Eeee MUNGU naamini jibu la NDUGU YANGU juu ya TIBA yake umeshalipisha KIBALI kinatoka KWAKO. WATU WATESI wangu WOTE wanyamazishwe na waamini njia za MUNGU hazichunguziki kamwe. Haleluya.
Nilikua katika uraibu wa zinaa lakini nashukuru mungu kwa kufunga na kuomba niliacha kabisa hata sikumbuki nangoja mme mwema anaye mwogopa mungu na kumheshimu.
Mchungaji mungu asifiwe akubariki leo nimebariwa mutukumbuke kwa malombi tutembee katika njia ya bwana Mimi ni ndugu yenu katika Imani jina languni kitungwa dunia Douglas mchungaji Na wote walio pamoja nawe tunaitaji usaada wa maombi yenu kwani mke wangu atapita kwenye opération
Tangu kukupata nimeona majibu ya maswali yangu mengi sana Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu alie juu sana ,,,,,,,wa Afríka Mungu ama tujia pia ,,,, ame tukumbuka kabisa......🇨🇩🇨🇩
Pastor oooh UMENENA kweli kabisa, vishetani vibaya vibaya vibaya, kwani sina NGUVU ya kuwapiga, NAOMBA MUNGU MWENYEWE awapige kiasi kwamba hawatajua nani anawapiga lkn wapigwe kwa kishondo mshindo mkubwa na bwana yesu na jamii ishuhudie na asiwepo mwingine wa kujaribu kufanya kama hawa.
Mchungaji namshukuru mungu jambo nisomo la muda ila namshukuru mungu kwakunifungua na kuachwa huru kuwa mpya kila sikuu asnte yesu umenitoa kwenye giza nene asante bwana wa majeshiiii
Nimeamini sauti ya mungu imenena ndani yangu ila nilipuuzia lakini nimepat majibu nikajua kweli nimungu alinisemeshaaa na sikuusikia nimetubu naamini mungu amenisamehee
Nakupenda pasta MUNGU aendeleee kukutunza uzidii kutupa mafundisho
Asantii pst mahubiri haya yananifanya kusogea mbele za mungu,God bless you
Barikiwa pastor; kwa neema zake Mungu baraka hizi zikawafikie na wengine sote tuongozwe katika njia zake
Moyo wangu unafarijika sana ninavosikiliza mahubiri haya
Ur always my favorite and best.Uzidi kubarikiwa na uishi miaka mingi naheri duniani
Mungu akulinde Sanaa naomba ukemee na pepo la ukaaba tazania kwasasa
Nabarikiwa Sana Pastor na mahubiri yako Mungu Azidi kukutunza Amen.
Hujui tu pastor vile huwa natafuta mahubiri yako nabarikiwa sana sana
Mafunzo mazuri sana mchunguja, Barikiwa🤲🙏🏿🙏🏿
Amen amen 🙏 be blessed pst May God protect you and u family
Pastor Mmbaga nakupenda sana kutoka Rwanda
Kwa hekima zako wewe ndiye Ps Rutayisire Antoine wa Rwanda
Amina Amina nimebarikiwa sana na somo hili nimerudia zaidi ya mara2 ❤❤❤ Mungu akubariki pastor mbanga pamoja na family yako
Nakukubali sana Mungu azidi kukupa hekima na maarifa
Pasta unanipa mafundisho mema yananifanya nibadilike
Eeee MUNGU naamini jibu la NDUGU YANGU juu ya TIBA yake umeshalipisha KIBALI kinatoka KWAKO. WATU WATESI wangu WOTE wanyamazishwe na waamini njia za MUNGU hazichunguziki kamwe. Haleluya.
Pr barikiwa sana mahubiri haya Mungu anifungue macho nione mbele 🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu nihirume baba yesus nihirume 😢
Mungu fungua fikira zangu nitoke kwenye machungu
Nilikua katika uraibu wa zinaa lakini nashukuru mungu kwa kufunga na kuomba niliacha kabisa hata sikumbuki nangoja mme mwema anaye mwogopa mungu na kumheshimu.
Mungu atukuzwe
Mungu atakubaliki Sana mtumishi na Mimi niombe kunakitu kinaleta ukuta katika kufikia malengo yangu ya chuo
Mungu akutendee
ushindi kwa Yesu ni hakika
Mchungaji mungu asifiwe akubariki leo nimebariwa mutukumbuke kwa malombi tutembee katika njia ya bwana Mimi ni ndugu yenu katika Imani jina languni kitungwa dunia Douglas mchungaji Na wote walio pamoja nawe tunaitaji usaada wa maombi yenu kwani mke wangu atapita kwenye opération
MUNGU ATENDE MUUJIZA
MUNGU BABA na azidi kuku jaza roho mtakatifu na hekima ili ulimwengu uwone utukufu wa MUNGU
Balikiwa sana mchunganji kwa mafundisho unayo towa
Hakika,Umenibariki Pastor. Mungu baba akutangulie na kukupa maisha marefu.
Tangu kukupata nimeona majibu ya maswali yangu mengi sana Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu alie juu sana ,,,,,,,wa Afríka Mungu ama tujia pia ,,,, ame tukumbuka kabisa......🇨🇩🇨🇩
I connected for my children to stop substance abuse.
