MAMA ASIMULIA WALIVYO TOZWA MAMILION KWENYE KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1K

  • @muhidiniramadhani1631
    @muhidiniramadhani1631 4 หลายเดือนก่อน +79

    Mzee HANANJA Akiwaambia ukweli Unamuona Kachanganyikiwa😂

    • @VictoriaAbdallah-h8h
      @VictoriaAbdallah-h8h 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 Da MUNGU Atusameehe jamani.

    • @jumasaid8892
      @jumasaid8892 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli kbsa wajinga ndo waliwao

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 4 หลายเดือนก่อน +9

    Watanzania Imani yenu ipelekeni kwa Mungu mwenyewe.Acheni kuamini wanadamu.Mungu pekee ndie msikiaji wa sala zetu sio mwanadamu😢😢😢

  • @MiriamSumari-z5m
    @MiriamSumari-z5m 4 หลายเดือนก่อน +22

    Mungu yupo na awezi kuruhusu neno lake kufanyiwa bihashara mungu yupo kazini mungu ni mmoja tu chini ya jua na juu mbinguni yupo mmoja ameanza huyu watafata na wengine mungu aziakiwi

    • @EnockBuhumbi
      @EnockBuhumbi 4 หลายเดือนก่อน +1

      Acha huyu Dada anyooshe au alikua Dem wake Nini et tv

  • @MatandiMatandi
    @MatandiMatandi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mm huyo simlau ila ninawarahumu ninyi akaina mama,munapenda sana maisha rahisi.Matapeli siku hizi ni wengi sana.Na waote wapo kwenye makanisa.Mubadilike.Poleni sana.

  • @SamsonJohn-mo7en
    @SamsonJohn-mo7en 4 หลายเดือนก่อน +9

    Hao ndio wachungaji walioko hapa Congo,bado kuna watu hapo wanajifanya ndio wana uchungu na hilo kanisa la kishetani, mpaka fimbo wanazuiwa hapa Congo fimbo inauzwa mpaka laki moja kwa kila mtu mmoja poleni sana

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 4 หลายเดือนก่อน +19

    Utapeli mtupu. Mtahukumiwa kwa upumbavu wenu enyi matapeli.

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 4 หลายเดือนก่อน +8

    Safi sana maana hiyo ndiyo faida ya kutotaka kusoma Biblia yaani humjui Mungu hivyo Kila unaposikia Ngoma unakimbilia, mliende wenyewe hivyo msilalamike.

    • @nassornurdin1290
      @nassornurdin1290 4 หลายเดือนก่อน

      Umeongea point

    • @winniebundala6987
      @winniebundala6987 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa kilimpeleka nn? Mbona huko kwa waganga wanaenda wanaliwa pesa hwaji kulalamika mtandaon? Huyu mama anamayatizo ko ubongo.

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 4 หลายเดือนก่อน +48

    Mungu amewapa Roho Mtakatifu ili muitambue sauti yake Yesu halisi.... tatizo mnapenda shortcuts acha kiwalambe

    • @HusnaSharifu
      @HusnaSharifu 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nilijaribu kujiunganisha na madhabahu yake nikafunuliwa kila kitu

    • @ColethaMerick
      @ColethaMerick 4 หลายเดือนก่อน +1

      Na kishawalamba 😅

    • @eminenceboy8386
      @eminenceboy8386 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@HusnaSharifudadeq😂

    • @ericrukamba6802
      @ericrukamba6802 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wajinga waliwao😂😂😂😂

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 4 หลายเดือนก่อน

      Anawafundisha uchawi waumini wake

  • @joycenose2356
    @joycenose2356 4 หลายเดือนก่อน +4

    Duh cha ajabu sasa waumini wameandaman hakika watu wangu wanaangamia Kwa kukosa marifa😢😢😢 shuka Mungu uokoe ulimwengu😢😢😢

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 4 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana.huo wote niumasikini.hukuti tajiri akiangaika.Mungu atusamehe tunamkosea sana.

