Huyu jamaa Joel nanauka jemedari wa uhakika na mwenye kuaminika .kwa sababu yeye mwenyewe kaondokana na alichotufundisha(hofu).Na ndo maana mafunzo ya dhahabu na almasi tunayapata kutoka kwake.mungu akuzidishie elimu hekima na maarifa.
Naitwa hemed Ally naomba msaada wako,Ninakabiliwa na hasira nimekua mtu mweny hasira kupindukia na lawama kitu ambacho sikuwahi kuwa nayo kabla utotoni yaani nikiwa na umri wa miaka 12 -14 sijapata kupona tatizo hili
Allah akulipe KHERI Daima kwa mafunzo yko JEMEDARI wangu umenitoa mbali ktk mafunzo yko
Barikiwa Joel
Hakika umekuwa msaada sanaa
On progress nitakuja na ushuhuda
Hii video nitakuwa naisikiliza mara nyingiii sana. Imenipa nguvu mpya. Ahsante mwalimu wangu
Huyu jamaa Joel nanauka jemedari wa uhakika na mwenye kuaminika .kwa sababu yeye mwenyewe kaondokana na alichotufundisha(hofu).Na ndo maana mafunzo ya dhahabu na almasi tunayapata kutoka kwake.mungu akuzidishie elimu hekima na maarifa.
Hii yaleo yangu kabisa
Ukweli mtupu kabisa 👍 barikiwa sana
MAWAZO mazuri sana. Nakuona mbali siku SI nyingi utakua miongon mwa VIJANA Bora DUNIANI PULL YOUR SOCKS MORE MY MENTOR JOEL ARTHUR NANAUKA
Asant Kwa kuendelae kutuelimisha Mungu azidi kukulinda
Naku nukuu hakika maisha Yana kupa unacho pambania
Mungu akubariki sana kwa ajili ya vijana wengi 🙏
Huwezi kukipata kile ambacho hujakipambania🙏
Uko sahiii ndokta Joel Mungu akubariki
Ujumbe mzuri wenye afya
Uko vizuri,nimekuwa nikikufuatilia Kwa miezi sita sasa,uko vizuri unanisaidia sana kujua kipi nifanye katika masuala ya kiuchumi.
Asante kwa mafundisho yako maziri
Barikiwa sana DR.Joel
Kweli kiongozi, Asante sana 🎉🎉
See you to the top
Asanteee sana coach 👏👏🙏🙏 you're the best ❤
Dah kam unanisema mm joel ila now nimepata nguvu✍
Kwely kwa sote😢
AMEN
Bro mungu akubarikii kwaajili yangu
Asante xana... naendelea kujifunza
Here listening
Amen Glory to JESUS Asante sana Kaka
🎉❤ shkran
Ahsante kwa mafunzo mazuri
Tumefikiwa 😅
Thanks