Kuzimu ni halisi sio hadithi na majini yapo fatilia ushuhuda huu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2022
  • Kuzimu ni halisi,mapepo yapo tena yamejaa kila mahali duniani unaweza kuyaona utayatambuaje fatilia ushuhuda huu.

ความคิดเห็น • 48

  • @yushuaissa467
    @yushuaissa467 ปีที่แล้ว +3

    The laughter... 🤔

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 8 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa MUNGU umenipa maarifa haya

  • @jehovajonas9284
    @jehovajonas9284 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu nipe macho ya rohoni
    Barikiwa sana Mtumishi Mwabukusi Mungu azidi kukulinda baba

  • @salimuismaily693
    @salimuismaily693 ปีที่แล้ว +1

    MUONGO MKUBWA SANA HUYO JAMAA MBONA MNALETA FASIHI SIMULIZI KWENYE DINI

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 ปีที่แล้ว

    Ohooooooo Mambo Ya Lipstick Hayo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @toshanyiti2154
    @toshanyiti2154 ปีที่แล้ว +3

    TUNAMUHITAJI SANA MUNGU NA NGUVU ZAKE

  • @danielbarnabas9508
    @danielbarnabas9508 ปีที่แล้ว

    Amina tunabarikiwa sana na hizi shuhuda.

  • @catherineangaufoo2530
    @catherineangaufoo2530 ปีที่แล้ว +1

    Amen.. nimebarikiwa sana na ujumbe wa Mungu kupitia mtumishi wake.. Neno+maombi+sadaka=ndiyo itupasayo.

  • @NeemaDLyimo
    @NeemaDLyimo ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukuinua Mwl...

  • @kaizaaudax9449
    @kaizaaudax9449 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi wa Mungu, ubarikiwe sana

  • @julianaharrison4356
    @julianaharrison4356 ปีที่แล้ว +6

    Mtumishi nimekusikiliza miaka mingi sana Arusha leo nilikutafuta leo nakupata you tube huwa nabarikiwa sana na mafundisho yako

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 ปีที่แล้ว +1

      Kweli hata mimi nilikuwa namfuatilia sana nikiwa chuga

    • @julianaharrison4356
      @julianaharrison4356 ปีที่แล้ว +1

      @@highzacknnko9685 huku somo refu na mb mama yetu zilivyo za mawazo 😅😅😅

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 ปีที่แล้ว +1

      @@julianaharrison4356 😀😀 mimi nimelisikiliza lote!! Na ukipata nafasi sikiliza masomo yafuatayo kutoka kwa josephati gwajima ufufuo na uzima
      - akili iliyologwa
      - kalenda za kichawi
      - amaleki wa maisha yako
      - kesho iliyopiga kona
      - vikao vya uharibifu
      - laana ya familia
      - njia anazotumia shetani
      - viwanda vya uharibifu

    • @ggggregonia6035
      @ggggregonia6035 ปีที่แล้ว

      ?!????

  • @mercywambua3505
    @mercywambua3505 ปีที่แล้ว

    Thank you so much for the knowledge

  • @wilsonngonyani
    @wilsonngonyani ปีที่แล้ว

    Ongela kwa kuokolewa Mungu akufanye shuuda

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 ปีที่แล้ว

    AMEN.HAKIKA MUNGU YUPO NA BADO ANABADILISHA WATU WAKE WAKIMTAFUTA.

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 ปีที่แล้ว

    Mungu tu sahidiye kweli

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 ปีที่แล้ว

    🤣 🤣 🤣 🤣 Watu wanaomba maombi makavu

  • @bettyadhiambo9557
    @bettyadhiambo9557 ปีที่แล้ว

    So sad 😭 Mungu atu rehemu sana

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 4 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana mlokolè wa kweli hapaki lipustck

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 ปีที่แล้ว

    AMEEEEEEN

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz 7 หลายเดือนก่อน

    Sio kuzimu ulikoenda ni baharini kuzimu ni giza

  • @papaamashana3962
    @papaamashana3962 ปีที่แล้ว +1

    Ubalikiwe nikomwanza mie

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nasema kwamba mikorogo nitatizo tu bora mtu aache

