkubwa na siyo msanii lakini maswali ni ya wasanii tuu na siyo ya biashara.
Mwenye kura nyingii ni hamisa😋😋wengi wapeeeee
Big up Fred vunja bei kwa kujibu vyema sana 🙏
Naona mwmba anaseti bastola sijui isionekaneee au ionekaneee😂😂😂 fredyyyyyyy
Ungenioa Mimi unge enjoy Sana x wangu angekoma
Minataman Sana kuwa Kama vunja kibiashara namafanikio Kama yahuyu mkaka , innshaala one day yes innshaala
This man is very wise l do love him aki ningekua Tanzania or nikua Mtanzania l wish to marry you hahaha
Yan kk Fred unajib mpk raha uko vizuri sna
Fred muowe Hamisa tukijaaliwa tarehe hiyo nitakuja Tanzania kama utamuowa Hamisa inshallah
Vizuli zaidi Mada zenu ziwe zina renga uhusika wa mrengwa
Fred unaweka vizuri bastola au
Vunja bei anaoa Mkenya.Sio hao
I just want to be the member of too much money 💴.vunja bei lets do business together.am ready let do this thing .I want to invest my money into something.you’re very smart guy and very humble.congratulations on your achievement
Muowe mobeto jaman 😂😂😂😂😂😂😂😂😘😘😘😘😘😘❣️
Jaman huyu kaka nampenda he is too smart kwakwel
Wewe jo boss kabisa, so zari kuchamana mitandaoni
Yani waandishi wa kibongo mnazingua sana huyo jamaa ana akili nyingi sana mtumieni kumuoji vitu vya maana ili atusaidie na sisi vijana wengine tutoboe kama yeye sio maswali ya kipuuzi
Safi kk Mungu atakusimamia ktk biashara yako na kuoa
Safi ....mwamba....nakutakia...kheri.......xanaaaa..KWA...kumpata.mwenzi..👍..
Muoe hamisa mobeto tunapenda kuwaona mkiwa pamoja Kwenye ndoa
😆😆 umemujibu vizuri san
Vunja mnyama sana 🇶🇦
Napenda anavo jibu
Nampenda sana huyu kaka ana hakili nyingi sana
Hamisa jamani kwanza wewe handsome and Una mapesa👸🏿 Hamisa jamani
Uko good Sana na una akili nyingi
Nimependa sana majibu ya vunja bei
I love Hamisa mobetto
Ivi vijana watanzania ote maalufu wangekua wanabusala kama huyu kaka vunja bei wangekua wanamaneno ya usala Hana papala namajibu yabusala sizani kama kungekua kunaogovi kama wasanii wabongo fleva wadau wenzangu naomba laiki zenu hapa sikwaupendeoo kihahi na ukweli naombeni kometi zenu
Uko vizuri vunja bei kwa majibu yako
Bigup broo akili imetulia sana
Hamisa mzuri jamani muoe huyo
Dah!natamani siku nikutane na fred vunjabei anipe madini nijinsi gani unaweza kuanzisha biashara ooh!
wa mwisho kusikiliza hii interview ya vunja bei leo tarehe kumi na tano mwezi wa sita kesho ni kumi na sita swali rangu moja tu, je kaka fred ndowa yako ni kesho kweli niweke bando la kutosha? mana nataka kesho niingie TH-cam mapema nione picha live mana mambo ni 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@@maidamwaipopo7645 oo ok powa du 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔 mambo mengi jamani kwani ugomvi?
Huyo sio baba levo mnamuuliza maswali yaovyo,nimependa anajibu kiustaarabu,angekua baba levo angeropoka kama kakatwa kichwa
Muowe Hamisa mnapendezana sanaaa
Naisubiria iyoo siku marshallah
Wangu fredy nakukubari
Broo upo cool sana kwenye majibu unazingatia sana swali...
Hamisa mobeto jamaan 😘😘😘
♥️♥️♥️
Misaaake
vunja leo UMELEWA AU MBONA umechoka hivyo you look tired
Mi huyu kaka Namuaminia Kwa maendeleo nakuomba umuoe Hamisa jamani anajituma na wewe unajituma muoane tuuu
Fred Vunja bei Msanii tu
Hakuna maswali mengine hadi yaongelewe persons life
Duka ako liko wapi
😁😁😁🔥🔥🔥majangaaa
nakupda. nsitalabu. Amisamnaedana
Yaa
Kwani akiandika kawek picha ya fred
Kesho si ndo 16/6 🤭
Ila ajataja mwaka
Hiyo tareh bd Kwan
Yaani Tanzania ni umbea tu, kwa nini tusiulize vitu vya maana vya maendeleo, inasikitisha kwa kweli! Ndio maana watanzania tuko nyuma ukilininganisha na nchi nyingine. Yaani pathetic! Nendeni mkasome, mjiongeze mpate kazi za maana. CNN, BBC they are all looking for representatives in Africa, why don't you work hard and build your profile to maximise your employability. Acheni huu ujinga, acha maswali ya kijinga, ya kimbea. Sad, really sad!
Mtagazaji uliza maswali ya maana unabend sana kwa private life
Ni tar 16 June ya mwaka gani ndoa ?!
Hamissa🔥🔥🔥❤✌ siku hiyo ntakula ntakunywa ntagaragara ntacheza ♪♫♬⏭⏯
😀😀😀😀
Wanasimba wote hinabidi tukuchangie
Oyooooooooo imenoga hiyooo
We mtangazaji Ni mchonganishi sana
Hi ni Scania Gia 12
Nyie watangazaji ndo wagombanishi hamna adabu
Me wa tatu like zangu jamaniiii huwaga huyu vunja bei anaongea points sanaaaa