  • @geoffreymagessa289
    @geoffreymagessa289 4 หลายเดือนก่อน +7

    Si ulienda mwenyewe!. Hakuna haja ya kulalamika. Umeikataa 'Kweli' [yaani Neno la Mungu], na ukaukubali 'Uwongo'. Tatizo lenu mnataka njia za Mkato, hamtaki kujifunza jinsi ya kumtumainia Mungu na Kumwomba yeye bali mnataka mafanikio ya harakaharaka kwa kuwaendea waganga wa kienyeji ambao ktk nyakati hizi za mwisho na za hatari, wamejigeuza kuwa manabii, zaidi sana wa uwongo na lengo kubwa la wasaidizi hawa wa ibilisi, ni kuwadanganya wengi waiache njia ya kweli apate kuwaangamiza.

    • @mosesbarnaba7851
      @mosesbarnaba7851 4 หลายเดือนก่อน

      Safi

    • @aminaabdulrahman5184
      @aminaabdulrahman5184 4 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga ww KWANI ww hujawah kosea kwanza kakopa wengi sana

    • @YefthaKornelio
      @YefthaKornelio 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli tatizo hawataki kusoma biblia muujiza utokao kwa Mungu haununuliwi

  • @RukiaSalum-n4m
    @RukiaSalum-n4m 4 หลายเดือนก่อน +21

    Mmenunuliwa kwa damu ya samani sana ya yesu mtahukumiwa acheni mahangaiko mje kwa yesu

    • @josephmbogela415
      @josephmbogela415 4 หลายเดือนก่อน

      We mama unaesema Roma kuna michango uliona wapi huko Roma wanauza maji kwa 2000/=. watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

    • @josephmbogela415
      @josephmbogela415 4 หลายเดือนก่อน +1

      Serikali ifike mahali iwatoze kodi manabii wote wanauza mafuta, maji n.k kwa waumini hiyo ni biashara sio kueneza neno la Mungu. Roma, KKKT, SDA, TAG, BAPTIST, ANGLICAN, EAGT ndo makanisa ya kuabudi yanayofuata misingi ya kristo.

  • @EsterMtalo
    @EsterMtalo 4 หลายเดือนก่อน +16

    Mmekimbia CATHOLIC Kwa mafundisho ujinga mnayolishwa huko. Imani ya kikatoliki ni ya watu wanaojielewa.

    • @adamsengo1869
      @adamsengo1869 4 หลายเดือนก่อน

      Hiyo dini mnayo abudu Sanamu la yesu pale mbele😂 eti ukiungama unaenda kutubu kwa binadamu mwenzako eti ndiye akusamehe!! UNAJIELEWA KWELI WEWE?!!!😂😂😂😂😂

    • @EsterMtalo
      @EsterMtalo 4 หลายเดือนก่อน

      @@adamsengo1869 ndo maana nikasema mapuguani hayawezi kuelewa katoliki. Mambo ya sanamu tunayaelewa kuliko mnavyofikiri ninyi. Nendeni mkatapeliwe. Proud to be catholic.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 4 หลายเดือนก่อน

      Etiwakatoli mnajielewa nyie si mnakunywa pombe kanisani na huyo mnaye mwita baba mtakatifu karuhusu ushoga na mnaabudu sanamu nyie

    • @richardbatajili7391
      @richardbatajili7391 4 หลายเดือนก่อน

      Katoliki kunamafundisho gani au ya sala za Maria?

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 4 หลายเดือนก่อน

      @@richardbatajili7391 yapo yale maria mama wa mungu utoombe sisi wakosefi hapo umepiga goti unazungumza na sanamu

  • @emanuelmonari1300
    @emanuelmonari1300 3 หลายเดือนก่อน

    Hizi ni nyakati za mwisho tubuni jameni,mkimbilie Bwana YESU

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 4 หลายเดือนก่อน +17

    Tuliibiwa milioni 3 kwa kiboko ya wachawi, Asante serikali kwa kufunga hili kanisa.

    • @msalikemedia
      @msalikemedia 4 หลายเดือนก่อน

      😢Heeeee!!

