Dada pole kwa uliyopitia nilikusikiliza kwenye media nyingine sema daili zote uliziona sema hukuzingatia subhanallah pole inshaallah watoto watapatikana kwa uwezo wake mungu
Kuolewa ni swala la bahati ambalo huwa haiiangali umri wala muonekano. Mahusiano ya siku hzi ni ya kufake sana na makucha yanaonekana kwnye ndoa ndo maana talaka zimekuwa nyingi sana mtaani
Ukishakula ujana kwenu ukasubiri kuolewa uzeeni hayo ndio matokeo mtahangaika sana kwenye ndoa kwakukaa kuolewa mkiwa mabint mnataka kudanga kwanza kwenye umri mzuri wa kuolewa mkishachuja sasa ndio mwataka ndoa inabidi muwajibike na jasho na damu ziwavuje ili mbakie kwenye hizo ndoa mbaya zaidi mnakutana na wanaume wa hovyo
Ukishakuwa na bahati mbaya ukazaa mtoto wa kwanza uwe umeolewa au umezaa mwenyewe uliyezaa nae kakubwaga na wa pili yaleyale kwa nini usiishi mwenyewe ulee watoto wako? Kwani kuna ulazima gani wa kuolewa? Na unakutana na mwanamme wa hovyo kama huyo.
Bado sijaachika ila ikiwa hivyo nitavumilia mpaka watoto wangu wakuwe ndio nitafute mzee mwenzangu.sitakubali nikazae na mwanaume mwingine aanze kubagua watoto.itaniuma saana kama mama.
Hata Kuna kanuni isiokua rasmi inayosema kuoa mwanamke mwenye mtoto ni sawa na kununua shamba lenye mgogoro,ila dada yangu nikuombe hakuna polisi yoyote anaekubali umuongoze na mihemko nakushauri ukimpeleka mtu polisi achia kazi polisi wafanye kazi wape muda hao watu wamesomea kuliko sisi raia watakamilisha taratibu za jambo lako dada
Dada pole kwa uliyopitia nilikusikiliza kwenye media nyingine sema daili zote uliziona sema hukuzingatia subhanallah pole inshaallah watoto watapatikana kwa uwezo wake mungu
Wa kwanza kuComment leo Alhamdullilah 🙏🏿
Pole dada kwa mapito magumu
Kuolewa ni swala la bahati ambalo huwa haiiangali umri wala muonekano.
Mahusiano ya siku hzi ni ya kufake sana na makucha yanaonekana kwnye ndoa ndo maana talaka zimekuwa nyingi sana mtaani
Hayonimajanga
Pole Sana mtt anauma sana
Ukishakula ujana kwenu ukasubiri kuolewa uzeeni hayo ndio matokeo mtahangaika sana kwenye ndoa kwakukaa kuolewa mkiwa mabint mnataka kudanga kwanza kwenye umri mzuri wa kuolewa mkishachuja sasa ndio mwataka ndoa inabidi muwajibike na jasho na damu ziwavuje ili mbakie kwenye hizo ndoa mbaya zaidi mnakutana na wanaume wa hovyo
Sio kweli, ni bahati mbaya tu, kuna wanawake wametulia wanaolewa wakiwa wasichana na wanaachwa Kwa sababu mume kapata mchepuko sasa hapo kosa la nani
siku tatu jamaa anazagamua goma ...aiseee🤣🤣🤣
Mwana kuyataka
Huyo kweli hakuwa muoaji
Nahisi baba afatiliwe
Changamoto kwa kweli 😢
Mbona mkuu zembwela hutupi mrejesho awa watt walipatikana au nado
Nipo najifunza
Ila wanaume wa sasa hivi du hatar sana😢😢😢
Wapo wanaume wazuri na yapo matakataka wapo wanawake wazuri na yapo matakataka period.
Ukishakuwa na bahati mbaya ukazaa mtoto wa kwanza uwe umeolewa au umezaa mwenyewe uliyezaa nae kakubwaga na wa pili yaleyale kwa nini usiishi mwenyewe ulee watoto wako? Kwani kuna ulazima gani wa kuolewa? Na unakutana na mwanamme wa hovyo kama huyo.
Maneno mengi sana elezea kuhusu watoto
Pia fananua aliposema kuhusu kutoa kafara ili mpate fedha kwanini ulimvumilia unapenda sana sana ushirikina
mnapenda sana kuolewa ndo faida yake hiyo
We we ni mjinga uanataka wazini ndo ujanja?
Zembwela ni mnafi wqkiwangoooo cha lami
Huyu zembwela hajui kuhoji kabsaa his very poor....kwakuhoji mchunguzeni
Jamani pole sana unaongea lakini kuna kitu unakicha omba sana mungu
Kwenda na watoto wangu kwa mwanaume ambaye siyo baba yao nimekataa.
Ko auolewi
Bado sijaachika ila ikiwa hivyo nitavumilia mpaka watoto wangu wakuwe ndio nitafute mzee mwenzangu.sitakubali nikazae na mwanaume mwingine aanze kubagua watoto.itaniuma saana kama mama.
Naomba uwe ndugu yangu unaakili Kama yangu ❤❤❤ nimekupenda bureee
Hata Kuna kanuni isiokua rasmi inayosema kuoa mwanamke mwenye mtoto ni sawa na kununua shamba lenye mgogoro,ila dada yangu nikuombe hakuna polisi yoyote anaekubali umuongoze na mihemko nakushauri ukimpeleka mtu polisi achia kazi polisi wafanye kazi wape muda hao watu wamesomea kuliko sisi raia watakamilisha taratibu za jambo lako dada
Mambo ya kuolewa olewa hayo ndio chanzo cha kupoteza watoto hapo🤔🤔
Kwakweli
Bara kuzini zini si ndio!?🤔🤔
@@Sidrasidra636 Yote ni jora moja kuzini na kuolewa na wanaume tofauti ni hiyo hiyo Dada, uwe na ufahamu nini nilokusudia na wewe
Kuna..maneno..yakweli..mengine..sio..ya..kweli
Ya ukwel ni yap na ya uongo ni yap!Maana ww ndio unajua zaid
@@AnethMushi-c3e
Itakuwa ndio muhusika aneongolewa hapo😂😂😂
we kwanini uliolewa jamani ungebaki mwenyewe ona sasa 😰😰😰😰😰😰
@@magrethmathayo2800
Upwiru unaujua unausikia tu itakuwa hakueeza kustahamili na wengine hawataki zinaa
Ukweli unaujua ww au😮