Ngoja tusubirie hio unabii kwa mm sijakupiga nimekuelewa sana mama yangu .inabidi tuiombee sana inchi ya tanzania tuombee sana na mungu atatutinda sisi na inchi yetu ya tanzania ubarikiwe sana na uendelee kumuomba sana mungu .wakiristo na waislamu tuiombee sana inchi ya tanzania ❤❤❤
Nakushauri Siku nyingine Mungu akikupa ujumbe wa wazi wazi kama huo, basi uuseme kwa kunukuu Maneno ya Mungu mwenyewe kama alivyosema bila kuongeza Wala kupunguza neno lolote na siyo kutafsiri ulichoambiwa, wengi watashindwa kuuamini unabii wako kama umetokana na Mungu au laa, Naam hata mimi pia.
Nimekuelewa! unapo wasilisha unabii kwa ujasiri! Usiogope kwa kuwa kama MUNGU, ndie amekutuma, wewe ni chombo tu, hupaswi kujishusha kwa kuhofia watu. MUNGU, akutie nguvu utoke kudhani wewe ndie unazungumza. Yohan 14:19-20. Amen.
Sasa Ayo tv na nynyi mnaweka mic 🎤 yenu kabisaa kwa upuuzi huu, Dunia tunaikimbiza kwa speed ya ajabu mno, na wenzetu wakristo mmezid sasa, mitume mnayo, manabii mnayo, saivi mna malaika pia, basi bado mbingu tuu ili muwe na Dunia pia, kesho atasema yeye mchungaj na mtakubali.
Jaman mie nakumbuka saana lema alitoa unabii wake wenye zalau walizaliu usimzalau usie mjua mama endelea na kaz ya mungu usiogope wenye zarau na kejel mungu akubalik
maik imetolewa🤣🤣🤣 huyu malaika wa tongaleni ,na Mungu wa siasa ,,ok twende tusikilize historia za ndotoni ukila mchanganyo wa vyakula visivyo sagika🤣🤣🤣
hamna mungu nyie mnaabudu mizimu tu na sisi hatuwezi kusikilza maneno ya mizimu ya kishetani maana ni roho chafu na ni dhambi, malaika ambae ni nabii mwanamke kichwa wazi hapo alipo anatembea na janaba halafu useme katokewa na mungu
Duh! Haya bana mama nabidi niamini kuliko kutokuamini ila asije akaonekana mchonganishi kwa viongozi wengine maana kuna watu na viatu😁😁😁😁😁ila nafikiri wakati umewadia kila goti litapigwa kwake yesu kristo amen 🤔🙏🙏🙏🙏
Mmmh ivi Madeleka si yule.......na huyu ndiye Mke wale au? Kwaiyo watu siku hizi wanajitengenezea movie ndani.Ha ha ha ha..Mama tafuta kazi ingine..Hatuna Mungu wa Siasa.....hiyo movie mmetengenezea chumbani..
Wanaosema kachizika au laah!!kuweni makini saana kwani hakuna mwenye uhakika.mambo mengine ni bora kuyaacha kama yalivyo ili kujiepusha na laana au mabalaa usiyoyajua.binafsi sielewi lakini mm ni nani mpaka nipinge?tulishaambiwa kuna mbegu zilizopo dunia ambazo vyakula vyake vitakuwa na vichocheo vya hormone za kike kwa wanaume.mm ni nani hata nipinge?
amen tuheshimu kinywa kilicho umbwa kwa uwezo wake kua hai kwa kua ya mungu ni mengi na umenena maneno yenye mashiko mungu aendelee kukupa hekma na uvumilivu kwa yote watayo kukejeli
Kama Mbowe amesikia messege hii na achukue hatua ya kufanya maombi ya toba upesi ili Mungu amtakase kwa jina la Yesu. Huu unabii unatenda kazi haraka sana na yote yaliyotabiriwa yanaonekana. Ni Neno la wakati na Mungu ni mwaminifu sana. Mwambieni, mwambieni. Hata hao waliotajwa wasishupaze shingo zao maana zitakatika hivi punde. Watu wa Arusha tumlilie Mungu atuondolee mauaji hayo😭😭😭
😂😂😂😂😂 Nchii hii ina Mambo!!
MwenyeziMungu atunusuru na matamanio ya watu wabaya.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukufunulia mengi zaidi, na akulinde na watu wenye nia mbaya .
Ngoja tusubirie hio unabii kwa mm sijakupiga nimekuelewa sana mama yangu .inabidi tuiombee sana inchi ya tanzania tuombee sana na mungu atatutinda sisi na inchi yetu ya tanzania ubarikiwe sana na uendelee kumuomba sana mungu .wakiristo na waislamu tuiombee sana inchi ya tanzania ❤❤❤
Nakushauri Siku nyingine Mungu akikupa ujumbe wa wazi wazi kama huo, basi uuseme kwa kunukuu Maneno ya Mungu mwenyewe kama alivyosema bila kuongeza Wala kupunguza neno lolote na siyo kutafsiri ulichoambiwa, wengi watashindwa kuuamini unabii wako kama umetokana na Mungu au laa, Naam hata mimi pia.
