INASIKITISHA!WALIONYUMA ya USHOGA,KULAWITIANA,WATAJWA ni WATU wenye PESA CHAFU,DHAMBI ILIANZIA EDENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 เม.ย. 2023
  • INASIKITISHA!WALIONYUMA ya USHOGA,KULAWITIANA,WATAJWA ni WATU wenye PESA CHAFU,DHAMBI ILIANZIA EDENI

ความคิดเห็น • 81

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akusaidie hauko mbali na Ufalme wa Mungu

  • @eliasbenardo376
    @eliasbenardo376 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mwl kwa somo zuri sana watu wa MUNGU Tunaendelea kufumbuliwa macho na mwl

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 ปีที่แล้ว +1

    Nabii Eliya uko vizuri sana kwenye hili somo

  • @tumainbenjamin6753
    @tumainbenjamin6753 ปีที่แล้ว

    Amini asante muumba kutufunulia katika fahamu zetu kujua na kuamini kuwahuyu ndie nabii Eliya

  • @barakapetro2174
    @barakapetro2174 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @loraumuhire4755
    @loraumuhire4755 ปีที่แล้ว +1

    Ni hatari Bwana Yesu kristo atusaidie kabisa, ju nihatari kwa sasa.

  • @mzuandamlalli8654
    @mzuandamlalli8654 8 หลายเดือนก่อน

    Nafatiria sana mtumishi lafundisho yako ndio maana yesunhakuzariwa Kwa mahusiano ya mke na mume😊

  • @rsfdzxzx2274
    @rsfdzxzx2274 9 หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว

    Shida hii ya ulawiti inatokea Maccer.
    Kama wewe ni nabii wa Mungu sogea mbele za Mungu utajulishwa hili na mengi yatokayo Maccer

  • @mashangalimashangali8327
    @mashangalimashangali8327 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @tabby6064
    @tabby6064 10 หลายเดือนก่อน

    Asante mwalimu kwa Elimu hii nzuri,,barikiwa sana

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki unaongea vitu halisi ndio mambo yaliyopo kweli kabisa kuna siri kubwa imefichwa tunaambiwa ni watu wenye akili lakini wapo wanaofundishwa na hao viumbe na wao wanafundishwa na kunafanywa siri kuipata hiyo elimu wanaojipendelea sanaa

  • @AnnaMwailenge-hy3xg
    @AnnaMwailenge-hy3xg ปีที่แล้ว +2

    Tunashukuru kwa SoMo zuri mtumishi wa mungu

  • @joashwambua9988
    @joashwambua9988 8 หลายเดือนก่อน

    You teachings are good

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 ปีที่แล้ว +7

    Unaposema Bwana wetu Yesu Kristo nasikia raha hadi kwenye mifupa

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 ปีที่แล้ว

      Ee

    • @ommydimpoz4391
      @ommydimpoz4391 11 หลายเดือนก่อน

      Uwo uwongo

    • @odhiaodhia9898
      @odhiaodhia9898 11 หลายเดือนก่อน

      @@ommydimpoz4391 Yesu ndiye Bwana wa yote duniani na Mbinguni

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว +1

    Majini yaliishi duiani kabla Adamu zaidi ya miaka millions 2 sio elfu mbili.

  • @hamiskwaya8118
    @hamiskwaya8118 ปีที่แล้ว

    Assante nabii🙏🙏🙏

  • @josephevaristi8923
    @josephevaristi8923 8 หลายเดือนก่อน

    Hususani kitabu cha walawi,ni master key kwa mambo ya majini,na mapepo,,wanayoijua siri ya kitabu hcho ndo wanaouwezo wakuwatawala majini,,mfalme solomoni alifunuliwa mafumbo yote yakitabu cha walawi,ndo maana alikuwa gwiji wa hvyo viumbe

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 ปีที่แล้ว +2

    Yani rafiki yangu huyu bhana nafurahi sana anavyoongea

  • @madetetv6576
    @madetetv6576 ปีที่แล้ว

    Nimekuelw sana Mtumishi

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 8 หลายเดือนก่อน

    maelezo mazuri

  • @mpanjumerius1882
    @mpanjumerius1882 ปีที่แล้ว

    Somo zuri

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👊✌️

  • @mfupakhamis9751
    @mfupakhamis9751 ปีที่แล้ว

    Alhadulilaah,
    Nazidi kupata uzima wa milele.
    M/Mungu akupariki umtumikie M/mungu wa haki.
    Ufalme wa Mungu Usimame
    Amin

