VITA YA URUSI VS UKRAIN NI VITA VYA GOGU NA MAGOGU (EZEKIELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ค. 2022

ความคิดเห็น • 213

  • @Kabendera-s1w
    @Kabendera-s1w 14 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe mutumishi wa Mungu

  • @lucianodeo4103
    @lucianodeo4103 ปีที่แล้ว +1

    Asante, webale, thank you , merci

  • @samwelmwinyi1893
    @samwelmwinyi1893 ปีที่แล้ว +2

    Umejua kunfurahsha! Uelekezaj wako uko GOOD huna PRESSURE upo fafanua! Bnafs nmekuelewa vzr! Bwana akubrk mno

  • @ambelejames1862
    @ambelejames1862 2 ปีที่แล้ว +4

    Ongera sana nabii Elia umetufungua hakika MUNGU anawapa ufunuo watumishi wake

  • @williamshitobelo6433
    @williamshitobelo6433 2 ปีที่แล้ว +11

    Hakika mwenyezi MUNGU hunena na watu wake kwa nyakati na majira yake ,Asante sana Nabii Eliya baba yangu, Neema na Baraka zote za Bwana zizidi kukuangazia nyakati hizi.

  • @jacksonnzai1593
    @jacksonnzai1593 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen wwe umetumwa kwa wakati huu

  • @emmanueljoseph3292
    @emmanueljoseph3292 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubarik nabii elya kanisa la sasa linatakiwa kufuata mafundisho co miujiza ,

  • @catenzoka2003
    @catenzoka2003 ปีที่แล้ว +2

    Ulingoga ndipo kaka.roho mtakatifu alikuongoza Kwa hekima yake.hayo ya kweli pia UFUNUO.amina be blessed alot.

  • @afragafiseki8745
    @afragafiseki8745 2 ปีที่แล้ว +6

    Nimekuelewa sana nabii eliya mafundisho yako mazuri Mungu atufunulie mengi tusiyoyajua kwenye ulimwengu huu Mungu tusaidie

  • @officialyohanamalisa1873
    @officialyohanamalisa1873 ปีที่แล้ว +1

    Atukuzwe Mungu kwa level yako ya ufahamu. Kuna baadhi hawatakuelewa kabisa, we are made children of God by Believing In Jesus. 🙏🏻🙏🏻

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 ปีที่แล้ว +5

    Unafundisha vizuri sana wabishi ndio huo ndio ukweli

  • @DenisMalidad-up3pz
    @DenisMalidad-up3pz 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe ndugu

  • @jamesselemani4562
    @jamesselemani4562 2 ปีที่แล้ว +3

    Somo zuri sana, Hongera sana mtumishi ila kukuelewa inatakiwa kutulia sana

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzee baba piga pindi Mzee baba uwanja ni wako mzee baba.

  • @nicodemustesha1493
    @nicodemustesha1493 หลายเดือนก่อน

    Umetisha sana

  • @meisanmariah8993
    @meisanmariah8993 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🔥🙏

  • @jumamataro4870
    @jumamataro4870 2 ปีที่แล้ว +4

    Nilikuwa nahis hivyo kumbe kwel mungu akubaliki

  • @Lugendoful
    @Lugendoful 2 ปีที่แล้ว +12

    *✍🏿🇹🇿✍🏿Dr lugendo*
    tumsikilize na kumuheshimu huyu mtumishi wa wa TANZANIA.
    Mtumishi aliyeteuliwa kusaidia NCHI.
    wakristo acheni mnachokifanya makanisani sikilizeni sauti hii.
    Ahsante

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 ปีที่แล้ว +1

    Aise nimekupenda hakika wowwww mama yangu!! Pamoja sana aise Yesu Bwana wetu Mungu mkuu!! Akubariki sana ndugu!! Hakika nakushukuru sana!!