Hongera MamaJamira.Tumekuelewa ❤
Hivi maridhiano kwann mlivuluga ccm?
Mjumbe hauwawi Ahsante kwa kufikisha Ujumbe Umeeleweka🙏
Mimi Enny nampenda yesu kwahili 😮😮😮😮😮 ngoja nifunge kwanza
Mmmmh miezi mitatu ilopita tayar makamba nje...makonda yupo likizo 😅
Nimekuelewa! unapo wasilisha unabii kwa ujasiri! Usiogope kwa kuwa kama MUNGU, ndie amekutuma, wewe ni chombo tu, hupaswi kujishusha kwa kuhofia watu. MUNGU, akutie nguvu utoke kudhani wewe ndie unazungumza. Yohan 14:19-20. Amen.
Nakubaliana nawewe saaana mungu na akubariki sana
Ubarikiwe sana mama Peter Madereka❤
Be blessed my dear🙏🙏
Ubalikiwe sana mama.
Mwenye sikio na asikie. BABA utusamehe na kuturehemu. Tanzania tembea na Neema ya MUNGU. Asante mama. Iko siku watakujua na kukupa heshima yako.
Mama ume Nena mungu akulinde
Bongo kunusurika 🔥🔥🔥 ni ngumu xna tunachezea Jina la Allah hovyo mno 😭😭😭 da!
Eee Mungu tupe neema ya kuelewa unaposema na tufanye yanayotupasa kufanya!😊
Ivi sis waafrica alituloga nan😂😂😂😂😂Booh jaman tushakua kama machizi
Acha tu MTZ mwenzangu maana daaah
Afya ya akili ni changamoto inayoongezeka kadri siku zinavyokwenda
Wakija wataalamu watamwa access watajua shida inaanzia wapi huyu aliyekuwa Afisa w Uhamiaji
Uko sawa mama nimekuelewa sana mama na mungu akubariki meaeg imefika
Confused
Zombiz 😂😂😂😂 devils mamangu umepigwaa vita Mungu amlinde amiri jeshi mkuu wa Tanzania🇹🇿
Mama huyo ni Mungu wawa TANZANIA tu 😅😅😅😅😂😂😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
Sasa Ayo tv na nynyi mnaweka mic 🎤 yenu kabisaa kwa upuuzi huu, Dunia tunaikimbiza kwa speed ya ajabu mno, na wenzetu wakristo mmezid sasa, mitume mnayo, manabii mnayo, saivi mna malaika pia, basi bado mbingu tuu ili muwe na Dunia pia, kesho atasema yeye mchungaj na mtakubali.
Yakiyo ya MUNGU, kwa MASHETANI ni upuuzi.
Anaitwa Jamila huyu
Dunia ina Mambo
Malaika mana ake ni mjumbe/ messengers......jipe muda tu kufuatilia message , usahihi wake na badae uta judge ukwel au la
YESU KRISTO ni Bwana na mwokozi,.
We we mama wapi imeandikwa kwamba sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Unabii wako hauko sawa na maandiko. Hiyo moja.
Mungu akubariki kuhani wa bwana❤
Ulisubiri Samia, amtumbue Ndo utamke??
AAA wapi
Kwaiyo Wanasiasa mmeishiwa kias hiki mpaka muanze kutungeneza movie....duuh? Mama Peter Madeleka😅😅😅
Ubarikiwe Sana, mwenye masikio na asikie
Jaman mie nakumbuka saana lema alitoa unabii wake wenye zalau walizaliu usimzalau usie mjua mama endelea na kaz ya mungu usiogope wenye zarau na kejel mungu akubalik
Naomba namba ya huyu mama
😢😢Arusha tena?!!!🙌🙌
Makubwa haya ngoja tu kila mmoja apate alichostahili
@milard ayo umeshtukia nini mbona umekimbiza mike😅😅😅sijapenda buana
😂😂😂😂 hata Mimi nimemwambia atulize mic hapo ipate ujumbe😂😂
maik imetolewa🤣🤣🤣 huyu malaika wa tongaleni ,na Mungu wa siasa ,,ok twende tusikilize historia za ndotoni ukila mchanganyo wa vyakula visivyo sagika🤣🤣🤣
Yn Mungu amekuja kukufunulia kuhusu siasa t 😂😂 haka kabibi tena kanasema ni chosen one😂😂😂
Mama nakuelewa sana mamaangu mungu azidi kukutetea zaidi neema ya Mungu ikulinde
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Maneno mazito sana haya, dada Mungu akubariki sana kwa kufikisha ujumbe huu muhimu...