  • @ecod-sb6lx
    @ecod-sb6lx ปีที่แล้ว

    Hakika huyu ni nabii wa kweli

  • @francohaule-ci7ii
    @francohaule-ci7ii 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo kama wachungaji wanaponya kupitia majini na na yesu alikuwa anaponya kupitia nini

  • @amanipuka2727
    @amanipuka2727 ปีที่แล้ว +1

    Mada nzito sana

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 10 หลายเดือนก่อน

    WEE MWENYEO HANISI

  • @loraumuhire4755
    @loraumuhire4755 ปีที่แล้ว

    Nikweri kabisa ao ndo wenye wanafundisha binadamu mambo yote mabaa

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว

    Mbinguni ni mahali pa utambulisho wa uhai wa kila kilicho hai duniani.

  • @abdulkarimum.khamisi3128
    @abdulkarimum.khamisi3128 8 หลายเดือนก่อน

    𝑺𝒂𝒏 𝒒. .𝒛 𝒏 . 😢

  • @ramadhanmataba8116
    @ramadhanmataba8116 ปีที่แล้ว +1

    Umeanza vzr shekh hapo kwenye kufa yesu una uelewa 0% kwa mujibu wa Qur An

    • @salimiddy1704
      @salimiddy1704 ปีที่แล้ว

      Yote unayosema UKISHIKAMANA NA QURAAN, MWENENDO WA MTUME KWA UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA (Salafy) hakuna wa kupotea. (Najua hata wewe unaafiki hilo)
      Hiki ndicho kipindi alichosema mtume kuwa ZISHIKENI/ZIUMENI sunnah zangu kwa magego. Yaani msiyumbishwe.
      Kwahiyo kwa mwisilamu wa kweli hapo hakuna jipya maana hatuabudu pesa,tamaa, chuki,kibri, fitna, roho mbaya, nk zote ni amali za shetwani,
      So ibilisi ni kiumbe dhaifu sana kwa mwenye imaani, Allah kasema ibilisi atawapoteza wenye imaani dhaifu na ndio ataingia nao motoni.

    • @josephmahona
      @josephmahona ปีที่แล้ว

      Sasa mbona unamfatilia😂

    • @ramadhanmataba8116
      @ramadhanmataba8116 ปีที่แล้ว

      Kwani kumfuatilia ni kosa😟😟

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanmataba8116 kafatilie mashehe wk yaan waislam povu linawatoka kwa wakristo hadi basi hatuamini watengeza majini mapepi

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanmataba8116 unamsikizaje nakumfatilia usiemuamini looh mnakz karibun Mwanamume Yesu atarudi kwamara ya pili wkt huo mtume kalala tu

  • @salehkhamis9994
    @salehkhamis9994 ปีที่แล้ว

    Ambae amemsikia huyu nabii wa michongo akisema kwamba yesu ni mwanadam naomba like zenu

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Kwani huna shehe wakumsikiliza hadi umsikilize mkristo ?tena uliza historia ya huyo unaemuita wamichongo ww kasome kuran iliyodondoka toka juu mkaona ni kitabu cha Mungu mana ht shetani alidondoka pia

    • @johnmamba682
      @johnmamba682 ปีที่แล้ว

      Katika ujio wa kwanza, Yesu alikuja ktk mwili na ujio wa pili Yesu anakuja katika Roho.
      Mwenyezi Mungu akusaidie kuelewa

  • @nyotaomari2919
    @nyotaomari2919 ปีที่แล้ว

    Ni kwamba Manjini na Mapepo na Ibilisi Wana wivu kwa wanadamu nabii ?

  • @blessingblessing9641
    @blessingblessing9641 ปีที่แล้ว

    Hauko sahihi muongo

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 ปีที่แล้ว

    Nani aliwaumba hao majini hiyo elimu wewe ulipata wapi

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

    Subuhanallah Hamza upo kwani usha badili kuwamkiristo. Allah akurudishe kwenye uislam naona kama haukosawa eti jinalabwana

    • @odhiaodhia9898
      @odhiaodhia9898 ปีที่แล้ว +4

      Kapata neema kubwa sana ya kujua Yesu ni Bwana

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Kapata neeema mm nilipomtazama tu nikajua alikuwa kwenye dini ya majini

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@irenekaluse3213saiv atakua kaingia kwenye Dini ya ushoga