In Jesus mighty name
Ulichosema pasta ni kweli
Uishi miaka 150 uokoe roho nyingi
Ameeeen Ameeeen Ameeeen aishi hata na zaidi kama wafalme wa zamani aki na daudi walivyokuwa wanaishi hata zaidi ya myaka Mia 200
Mnda wote napokusikiliza uwa na barikiwa sawa when you preaching can’t get tiyed of you god bless you pastor
Pastor I like your preaching because hakuna sehem unapaluka unagusa kila seem am so blessing
Niseme je ila kushukuru mungu na akukubuke sana Pastor Mbaga umenisaidia sana kwa mahubiri yako🙏🙏🙏🙏
Stay blessings pastor Mbaga am so blessed only God can give your need 🙏
Barikiwa paster
Pastor oooh UMENENA kweli kabisa, vishetani vibaya vibaya vibaya, kwani sina NGUVU ya kuwapiga, NAOMBA MUNGU MWENYEWE awapige kiasi kwamba hawatajua nani anawapiga lkn wapigwe kwa kishondo mshindo mkubwa na bwana yesu na jamii ishuhudie na asiwepo mwingine wa kujaribu kufanya kama hawa.
amen sana mchungaji nakupenda sana mungu akupe siku nyingi za kuishi ili utufundishe neno la mungu
Mwenyezi Mungu azidi kukupa maisha marefu...we love you so much!..
God bless you pastor ,I'm growing daily, may God continue using you and keep you in good health.
l
Amina
Mchungaji namshukuru mungu jambo nisomo la muda ila namshukuru mungu kwakunifungua na kuachwa huru kuwa mpya kila sikuu asnte yesu umenitoa kwenye giza nene asante bwana wa majeshiiii
Ameeeen
Nimeamini sauti ya mungu imenena ndani yangu ila nilipuuzia lakini nimepat majibu nikajua kweli nimungu alinisemeshaaa na sikuusikia nimetubu naamini mungu amenisamehee
Amen
Nko na uraibu wa zinaa lakini baada ya kukusikiza niliacha kabisa na ninaichukia hiyo tabia sana
pasta ubarikiwenabwana,
Mungu alinionyesha njia za haki
Halleluyah yesu niongeze katika njia zako nimeteseka kwa mda mrefu lakini Leo utaniongoza katika njia sahihi Amina
Aki mchungaji MUNGU WA mbinguni awabariki sana,
Ila Leo umenichekesha sana bendi 1😂😂😂😂😂
Nahis furaha
AMEEEN MTUMISHI
Ninamshukuru MUNGU WETU wa MBINGUNI nimepokea uponyaji katika ombi hili🙏
Baba nifinike mm na family yangu na damu ya Yesu kristu
Bwana akubariki sana pr. Huwa unanibariki sana nikikusikiliza
Mungu akubariki sana pr mmbaga
Nipate neema mbele Zako bwana barikiwa sana
Nipate neema mbele Zako bwana barikiwa Mtumishi
Amina mtushii mungu aendelee kukutumia baba
Lead me in your ways ooh Lord
Pr niombee nitoke kwenye uraibu wa machungu
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Amen. Ubarikiwe pastor Mbaga
Amen pastor ubarikiwe
Amen amen 🙏🙏,be blessed pastor
Toka songea
Asante aba kwa mtu huyu maishani mwetu
Amen
Mungu akubariki sana Pr.
I say waweka wazi kabisa tutupu
Thanks pastor for the good message. God continually bless you
Amina
amina pastor
Amen and Amen
Amen Amen
BWANA AKUBARIKI PASTOR
Amen 🙏
Amina 🇨🇩
🙏👊✌️.
Mchungaji ulisema hivyo ndoa zote zitavunjika maana mme mnaaza kujadili vizuri lakini mwisho wake ni shidaaa
Amina Amina
Sa mchungaji je ukiwa ume fanya zinaaa na mchumba wako kabla ya ndoa hiyo nayo Bado ni dhambi mbele za mungu?????😔 please tujibu 🧎
Kutoka 20:14 Usizini. Thou shalt not commit adultery.
Pastor umenichekesha eti ukichwa wiki mambo hayashiki😅😅😅😅😅
PASTER MUNGU AKUTUNZE NAVUTIWA NA HUDUMA YAko
PASTER MUNGU AKUTUNZE NAVUTIWA NA HUDUMA YAKO
MUNGU atusaidie AMINA
Nataka kuongea na yeye please
Gehazi bwana 😂 alikua anatabia kama za wasaidizi wa waganga wa kienyeji, wana mikwara
Hii church ya pastor mmbaga Iko side gani hiku Nairobi plz
Uliza s.d.a church utakuwa umefika
Mnisaindie number ya pastor mmbaga plz.niko kenya
Nabarikiwa Sana Pastor na mahubiri yako Mungu Azidi kukutunza Amen.
Mungu akulinde Sanaa naomba ukemee na pepo la ukaaba tazania kwasasa
Amen
PASTER MUNGU AKUTUNZE NAVUTIWA NA HUDUMA YAKO
Amen