Mwenye masikio,naasikie maneno haya ambayo Mungu awaambia wanadamu,Mungu huwajulisha awapendao
hamna mungu nyie mnaabudu mizimu tu na sisi hatuwezi kusikilza maneno ya mizimu ya kishetani maana ni roho chafu na ni dhambi, malaika ambae ni nabii mwanamke kichwa wazi hapo alipo anatembea na janaba halafu useme katokewa na mungu
Mungu akubaliki dada yangu hakika yametimia uliyoonyeshwa unisamehe sikuelewa mungu ahimidiwe amen 🙏
Nibora kuamini kuliko kutokuamini. Mungu atusamehe Sana.
mungu.tusaidie wakuelewa wataelewa hana kichaa huyu ni maono ya mungu watu kama hawa wapo wachache sana
😂😂😂😂 Mama umedanganya Mungu hajihusishi na hayo
mzee mbona unaonekana nimtu mzima ila akili yako nindogo
@@BilihaniAdriano pole sana nduguyangu sikutegemea kuwa nawe itakuwa miongoni mwawanao danganyika kirahisi hivyo
😂😂😂 Sisemi sana ila muulizeni mchungaji hananja nikweli mlachips anaweza kuonana na M/MNGU?
Duh! Haya bana mama nabidi niamini kuliko kutokuamini ila asije akaonekana mchonganishi kwa viongozi wengine maana kuna watu na viatu😁😁😁😁😁ila nafikiri wakati umewadia kila goti litapigwa kwake yesu kristo amen 🤔🙏🙏🙏🙏
Mungu aponye Tanzania , Kenya damu imemwagika sana nahofia TZ mlindwe na Mungu
Ameni mama.mungu akubariki
MUNGU AKUBARIKI SANAAA.
Unatafuta kiki 😮😮
Absolutely true... Mungu atusaidie...
😂et Malaika.......unafanya meditation ukiwa umejilaza kitandani 1:36
😅 kachizika mchana kweupeee anaongea mambo yanayomsumbua kichwani
Huna unalojua ndio tatizo linalikusumbua
Uwiiii
Sasa yametimia aliyoyasema na I amechizika January makamba ama yeye msimchezee mungu
Rohoni kunatisha kama hukuwahi kufanikiwa kuingia kemei isikutokee mimi namuelewa sana hayo ndiyo yanayoendelea rohoni
God bless you
Siyo tukimbilie Kwa manabii wakubwa Kwa majina na wingi wa Watu noooo huyu ni nabii hakikaaaa Tyr mawili yashatimia hapa ❤❤❤❤
😅😅😅😅😅😅aise Mungu tusamee
Asante kwa ushuhuda inatalkiwa kuuheshimu.
Ibrahim TZ 😂😂😂😂 jamani. Hiv mazombi yana exist kweli? .Mwenyezi Mungu na siasa wapi na wapi? Yan huyu angekuwa enzi za Ibrahim tumpiga vitofa 😅😅😅😅
Leo vipi? Alivyosema yametimia au?
Mmmh ivi Madeleka si yule.......na huyu ndiye Mke wale au? Kwaiyo watu siku hizi wanajitengenezea movie ndani.Ha ha ha ha..Mama tafuta kazi ingine..Hatuna Mungu wa Siasa.....hiyo movie mmetengenezea chumbani..
Watokanao na Mungu hawakubaliki na MASHETANI.
Wanaosema kachizika au laah!!kuweni makini saana kwani hakuna mwenye uhakika.mambo mengine ni bora kuyaacha kama yalivyo ili kujiepusha na laana au mabalaa usiyoyajua.binafsi sielewi lakini mm ni nani mpaka nipinge?tulishaambiwa kuna mbegu zilizopo dunia ambazo vyakula vyake vitakuwa na vichocheo vya hormone za kike kwa wanaume.mm ni nani hata nipinge?
Wewe ni malaika?😂😂
Ilibidi uolewe na Harmonize sio KWA ukichaa huu😂😂😂
Na Hubarikiwe Amina
hujielewi wewe muabudu mizimu mungu gani anayeijua neno democrasia mungu anaemjua DJ Mbowe si hatari hii
Mungu na January makamba wapi na wapi umetumwa na uyo hawara yako Peter
😂😂😂😂😂
Mmh 😂😂😂
Mungu atusamehe Sana.
Malaika mwenyewe sasa kameona kamepingwa mpaka na zombies😂😂😂
naona millardayo mwenyew hajataka kuiweka hii habar 😀 coz ni mawazo yako mama yanaongea na kujifunua juu yako mwenyew..