    • @DotoSimbe-de6ir
      @DotoSimbe-de6ir ปีที่แล้ว

      Mungu wa bwana wetu kristo wewe unasema mungu mkuuu yesu

  • @sebarigobert3466
    @sebarigobert3466 2 ปีที่แล้ว

    Asante sanaaaa Nabii Eliya 👍👍
    Mtumishi wamungu kbs much respect 👏👏

  • @adedesam9198
    @adedesam9198 2 ปีที่แล้ว +3

    Harakisha tafadhali hilo darasa next. Kazi nzuri sana nabii

  • @jophreysound6537
    @jophreysound6537 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli Mungu awe nawe nimekuelewa sana mwalimu, unafundisha vizuri sana

  • @neno2515
    @neno2515 2 ปีที่แล้ว +4

    Hii vita naiombea Urusi ishinde

  • @jonasiferesian1294
    @jonasiferesian1294 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mwalimu Mungu akubalk

  • @wycliffkasinga8086
    @wycliffkasinga8086 2 ปีที่แล้ว +5

    Bravo

  • @bushiboyrepublic
    @bushiboyrepublic ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukupa Maharifa ili uzodi kutupa neno nyimpya🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 2 ปีที่แล้ว

    Daaaah hyuy jamaa anamaono Sana na MUNGU anamtumia ni mwalimu na Nabii

  • @mebbukatibalo787
    @mebbukatibalo787 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba yangu umetisha kinomanoma!

  • @simongalahenga6858
    @simongalahenga6858 2 ปีที่แล้ว

    Aminaaaa!!! Exesallent

  • @anatolimayot8409
    @anatolimayot8409 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi was Mungu unayofundisha huwa yanatokea

  • @wycliffkasinga8086
    @wycliffkasinga8086 2 ปีที่แล้ว +7

    Very touching lecture.

  • @zacharynganga2124
    @zacharynganga2124 2 ปีที่แล้ว +1

    Praise God,you can make a good bishop if you fully became a Christian....

  • @BALEKECH2770
    @BALEKECH2770 ปีที่แล้ว

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩nikiwa congo 🇨🇩 forget nakufata sana

  • @jacklinewambua2655
    @jacklinewambua2655 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana ubarikiwe mwalimu mwema

  • @BALEKECH2770
    @BALEKECH2770 ปีที่แล้ว

    Asante sana na Bii Isa

  • @apostlesamuellumbu8308
    @apostlesamuellumbu8308 2 ปีที่แล้ว

    Nabii chunguza mafundisho yako vizuri sana vita vya gogu na magogu vitapiganwa baada ya Ya vita vya haramagedoni na kanisa litakua limenyakuliwa

  • @agneskisaka3215
    @agneskisaka3215 2 ปีที่แล้ว

    Woow. Profound

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 2 ปีที่แล้ว

    So deeeeep kaka umebarikiwa Sana

  • @emmanuelmukondia3568
    @emmanuelmukondia3568 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks brother for your wonderful teacher of Scriptures, 🙏🙏🙏🙏

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 2 ปีที่แล้ว

    Urusi analinda sheria za Mungu / analinda amri za Mungu duniani

    • @godfreymikmta5008
      @godfreymikmta5008 2 ปีที่แล้ว

      Urusi ndio gogu taifa la kaskazini

    • @godfreymikmta5008
      @godfreymikmta5008 2 ปีที่แล้ว

      Kabla ya kumwamini mtu soma kwanza ndipo uweze kumwamini

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 2 ปีที่แล้ว +1

    Well done mtumishi nimekubali hata mie nilioneshwa

  • @mwl.enocktuza
    @mwl.enocktuza ปีที่แล้ว

    Sio kweli kasome vizuri au uliza,kanisa Halifax ondoka

  • @johnnkya1824
    @johnnkya1824 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa

  • @kambugarakim4840
    @kambugarakim4840 2 ปีที่แล้ว +3

    Daah nilkulupuka nimekuelewa mtumishi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    ✌️🙏

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 2 ปีที่แล้ว +6

    Acha uongo wewe vita ya gogu na magogu haitapiganwa Bali yesu ataamuru Moto utashuka kutoka mbinguni na kuwachoma wa mataifa , na hapo ni baada ya miaka 1000 ya utawala wa Yesu shetani atakapofunguliwa kutoka kuzim

