WANAWAKE HOYEE! MAREFA WATATU WA KIKE KUPULIZA KIPENGA QATAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Marefa watatu wa kike kutoka mataifa ya Ufaransa, Japan na Rwanda wateuliwa na shirikisho la soka duniani FIFA kuwa miongoni mwa wale watakaosimamia kipute kijacho cha kombe la dunia kinachoanza rasmi Novemba 30 nchini Qatar.
    Watatu hao ni pamoja na Stephanie Frappart, Yoshimi Yamashita na Salima Mukansanga na hii itakuwa mara yao ya kwanza kabisa kusimamia mechi za kombe la dunia kwa wanaume.

ความคิดเห็น • 2