    • @marianaduncan6330
      @marianaduncan6330 ปีที่แล้ว +4

      Sio mikorogo tu,vitu vyote Nadia mbele za Mungu, ukivaa huwezi ingia mbinguni, mawigi Rasta kucha bandia suruali vimini hereni lipstick makeup cheni vyote havifai mbele za Mungu

  • @irenekiwale5352
    @irenekiwale5352 ปีที่แล้ว +2

    Hili kanisa liko mkoa gani jmn nimetamani kupokea wokovu naombeni mwongozo watu wa Mungu

    • @merinamanya6069
      @merinamanya6069 ปีที่แล้ว +1

      Daah leo nimekuona, siku nyingi sana Safina redio! Jamani kweli huduma bado ni moto Sana, ubarikiwe mwabukusi, uko mkoa gani?

    • @elbertuselemagio59
      @elbertuselemagio59 ปีที่แล้ว

      Ukimkiri yesu kwa kinywa chako na kuamini moyoni mwako kuwa alifufuka ktk wafu utaokoka tafta kanisa lolote lenye hofu ya dhambi na msimamo wa kukemea dhambi ujiunge hapo na tayari utakuwa umejiunga na kundi la waenda mbinguni

    • @marthacharles3872
      @marthacharles3872 ปีที่แล้ว

      Irine tafuta kanisa lolote la kiroho lililopo karbu na wewe hili linaweza kuwa mbali eagt au tag au fpct na mengine kama hayo

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 ปีที่แล้ว

    🔥🙏

  • @zver7342
    @zver7342 หลายเดือนก่อน

    kwanini kwenye ushuhuda lazima mtu aseme uongo wa kusisimua? Story za vijiweni hizi.

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 ปีที่แล้ว +2

    Sielewi kabisa. Nimesikiliza ushuhuda wa mwalimu kwenye PROMOVER part 3, alisema alianguka lakini hajawahi kwenda kuzimu, hajawahi kunywa damu za watu......naposikia haya anayosema sasa nachanganyikiwa.

    • @kabwefrancine99
      @kabwefrancine99 ปีที่แล้ว

      🤦🤦🤦

    • @egospeltz9486
      @egospeltz9486 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 ปีที่แล้ว

      @@egospeltz9486 no! Am being serious. Sikiliza hii th-cam.com/video/ju7TQV-vz1Y/w-d-xo.html
      dk ya 16:25 hadi ya 19 hivi. Sielewi.

    • @egospeltz9486
      @egospeltz9486 ปีที่แล้ว +2

      @@mosesg.pendael8381 Asante hawa watu mimi mengine nachukuwa mengine naachana nayo. Nimegundua si kila ushuhuda ni ukweli mtupu.

    • @kassimukihanga9240
      @kassimukihanga9240 ปีที่แล้ว +2

      Amen ndugu yangu ushuhuda katika promover TV ulikuwa wa siku Moja pekee na tulikubaliana na jaktan tungemalizia baadaye ikashindikana kwa hiyo sikumaliziaga unaweza kuwasiliana naye akakuhakishia hili na hata Sasa Bado sijamalizia

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 ปีที่แล้ว +1

    HILI KANISA LIKO WAPI WAPENDWA?

  • @glaqgloryaqram7511
    @glaqgloryaqram7511 ปีที่แล้ว

    Hello hello

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya mchungaji Justin tafathali

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 ปีที่แล้ว

    Tatizo sauti ndogo

  • @salimuismaily693
    @salimuismaily693 ปีที่แล้ว

    UKICHUNGUZA KWA MAKINI NDIO KATOA STORY YA KUFUNDISHA LAKINI WATUMISHI WENGI WANAOTOA STORY KAMA HIZI SIJUI KWANINI HUWA WANA SEMA WALIKUWA WAISLAM SASA NI ILI DINI YA UISLAM IONEKANE VIBAYA ?? LAKINI DINI HAINA SHIDA ILA YEYE NDIO ALIKUWA NA MATATIZO

  • @user-gh3zf4ow4c
    @user-gh3zf4ow4c 2 หลายเดือนก่อน

    Mwabukusi th-cam.com/video/uG__xhndt9g/w-d-xo.htmlsi=iFeeRXLYsIqwAW_d