    • @melkizedekiwiliam5533
      @melkizedekiwiliam5533 2 ปีที่แล้ว

      Ngoja tukusaidie wew! Vita itapigwa. Ila Yesu ndie atakuja kuamua hiyo vita Kwa kushusha moto. Hivo acha mawazo ya kufikir hakuna vita.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 2 ปีที่แล้ว

      @@melkizedekiwiliam5533 kasome vizuri Acha kuongea utumbo vita itakayopigwa ni Almagedon, ILA gogu na magogu yesu ataamuru Moto ushuke nakuwachoma wamataifa

    • @melkizedekiwiliam5533
      @melkizedekiwiliam5533 2 ปีที่แล้ว

      @@francisjoseph1074 sas mambo ya utumbo yametoka wap? We nieleweshe nitakuelewa. kama utumbo hata unao. Nahis umejisemea mwenyewe. Ila nimekusamehe.

  • @erastobalosha9525
    @erastobalosha9525 2 ปีที่แล้ว

    Ufafanuzi wake wa maandiko unavutia kusikilizwa ninakushauri utubu na usiwe vuguvugu uwe mkristo kamili ujifutie jina la unabridged ujiite muhubili na hakika unamtangaza yesu vizuri .ubalikiwe.hakika kwa mahubiri yako utaokoa wengi .Aliye na sikio na asikie

  • @loysamwel6308
    @loysamwel6308 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakupata visuri mtumishi

  • @kimnet4397
    @kimnet4397 2 ปีที่แล้ว +1

    Great

  • @mwerindejacksom4390
    @mwerindejacksom4390 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi yakobo ambae aliitwa iziraheli alipigana namalaikaka kijito Cha yaboki akapewa baraka Kama laanawatapigana hakuaatakae washinda Hadi yesu atakaporudi wapo hadileo

  • @alhajwaupe6452
    @alhajwaupe6452 2 ปีที่แล้ว +2

    Hjuyu sio nabii sikiza tu anyoyasema

  • @studio..07
    @studio..07 ปีที่แล้ว

    Hiyo gogu kwanini asiwe marekani , maana wao ndio jeshi lashetani maana hata Mambo yaliyolaaniwa wao ndio wanayahimiza sana

  • @kingsniper9769
    @kingsniper9769 2 ปีที่แล้ว

    Hao wanaojiita manabii kwa agano jipya ndo hao waganga wa kinyeji ,lakini naona utapotosha wengi hasa waamini wako Ila unahitaji maombi makubwa ili uelewe bibiliaa binafsi naona kama kiki ya kupata pesa na sadaka za waamini

  • @PatrickRutungo-sp6nz
    @PatrickRutungo-sp6nz 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika umenifungua akili kiimani

  • @stevensosipita2851
    @stevensosipita2851 ปีที่แล้ว

    WAKINA MAZINGE HAWO WAPINGA KRISTO

  • @Matalatala267.
    @Matalatala267. 2 ปีที่แล้ว

    Acha uwongo we mzeeee

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 ปีที่แล้ว

      Wendelea kuabudu majini utashia jehanam

  • @joshuanyamweru8410
    @joshuanyamweru8410 2 ปีที่แล้ว

    Ameni endelea

  • @daxas_tv5881
    @daxas_tv5881 2 ปีที่แล้ว +1

    Uje uelezee kwnn yehova aliuchagua yerusalame Kam mji wake af Allah aje achague Makkah Kam mji wake Kam kwl allah na yehov ni kitu kimoja

    • @KAIPAAA3211
      @KAIPAAA3211 2 ปีที่แล้ว

      Jerusalem n mji mtakatfu makka ni kitofu cha dunia, wakat mtume Muhammad alienda kuchukua swala 5 za ulimwengu alipitia makka aliswal lakka 2 na roho za mitume wote ndipo alienda bingun, makka ni kitof