    • @K-go1qj
      @K-go1qj 4 หลายเดือนก่อน

      Mnapesa za kuchezea

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@K-go1qj😂😂😂 kwa kweli

    • @Njeriii536
      @Njeriii536 4 หลายเดือนก่อน

      Mkome kabisa mmezidi kufuate miujiza.

    • @Africasafarichannel
      @Africasafarichannel 4 หลายเดือนก่อน

      Mkome

  • @peterboaz3592
    @peterboaz3592 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli hapa hayupo Mungu. Mama haidanganyi hata kidogo. Mungu anatuambia kuwa " watu wangu wanaangaika kwa kukosa maarifa" huyu mama wa pili muongo muongo mkubwa huyu atakuwa Kuni kule kwa Mungu.

  • @eliurumamalisa4700
    @eliurumamalisa4700 4 หลายเดือนก่อน +23

    Afungiwe kabisa

  • @InnocentLeopard-vz4cf
    @InnocentLeopard-vz4cf 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mnapenda baraka kabla kuishi maisha ya kumpenda mungu

  • @christinalawrence7493
    @christinalawrence7493 4 หลายเดือนก่อน +8

    Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa,jmn kumbukeni hili neno kwenye bibilia lipo
    Wokovu syo pesa

    • @suleymandachi782
      @suleymandachi782 4 หลายเดือนก่อน

      Kama akili zenyewe ni pungufu maarifa watatoa wapi

  • @Allen-e2q
    @Allen-e2q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo mumepandwa na kuaminishwa kuwa nabii ndiye anaponya hamuamini kuwa Mungu ndiyo anaponya mumepigwa pesa basi tulizeni komwe Mungu ndiye anaponya na kufufua siyo kiboko ya wachawi wala nabii yeyote hawezi kufufua wala kuponya mwenye ukimwi 😊😊😊

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 หลายเดือนก่อน +22

    shida wengi wa wakiristo wamepoteza imani ya kwamba mungu ana uwezo wa kutenda!!ili upate mali ,watoto,na mengineyo eti lazima upate kwa muujiza!!!

    • @K-go1qj
      @K-go1qj 4 หลายเดือนก่อน +2

      Umenena kweli

    • @sarahasekile3864
      @sarahasekile3864 4 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@K-go1qjkweli tumezoea miujiza ya haraka bila kuamini mungu wetu anaweza

    • @SADICKITHOMAS
      @SADICKITHOMAS 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli watu wamemsahau Mungu

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 4 หลายเดือนก่อน

      Huko Kwa manabii Hadi waislam washatekwa wengi

    • @mcback4384
      @mcback4384 4 หลายเดือนก่อน

      Ukichunguza vizuri ni waislamu ndio wengi huko

  • @miriamamiri641
    @miriamamiri641 4 หลายเดือนก่อน +36

    Amekuja kutafuta pesa huyo tapeli mkubwa na uchawi wake tena akamatwe mwizi huyo

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 หลายเดือนก่อน +2

      Wote Mwamposa na wengine ni maokoto tu 😢

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@leokamil6284 bg point

    • @SadamSarita-t7z
      @SadamSarita-t7z 4 หลายเดือนก่อน +2

      ​Uyo arud kwao mjinga huyo Bora angekua mtz

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 4 หลายเดือนก่อน

      @@leokamil6284mwamposa alikutapeli nini acha unafiki mwamposa anagusa watu bure unaropoka tyu bitu usivyo vijua

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 4 หลายเดือนก่อน +1

      Angefungwa na kurudisha pesa zote aise Magufuli uishi huko uliko

  • @Mussa-t1q
    @Mussa-t1q 4 หลายเดือนก่อน +10

    Yule si mganga wa kienyeji, anayetibu ni Mungu. Kama imani yako ni haba hupati muujiza.

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 4 หลายเดือนก่อน

    Hafai kabisa huyu mchungaji Ni tapeli abaki kwao hukohuko

  • @jacobkabura5513
    @jacobkabura5513 4 หลายเดือนก่อน +9

    Mama pole sana, hujajua kama hao nimataperi???