Kweli wagalatia mmechanganyikiwa 😢😢😢😢😢
Mbona mtume wenu mnasema alitokewa ?
@@zakiamseka9698 ROHO MTAKATIFU LINI ANAKUJA WAGALATIA MAPEPO YAMITOKE 🤧🤧🤧🤧🤧🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Sasa mama unaongelea neno la Mungu au maomo? Maama maono halafu unanukuu kitabu😂😂😂😂😂
Tuambie ben sanane yupo wapi
Tulishaambiwa..siku za mwisho watatujia mitume..manabii teleee wa uongo...sasa ndo tuyaonayo..Allh atuepushe nao..na atujaalie mwisho mwema inshllh.
Tangu lini waislamu mmjue MUNGU na wakati ninyi ni maamuma hamna MUNGU ninyi mna ya amini majini
@@andrewkissava9184km uko vzr leta maandiko kuthibitisha unachoongea
Mungu akusamehe bure @@andrewkissava9184
@@andrewkissava9184 mimi siyo muislam ila umekosea sana kusema maneno haya
This is fact
amen tuheshimu kinywa kilicho umbwa kwa uwezo wake kua hai kwa kua ya mungu ni mengi na umenena maneno yenye mashiko mungu aendelee kukupa hekma na uvumilivu kwa yote watayo kukejeli
Leo nimejua akili za Madeleka chanzo cheke ni wapi!aiseeee
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Wewe mama kwahiyo Mungu amekutuma uhukumu??Mimi Tomaso NAOMBA ushahidi
Soma 1Kor.5:12-13;
12 Maana yanihusu nini kuwahukumu wale walio nje? Ninyi hamwahukumu hao walio ndani? 13 Lakini hso wslio nje Mungu atawahukumu. Ninyi mwondoeni yule mbaya miongoni mwenu.
Soma 1Kor.5:12-13;
12 Maana yanihusu nini kuwahukumu wale walio nje? Ninyi hamwahukumu hao walio ndani? 13 Lakini hso wslio nje Mungu atawahukumu. Ninyi mwondoeni yule mbaya miongoni mwenu.
Viongozi wanachagulia na mungu pia. Usijichanganye na siasa. Wewe fanya kazi ya uinjilisti. Jenga usibomoe
Kama kweli ni Mungu anaongea naye amsikilize huyo Mungu au asikilize maoni yako?
Mangu akuinue
Mungu tusaidie watoto wako.vyema kuomba na sio kupinga haya.
Eee mungu wangu tusaidie maana mm sielewi
Mmmh wee mama! kweli za kusikia changanya za zako na kuhusu lissu vipi?
Mungu akubariki
makafiri wakubwa nyie labda shetani ndio ambariki lakini sio mungu tunaemjua sie
Kama Mbowe amesikia messege hii na achukue hatua ya kufanya maombi ya toba upesi ili Mungu amtakase kwa jina la Yesu. Huu unabii unatenda kazi haraka sana na yote yaliyotabiriwa yanaonekana. Ni Neno la wakati na Mungu ni mwaminifu sana. Mwambieni, mwambieni. Hata hao waliotajwa wasishupaze shingo zao maana zitakatika hivi punde. Watu wa Arusha tumlilie Mungu atuondolee mauaji hayo😭😭😭
Huyu mama na familia yake ni malaika???? ??? 😮😮😮
😂😂😂😂😂 malaika😂😂😂😂 yani Mungu anaingilia internal affairs za nchi😂😂😂😂 dunia mzima ina serikali kibao yani hii ya SSH ndio serikali ya ahadi au😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 daaaah hi nchi
Mungu kakugeuzia mgongo???
Huna nguvu ya kuvumilia kuuona uso wa Mungu
Milifikiria ni unabby wa mafuriko na kimbunga hidaya kumbe ni siasa😂😂😂
Kesho utapewa unabii wa kimwacha madereka ili umtmikie MUNGU vizuri 🤔
Mungu akutetee
😂😂😂😂 mna vituko sana
Maneno ya Mungu huwa sipingi- Nimekuelewa mama na si wote wanaweza kukuelewa
Ni sahihu
Ni sahihi
Ni sahihi
😂😂😂
Truly
Mama mungu ajakuonesha mzee wa tuamie Burundi ajiuzuru
Huyu mama kboko ya manabii Hv kumbe unabii ni simple Hv 😂😂hli nalo ltaptaaa
Eti mimi nimalaika aisee nyu wold oda
Mungu atusimamie saana
Ushauri wangu kwako mtoa unabii km unabii huu hukutumwa hata na lusifa basi ni vema ukatubu
Mungu atakuchukia
Ubarikiwe tunashukuru
Aaaamen mama! Mungu na atusaidie
Mungu akurehemu
Dada imetosha, kaendelee kusali, ili miujiza, itendekw