    • @daxas_tv5881
      @daxas_tv5881 2 ปีที่แล้ว

      @@KAIPAAA3211 ok shukran

  • @im_bob_african
    @im_bob_african 2 ปีที่แล้ว

    NAKUPATA SANAA MWALIMUU

  • @denisjimmy2649
    @denisjimmy2649 2 ปีที่แล้ว

    Israel wa Mungu wa siku za mwisho ni wale wakristo wanaoshika amri za Mungu Na Imani ya Yesu, ikiwamo Na Sabato ya Bwana, vita ya mwisho itajikita zaidi ktk Siku ya Kuabudu pale ambapo Upapa ukiongoza ulimwengu wote watapitisha sheria inayoitwa SUNDAY LAW Na hiyo ndiyo alama ya mnyama soma ufunuo 13 yote. Kisha tafuta Kitabu kimoja kinaitwa ," THE GREAT CONTROVERSY ", By Ellen G. White , zaidi sana ujikite ktk ile Sura yenye kichwa, THE IMPENDING CONFLICT.

    • @priscilashayo5659
      @priscilashayo5659 2 ปีที่แล้ว

      Mnaleta religious dorma ,tudeal na facts jamani.

  • @abelimalifedha1762
    @abelimalifedha1762 2 ปีที่แล้ว +1

    Harmaggedon sio vita halisi inayotumia silaha. Ni dhifa ya Mungu mahali ambapo mipango yote ya uasi inawekwa kwenye Sinia, Waasi wote watakuwa kitoweo.

    • @germainpennant6439
      @germainpennant6439 2 ปีที่แล้ว

      uyu mzee ni muogo ebu mueleweshe

    • @ikayokomoi3438
      @ikayokomoi3438 2 ปีที่แล้ว

      God is God who keeps His promise what he promise to Abraham and Israel was don't destroy still the chosen nation of God together with those who believe the message of messiah ungesema wokofu si tu ya waisraeli Bali ni ya wale wamwaminiye yesu kristo

  • @bukiriroigihugucizaburundi1349
    @bukiriroigihugucizaburundi1349 2 ปีที่แล้ว

    Asante kutufundisha mambo hao lakini biblia inasema kwamba wana wa Israel wamekua na kabila ya nyeusi sasa wale wazungu wanabadilikaje wana wa Israel?

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 2 ปีที่แล้ว

    Yesu au ISSA mtoto wa Maryam anasema na kuwaambia ndugu zake hivi ,wakujuwe wewe kwanza MUNGU wa pekee na Kisha mm yesu au ISSA ulienituma au mm ISSA au yesu mja wako
    Hapo tunajufunza kuwa muungu ni mmoja pekee hapaswi kushirikishwa na kitu chengine na hata huyo yesu anajitambua kuwa yeye si katika sehemu ya uungu ,yeye ni binadamu aliyechaguliwa na mungu kuwa mtume au nabii wa Wana wa Israeli kwa wakti huo na Kisha kabla ya kuondoka kwake kuchukuliwa na mungu alipomnusuru na watu wabaya alikuwa wanataka kumua msalabani ambawo walikuwa ni Dola ya Roma au roman empire waliokuwa wakishikulia nchi ya palistina au Israel ya Sasa wakishirikiana na wasaliti wa ndugu au wafuasi wa nabii ISSA

  • @bwogodeMillennioz
    @bwogodeMillennioz 2 ปีที่แล้ว

    Mbona bibilia inasema kwamba nyakati za mwisho mataifa yote yataelekea Israeli kupata mafunzo kuhusu njia za Mungu.

  • @jeronimonyakangala6659
    @jeronimonyakangala6659 2 ปีที่แล้ว +1

    Uokoke tu Sasa na ubatizwe ubatizo wa Yesu ! Then uchape injili tu

  • @oscarkamgisha3997
    @oscarkamgisha3997 2 ปีที่แล้ว +2

    Ulichokiongea nimekuelewa vzr na ndio maana wameshaleta dini moja Dora moja.

  • @lamlanyava6153
    @lamlanyava6153 2 ปีที่แล้ว +2

    Nafahamu kuwa Mimi pia ni Israel lakini hao wayahudi uzao wao ulibarikiwa sasa nani mwenye nguvu zaidi?

