Zama kuhusu kukaa wanawake wawili wenye mahusiano ndani umeuliza kwa uchungu, maana wanaume wanatuchoreshaga sana, nna mtu alikuwa amejifungua mume akamleta mdada akisema ni binamu yake amsaidie uzazi kumbe n mchepuko wake, Ila Mwijaku nimekukubali kwa kukiri nakuanza upya, lazima tusamehe maisha yaendelee! Alice nakupenda mnoo❤
Wanaume wachache sana wanaweza kufanya alichokifanya Mwijaku,ni vizuri sana kukumbuka ulikotoka na aliekuwa na wewe kipindi cha mapito yako,Mungu aendelee kumbariki
Nampenda mtu anayeongea ukweli hata kama unauma binafsi huwa napona bora ukweli unaoumiza , na kingine huyu kaka katumia kipaji chake, Iga ww Sasa 😂inahitaji ujasir mnooo na udhubutu Hongera san sana
We kupata mwanaume kama mwijaku ni ngumu lakini huyo mke wake mungu ampe jannatulfirdaus we me mpaka nimelia amenikumbusha mbali sana mke wake ameka hapo kumbe apimwa ujinga mungu ampe subra na kusamehe lakini ni ngumu agempa sumu we yaitwa mitihani na mwanadamu 😢😢😢😢😢
Mwijaku mm sijawahi hata kuona unafanya vibaya since unaanza, nilijua utafika mbali, maisha hayahitaji mtu mwenye aibu, watu wengi wanadharau kazi za watu ambao wao waloajiriwa wala hawaingizi kiasi hiko
Kiukweli nimejifunza kitu nasie wanawake tuwe makini saana wema ukizidi saana wisho wake huwa hivyo kiukweli sutuwesheni kama hii inatokea saana tusijaribu kupokea marafiki nyumbani tukaishi nao ndani weeh inauma saana mtu unamuamini halafu mwisho wake unakuja kushea nae mume ki staile hiyo weeh😢😢😔
Mwanamke never ever allow mwanamke mwingine either rafiki au ndugu ambaye hajazaliwa na wewe wala mumeo, usiruhusu wala usi entertain ukaribu naye na mumeo! Ni swala la muda, utajuta tu!
@@MwaJuma-zf8sk😅😅 wengi wanapata ushauli kwa watu waliopata changamoto hasa wakiona zinafanana, ila ni ngumu mnoo sasa hivi haitajik kumsogeza watu wa mitego kwenye familia hapana
Moja kati ya interview pendwa na inspiration interview. Ahsanteni sana Zamaradi TV
Zama kuhusu kukaa wanawake wawili wenye mahusiano ndani umeuliza kwa uchungu, maana wanaume wanatuchoreshaga sana, nna mtu alikuwa amejifungua mume akamleta mdada akisema ni binamu yake amsaidie uzazi kumbe n mchepuko wake, Ila Mwijaku nimekukubali kwa kukiri nakuanza upya, lazima tusamehe maisha yaendelee! Alice nakupenda mnoo❤
Umepoa kama sio wewe kweli unamuheshimu Zamaradi good job broo👏👏
Big up!!! mke wa Mwijaku, you are a woman and a half🎉
Mwijaku you are a nice person, Allah akusameh, akufanyie wepesi kwenya maisha.
Wanaume wachache sana wanaweza kufanya alichokifanya Mwijaku,ni vizuri sana kukumbuka ulikotoka na aliekuwa na wewe kipindi cha mapito yako,Mungu aendelee kumbariki
The way anavoongea mwijaku basi utajua jindi gani zamaradi ananafasi kubwa sana ktk tasnia hii ya upresenters
Me ni mkenya lakini nampenda mwijaku sana uwa mkweli na ana juwa kutafuta riziki sana na ako na hofu ya mungu na ako na shukurani❤❤❤❤❤
Hii interview ya moto🙌
Afadhali wewe unalimbuka wema wa mkeo ❤❤❤basi mlinde
Mwanaume wa kuigwa huyu hongera Sana
Hii ndo raha ya kuolewa na mwanaume mwenye hofu ya Mungu.
Wananjanjaruka ila moyo wa imani huwakumbusha walikotoka na kujirudi.
Nyie ndo mnaoendekeza wanaume wa hovyo
@@Kristina-fb4jqDada ww umeoleka?
@@eliudoginia7720 tena miaka kumi mbwa ww
I don't know why nikimuona mwijaku nafurahi😂😂 , I love this guy kiukweli
He has this sense of humor that make ppl happy to see him.