    • @josephkaveya4284
      @josephkaveya4284 4 หลายเดือนก่อน +3

      Wajinga ndiyo waliwao pumbafu

    • @josephkaveya4284
      @josephkaveya4284 4 หลายเดือนก่อน

      Nani alikuambia Hilo ni kanisa

  • @SifaelMpagike-gt1gz
    @SifaelMpagike-gt1gz 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtatapeliwa sana kama hamsomi maandiko.. maana mnapenda sana miujiza.

  • @Faraja-wj5mo
    @Faraja-wj5mo 4 หลายเดือนก่อน +8

    4:48 yaan Kwa huyu siendi hata Kwa dawa😂😂

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo nabii Yuko vizuli Sana. Mezidi kupenda miujiza ya kuona

  • @PatriciaFelix-hx9wc
    @PatriciaFelix-hx9wc 4 หลายเดือนก่อน +10

    Ni kweli Jamani kuna dada akitoa laki na kutibiwa m 2

    • @K-go1qj
      @K-go1qj 4 หลายเดือนก่อน

      Alipona?

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@K-go1qjthubutu

    • @K-go1qj
      @K-go1qj 4 หลายเดือนก่อน

      @@AverinaShirati sasa mtu unapigwaje wakati kupitia maandiko unapona bure

  • @IbahimAmru
    @IbahimAmru 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bora nibaki na mungu wangu na yesu wangu 😂😂😂😂😂

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 4 หลายเดือนก่อน +2

    Najiulizaga huwa mwapotezwa faham au mm hata waningize wapi Mungu wangu aliye hai hamnipotoshi never Eva in Jesus name 🙏

    • @expert5898
      @expert5898 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hao akili hawana kabisa, na wengi walikimbiaga umande

  • @drtheresiakaruhanga3543
    @drtheresiakaruhanga3543 4 หลายเดือนก่อน

    we mama umenisikitisha, pamoja na kuvaa kitenge kinachoonyesha imani yako iliyoimara duniani, unadanganywa na wahuni?mponywe kwa jina la Yesu.

  • @stonenestory
    @stonenestory 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kiboko ya wachawi nimongo sana watu tusipo piga magoti na kumrudia mungu tukawamini wanadam tutateseka sana

  • @AllyMwinyi-rx8gr
    @AllyMwinyi-rx8gr 4 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah najidai nadini yangu ya kiislam

  • @HamisiAbdallah-vu7fz
    @HamisiAbdallah-vu7fz 4 หลายเดือนก่อน +17

    ❤ndio mjue SASA hao matapeli

  • @nyagwisnyagwis9306
    @nyagwisnyagwis9306 4 หลายเดือนก่อน +1

    Someni maandiko mpate kuwatambua watumishi halali wa mungu, tatizo wabongo mnapenda miujiza na mafanikio hamtafuti ufalme wa mungu, na shetani kwakuwa anajua kwamba watu mnashida hii Sasa Hy njia ndo anatumia

  • @simonMollel-rr3gb
    @simonMollel-rr3gb 4 หลายเดือนก่อน +2

    Heri kutubu dhambi na kuziacha.hakuna muujiza mkubwa kama mtu kushinda dhambi ndipo MUNGU akutokee mwenyewe sio kuweka imani kwa mtu poleni watu wa kyalla

  • @martinajoel3666
    @martinajoel3666 4 หลายเดือนก่อน

    Watanzania wenzenunawkashifu acha Mungu awonyeshe,fungi la kumi hamtoi shetani ale wapi👍👍👍

  • @JacklineJohnson-q9k
    @JacklineJohnson-q9k 4 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu mama ni mkatoriki na amevaa kitenge Cha Mt Agustino kama sijakosea Sasa huko ulienda kufanya Nini mama wakati kanisa lako limejaa muujiza ya Yesu wa Ekaristi ni kweli watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa

    • @aminaabdulrahman5184
      @aminaabdulrahman5184 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mmmh hujapatikana shukuru Mungu mie alichukua laki nane