  • @elgringo8592
    @elgringo8592 2 ปีที่แล้ว +1

    fact

  • @JumaBuriani-tt4cx
    @JumaBuriani-tt4cx ปีที่แล้ว

    Wewe
    Unaejiita Nabii Eliya umekufuru hakuna unabii baada Nabii wa mwisho kutummwa na mwenyezimungu Nabii Muhamadi nahuyu alitabiriwa Nabii ISSA nahaya nnayosema yamo katika Biblia ya Asili nyinyi mnaujua ukweli lakini bado mnapinga nyinyi nyote ni wapinga kristo nyinyi ndio manabii wa uongo mlio tajwa na yesu kristo waislamu manawakataa Leo lakini ikosiku mtajua wao ninani

  • @i-amkpj6508
    @i-amkpj6508 2 ปีที่แล้ว +1

    BANTU people are the true Israelites my brother

    • @amirinestory
      @amirinestory ปีที่แล้ว

      Kweli???

    • @i-amkpj6508
      @i-amkpj6508 ปีที่แล้ว

      @@amirinestory yes yes … ukweli mtu ndugu

  • @mwl.enocktuza
    @mwl.enocktuza ปีที่แล้ว

    Kanisa halijaondoka.

  • @jumannejuma7432
    @jumannejuma7432 ปีที่แล้ว

    Achakudanganya watu waiziraeli wale sihawa

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 2 ปีที่แล้ว

    Uko deeper Sana mtumishi

  • @epaphraslugendo8790
    @epaphraslugendo8790 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣😆🤣Mungu atusaidie sana maana manabii wa uongo na WA ukweli ni wengi sana siku za mwisho

  • @maspro6294
    @maspro6294 2 ปีที่แล้ว

    Nabii feki kava shati zee la kuvizia matukio

  • @osmondulotu2701
    @osmondulotu2701 2 ปีที่แล้ว

    Ninakupata mtumishi

  • @beatriceatieno6274
    @beatriceatieno6274 2 ปีที่แล้ว

    Tumia bibilia saa ya mafundisho

  • @princemuzison973
    @princemuzison973 2 ปีที่แล้ว +1

    South Korea sio partner wa Russia. May be North korea

  • @matendombilinyi476
    @matendombilinyi476 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU azidi kukuongoza upeleke unabii kwa kasi zaidi

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 ปีที่แล้ว

    Mbona haukusema mapema
    Mpaka itokee ndo uongee?

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa gogu ni urusi na nato ni magogu

    • @abuukajembe2586
      @abuukajembe2586 2 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @castrokassoga7271
      @castrokassoga7271 2 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo miaka 1000 ya utawala was Yesu imeshapita vita ya gogu na magogu no baada ya ufufuo was kwanza na utawala was Yesu

    • @graysonpastory1918
      @graysonpastory1918 2 ปีที่แล้ว

      @@castrokassoga7271 hivi vitu havichukui muda mfupi ni mchakoto ukielewa hili basi utaelewa dunia inaenda wapi

  • @nemecykongolo3682
    @nemecykongolo3682 2 ปีที่แล้ว +1

    ii haiwezi kuwa vita ya gogu na magogu kwakuwa hadi sasa ivi izelaeri haiuski na hii vita

    • @henrymichael3966
      @henrymichael3966 2 ปีที่แล้ว

      Kama umemsikiliza vizuri, kasema Israel maana yake ni Mtu au watu wanao amini kifo na ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo. Wayahudi ambao ndio ni wakazi wa nchi ya Israel hawamwamini Yesu Christo.

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm 2 ปีที่แล้ว

    Kuna sehemu umechanganya ,,,,,,,,,

  • @danielbenjamin991
    @danielbenjamin991 2 ปีที่แล้ว

    Eti nabii 🤣🤣🤣🤣🤣😃😃😃

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 2 ปีที่แล้ว

    Paulo si katika banii Israel alikuwa mroma au Roman

  • @wisdomzabilatz8392
    @wisdomzabilatz8392 2 ปีที่แล้ว

    Unaeleweka at the moment piga kazi wewe ni mtumishi wa Mungu

  • @fabricemusore7670
    @fabricemusore7670 2 ปีที่แล้ว

    Ayo maneno unaongeya bado tungali mbali .nimaandalizi sasa.