Katika interview zote ulizofanya hili ni bonge LA interview na Mwijaku kajiachia vizuri. Pole wifi yetu hii inauma mnoo
Duhhhh😭😭😭😭 hakuna kitu kizuri kufanya kosa alafu ukaomba msamaha kutoka moyoni.
Wakwanza kuview like zang ni hapa
Makeup yako leo imekaa vizuri sana
Ila umeatalisha sna maisha ya mkeo ishatokea sna kwenye familia wanawake wanandoa wanaumizwa sna ushirikina nk
Mwijaku anajuwa ji cover nakutupa menina under the bus wakati walilala makaburini wote eti minilikuwatu nawaangalia 😂 bro wote mulikosea.
Mwijaku your the best🤝
Mke umepata kaka mwijaku mungu abariki ndoa yako
Kabisa kapata
Nampenda mtu anayeongea ukweli hata kama unauma binafsi huwa napona bora ukweli unaoumiza , na kingine huyu kaka katumia kipaji chake, Iga ww Sasa 😂inahitaji ujasir mnooo na udhubutu Hongera san sana
Mwijaku nakupenda kwa ukweli wako ❤
We kupata mwanaume kama mwijaku ni ngumu lakini huyo mke wake mungu ampe jannatulfirdaus we me mpaka nimelia amenikumbusha mbali sana mke wake ameka hapo kumbe apimwa ujinga mungu ampe subra na kusamehe lakini ni ngumu agempa sumu we yaitwa mitihani na mwanadamu 😢😢😢😢😢
Mbona part two siioni au haijawekwa 🥹🥹🥹
Mwijaku mm sijawahi hata kuona unafanya vibaya since unaanza, nilijua utafika mbali, maisha hayahitaji mtu mwenye aibu, watu wengi wanadharau kazi za watu ambao wao waloajiriwa wala hawaingizi kiasi hiko
Zama ni mkweli kwa maisha yake.. huwa anafanya utafiti kabla ya kipindi..anamjua mhusika.. ukiweza interview ya dada zama, utatoka hapo umepona
Mwijaku Umempa Nina Sukari Hadi leo Anakumbukumbu. 😂 Umepoa Baba. 😎
Asante zamaradi
bonge moja la interview
Nakupenda sana mwijaku
Kiukweli nimejifunza kitu nasie wanawake tuwe makini saana wema ukizidi saana wisho wake huwa hivyo kiukweli sutuwesheni kama hii inatokea saana tusijaribu kupokea marafiki nyumbani tukaishi nao ndani weeh inauma saana mtu unamuamini halafu mwisho wake unakuja kushea nae mume ki staile hiyo weeh😢😢😔
Kweli umepata mke❤❤❤❤❤ side chick byeeee
Zinakaa sawa
Leo nimejua kumbe hta mume akikupenda anakucheat💔
Hakuna mwanaume wa mwanamke 1..
Michepuko Kuna funzo hapa. Wengi wa wanaume Wana cheat lakini akili zipo Kwa wake zao
Zama umesahau kumuuliza why degree mbili . Nakwann aliswitch asikimbilie carrier yake
Mwanamke never ever allow mwanamke mwingine either rafiki au ndugu ambaye hajazaliwa na wewe wala mumeo, usiruhusu wala usi entertain ukaribu naye na mumeo! Ni swala la muda, utajuta tu!
Walker Mark Miller Ruth Jones Deborah
Dada Zama Pati tu
Hili jamaa, lina mawazo makubwa sana.
Interview nzuri sna
Huuuuu kumbe Mwijaku zikaa sawa bwane 😅😅😅 ongera kwa kweli 🫵🫵👏👏
Nakutafuta mwijaku jamani mbona sina pa kukupata mie ni mama yaani ninashida za ushauli pua
Kwani mwijaku ni therapist Hadi uombe ushauri katafute washauri 😅😅 usijemvurugia ndoa yake na wewe
@@MwaJuma-zf8sk😅😅 wengi wanapata ushauli kwa watu waliopata changamoto hasa wakiona zinafanana, ila ni ngumu mnoo sasa hivi haitajik kumsogeza watu wa mitego kwenye familia hapana
Mhhh acha ushenzi ushauri gani unataka kwa mwijaku? Au unataka kukipeleka tu? 😂😂😂😂
Out of mind, kila mtu alitumia anachokitumia. Tumekuelewa
Yani wewe
faida unapata pesa unapata ila video zako zitabaki youtube pale
Naoba like zangu
Ili uzifanyie nn dume zima hovyoo
@@fathiyahmuzney7367Kwan dada kuomba likes nzambi,kosa au hatia?