    • @annadaniel7693
      @annadaniel7693 4 หลายเดือนก่อน

      kwa manabii na mitume wanaenda hadi waislamu hata kwa mwamposa wanaenda dini zote wakiamini watapona na kutatuliwa shida zao

    • @aminamalilo6605
      @aminamalilo6605 3 หลายเดือนก่อน

      ​​@@annadaniel7693huwezi kuwa muumin wa kweli uende Imani nyingine kuombewa maana yake Mungu wako humuamini hao Waislam wanaoenda huko ni wale wavivu wa kufanya Ibada ya kweli na kujiombea mimj hata niwe ndo natokwa roho sitoenda kuombewa na Imani nyingine😂😂

  • @davisjuma5887
    @davisjuma5887 4 หลายเดือนก่อน +2

    duh wanawake wanapenda sanaa muujiza kwakweli

  • @rahabmausli4183
    @rahabmausli4183 4 หลายเดือนก่อน +3

    👍Ni kweli kabisa Hata Mimi Nilitoa Million Moja Na Nusu Nahata Sasa hakuna kitu kimefanyika
    Mama Asema ukweli 👍

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni wakiume au wakike kwa maana wanawake ndio akili Yao ndogo

    • @BarakaBosco-dz1zx
      @BarakaBosco-dz1zx 4 หลายเดือนก่อน

      Iyo ela ukipelek mazabahu ya kwel ungesaidik we unapelek uko saf san pelek na kwamwampos

    • @CastoryKapinga-nb7ht
      @CastoryKapinga-nb7ht 4 หลายเดือนก่อน

      SHIDA YENU MNAWADHARAU WATUMISH WA MUNGU AMBAO MNAWAONA WQPO WAPO HAWAELEWEKI ,MNAKIMBILIA KWA HAWA BAADHI YA MANABII FEKI HAWA

    • @mcback4384
      @mcback4384 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@BarakaBosco-dz1zxkupona tatizo lako ni Imani yako na sio pesa zako, utamuhonga Mungu kiasi gani akusaidie? Acheni akili finyu

  • @cecilendayishimiye8548
    @cecilendayishimiye8548 4 หลายเดือนก่อน

    M'y God .Mungu atusamehe kweli

  • @annamussa185
    @annamussa185 4 หลายเดือนก่อน +26

    Aende kwao Congo akafungue kanisa

    • @KibwanaOmar-dh2sh
      @KibwanaOmar-dh2sh 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hata huyo atakuja kuwatapeli ndiyo haohao manabii wauongo mtadanganywa mwisho utapeli.

    • @SadamSarita-t7z
      @SadamSarita-t7z 4 หลายเดือนก่อน

      Aende kwao marako huyo

    • @SADICKITHOMAS
      @SADICKITHOMAS 4 หลายเดือนก่อน +1

      Dah yani wanafanya nchi yetu ni yakupigia pesa afu ukute keshapiga zaidi ya bilioni kadhaa za watz

  • @jessicaanania6326
    @jessicaanania6326 4 หลายเดือนก่อน +1

    Daah huruma sana jaman uyu mwizi asifunguliwe Tena hamna Cha kurekebisha kanuni Wala nn...😢

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 4 หลายเดือนก่อน +7

    Rwanda hawaendi wanamkimbia kagame anawafunga matapeli

  • @rukiamadati336
    @rukiamadati336 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uwii Mungu naomba tunusuru🙏🏾🙌

  • @annamushiaminaaa4367
    @annamushiaminaaa4367 4 หลายเดือนก่อน +18

    Ni kweliii nilifika nikarudi bila kuhudumiwa sikuwa na hela na nikahisi ni matapeli tu

    • @samweli7985
      @samweli7985 4 หลายเดือนก่อน

      @@annamushiaminaaa4367 umaskini unakusumbua tu, kamaulienda hunahela ulitaka utapeliwe Nini Tena.