  • @rosekazaula2557
    @rosekazaula2557 8 หลายเดือนก่อน

    Kumbe walifanya uzinzi mm nilidhan walikula tunda kwer

    • @farinhafrank-dm4sg
      @farinhafrank-dm4sg 8 หลายเดือนก่อน

      Waliofanya ulawawiti ni majini, na waliokula tunda ni adam na eva

  • @yahayamgeni1254
    @yahayamgeni1254 ปีที่แล้ว

    Huyu hamna kitu bwana mana haeleweki kama mkristo au mwislamu 😂😂, kwa mimi namuona mpiga zogo tu

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Haikuhusu huna mashehe wakuwasikiliza hd umsikilize huyu kaumbe majini huko

    • @andrewkissavah8272
      @andrewkissavah8272 8 หลายเดือนก่อน

      Ninyi mnaye mpinga mna chuki binafsi za kuwazia udini ,hakika uislamu utawaueni na kuwaprleka jehanam

  • @pauljoackim2786
    @pauljoackim2786 ปีที่แล้ว

    NINAKIU YA KUTAKA KUWA MSHIRIKA WAKO! NIKO MWANZA!

  • @adriandanford208
    @adriandanford208 ปีที่แล้ว +1

    Sasa waislam wameyakubali majini na uku wanataka kuwachinja mashoga 😂😂😂😂

    • @sadikathumani1003
      @sadikathumani1003 ปีที่แล้ว +2

      hakuna muislam anae kubali mapepo,na uelewe mungu anasema ktk Qu-raan kuw nimeumba majini na wanadamu ili waniabudu lakn kama unavoona wanadamu kuna wanao muabudu mungu na wengne laa! hivyo basi hata majini wako hivo, ni elimu pana sana inahitaji mtu usome ili uujue ukweli.

    • @saumulyobe2158
      @saumulyobe2158 ปีที่แล้ว

      Majini kote Wapo na tumekatazwa tusiwafate ndo maana iunaona hata Kuna manabii wanamtumia Lucifer..makanisa I basi na kwenye uislam hvyohvyo Kuna wanaowafata hao Majini lakin Quran imekataa ndo maana tunaanza Kwa kumlaani shetani

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      @@sadikathumani1003 weeeweeee shetani kalaniwa toka zk munaandika vitabu kuumba majini kilasiku

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Sikukuuvya ya kuchinja mwachinjia majini tunajua msituingize kwenye ujinga wa mtume wenu ambae hajui siku za mwisho atafanywa nn

    • @sadikathumani1003
      @sadikathumani1003 ปีที่แล้ว

      @@irenekaluse3213 ok, mwisho wa siku kila mtu atahukumiwa kwa mtendo yake, as long as unaamini mungu yupo.

  • @salehkhamis9994
    @salehkhamis9994 ปีที่แล้ว

    Vipi nabii wa michongo ilisema hijja haitofanyika Tena mpaka kiama kitasimama Acha kuwashota watu akili Zao utawadanganya hao hao makafiri na haleluya zenu sisi waislam tumesha kukataa kafiri mkubwa ww

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Kafiri km ww muamini majini ambae hata mtume wako hajui atafanywa nn ck za mwisho

    • @salehkhamis9994
      @salehkhamis9994 ปีที่แล้ว

      @@irenekaluse3213 nilijua2 makafiri watajibu na Uislam unasema asiekuwa muislamu huyo ni kafiri na wewe ni miongoni mwa makafiri

    • @veronicasarita8422
      @veronicasarita8422 8 หลายเดือนก่อน

      Kafir mkubwa wewe mwana wa majini

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 10 หลายเดือนก่อน

    WEE MWENYEO HANISI

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 10 หลายเดือนก่อน

    WEE MWENYEO HANISI

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 10 หลายเดือนก่อน

    WEE MWENYEO HANISI

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 10 หลายเดือนก่อน

    WEE MWENYEO HANISI

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 10 หลายเดือนก่อน

    WEE MWENYEO HANISI

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 10 หลายเดือนก่อน

    WEE MWENYEO HANISI

  • @piscaskazingufu9848
    @piscaskazingufu9848 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 10 หลายเดือนก่อน

    WEE MWENYEO HANISI

    • @RobertLyimo-uw8xu
      @RobertLyimo-uw8xu 8 หลายเดือนก่อน

      Muislam unavyotukana Mimi utanishawishi vip kuwa muislam?