Subhanallah allah atulinde tusielekee huko nakupenda saana shekh hamza na namwomba allah anikutanishe na wewe siku moja nikuombedua nikiwa na kutizama inshallah
Diamond platnumz - kijana wa kiislamu ana majina Nasib Abdul , Allah amrudishe kutoka uovu aliyokuwa ndani , na siyo yeye pekee , yeye ni mfano , lakini ma vijana wa kiislamu ndio wana ongoza Kwa mambo yote machafu , kuanzia mziki , ushirikina na mambo mengi aliyo haramisha Allah s.w. Allah atu nusuru na Pia Kwa bidii yetu.
Subhanallah allah atulinde tusielekee huko nakupenda saana shekh hamza na namwomba allah anikutanishe na wewe siku moja nikuombedua nikiwa na kutizama inshallah
shekhe Hamza allah atakulipa kwakuusema ukweri
Hyu sheikh wallah napenda sana kumckilza maan ana kipaji cha kuutubia kwel
Mashaallah
In deed we are from Allah and to him we shall return
Walai nimeipenda hii chaneli
Allahu akbar allah atustiri na madhambi haya
Mashallah
Allah maakum mahasin kwa kutupa faida Allah awalipe fii dunia wal akhera
Mahaasin Allah awalipe mnatupa elmu nzuri kwakweli Allah awatie nguvu msichoke ss twapata faraja sana!!
Shukran
Shukran sheikh wetu mungu akupe afya njema
Subhanallah. Siku moja nipo dukani anakija mkaka mmoja namuita( brother) akachukia eti yeye ni dada asiee niliumia sana mkaka kusema yeye na mdada
subuanalaaah Allah atuongoze njia iliyoimala na vizaz vyet in shaa Allah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Allaah awafanyie wepesi mahasini tv
Mungu atusamehe sana inshaallah mwenyenzimungu akupe afya na kauli thabiti atusamehe madhambi yetu ya siri na dhahiri inshaallah.
Jazzakallahu khairan
Mashallah Allah akuzidishie sheikh wetu nakupenda kwa ajili ya allah
Allah ibariki chenel yetu inshaa allah
subhanallah ya rabbi tusitiri tusamehe ya Allah
Subhanallah. Shukran sheikh. Allahu barik
jazakumullah khaira Allah akuhifadhi sheikhe hamza mansor
ALLAH Akbar
jazaka allha kheri ustath
Subhannallah tuwekeeni mawaidha yenye maada defu from dubai
Uchung😭😭😭😭😭
Naam shekh
Allah ibariki chenel ytu pendwa ya mahasim TV
Amin
Ameen
Ameen
Diamond platnumz - kijana wa kiislamu ana majina Nasib Abdul , Allah amrudishe kutoka uovu aliyokuwa ndani , na siyo yeye pekee , yeye ni mfano , lakini ma vijana wa kiislamu ndio wana ongoza Kwa mambo yote machafu , kuanzia mziki , ushirikina na mambo mengi aliyo haramisha Allah s.w. Allah atu nusuru na Pia Kwa bidii yetu.
Zama hizi hapa Shekhe 💔
Mungu mbariki sheikh Hamza
maaasha Allah jazaaaka Allah khaira
Allah Akbar
Mungu atuongoze na matendo haya
Jaman mm shoga namwomba mungu anitoe uku nashukulu nimeanza kutoka uku je nauliza dhambi ya ushoga nasamehewa?
Allah wajalie mashekh wetu umri mrefu inshaa allah
subhanallah kila kitu sasa kipo wazi allahu atuhifadhi inshallahu
Mashaalla jazakallahu khaira asante kwa kutuelimisha
Allah akbar
Allah nisamee kwa Dhambi Zngu zote Na unipe pepo Yko Yaarabii
Allah akupe maisha mema
Allah atunusuru sisi na vizazi vyetu aamin 🙏🙏
Allah akbaru
ManshaAllah, sheikh Amri imeshashuka, , tekelezeni bac, ,
Allah atuepushe na fitna ya sheitani
Dah mtihan san
Shukurn kwa elm nzur Allah awape nguvu
Maasha Allah
Sub-hana lah Allah atunusuru
SubhanaALLAH
Subxaanallah 😭💔
JazzakaAllahu khayra kwa ukumbusho
Subhanaka Rabbi
SubhaAllah 😓
Mashaallah
Hii imetimia, gaysm everywhere
Mashaallah my brother
MASHAALLAH
Mashaallah astaghfiru llah
Mahasim JazakAllahkheir
Asante sana kwa mawaidha na elimu nzuri shekhe .napenda sana mawaidha Yako.
Jmani hamni magroup ya WhatsApp mtuungeee tuapate hizi clip zisambae
Somali Allah 🤲🤲
😭😭😭😭😭😭
ikuze TV yetu allah
اللهم زيد فزيد mungu akujaliye umre mrefu
nataka kufungua Group la Whatsap la dini linakwenda kwa Jina la nuur chukua naomba iyo +973 34524778
😭😭😭😭😭😭😭 Qaum luuut
😂😂😂😂
Mashaallah
Tuhusiane tuendele kutekeleza
Allah akubaarik inshaallah
Mwenyezi mungu akujalie kutupa elim
Yarabb tujalie mwisho mwema inshaallah
Mashalaa mashalaa mashalaa