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 hatari

  • @hopechaul13
    @hopechaul13 4 หลายเดือนก่อน

    Mnyonge mnyongeni HAKI YAKE MPENI JAMANI

  • @mariammganga5826
    @mariammganga5826 4 หลายเดือนก่อน +6

    Mama acha uongo unatakiwa kumpokea Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako amelaaniwa amtegemee mwadamu. MUNGU adhiakiw apandacho mtu ndicho avunacho huyo mcongo alichokipanda ndo kakivuna, hongera serekali kwa kumfungia

    • @siamuchunguzi
      @siamuchunguzi 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mariam, huyo mama kadanganya nini? Au na wewe ni mfuasi?

    • @rehemamusa5727
      @rehemamusa5727 4 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @sharifajuma9945
      @sharifajuma9945 4 หลายเดือนก่อน +1

      Naona shemasi wa kanisa unatetea ugali🤣😂

    • @Bless-sk8uv
      @Bless-sk8uv 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂 ila wew umetuweza, unatuchanganya

    • @RahmaAwadh-ul9yu
      @RahmaAwadh-ul9yu 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa si ndio wale anaowapanga kutoa ushuhuda hamna kitu hapo

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 4 หลายเดือนก่อน

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @Umsuleym4378
    @Umsuleym4378 4 หลายเดือนก่อน +4

    Tatizo lenu mnapenda kuabudu watu.
    muabuduni mungu mungu anakusikia popote pale ulipo kwanini upitishe shida zako kwa kiumbe mwenyewe ana shida na utapeli ulio jaa

  • @MukamusoniHawa-cj2yc
    @MukamusoniHawa-cj2yc 4 หลายเดือนก่อน

    Proud to be muslim✌️

  • @AllaudinMeghji
    @AllaudinMeghji 4 หลายเดือนก่อน +10

    Yaani mama unamuamini kweli huyo shalobalo😂😂😂

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 4 หลายเดือนก่อน

      🤣😂🤣🤝chezea mwisho wa kiama ndio huu yaani nimeshangaa kuona huyu dada maskini nae kaingia kwenye hii Drama ya hawa matapeli inasikitisha sana 😭😭😭

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 4 หลายเดือนก่อน +1

      Alafu anashabikia

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe Dada wadanye siwajitambu waende. Kuwaletea hawajitambui wanadamu hawamjui mungu wao komaa mama

  • @FrolaAndrea-r5f
    @FrolaAndrea-r5f 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ww unae comment sisi ndio tunamatatizo hujawahi kupata tatizo la kukuumiza haswa uuguliwe na mwanao mh unatapatapa tu mwambie mungu akuendelezee uzima 2 nafamilia yako

  • @African511
    @African511 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu anawashangaa sana kwa kukosa maarifa aiseee

  • @MusokeDios
    @MusokeDios 4 หลายเดือนก่อน +8

    Kwani unalqzimishwa si ulitoa mwenyewe,mimi huyo mtumishi simjui but namtetea watu mnaenda wenyewe hakulazimishi mbona kwawaganga mnaenda mnatoa hadi ng"ombe na hamsemi mfyuuuuuu zenu,

    • @samweli7985
      @samweli7985 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe unauelewa wakiMungu, ndugu, hata Mimi naungana nawewe kumtetea. Wamwache maana kunawatu wanafaidika na wanakombolewa

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu mama katumwa kumchafulia mtumishi wa Mungu, na kwani walimuita ,mbona hospital wanaenda nawanatoa hawaponi lakini huko kwa watumishi mnawatukana kweli, kunasiku wanayo yapanda yatawarudia wote

    • @samweli7985
      @samweli7985 4 หลายเดือนก่อน

      Hawa wanao frahia niwachawi, ndiyo maana wanafrahia

  • @AmanaLulu-zx9id
    @AmanaLulu-zx9id 4 หลายเดือนก่อน +4

    Tabia mvaya sana wamfungie tu milele.

    • @aminaabdulrahman5184
      @aminaabdulrahman5184 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa alafu mkali kweli shenzi huyo aludishwe kwao

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 4 หลายเดือนก่อน

    Mkome mkiambiwa. hamsiki. Pambaneni mnazo. Mjitahidi kusoma BIIBuLIA. Hamtaki mnapenda. miujiza kuliko mungu koma hivyohivyo

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 4 หลายเดือนก่อน +6

    Pigweni ela. Sikio la kufa halisikii dawa.