  • @castrokassoga7271
    @castrokassoga7271 2 ปีที่แล้ว +7

    Vita ya gogu na magogu ni baada ya miaka 1000 ya utawala wa Yesu baada ya ufufuo wa kwanza gogu na magogu ni watu wasioamini hata baada ya kuhushudia ufufuo soma ufunuo 20 mbona muongo hivi.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 2 ปีที่แล้ว +1

      Yani Huyu ni mpotishaji nawapumpafu wanamsikiliza tatizo wabongo wanapenda story na sio kusoma

    • @andrewnyenza
      @andrewnyenza 2 ปีที่แล้ว +1

      Mwenyenzi Mungu akupe neema umuelewe huyu jamaa, kwamaana hutahubiriwa tena,Yesu Kristo alisema Eliya atatengeneza yote 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼Huyu ndiye Nabii Eliya aliye elezwa katika vitabu vya Mungu Soma Malaki 4:5-6, Mathayo 17:11 na Ufunuo 11:3🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
      Ufunuo 14:12 Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu na Imani ya Yesu

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 2 ปีที่แล้ว

      @@andrewnyenza we tumia akili Huyu amza ndo alisema Corona ni 666 sasa na nyie msiosoma mkakubali sasa Corona imeisha anatafuta ningine NENDA you tube tafuta bishop ngonyani usikilize uchambuzi wa bible

    • @andrewnyenza
      @andrewnyenza 2 ปีที่แล้ว +1

      @@francisjoseph1074 hujui kitu nyenyekea tu, halafu ghadhabu ya nini sasa kwako wewe ,unakerwa nini kumbe Hamza ni mkweli na ni Nabii wa Allah 🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪truth will be revieled

    • @andrewnyenza
      @andrewnyenza 2 ปีที่แล้ว

      Bwana ametoa,bwana ametwaa jina la Bwana libalikiwe 🤣🤣🤣 yaani vita itokee na Yesu ameshakuja??? Hujui kwamba lazima kanisa lipite ktk dhiki kuu ndio Yesu aje awakute waliogomea kumsujudia shetani na atatawala nao miaka 1000, 😁😁mbona ni akili ndogo tu ,

  • @magigejoseph255
    @magigejoseph255 2 ปีที่แล้ว

    Nataka nikuandalie semina?

  • @DotoSimbe-de6ir
    @DotoSimbe-de6ir ปีที่แล้ว

    Mbona israel ni shetani to siowatu wa mungu

  • @apostlesamuellumbu8308
    @apostlesamuellumbu8308 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa makanisani mna wajinga wengi mna shabikia mafundisho ya uongo.

  • @stanlychishimba2729
    @stanlychishimba2729 2 ปีที่แล้ว

    Wovu

  • @wewa7329
    @wewa7329 2 ปีที่แล้ว

    Mwisho nimeelewa bwana

  • @apostlesamuellumbu8308
    @apostlesamuellumbu8308 2 ปีที่แล้ว

    Usipotoshe watu kwa uongo jifunze vizuri unabii wa maandiko

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 2 ปีที่แล้ว

    Acha hivyo

  • @seiflugendo5043
    @seiflugendo5043 2 ปีที่แล้ว

    Wasanii wameangukia kwenye uchambuzi🤣🤣🤣🤣🤣

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 ปีที่แล้ว

      Weendelea kuabudu majini utashia jehanam

  • @davidmpulumba4039
    @davidmpulumba4039 2 ปีที่แล้ว

    Hapo nime kuelewa

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mwongo hajui kitu

  • @charlesmagahi2111
    @charlesmagahi2111 2 ปีที่แล้ว +1

    Unachanganya kiswahili na kiingereza umekuwa mswangereza. Ongea kiswahili fasaha.

  • @MathematicsInTZ
    @MathematicsInTZ 2 ปีที่แล้ว

    Yaani unachokiongea niliwahi kukiongea sehemu watu wakanishangaa. Inakuwaje umkatae Kristo kisha uendelee kuwa mtakatifu?