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co 4 หลายเดือนก่อน

    Mh ,mungu nisamehe had watenda kazi wa kiboko wanatamaa na dharau

  • @SalumuKomba
    @SalumuKomba 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mnaangamia kwa kukosa maarifa😢

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi kweli mtafuteni Mungu maadaaamu anapatikana

  • @AmusedForestBridge-zo6ox
    @AmusedForestBridge-zo6ox 4 หลายเดือนก่อน +7

    Arudi kwao kongo kwa haraka iwezekanavyo

  • @urickpeter
    @urickpeter 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya mjinga kuumia, Kiboko ya wachawi oyeeeeh😂😂😂😂

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 4 หลายเดือนก่อน

    Ulilazimishwaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JihaadIsmail
    @JihaadIsmail 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana mmeibiwa hao ni wezi

  • @PendoEliamani
    @PendoEliamani 4 หลายเดือนก่อน

    Jaman watanzania mtazameni mungu,shida yenu mnapenda shortkut acha kiwalambee

  • @HopenessPaul
    @HopenessPaul 4 หลายเดือนก่อน

    Ungepigwa hata million kumi kihelehele kimezidi wabongo daaa!!! Mnatia huruma aisee.....

  • @shomaryabdul6862
    @shomaryabdul6862 4 หลายเดือนก่อน

    Namkubali sana hananja
    Japo Simklisto....Uwa anasemaga ukweli hamsikii

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 4 หลายเดือนก่อน

    Huu ni wakati ambao kumekuwa na ukame wa neno la mungu alie hai hivyo wana damu tusipo mtafuta mungu wa kweli tutaishia kuwa mateka wa shetani na kuwa vipofu kiro na kupungukiwa na maarifa ya mungu, maana hatumuombi mungu utakatifu ila tunashida na utajiri wa ulimwengu huu usio kitu(yakini) hata muumba aliye juu ya yote anastaajabu tunavyo mdhihaki kwa kugeukia miungu watu wale ambao ni waganga wa weenyeji wa ulimwengu huu ambao wana tumia mwavuli wa dini kula pesa za masikini.

  • @hopechaul13
    @hopechaul13 4 หลายเดือนก่อน

    Sio kweli jaman dooooo😢😢😢😢😢😢

  • @ngimbakuyi3250
    @ngimbakuyi3250 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu tupe maarifa

  • @AnastinaIshisha-lt2rn
    @AnastinaIshisha-lt2rn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shida watu atujiulizi Mimi kwamtazamo wangu uyo nabii si wakweli bali ni nabii changa la macho kupoteza watu wa mungu badala ya kufata njiya saii wao wanafata miujiza ambayo si kweli

  • @NaomiAgreey
    @NaomiAgreey 4 หลายเดือนก่อน

    Ulilazimishwa kutoa umetumwa ww, acha hayo ,usimsemee mtumishi wa mungu vibaya,

  • @GaudanceYasinta
    @GaudanceYasinta 4 หลายเดือนก่อน

    Eee mungu tusaidie, hatuelewi dunia inakotupeleka

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sanaaa! Ndio ukome kabisaaaa

  • @fredrickmathias6478
    @fredrickmathias6478 4 หลายเดือนก่อน

    Ila mama zetu nyie nanyi miyeyusho sana,Mungu atusamehe sana ase

  • @estambuya3901
    @estambuya3901 4 หลายเดือนก่อน

    Acheni kufuata miujiza akina mama mtapotea na mungu hatawasamehe.!

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm 3 หลายเดือนก่อน

    Mtaibiwa sana mbwa kwer nabado

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtaliwa sana kwa ujingawenu

  • @firegun9443
    @firegun9443 4 หลายเดือนก่อน

    Acha wapigwe mana hawaelew waumini wa siku hzi
    Tatzo watu wanaenda makanisani baada ya njaa kuwakamata na Si kwa ajir ya mwenyez mungu, mtauza vijumba na mtauwa biashara zenu kwa upuuz wa mathehebu ya ajabu ajabu lila kukicha

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 4 หลายเดือนก่อน

    Tatizo hajui maandiko mnafata kila mnalo ambiwa lazima muibiwe 😅😅😅😅😅

  • @JihaadIsmail
    @JihaadIsmail 4 หลายเดือนก่อน +1

    Muombeni mungu acheni ujinga mtaibiwa kila siku

  • @ramadhanmaulid4088
    @ramadhanmaulid4088 4 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah kwa neema ya uislam

  • @AlfonceGwambiyeBilantanye
    @AlfonceGwambiyeBilantanye 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni awarehemu, watendao hayo, warejeee wakaihubili kweli ya Injili isiyogoshiwa. WATANZANIA, tujue "hakuna jina jingine litupasalo kuokolewa kwalo Isipokuwa jina la YESU PEKEE, wala siyo mafuta,maji,udongo,udi au uchamfu mwingineo" huo ni SAWA NA UGANGA TU, KUJIITA WATUMISHI KUMBE MBWA MWITU MATAPELI,
    MAMLAKA YA USAJIRI WA MAKANISA NA HUDUMA ZOTE ZA KIDINI TANZANIA CHUNGUZENI VEMA MADHEHEBU HAYA, MENGI NI WIZI MTUPU.
    WANATUMIA JINA LA YESU KUFANIKISHA MAMBO YAO, TANZANIA TUWE MACHO HIZI NI SIKU ZA MWISHO.

  • @margaretmandia8867
    @margaretmandia8867 4 หลายเดือนก่อน

    Mama mtafute Mungu umjue sana. Soma sana neno umjue Mungu acheni shortcut za maisha.

  • @zaidyabed
    @zaidyabed 4 หลายเดือนก่อน

    Achaaaa kiwarambe si akiri hakuna kichwaan😂😂😂😂

  • @WiliamMatondo
    @WiliamMatondo 4 หลายเดือนก่อน

    Huwiiii😂😂😂😂 jamani nalia miee imeandikwa watu wangu mnaangamia kwa kukoswa malifa

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 4 หลายเดือนก่อน

    Siku ni za mwisho mungu atupe mwisho mwema

  • @doreenmsafari2945
    @doreenmsafari2945 4 หลายเดือนก่อน

    Ilikuwa mwatapeliwa jamani mungu asaidie watu wake 🥺🥺🥺 mungu atupe macho ya kiroho

  • @MasanjaZabron-y1v
    @MasanjaZabron-y1v 4 หลายเดือนก่อน

    Dash polesana mama angu jina la mungu wanalitu mia kama biashala

  • @AsnatyGermano
    @AsnatyGermano 2 หลายเดือนก่อน

    Allah atusaidie sana

  • @emmyanold9306
    @emmyanold9306 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo mama anasema vitu tofauti na waumini wa kanisa hilo kama kasema kitu ambacho hakipo hatubu ,

  • @AshoreAa
    @AshoreAa 4 หลายเดือนก่อน

    Mama.mnafiki sana hujalazimishwa acha uhanisi bibi mait mtarajiwà

    • @pastorenock006
      @pastorenock006 4 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga kifo hakipangwi na mjinga kama ww

    • @pastorenock006
      @pastorenock006 4 หลายเดือนก่อน

      Kaioshe hiyo naniliii yako

  • @AmaniMrema-i3i
    @AmaniMrema-i3i 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mama umevaa kibegi hujielewi

  • @GeofreyKhamis
    @GeofreyKhamis 4 หลายเดือนก่อน

    Aya serikali imemfungia wew ni nan😂😂😂😂😂

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 4 หลายเดือนก่อน

    Ata yeye alisema bwana😂😂😂😂

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa yote ni yanini 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢aisee Mungu atusaidie

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wangu wanaangamia kwakukoswa maarifa.Njoo kwa yesu